Saturday , 20 April 2024
Home upendo
1868 Articles238 Comments
Habari Mchanganyiko

Nape awatahadharisha wanahabari kuhusu mikutano ya hadhara

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye, amewataka waandishi wa habari kufuata maadili ya kitaaluma wakati wanaripoti mikutano...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amtaka Rais Samia awe jasiri “Kuna watu hawapendi demokrasia”

MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa jasiri akidai kwamba kuna baadhi ya watu hawapendi...

Habari za Siasa

CUF wafungua pazia mikutano ya hadhara, mamia washiriki

CHAMA Cha Wananchi (CUF), leo Jumamosi tarehe 7 Januari 2023, kimezindua rasmi mikutano ya hadhara ambapo ufunguzi huo umefanywa na Mwenyekiti wake Taifa,...

Habari za SiasaTangulizi

Diwani Athuman ang’olewa Ikulu kabla ya kuapishwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani, katika nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu, na kumteua Mululi Majula Mahendeka, kushika...

Habari za Siasa

Zitto: Hautokatika kidole ukimpongeza Rais Samia

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mtu hatokatika kidole wala kukatwa shingo, endapo atampongeza Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan kwa...

Habari za Siasa

Simbachawene akumbushia machungu ya siasa za kipindi cha nyuma

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amevitaka vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu ili kuepusha...

Habari Mchanganyiko

Kizungumkuti watoa huduma Uwanja wa Ndege Zanzibar, watishia kwenda mahakamani

KAMPUNI ya Transworld Aviation Dubai, kutoka Falme za Kiarabu, imeomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kuiondolea zuio la kufanya kazi katika Uwanja wa...

Habari za Siasa

Msajili wa vyama amkumbusha Rais Samia kuhusu mapendekezo kikosi kazi

  MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na Kikosi kazi alichokiunda...

Habari MchanganyikoTangulizi

TRA yavunja rekodi, makusanyo yakua kwa 12.2%

  MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato Kwa mwezi baada ya kukusanya Sh. 2.77 trilioni kati ya lengo...

Habari Mchanganyiko

Sakatala la kodi: TRA yamuita Dimond Platnumz

BAADA  msanii na mfanyabiashara Nasibu Abdul (Diamond Platnumz), kutoa malalamiko dhidi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwamba ina lengo la kuiua  Kampuni...

Habari za Siasa

Serikali kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji Bonde Bugwema

  SERIKALI imeridhia kufufua mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema, liliko mkoani Mara, ikiwa ni utekelezaji wa ombi...

Habari za Siasa

CUF yaunga mkono marekebisho sheria za habari

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaunga mkono marekebisho ya sheria za habari yenye lengo la kuongeza uhuru wa tasnia hiyo, huku ikiiomba...

Habari Mchanganyiko

Balile:Wanahabari tusisubiri kulipwa fedha kupigania haki zetu

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewataka wanahabari kupigania mazingira bora ya utendaji kazi zao bila kusubiri malipo ya fedha, kwa...

Habari Mchanganyiko

Sera ya habari ya 2003 kufumuliwa

  SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kuifanyia marekebisho Sera ya Habari na Utangazaji ya 2003 ili iendane na wakati pamoja na kuondoa mapungufu...

Habari Mchanganyiko

MECIRA yapongeza hatua za Rais Samia kulinda vyanzo vya maji

  KITUO cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA), kimemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kukazia maagizo ya Makamu wa Rais, Dk....

Habari za Siasa

Mil.75 za mfuko wa Jimbo kujenga maabara za Sekondari Musoma Vijijini

FEDHA za mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Tarime, kiasi Cha Sh.75 milioni, zinatarajiwa kujenga maabara ya masomo ya sayansi katika shule...

Habari za Siasa

Serikali yaombwa kuongeza bajeti Mifugo, Uvuvi

  SERIKALI ya Tanzania imeombwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, pamoja na Tume ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, ili...

HabariTangulizi

Mahakama yaamuru mwili wa aliyefariki mahabusu, ufukuliwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kivukoni/Kinondoni imetoa amri ya kufukuliwa mwili wa Stella Moses ili ufanyiwe uchunguzi kujua chanzo cha kifo chake baada ya...

HabariHabari MchanganyikoTangulizi

Uhamiaji yaonya utapeli nafasi za ajira mpya

  IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania, imewataka Watanzania kuwa makini dhidi ya vitendo vya utapeli vilivyoibua katika mchakato wa maombi ya nafasi za...

Habari Mchanganyiko

UTPC yataja mchango wa Rais Samia katika sekta ya habari

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa rafiki wa wanahabari, kufuatia dhamira yake aliyoionesha tangu alipoingia madarakani Machi 2021, ya kuifanyia maboresho sekta ya...

Elimu

Serikali yaombwa kufuta huduma za bweni kwa shule msingi

Serikali ya Tanzania imeombwa kufuta huduma za mabweni katika shule za awali hadi msingi, ili kutoa nafasi kwa watoto kulelewa na familia zao...

Habari Mchanganyiko

Biashara uuzaji nyeti za waliokeketwa yaibuka, Serikali kuchunguza

  SERIKALI ya Tanzania, imesema itafanya uchunguzi dhidi ya biashara haramu ya uuzaji viungo vya siri vya wanawake wanaokeketwa, iliyoibuka mkoani Mara. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Walemavu waiangukia Serikali

WATU wenye ulemavu nchini Tanzania, wameiomba Serikali iongeze ushiriki wao katika vyombo vya maamuzi ili waweze kutafuta suluhu dhidi ya changamoto zinazowakabili. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Ukatili wa kijinsia: Wanaume walia kupigwa, kunyimwa unyumba

  IKIWA dunia inaadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, wanaume wamefunguka kuhusu vitendo hivyo huku madai ya kunyimwa unyumba na vipigo...

HabariKitaifa

Rais Samia apewa mbinu za kuwainua wanawake kiuchumi

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kuongeza juhudi katika dhamira yake ya kuimarisha usawa wa kijinsia na kumuinua mwanamke kiuchumi, ili kuondoa...

HabariHabari Mchanganyiko

Wadau: Ukatili bado upo, Serikali ije na muarobaini

  WADAU wa kutetea haki za binadamu, wameitaka Serikali kutafuta mikakati endelevu ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kwani bado vinaendelea kuligharimu...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kuharakisha marekebisho Sheria kandamizi

  SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kuharakisha mchakato wa marekebisho dhidi ya vifungu vya sheria zinazokandamiza haki za binadamu, hususan uhuru wa kujieleza na...

Habari Mchanganyiko

Mambo matano yatajwa kukwamisha wanawake kwenye uongozi

  LICHA ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022 kuonyesha idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume, mambo matano yametajwa...

Habari za Siasa

Kigogo ACT-Wazalendo aeleza panda, shuka safari ya mwanamke kwenye uongozi

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu, amewataka wanawake kuwa wavumilivu kuelekea safari yao ya uongozi wa kisiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe: Hatujafunga ndoa na CCM

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kuwa chama hicho ni tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na vyama vingine...

Habari Mchanganyiko

Ananilea Nkya: Tunasubiri muswada sheria ya habari utinge bungeni

  ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Daktari Ananilea Nkya, amesema wadau wengi wanasubiri Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

Habari Mchanganyiko

Mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi CCM atangaza mapambano Uchaguzi Mkuu 2025

  MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhil Maganya, amesema ataiongoza jumuiya hiyo katika mapambano ya kusaka...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Mbarawa atoa ripoti ajali ya ndege hadharani, “mhudumu ndiye aliyefungua mlango”

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air, ikisema ilitumbukia ziwani...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba amng’oa kigogo CUF

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera wa chama...

Habari Mchanganyiko

THRDC yazindua mpango mkakati uimarishaji haki, bilioni 46.1 kutumika

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRDC), umezindua mpango mkakati wake wa miaka mitano (2023-2027), unaotarajia kugharimu kiasi cha Sh. 46.1...

Habari Mchanganyiko

Serikali, wadau wakutana kujadili hatua za mwisho maboresho sheria ya habari

  SERIKALI ya Tanzania, imekutana na wadau wa sekta ya habari, kwa ajili ya kufanya mapitio ya mwisho kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Nape apiga ‘stop’ bei za bando kupanda

  KAMPUNI za mawasiliano ya simu nchini zimetakiwa kutobadilisha bei za vifurushi hadi pale matokeo ya tathmini kuhusu gharama za utoaji huduma hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Rushwa yasababisha chaguzi 3 CCM kusimamishwa

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesimamisha chaguzi tatu kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ikiwemo za rushwa zilizoibuliwa, ili kuchukua hatua kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Waandishi wa habari watakiwa kutumia sheria kudai haki

  WAANDISHI wa habari nchini Tanzania, wametakiwa kujenga desturi ya kusoma sheria na sera zinazowaongoza ili waweze kuzifahamu kwa lengo la kudai haki...

Habari Mchanganyiko

Mbaroni kwa kuiba milioni 60 kisha kujiteka

  DEODATUS Thadeo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kujiteka baada ya kudaiwa kuiba kiasi...

Habari Mchanganyiko

TCRA kuwezesha wabunifu wapya wa TEHAMA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na wadau wengine, imeanza utaratibu wa kutoa rasilimali za mawasiliano kwa wabunifu wapya wa Teknolojia ya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yatoa tahadhari upungufu wa chakula, yatoa maagizo

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa wito kwa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya upungufu wa mazao ya chakula unaosababishwa na ukame uliotokana na ukosefu...

Afya

Muswada Bima ya Afya kwa wote wakwama bungeni

  MUSWADA wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote, umeshindwa kusomwa kwa mara ya pili bungeni jijini Dodoma, kutokana na mhimili huo...

Habari Mchanganyiko

Kizimbani kwa utakatishaji Bil. 1.5, asomewa mashtaka 106

  GASTON Danda, mfanyabiashara na mkazi wa Mbezi Beach, Kinondoni jijini Dar es Salaam, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kwa makosa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kuing’ang’ania Chadema mahakamani

  BAADHI ya wabunge viti maalum wameendelea kudai katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, kwamba Chama cha Chadema kiliwateua kushika...

Habari za Siasa

Mwenzake Mdee adai Chadema iliwapa mashtaka mapya

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai Chama Cha Chadema, kiliwafanyia umafia katika mchakato wa kuwavua uanachama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Hanje apasua ‘jipu’ Mahakamani, awataja Mnyika na Mbowe uteuzi wake

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, ameshauri suala lao la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, lirudishwe ndani ya chama hicho, kwani kuendelea kuwepo...

Habari za SiasaTangulizi

Nusrat Hanje ashangaa Chadema kumteua mbunge kisha kumkataa hadharani

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai alikosa nafasi ya kujitetea kwa mdomo katika Baraza Kuu la Chadema, Ili kueleza viongozi wake waliomteua...

Habari za SiasaTangulizi

Mvutano waibuka mwenzake Mdee akihojiwa mahakamani, adai Wakili alimpania

  MVUTANO mkali umeibuka kati ya Wakili wa Chadema, Peter Kibatala na mleta maombi namba 11, Hawa Mwaifunga, kuhusu ajenda za kikao Cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi kupinga kufukuzwa Chadema: Kina Mdee kuendelea kuhojiwa mahakakani

  HAWA Mwaifunga, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Chadema (BAWACHA), Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022, anaendelea kuhojiwa...

error: Content is protected !!