Regina Mkonde – Page 5 – MwanaHALISI Online

Author Archives: Regina Mkonde

Lugumi maji ya shingo, asalimu amri

Said Lugumi (mwenye tai nyekundu) akitoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola baada ya mazungumzo

MFANYABIASHARA Said Lugumi amesalimu amri kwa kukubali kukamilisha kufunga mfumo wa mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole nchi nzima ndani ya miezi mine. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Lugumu ametakiwa ...

Read More »

Serikali kupanga bei elekezi ya madini

Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula

SERIKALI imesema itapanga bei elekezi ya madini ili kundoa urasimu wanaofanyiwa wachimbaji wadogo wakati wa uuzaji. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Hayo yalisemwa jana na Mwenyekiti wa Tume ya Madini, ...

Read More »

JWTZ wawaita madaktari kujiunga na jeshi

Msemaji Mkuu wa JWTZ, Kanali Ramadhani Dogoli

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini madaktari wa binadamu na fani nyingine za tiba. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Lugumi ajisalimisha kwa Kangi Lugola

Mfanyabiashara Said Lugumi (mwenye tai) akiwasili katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuonana na Waziri, Kangi Lugola

MFANYABIASHARA Said Lugumi ametelekeza agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kangi Lugola liliomtaka ajisalimishe ofisini kwake mara moja. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ya Jeshi la ...

Read More »

Mbunge mwingine Chadema ang’oka

20180731_094435

JINAMIZI la kukimbiwa na wabunge na madiwani linazidi kuitafuna Chadema, ambapo jana tarehe 30, 2018 Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kupitia chama hicho ametangaza kujivua uanachama na kuhamia chama tawala ...

Read More »

Msako wa mashine za EFD waendelea

images (2)

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itaendelea kufanya ukaguzi wa matumizi za mashine za kutolea risiti za kielektroniki (EFD), ili kuhakikisha kila mfanyabiashara anatoa risiti za EFD na kulipa kodi ...

Read More »

Waziri Ummy: Serikali isiwe kikwazo

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu

TAASISI za serikali zinazohusika na masuala ya ukaguzi na udhibiti wa bidhaa, zimetakiwa kutokuwa kikwazo kwa maendeleo ya wajasiriamali na ujenzi wa viwanda hapa nchini. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Agizo hilo ...

Read More »

Maalim Seif aichamba CCM

Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF. Picha ndogo Prof. Ibrahim Lipumba

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) sio chama cha kukimbilia.  Anaripoti Regina Kelvin …(endelea). Amesema, haoni sababu mtu mwenye msimamo ...

Read More »

Gonjwa hili, Ukimwi haugusi

1

UPUNGUFU wa Kinga Mwilini (Ukimwi) ndio unaoonekana kuwa tishio lakini Ugonjwa wa Homa ya Ini unatajwa kuuwa Ukimwi na hata Kifua Kikuu. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Jokate, Murro, Kafulila kumsaidia Rais Magufuli

DjMtj2IXcAUEmxX

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, ambapo amemteua Mwanamitindo, Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe huku aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila akimteua kuwa Katibu ...

Read More »

Zitto atoa neno zito kuondoka kwa Waitara

Zitto-Kabwe1

BAADA ya Mbunge wa Ukonga (Chadema) Mwita Waitara kutangaza kurudi CCM, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe  ametoa neno kuhusu hatua hiyo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kupitia ukurasa wake ...

Read More »

Chadema kwazidi kufukuta, Mbunge Waitara akimbilia CCM

DjL7vAMXcAI3bUq

KINYANG’ANYIRO cha uchaguzi mkuu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeanza kukimega chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mbunge wa Ukonga (CHADEMA), Mwita Mwaikabe Waitara, ameamua kuondoka ...

Read More »

Auawa kwa tuhuma za ujambazi

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

MTU mmoja anayefahamika kwa jina la Mussa Faustine (19) mkazi wa Bugarika wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, ameuawa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za ujambazi. Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube