Regina Mkonde – Page 4 – MwanaHALISI Online

Author Archives: Regina Mkonde

Wadau waitwa kutoa maoni miswada ya sheria

Stephen Kagaigai, Katibu wa Bunge

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi ya Kamati za Bunge. Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »

Waethiopia 25 washikiliwa Kilimanjaro

waethiopia 2

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia raia 25 wa Ethiopia waliongia nchini bila ya kufuata sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Waethiopia hao ambao tisa kati yao ni watoto ...

Read More »

Uganda kwazidi kuchafuka

_103096259_img_0631-copy

MTU mmoja amepoteza maisha na zaidi ya watu 100 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda, katika maandamano yaliyozuka kwa ajili ya kupinga kukamatwa kwa mbunge wa upinzani, Robert Kyagulanyi ...

Read More »

Dada wa Rais Magufuli afariki dunia

20180819_163050

MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini Mwanza alikokuwa anafanyiwa matibabu. Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »

CUF watoa msimamo madiwani wake kuhama

Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa CUF. Picha ndogo Prof. Ibrahim Lipumba

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake vya kitaifa hivi karibuni ili kujaza nafasi ...

Read More »

Polisi wawashikilia watu 68 kwa kuharibu miundombinu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu 68 kwa tuhuma za kufanya uharibifu wa miundombinu ya maji katika Kijiji cha Ngole kilichopo Kata ya Ilungu, Tarafa ya Tembela, Wilaya ...

Read More »

Naibu Meya wa Dar atimkia CCM

Mussa Kafana, Aliyekuwa Naibu Meya Dar es Salaam

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kafana ambaye ...

Read More »

Rais Magufuli aula SADC

Rais John Magufuli

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe ...

Read More »

Chadema wateua wa kupambana na Waitara, Kalanga

Kamati Kuu ya Chadema

CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Uteuzi huo umefanywa leo tarehe 17 ...

Read More »

‘Waraka wa mishahara serikalini uzingatiwe’

Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu)

SERIKALI imetakiwa kuhakikisha waraka wa mishahara unapitiwa kila baada ya miaka mitatu na kufanyiwa marekebisho kama inavyotakiwa kisheria ili kuhakikisha haki ya ujira stahiki na kuishi katika hali inayofaa zinazingatiwa. Anaripoti ...

Read More »

LHRC yafichua madudu mengine

20180816_131328

MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba kutoshirikiswa kwa wananchi katika mchakato wa utwaaji ...

Read More »

IGP Sirro apangua makamanda wa mikoa

IGP-SIRO

MKUU wa jeshi la polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ametangaza mabadiliko ya makamanda wa mikoa katika jeshi lake kwa kuhamisha baadhi huku na kupeleka kule. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). ...

Read More »

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

act

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili changamoto zinazokabili mfumo wa vyama vingi. Anaripoti ...

Read More »

Dk. Bashiru: Wabunge kujivua uanachama ni faida kwa Upinzani

Bashiru

DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga na chama chake, ni faida kwa vyama ...

Read More »

CCM wawarudisha Waitara, Kalanga

Waitara

KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kamati hiyo iliyoketi ...

Read More »

Afya ya Dk. Kigwangalla yaimarika

Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii (kulia) akizungimza na Naibu wake, Japhet Hasunga

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, amefanya mazoezi ya kupanda ngazi kwa ...

Read More »

Chadema kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM

Nyundo ya Hakimu

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Turwa, wilayani Tarime. ...

Read More »

Alichokifanya JPM hiki hapa

Rais John Magufuli

IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13 Agosti, 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Mbunge mwingine wa upinzani akimbilia CCM

Zubeir Kuchauka (katikati), Aliyekuwa Mbunge wa Liwale kwa tiketi ya CUF

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kuchauka ametangaza uamuzi huo leo tarehe ...

Read More »

Rais Magufuli afumua wakuu wa mikoa, wakurugenzi

DkeBmZVWsAEbS0u

RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu kubwa ya mabadiliko hayo yamelikumba Jiji la ...

Read More »

NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji na Uwezeshaji), Mhandisi Christopher Chiza

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika jana tarehe 12 Agosti, 2018. Anaripoti Regina ...

Read More »

Mambo yameiva Buyungu

20180812_123325

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wakazi hao wamejitokeza leo tarehe 12 ...

Read More »

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

maxresdefault-1

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama hicho, akisema kuwa hamahama hiyo itumike kama ...

Read More »

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

Julius Mtatiro

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). ...

Read More »

NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura

IMG_0257

IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36), Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ...

Read More »

Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani

skynews-mnangagwa-zimbabwe_4373989

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). MDC ...

Read More »

Chadema, NCCR-Mageuzi wapigwa ‘stop’ Tarime

b3

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hizo ...

Read More »

Lugola awageukia Polisi wanaobambikia watu kesi

Kangi Lugola, Waziri wa mambo ya Ndani. Picha ndogo wakati akiapishwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amehidi kufanya ziara za kushtukiza kwenye vituo vya polisi nchini ili kupambana na baadhi ya polisi wenye tabia ya kubambikizia kesi ...

Read More »

TEF, TFF wapinga wanahabari kushambuliwa

Waandishi wa habari wakiwa kazini

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumfungulia Mwanahabari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma mashitaka ya kuandamana bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). ...

Read More »

Mfumuko wa bei sasa ahueni

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo

MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua kutoka asilimia 3.4 mwezi Juni, 2018 hadi kufikia asilimia 3.3. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa leo tarehe ...

Read More »

Mbunge Chadema aliyekamatwa, atoka ‘sero’

DkJKNnwX4AAYCYA

JESHI la Polisi wilayani Tarime limewaachia kwa dhamana, Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko (Chadema) na Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Matiko ...

Read More »

Prof. Ndalichako aendeleza makali yake

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuvifungia vyuo visivyokidhi vigezo hasa vile vilivyowekwa chini ya uangalizi. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). ...

Read More »

Mange Kimambi ‘shujaa’ Afrika

Mange Kimambi siku aliyofanya maandamano ya kupinga vitendo vinavyofanywa kinyume na haki za binadamu

TUZO ya mwanamke mwenye ushawishi na mhamasishaji zaidi kisiasa Afrika imechukuliwa na Mange Kimambi, raia wa Tanzania. Anaripoti Regina Kelivin … (endelea). Waandiaaji wa tuzo hiyo wanaotambulika kwa jina la ...

Read More »

Rais Kabila akaa pembeni Urais DR Congo

Joseph Kabila, DR Congo

VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa Rais Joseph Kabila. Anaripoti Regina Kelvin … ...

Read More »

Polisi wasambaratisha mkutano wa Zitto Tarime

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe

JESHI la Polisi limezuia mkutano wa pamoja wa wabunge, Zitto Kabwe ( ACT), Upendo Peneza (Chadema) na John Heche (Chadema) wa kumnadi mgombea udiwani Chadema Kata ya Turwa wilayani Tarime. ...

Read More »

Serikali yaizuia mitambo ya kampuni ya madini

Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko

SERIKALI imeiagiza Tume ya Madini Tanzania, kuzuia mali na mitambo yote ya Kampuni ya Canaco inayomiliki leseni ya Uchimbaji Madini ya dhahabu, kutokana na kukiuka masharti ya leseni hiyo. Anaripoti ...

Read More »

Waganga wa kienyeji mbaroni Mwanza

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa kosa la kufanya shughuli za uganga wa kienyeji bila kibali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 8 ...

Read More »

Museveni kufanya ziara nchini

Yoweri Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda

YOWERI Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini ifikapo tarehe 9 Agosti 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Tanesco, REA wapigwa marufuku kuagiza vifaa nje

Makao Mkuu wa Tanesco, Ubungo Dar es Salaam kabla hayajavunjwa

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) limetakiwa kusitisha uagizaji wa viunganishi vya miundombinu ya umeme (Accessories) kutoka nje ya nchi ifikapo mwezi Novemba mwaka huu. ...

Read More »

Kangi Lugola azivaa kampuni za ulinzi

Kangi Lugola, Waziri wa mambo ya Ndani. Picha ndogo wakati akiapishwa

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa Kampuni binafsi za Ulinzi kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri pamoja na utoaji wa mishahara kabla ya ...

Read More »

NEC watangaza uchaguzi jimbo la Waitara

IMG_0257

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo tarehe 4 Agosti, 2018 imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo matatu na wa udiwani katika kata mbili za Tanzania Bara utakaofanyika Septemba ...

Read More »

Msafara wa Kigwangalla wapata ajali, mmoja afariki

20180804_094746-620x330

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amepata ajali alfajiri ya leo tarehe 4 Agosti, 2018 kwenye eneo la Magugu mkoani Manyara akiwa safarini akitokeaArusha kuelekea Dodoma. Anaripoti Regina ...

Read More »

Serikali yaendelea kulisakama TWAWEZA

Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA

SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya utafiti nchini, linalofahamika kwa jina la TWAWEZA, lidai kutishwa na vyombo vya serikali. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kutishwa kwa watendaji wa Twaweza, kumethibitishwa leo ...

Read More »

Mkurugenzi Twaweza anyang’anywa ‘Passport’

Aidan Eyekuze, Mkurugenzi Twaweza

MAOFISA wa Uhamiaji wamemnyang’anya Hati ya Kusafiria (passport) Mkurugenzi wa taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali Twaweza Aidan Eyekuze. Anaandika Regina Kelvin … (endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo katika ...

Read More »

Uongozi, Bodi Bank M wapigwa ‘stop’

Gavana wa BoT, Profesa Florens Luoga

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesimamiasha shughuli za Bodi ya Wakurugenzi na Uongozi wa Bank M. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). BoT imechukua hatua hiyo baada ya Benk M kushindwa ...

Read More »

Mbaroni kwa kujiteka jijini Mwanza

ACP Ahmed Msangi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza

Mfanyabiashara Prosper Peniel (26) mkazi wa Kwimba mkoani Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa kosa la kutoa taarifa ya uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana kwa lengo ...

Read More »

Serikali yawatangazia vita wanaotorosha madini

images (1)

SERIKALI imewatangazia vita watu wanaotorosha madini ya Tanzanite pamoja na wanaokwenda kinyume na matakwa ya sheria. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akizungumza jana tarehe 01 Agosti, 2018 wakati alipofanya ziara ...

Read More »

Spika Ndugai apokea barua ya Kalanga kujiuzulu

Job Ndugai, Spika wa Bunge

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amepokea barua ya kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiuzulu nafasi ya ubunge kwa aliyekuwa  Mbunge Jimbo la  Monduli, Julius Kalanga ...

Read More »

Mbaroni kwa kumchoma mtoto moto

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei

WATU wawili, Judith Amoni Mwansansu (39) Mkazi wa Mwanjelwa na Aive Alex Swalo (17) Mkazi wa Mwanjelwa Mtaa wa Soko wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kosa ...

Read More »

Kujiuzulu Meya Ilala, CUF pachimbika

_MG_0659

CHAMA cha Wananchi (CUF) kumewaka baada ya aliyekuwa Naibu Meya wa Ilaya anayetokana na chama hicho, Omary Kumbilamoto leo Agosti mosi, 2018 kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube