Author Archives: Regina Mkonde

Rais Magufuli awataka CWT kuchagua viongozi makini

RAIS wa Tanzania, John  Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha chama hicho, pamoja na kuondoa kero za ...

Read More »

‘Bosi’ MSD, mwenzake kortini tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itawafikisha mahakamani aliyekuwa mtendaji mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na mwenzake ...

Read More »

Waziri Ummy: Corona ipo

LICHA ya ripoti ya maambukizi ya virisi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kupungua nchini, ugonjwa huo haujaisha nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya leo ...

Read More »

Lwakatare: Ukishinda, usipotangazwa na NEC ni uzembe

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chadema, amekwenda kinyume na kiapo cha kustaafu siasa, kwa kurudi katika Chama cha Wananchi (CUF), alichokuwepo awali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam ...

Read More »

CUF yaeleza itakavyomtumia Lwakatare kuiangamiza Chadema

CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. ...

Read More »

HESLB yatoa bil.100 mikopo ya wanafunzi

BODI ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania, imetoa fedha za mikopo zaidi ya Sh. 100 bilioni, kwa wanafunzi 132,119, wanaotarajia kurejea vyuoni kuanzia tarehe 1 ...

Read More »

Takukuru yaanza kuichunguza Chadema, vigogo wahojiwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Polisi Tanzania yatoa sababu kuendelea kumshikilia Idris

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano, ni uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kutokamilika. Anaripoti ...

Read More »

Uhaba wa sukari wamuibua Dk. Bashiru, awataja mawaziri

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). Maelekezo hayo yametolewa leo Jumamosi tarehe 23 ...

Read More »

Tanzania yaanzisha maabara mpya ya corona

SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua hiyo ...

Read More »

Idris asota siku 5 rumande, Polisi warushiana mipira

IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi  cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais wa nchi hiyo, ...

Read More »

Kauli ya Mbowe, Zitto iliyomchefua Polepole, ataka wanyimwe kura

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe ndani kuepuka maambukizi ya corona (COVID-19), limemkera ...

Read More »

Polisi wapekua nyumbani kwa Idris, dhamana iko wazi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, imefanya upekuzi nyumbani kwa Msanii, Idris Sultani, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Mpango kuimarisha huduma watu wenye ulemavu uko mbioni

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

THRDC ‘yalilia’ vibali kushiriki uchaguzi mkuu, NEC yawajibu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020, kwa Asasi ...

Read More »

Tanzania yaruhusu ndege zote kutua, hakutakuwa na karantini

SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari  za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Tanzania ilisitisha safari za nje ...

Read More »

Rais Magufuli amtumbua Dk. Ndugulile, amteua Dk. Mollel

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Anaripoti Regina ...

Read More »

Tanzania yaingia siku 17 bila taarifa ya corona

TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Takukuru yawahoji wanasiasa walioanza kampeni

WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. ...

Read More »

Mbowe kuwaongoza wenzake kurejea bungeni leo

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea bungeni leo Ijumaa tarehe 15 Mei, 2020. ...

Read More »

Corona inavyowatesa wafanyabiashara kuelekea Sikukuu ya Eid

BAADHI ya Wafanyabiashara  katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameeleza namna janga la mlipuko wa virusi vya Corona, lilivyoathiri biashara zao. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Mlipuko ...

Read More »

Profesa Kabudi atoa sababu Rais Magufuli kutoshiriki vikao vya marais

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amesema Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo  Kusini ...

Read More »

Sukari yaendelea kuadimika

KUADIMIKA kwa bidhaa ya sukari katika baadhi ya maeneo Dar es Salaam nchini Tanzania, kumeendelea kuathiri wakazi na wafanyabiashara jijini humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Upatikanaji wa bidhaa ...

Read More »

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne ...

Read More »

Spika Ndugai ashauri msajili kuitupia macho Chadema

LICHA ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwavua uanachama wabunge wake wanne, kwa kutotii maagizo ya chama hicho, Spika wa Bunge nchini humo, Job ...

Read More »

Vyama 11 vya siasa Tanzania vyataka uchaguzi usogezwe mbele

JANGA la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19), limeathiri shughuli za vyama vya siasa katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 25 ...

Read More »

Chadema yafukuza wabunge wanne, wengine 11 kikaangoni

WABUNGE wanne kati ya 15 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka karantini kwa siku 14, wametimuliwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Janga la Corona: NIMR yatafiti chanzo vifo wenye magonjwa sugu

TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini (NIMR) nchini Tanzania, inafanya utafiti kubaini chanzo cha watu wenye magonjwa sugu, kuathirika zaidi na ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa ...

Read More »

Prof. Kabudi atoa utaratibu wa dawa ya corona kutoka Madagascar 

SERIKALI ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi dawa za kinga na kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosabaishwa na virusi vya corona (COVID-19), ilizopewa na Serikali ya Madagascar, kabla ya ...

Read More »

Bosi KADCO afariki dunia

MHANDISI Christopher Mukoma, Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO), amefariki dunia leo Ijumaa tarehe 8 Mei 2020, kutokana na tatizo la shinikizo la ...

Read More »

Wanafunzi waliosimamishwa UDSM, mikononi mwa baraza la nidhamu

HATIMA ya wanafunzi watano wakiwemo viongozi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) kuendelea na masomo au kufukuzwa iko mikononi mwa baraza la nidhamu la ...

Read More »

Mkasa wa kusisimua wa Dk. Lamwai usioujua

KIFO cha Dk. Masumbuko Roman Lamwai, kilichokea usiku wa Jumatatu tarehe 4 Mei 2020, kimewatoa machozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaandika Regina Mkonde, Da es Salaam … (endelea). Dk. Rugemeleza ...

Read More »

Wabunge walioko Dar watakiwa kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewataka wabunge waliokaidi agizo la kurejea bungeni jijini Dodoma ndani ya masaa 24, kujisalimisha Ofisi ya Upelelezi ya kanda ...

Read More »

Wabunifu mavazi Tanzania wajitosa vita ya corona

CHAMA kinachoshughulikia na masuala ya ubunifu wa mavazi, Fashion Association of Tanzania (FAT), kimejitosa katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). ...

Read More »

ACT-Wazalendo waanza kuwashughulikia CCM

MAJIMBO yanayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yapo kwenye meza ya viongozi na makada wa Chama cha ACT-Wazalendo huku kila mmoja akieleza anataka lipi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

David Silinde ajiuzulu

DAVID Silinde, Mbunge wa Momba, Songwe kupitia Chadema ametangaza kujizulu nafasi ya katibu wa wabunge wa chama hicho kuanzia jana Jumatatu tarehe 4 Mei 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Corona: Ni hekaheka Maabara ya Taifa

DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma zilizotolewa na Rais John Magufuli. Anaripoti Regina ...

Read More »

Mazishi ya usiku yamshtua Zitto

WAKATI Serikali ya Tanzania ikipiga marufuku utaratibu hasi wa mazishi ya usiku katika Halmashauri kadhaa nchini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kutimiza wajibu wake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Wagonjwa wa Corona wafikia 147, Dar hali tete 

SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Akitoa taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Janga la Corona:Tanzania yazuia safari za ndege kimataifa

SERIKALI ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TCAA), imefuta safari za ndege za abiria za kimataifa, huku ikiweziwekea masharti ndege za mizigo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Wenye magonjwa haya, hatarini kufa kwa Corona

WATU wanaosumbuliwa na magonjwa sugu pamoja na unene uliopitiliza wako hatarini kupoteza maisha, kutokana na Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Pasaka ni kukaa ndani

SHEREHE ya Sikukuu ya Pasaka sasa itafanyika tofauti, ni baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupika marufuku sehemu za mikusanyika zilizozoeleka. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Watanzania wabuni kifaa cha kutambua homa kali

KAMPUNI ya Emotec, inayomilikiwa na Mtanzania imebuni mfumo wenye uwezo wa kutambua mtu mwenye homa kali ikiwemo muathirika wa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya muda mfupi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Corona: Chadema yaiangukia serikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimeiomba serikali kutoa taarifa za kina zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya ...

Read More »

Maambukizi Corona yamshtua mbunge wa Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameishauri serikali kutengeneza mikakati ya dharura ya kukabili mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Adha ya usafiri Dar: Bajaji, bodaboda zaruhusiwa kuingia mjini

PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, ...

Read More »

Dk. Bashiru ataka vyama vya siasa kumaliza tofauti

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia vyombo husika ikiwemo Baraza la Vyama vya Siasa, kumaliza tofauti zao. Anaripoti Faki Sosi, ...

Read More »

Wagonjwa wa corona Tanzania waongezeka

IDADI ya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na  Virusi vya Corona (COVID-19), nchini Tanzania wamefika 19. Inaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 30 Machi 2020 na ...

Read More »

Shamte afariki dunia

SALUM Shamte, Mkurugenzi wa zamani wa Kampuni ya Katani Limited, amefariki dunia afajiri ya leo tarehe 30 Machi 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alikokuwa anapatiwa matibabu. Anaripoti Regina ...

Read More »

Nani kampa sumu Mangula? Hakuna jibu

NANI aliyempa sumu Mzee Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Ni swali ambalo halijapatiwa majibu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hata hivyo, Jeshi la Polisi limewataka ...

Read More »
error: Content is protected !!