Author Archives: Regina Mkonde

Rais Magufuli azindua mahakama inayotembea

RAIS John Magufuli amezindua huduma ya mpya ya mahakama inayotembea barabarani ili kurahisisha huduma ya upatikanaji wa haki. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Magufuli amezindua huduma hiyo leo tarehe ...

Read More »

Wananchi walazimishwa kuchukua fedha zao

SERIKALI imetoa wiki moja kwa wananchi wa Nyamongo mkoani Mara waliohamishiwa makazi yao kwa ajili ya kupisha shughuli za uchimbaji madini katika mgodi wa North Mara unaomilikiwa na kampuni ya ...

Read More »

Kuelekea 2020: Ndugai aanza kumpigia chapuo Rais Magufuli

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, ameanza kampeni ya kumnadi Rais John Magufuli. Ameagiza kuandaliwa muswada wa Bima ya Afya kwa wote, kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti ...

Read More »

Wananchi watakiwa kupima afya zao mara kwa mara

IKIWA leo tarehe 4 Februari 2019 dunia inaadhimisha siku ya saratani, serikali imeendelea kusisitiza wananchi kupima afya zao ili kukabiliana na ugonjwa huo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wito huo ...

Read More »

Spika Ndugai: Nilimchapa viboko mpinzani wangu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, amekiri kumshambulia kwa fimbo Dk. Joseph Chilongani, ambaye aliyekuwa mmoja wa washindani wake wenye nguvu wakati wa kinyang’anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea ...

Read More »

Sugu amshauri Rais Magufuli kumhamisha RC wa Mbeya

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kama angepata nafasi ya kumshauri Rais John Magufuli, angemshauri kumteua aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkuu wa ...

Read More »

Mufti wa Tanzania afiwa na mkewe

MUFTI wa Tanzania, Aboubakar Zubeir amefiwa na mke wake mkubwa anayefahamika kwa jina la Mama Shafi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ya kifo hicho imetolewa leo tarehe 30 Jnauari ...

Read More »

DC, RC wamkera Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amevunja ukimya kuhusu vitendo vya baadhi ya wakuu wa wilaya na mikoa kuwaweka rumande raia. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uapisho wa majaji ...

Read More »

Viongozi wa dini wavutana mbele ya Rais Magufuli

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mchungaji Amani Lyimo amevutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuhusu usajili wa makanisa hapa nchini. ...

Read More »

Askofu: Mivutano ya dini na serikali iangaliwe

KUMEKUWEPO na mifutano baridi kati ya taasisi za dini na serikali hasa katika utoaji wa huduma za kijamii jambo ambalo linasababisha kuwepo kwa taswira hasi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Kilio uvunjwaji msikiti UDOM chafikishwa JPM

KILIO kinachotokana na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuamuru kuvunjwa kwa msikiti uliokuwa ukijengwa kwa ajili ya ibada ya waumini wa Dini ya Kiislam, kimefikishwa kwa Rais John Magufuli. ...

Read More »

Askofu Gwajima amfananisha Rais Magufuli na Nabii

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima amemfananisha Rais John Magufuli na Nabii. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akichangia hoja katika mkutano wa wadau wa sekta ...

Read More »

Kigogo CUF asota rumande

MJUMBE wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF Taifa, Abdallah Khatau leo amefikisha siku ya tano akiwa rumande huku polisi wakigoma kumpa dhamana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Licha ya ...

Read More »

JPM akabidhiwa mfumo wa kusimamia mawasiliano, atoa maagizo

RAIS John Magufuli leo tarehe 18 Januari 2019 amekabidhiwa rasmi Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) unaosimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ambao ulianza kufanya kazi tangu ...

Read More »

Spika Ndugai alia na Zitto

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ni mwanasiasa anayemsumbua Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na spika mwenyewe leo tarehe 17 Januari 2019 ...

Read More »

Sera za Lissu Ulaya hizi hapa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki yupo ziarani Ulaya na sasa ameanza kueleza sera zake pale atakapochaguliwa na Watanzania kuwa rais wao. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Lissu akitokea Ubelgiji ...

Read More »

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa Kenyatta

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ametuma salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia shambulizi la kigaidi lililopoteza maisha ya watu ...

Read More »

Tanzania, Kenya zaungana kulinda rasilimali za mipakani

SERIKALI ya Kenya na Tanzania zimeungana kwa pamoja kulinda rasilimali za asili zilizoko katika mipaka ya nchi hizo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii ...

Read More »

Rais Shein ajigamba kupunguza utegemezi Z’bar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Shein amesema utegemezi wa fedha katika bajeti ya serikali yake umepungua kutoka asilimia  30 alipoingia madarakani hadi kufikia asilimia 5.1 kwa ...

Read More »

Rais Magufuli agoma kuzungumza na wapinzani

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, “amegoma” kuzungumza na vingozi wenzake wa vyama vya siasa, akidai kwamba “waweza kumteketeza.” Anaripori Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza wakati wa hafla ya ...

Read More »

Rais Magufuli akabidhi ndege zake kwa ATCL

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameagiza ndege mbili kati ya tatu zilizo chini yake, kukabidhiwa kwa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ili zianze kubeba ...

Read More »

Kada BAVICHA atoweka, Chadema wahaha kumsaka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa wito kwa Jeshi la Polisi, vyombo vya dola na wananchi kumtafuta Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) wilayani Ilala, Michael Kapama ...

Read More »

JPM atema nyongo, asema ‘sitoacha kutumbua’

SIKU moja baada ya kufanya mabadiliko madogo serikalini, Rais John Magufuli amesema kuwa, hatokoma kuteua viongozi wapya na au kutengua uteuzi wa viongozi wanaokwenda kinyume na utekelezaji wa majukumu yao ...

Read More »

Spika Ndugai awaombea likizo mawaziri, JPM amgomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaombea likizo mawaziri na manaibu waziri kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Spika Ndugai ametoa maombi ...

Read More »

Rais Magufuli apangua tena serikali yake

RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko madogo katika serikali yake. Ameteuwa waziri mmoja mpya; amehamisha mwingine na ameteuwa makatibu wakuu wapya. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa ...

Read More »

Tanzania wasaka soko la korosho Algeria

SERIKALI imefanya mazungumzo na Algeria kuhusu masuala ya diplomasia ya kiuchumi, ambapo nchi hiyo imeonyesha nia ya kutaka kununua korosho za Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na vyombo ...

Read More »

Spika Ndugai, ang’ang’aniwa mithili ya mpira wa kona

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), wamekosoa kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutaka Prof. Mussa Assad, kuhojiwa mbele ya ...

Read More »

Abdul Nondo arudishwa rasmi UDSM

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimemrudishia hadhi ya uanafunzi Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo baada ya kuondolewa chuoni hapo kutokana na kukabiliwa na kesi mahakamani. ...

Read More »

Prof. Safari aongoza jopo la mawakili kuikoa Chadema

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tanzania Bara, Prof. Abdallah Safari, sasa atakuwa amejitosa rasmi kuokoa chama chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Prof. Safari ambaye ni ...

Read More »

Bulaya amvaa tena Rais Magufuli, amwambia hajamaliza kazi

BAADA Ya Rais John Magufuli kufuta kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya watumishi wa umma iliyotokana na Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma Na. ...

Read More »

Ester Bulaya amtaka ‘waziri wa kikokotoo ang’oke’

MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amemtaka Rais John Magufuli kumfukuza kazi Waziri wa Sera, Bunge, Ajira, Vijana, na Walemavu, Jenista Mhagama, kwa sababu ya kutunga kanuni mpya ya kikokotoo ...

Read More »

Jicho la Rais Magufuli lahamia kwa wastaafu hewa

RAIS John Magufuli amewataka watendaji katika mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la orodha ya majina ya wastaafu, ili kuondoa mapungufu yaliyopo pamoja na kudhibiti uwepo wa wastaafu hewa. ...

Read More »

Magufuli asalimu amri kwa wafanyakazi

HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya wastaafu nchini.Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kabla ...

Read More »

Rais Magufuli kukata mzizi wa fitina kikokotoo cha mafao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini, watendaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii ...

Read More »

Fastjet, serikali sasa hapatoshi

SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea). Taarifa kutoka ndani ya serikali zinasema, mamlaka ...

Read More »

Makonda: Bila Neno la Mungu, Magereza, polisi hawatatosha

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Amesema kuwa, gharama za kujenga uzio mkubwa, ...

Read More »

Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani

LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko, majonzi kulingana na hali ilivyo kwa sasa. ...

Read More »

Mahakama yamzua Lipumba kukomba ruzuku

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Sumaye: Muswada wa siasa ukiachwa utawatafuna mpaka CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani limetaka serikali kuuondoa muswada wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni, kwa sababu unakiuka katiba kwa kuwa baadhi ya vifungu vyake vinaua demokrasia ya ...

Read More »

Chadema waomba uhakiki wa daftari, Tume Huru

CHAMA cha Chadema Kanda ya Pwani kimeikumbusha serikali kufanya uhakiki wa daftari la kupiga kura kwa muda muafaka ili kila mpiga kura apate haki ya kuandikishwa. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Sumaye awachonganisha CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani kimetoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua watu walioanzisha mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya au wanaokwamisha mchakato huo, likidai kuwa uamuzi huo umepoteza ...

Read More »

Ndugu wa Rostam Aziz afutiwa mashitaka

NDUGU wa mfanyabiashara mashuhuri nchini, Rostam Aziz, anayefahamika kwa jina la Akram Aziz, amefutiwa mashitaka na serikali. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akram alifunguliwa mashitaka mahakamani tarehe 31 Oktoba mwaka ...

Read More »

Rais Magufuli ahimiza kukusanywa kodi ili kulipa madeni

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amewahimiza wananchi kulipa kodi ili kuiwezesha serikali kulipa mikopo inayokopa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ...

Read More »

Kesi ya Mbowe: Chadema yalia na JPM, AG, DPP

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaimani kuwa, kuzuiwa kwa dhamana ya Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini kinakwenda kinyume na taratibu za kimahakama. Anaandika ...

Read More »

Magufuli: Lowassa ni ‘Super Man,’ wengine wataishia magerezani

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ametajwa kuwa ni miongoni mwa wanasiasa wanaofaa kuigwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Ndalichako azichongea taasisi za Elimu ya Juu kwa JPM

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kufyekelea mbali ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma katika taasisi za elimu ya juu nchini. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Visa za kielektroni zaingiza bil. 7 kwa mwaka

SERIKALI imeingiza zaidi ya Sh. 7 Bilioni kutokana na malipo ya hati mpya za kusafiria na vibali vya ukaazi kwa njia ya kielektroniki (E-Visa & E-Permit). Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Balozi Mahiga awatwisha mzigo maofisa wake

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga amewahimiza maafisa wa wizara yake waliopo nje ya nchi kutafuta wawekezaji, ili waje kuwekeza Tanzania. Anaripoti Regina ...

Read More »

Tigo Fiesta yahairishwa

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Tigo Fiesta 2018 imesitisha tukio la kilele cha msimu wa tamasha hilo lililopaswa kufanyika leo tarehe 24 Novemba 2018. Anaripori Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi wa PBPA

DAKTARI Lutengano Mwakahesya ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube