Friday , 29 March 2024
Home upendo
1837 Articles230 Comments
Habari Mchanganyiko

Kanuni mtandaoni kufumuliwa, TCRA yaita wadau

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewakaribisha Watanzania, kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018, ili...

Habari za Siasa

Matiko aibua hoja mpya miradi ya maji

  MBUNGE asiye na chama, Esther Matiko amelishauri Bunge liunde kamati maalum kwa ajili ya kuchunguza miradi ya maji yenye harufu ya ubadhirifu. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

MCT, TEF yamwangukia Rais Samia

  BARAZA la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, iondoe sheria zote...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali kuajiri walimu 6,949, wataalamu afya 2,726

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa kada mbalimbali za sekta ya afya....

Habari za SiasaTangulizi

Wazee Chadema wamweka mtegoni Rais Samia

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeishauri  Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanye marekebisho ya Katiba ili nchi...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nitateua yoyote bila kujali chama anachotoka

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika serikali yake, atateua mtu yeyote mwenye uwezi kutoka chama chochote cha siasa ili kujenga...

HabariHabari Mchanganyiko

Tunaomba uwakilishi bungeni, matibabu ya afya- Wazee Dar

  WAZEE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ianzishe utaratibu wa kundi hilo kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake 18 wamtesa Ndugai

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na ‘mashambulizi’ yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua...

Habari za Siasa

‘Wafadhili wa miradi ya maji wapunguziwe kodi’

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuwapunguzia mzigo wa kodi wafadhili wa miradi ya maji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).  Ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Kenya kuna Uhuru, Tanzania kuna Suluhu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia mazingira mazuri wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania, akisema upande mmoja kuna uhuru wa kufanyabiashara na...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wasukwa kuwang’oa Mdee, wenzake

  MAKAKATI umeanza kusukwa ili kuhakikisha Halima Mdee na wenzake 18, wanang’olewa bungeni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mkakati huo...

Habari Mchanganyiko

Kitabu ‘Safari ya Maisha Yangu’ cha Mzee Mwinyi kuzinduliwa

  MZEE Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, anatarajia kuzindua tawasifu kuhusu maisha yake, Jumamosi ijayo tarehe 8 Mei...

Habari za SiasaTangulizi

Mei Mosi: Mambo 11 aliyosema Rais Samia

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewahutubia kwa mara ya kwanza, wafanyakazi na kutoa ahadi mbalimbali zenye kurejesha tabasamu miongoni mwao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia atangaza ajira mpya 40,000

  SERIKALI ya Tanzania, ametangaza ajira mpya 40,000 na kupandisha vyeo watumishi 90,000 katika mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Kodi ya mishahara yashushwa 1%

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepunguza Kodi ya Mshahara (PAYE), kutoka asilimia tisa hadi nane. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu, Mathew wajiunga CCM, Rais Samia asema…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo baada ya kuondokewa na wenyeviti wawili wa kanda na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: JPM amekiacha chama pazuri

  KAIMU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rodrick Mpogolo, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Hayati Dk. John Magufuli, amekiwezesha chama...

Habari Mchanganyiko

Bil 278.8 zatengwa kumaliza marufiko Mto Msimbazi

  SERIKALI imeeleza itatumia Dola za Marekani milioni 120 (Sh. 278.8 Bil), kwa ajili ya kutatua changamoto ya mafuriko yanayotokana na Bonde la...

Habari Mchanganyiko

Muswada sheria uvunaji viungo vya binadamu kutua bungeni

  SERIKALI ya Tanzania imesema, inaandaa muswada wa sheria ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo vya binadamu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Bunge lahofia ukame, Spika atoa agizo

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara na Mazingira, limeonya uwezekano wa kutokea ukame nchini Tanzania, kufuatia kukithiri kwa vitendo vya ukataji...

Habari MchanganyikoTangulizi

40 Magufuli, Pengo ampa zawadi Mama Janeth

  JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, leo Jumanne, tarehe 27 Aprili 2021, amefikisha siku 40, tangu alipofariki dunia 17 Machi 2021....

Habari za Siasa

Fedha za sherehe za Muungano kugawanywa

  RAIS wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, ameagiza fedha zilizopangwa kufanya sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la kufukuzwa Chadema: Kishoa ajichanganya bungeni

  JESCA Kishoa, mbunge wa Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), ameuthibitishia ulimwengu, kuwa kuwako kwake bungeni, ni kinyume na amefutwa uanachama katika Chama...

Habari za Siasa

Rais Samia aonya wanaotumia mitandao ya kijamii kuchonganisha

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameonya Watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii kuchonganisha watu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania...

Habari za Siasa

Ikosoeni serikali – Rais Samia

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Awamu ya Sita wa Tanzania, amewataka wabunge kuikosoa serikali yake, pale inapofanya vibaya. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Rais Samia kukutana na wapinzani

  RAIS wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, amesema anapanga kukutana na viongozi wa vyama vya siasa, ili kujadili namna ya kuiendesha...

Habari za Siasa

Rais Samia kung’oa vikwazo vya uwekezaji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kufanya marekebisho kadhaa katika sera na sheria sambamba na kuondoa vikwazo katika kukuza uwekezaji. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Askofu Shoo, Dk. Lwaitama wamkingia kifua Rais Samia

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo na Dk. Azaveli Lwaitama, wamewaomba Watanzania wampe muda Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi 6

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi sita wa taasisi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi huo umetangazwa leo Jumatano,...

Habari Mchanganyiko

Akaunti za benki THRDC zafunguliwa

  AKAUNTI za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), zilizofungwa Agosti 2020, zimefunguliwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari MchanganyikoMichezo

Sakata la Hamornize: Polisi ‘Ole wenu wasanii’

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekemea tabia ya wasanii kuvunja sharia hasa kusambaza picha za utupu. Anaripoti Regina...

Tangulizi

Dk. Hoseah aomba kukutana na Rais Samia

  DAKTARI Edward Hoseah, Rais mpya wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), ameomba kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kujadili namna...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Hoseah, wenzake waapishwa TLS

  DAKTARI Edward Hoseah, ameapishwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), akimrithi Dk. Rugemeleza Nshala, aliyemaliza muda wake. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Dk. Hoseah atakiwa kulinda heshima TLS

  DAKTARI Rugemeleza Nshala, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika aliyemaliza muda wake, amemtaka mrithi wake, Dk. Edward Hoseah, ailinde heshima ya...

Habari Mchanganyiko

THRDC: Vyama vya siasa vijifunze TLS

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeishauri Serikali nchini humo na vyama vya siasa, kuiga mfano wa Chama cha...

Habari Mchanganyiko

Alichokisema Dk. Hoseah baada ya kushinda urais TLS

DAKTARI Edward Hoseah, Rais Mteule wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema, uchaguzi wa nafasi hiyo ulikuwa na ushindani mkubwa na Watanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Hoseah ashinda urais TLS

  DAKTARI Edward Hoseah, ameibuka mshindi wa urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS). Anaripoti Regina Mkonde, Arusha … (endelea). Uchaguzi huo,...

Habari za SiasaTangulizi

TLS waanza kumsaka rais wao

  WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wameanza kujitokeza katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa ngazi za juu za...

Habari Mchanganyiko

Rais TLS: Atayechaguliwa asimame imara

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) anayemaliza muda wake, Dk. Rugemeleza Nshala, amesema mgombea yeyote atayechaguliwa kuwa rais wa chama...

Habari Mchanganyiko

Vuta nikuvute uchaguzi TLS

WANACHAMA wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wamewachambua wagombea urais wa chama hicho kwa mwaka 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Arusha … (endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Hoseah: Wakiniacha nitawashangaa

  DAKTARI Edward Hoseah, Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema atashangaa wanachama wa chama hicho wasipomchagua, kwani anawafaa katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

TLS, wagombea urais wavutana

  WAKATI baadhi ya wagombea wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), wakijinadi kuthibiti mapato na matumizi  kwenye chama hicho, Kaleb Gamaya ambaye...

Habari Mchanganyiko

Kero Jangwani, Dar kumalizwa hivi

  KERO ya kujaa maji eneo la Jangwani, Dar es Salaam ambapo husababisha adha kubwa ya usafiri kwa wananchi, ipo mbioni ‘kutibiwa.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Chadema wabisha hodi Ikulu

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kimemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kuomba kukutana naye....

Habari za Siasa

Chadema kuanza operesheni nchi nzima

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinakusudia kuanza operesheni nchi nzima. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na Watanzania kupitia mitandao...

Habari za Siasa

Zitto aanza kufukua makaburi

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Taifa linalipa gharama ya kuendesha nchi gizani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Zitto...

Habari za Siasa

CAG abaini ubadhirifu bilioni 23.8 h/mashauri 59, atoa maagizo Takukuru

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini ubadhirifu wa Sh.23.8 bilioni, katika halmashauri 59. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Uhuru wa habari: THRDC yamwangukia Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kufanyia kazi uamuzi uliotolewa na mahakama za kitaifa...

HabariTangulizi

CAG: Taasisi 10 zimepata hati mbaya, 81 zenye shaka

  RIPOTI za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka 2019/20, zimewasilishwa bungeni jijini Dodoma huku taasisi kumi zikipata...

Habari za Siasa

Samia atoa msimamo kuhusu corona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, ataunda kamati maalum ya kufanyia utafiti ugonjwa wa maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19) kwani...

error: Content is protected !!