KAMANDA wa Polisi wa Kinondoni (RPC), Ramadhan Kingai ambaye ni shahidi namba 2 upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili kiongozi wa chaa...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chaa kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021WAZIRI wa Nishati, January Makamba, amepewa jukumu la kutatua changamoto za sekta ya nishati hasa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeSeptember 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema amemteua Dk. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, ili kuvunja...
By Regina MkondeSeptember 13, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeridhia ombi la mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeSeptember 10, 2021UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi Na. 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeSeptember 10, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameendelea kufanya mabadiliko madogo ya uongozi wa chama hicho, kwa kutengua uteuzi wa...
By Regina MkondeSeptember 9, 2021KESI ya jinai inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, sasa itaanza kusikilizwa...
By Regina MkondeSeptember 8, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameagiza Serikali za Vijiji zitenganishe maeneo ya wafugaji na wakulima, ili kudhibiti migogoro inayopoteza maisha ya...
By Regina MkondeSeptember 7, 2021WAFUGAJI nchini Tanzania, wameioomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, itatue changamoto zinazowakabili, ikiwemo mifugo yao kushikiliwa na hifadhi ya wanyamapori kinyume...
By Regina MkondeSeptember 7, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeibua dosari katika sheria ya kuzuia...
By Regina MkondeSeptember 6, 2021JAJI Elinaza Luvanda, aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 6, 2021ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewaomba Watanzania wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan, katika mkakati wake wa kutangaza...
By Regina MkondeSeptember 5, 2021HATMA ya kusikilizwa ama kutosikilizwa kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi iliyoko katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021MAWAKILI wanawake 40 kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamepewa mafunzo ya kuendesha kesi zenye maslahi ya umma ‘kesi zakimkakati’ na Mtandao wa Watetezi...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021KESI ya ugaidi, inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, imepangwa kusikiliza Ijumaa wiki hii. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021MAWAKILI wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika kesi ya kula njama za kufanya ugaidi, wameweka pingamizi kwa Mahakama Kuu...
By Regina MkondeAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili...
By Regina MkondeAugust 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi manne katika kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akipinga utaratibu uliotumika kumkamata...
By Regina MkondeAugust 30, 2021ASKARI Polisi wawili kati ya watano, waliojeruhiwa katika tukio la mauaji ya watu wanne, lililotokea karibu na Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeAugust 26, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeviomba vyombo vya ulinzi na usalama nchini viunde tume huru ya uchunguzi, ili...
By Regina MkondeAugust 26, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo, lifanye uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu...
By Regina MkondeAugust 25, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limezindua mwongozo wake wa utendaji kazi (PGO), baada ya kuufanyia marekebisho ili kuongeza ufanisi. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeAugust 25, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi matatu katika kesi Na. 14/2021, iliyofunguliwa na Odero Charles Odero, kupinga makato ya tozo ya miamala ya...
By Regina MkondeAugust 25, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi amewaagiza mapadre wote wa jimbo hilo kupata chanjo...
By Regina MkondeAugust 24, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amewataka Watanzania wapuuze maneno yanayotolewa na baadhi ya...
By Regina MkondeAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameanza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,...
By Regina MkondeAugust 23, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mabadiliko madogo ya wakurugenzi wa chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeAugust 23, 2021UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha...
By Regina MkondeAugust 23, 2021UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu...
By Regina MkondeAugust 23, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania dhidi ya chanjo ya ugonjwa wa corona, akisema kwamba ni salama kwani inasaidia...
By Regina MkondeAugust 22, 2021ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, Lusubilo Mwakabibi, amefunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Regina MkondeAugust 20, 2021SHIRIKA lisilo la kiserikali la Legal Services Facility (LSF), limezindua mpango mkakati wa pili wa miaka mitano, utakaochagiza upatikanaji haki kwa makundi...
By Regina MkondeAugust 20, 2021SERIKALI ya Tanzania, imekusanya zaidi ya Sh.68 bilioni, kupitia tozo ya miamala ya simu na mafuta. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeAugust 20, 2021UONGOZI Mkoa wa Dar es Salaam, umeanzisha utaratibu wa kutoa chanjo ya virusi vya corona (UVIKO-19), kwa wananchi wote walio tayari kupata huduma...
By Regina MkondeAugust 19, 2021KIONGOZI wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,...
By Regina MkondeAugust 13, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa tarehe 13 Agosti 2021, inasikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu...
By Regina MkondeAugust 13, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kimeanza taratibu za kuwachukulia hatua makada wake wanaokwenda kinyume na misimamo ya chama...
By Regina MkondeAugust 11, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kulifungia kwa siku saba Gazeti lake la Uhuru kuanzia leo Jumatano, tarehe 11...
By Regina MkondeAugust 11, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema, kitachukua hatua kali dhidi ya watumishi wa gazeti la Uhuru kwa kuandika habari...
By Regina MkondeAugust 11, 2021WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), umewahimiza wananchi kutumia mfumo wa kielektroniki wa utoaji vyeti, badala ya kuwatumia vishoka ambao wanasababisha...
By Regina MkondeAugust 11, 2021VYOMBO vya Habari nchini Tanzania, vimetakiwa kufuata miongozo na sera zilizowekwa na Serikali na taasisi binafsi, kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya...
By Regina MkondeAugust 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wanasiasa nchini humo kufanya siasa za maendeleo, badala ya kufanya siasa za fujo na vurugu....
By Regina MkondeAugust 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba Watanzania na ulimwengu kwa ujumla, kusubiri maamuzi ya mahakama dhidi ya mashtaka yanayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeAugust 9, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Said, amesema watoto wadogo hawaathiriki sana na Ugonjwa...
By Regina MkondeAugust 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeombwa itangaze matukio ya ukatili katika ndoa hasa mauaji yanayosababishwa na wivu wa mapenzi, kuwa ni janga la kitaifa....
By Regina MkondeAugust 7, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ifanye marekebisho katika Sheria na sera zinazosimamia masuala ya majanga ili...
By Regina MkondeAugust 7, 2021WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na mlipuko wa Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kudhibiti athari zake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeAugust 7, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuharakisha taratibu za...
By Regina MkondeAugust 6, 2021