Author Archives: Regina Mkonde

Fatma Karume ang’olewa TLS, asema…

KAMATI ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta na hatia, Fatma Karume ya kukiuka maadili ya uwakili hivyo kuamlu jina lake (namba 848) kuondolewa katika orodha ya mawakili wa Chama cha ...

Read More »

Lissu, Membe mambo magumu

USHIRIKIANO kati ya Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania Bara kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Bernard Membe wa Chama cha ACT-Wazalendo, upo njia panda. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Chanzo ajali ya Chadema hiki hapa

GARI lililowabeba baadhi ya maofisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupata ajali katika eneo la Msoka, Kata ya Ngogwa iliyopo kwenye Jimbo la Masalala, Shinyanga ni kupasuka ...

Read More »

ZEC yawaengua wagombea 15 Uwakilishi, 11 wa ACT-Wazalendo

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaengua wagombea 15 wa uwakilishi na saba wa udiwani, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukiuka masharti ya ujazaji fomu za uteuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Wagombea ...

Read More »

Jacob ajinadi Ubungo, agusia ushirikiano Chadema na ACT-Wazalendo

BONIFACE Jacob, Mgombea Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, wako tayari kuachiana maeneo ya uchaguzi, kama watapata maelekezo ya viongozi wa chama chake kuhusu ushirikiano ...

Read More »

Chadema: Hatumchukii Magufuli, ila…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimeeleza hakina tatizo na Rais John Magufuli, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bali sera zake. Anaripoti Regina ...

Read More »

Magufuli awashangaa wanaompinga Dk. Mpango jimboni

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), RAIS John Pombe Magufuli amewashangaa watu wanaompinga Dk. Phillip Mpango katika Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Mgombea urais NCCR-Mageuzi kugawa bure taulo za kike shuleni

YEREMIA Kulwa Maganja, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ameahidi kugawa taulo za kike ‘Pad’ bure katika shule zote, atakapofanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020.Anaripoti ...

Read More »

Msaidizi wa Membe anashikiliwa polisi tuhuma za utakatishaji fedha

JEROME Luanda, Msaidizi wa Bernard Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo anashikiliwa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam tuhuma za utakatishaji fedha. Anaripoti Regina ...

Read More »

NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Profesa Lipumba: Tukipoteza uchaguzi huu, tutajuta

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wananchi wakishindwa kuutumia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kuleta mabadiliko, watajuta kuipoteza nafasi hiyo. Anaripoti ...

Read More »

Muro wa NCCR-Mageuzi aahidi kuibadili Kinondoni

MUSTAFA Muro, Mgombea Ubunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, ameahidi kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo hilo, endapo watamchagua katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Lissu atikiswa, chopa yake yagomewa

HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

TMA yatabiri mvua hafifu mikoa 16 Tanzania

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mikoa 16 itakayopata mvua za vuli chini ya wastani hali itakayosababisha ukame katika maeneo hayo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Membe afichua kitakachoiua CCM

BERNARD Membe, mgomeba urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ametaja kitachoiua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, sumu kubwa iliyopandwa na chama ...

Read More »

Askofu: Wagombea ‘waliokatwa’ warejeshwe

ASKOFU Emmaus Mwamakula, Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kuwarudisha wagombea wa vyama vya upinzani walioenguliwa na wasimamizi wa ...

Read More »

Ahadi ya CCM 2020 – 2025

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kupunguza pengo la wenye nacho na wasiokuwa nacho, endapo kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Dk. ...

Read More »

Askofu Mwamakula aonya roho za kisasi wagombea urais

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amewataka wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, kutokuwa na roho ...

Read More »

Wamimilika uzinduzi kampeni za urais Chadema

MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020,  Uwanja wa Zakhiem, ...

Read More »

Lissu katika tundu la sindano NEC

TUNDU Lissu, mgombe urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu, wameponea kwenye ‘tundu la sindano.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Lissu, Mwalimu walijikuta ...

Read More »

Kubenea atamba kuitwaa Kinondoni

ALIYEKUWA mbunge wa Ubungo, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea, amejigamba kushinda kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mdee: Gwajima?… tukutane jukwaani

HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu gani.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, kwenye ...

Read More »

Nitamnyoosha Gwajima, Mdee – Mgombea TLP

AMANDUS Komba, mgombea ubunge Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha TLP, amejigamba kuwaangushwa Halima Mdee (Chadema) na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jospehat Gwajima (CCM) katika ...

Read More »

Dk. Lwaitama amchambua Magufuli, Lissu

WAGOMBEA wawili kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, wana mambo mazito ya kushawishi wananchi hivyo kufanya uchaguzi kuwa mgumu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na ...

Read More »

Nani kupenya kugombea urais, ubunge Tanzania?

MACHO na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Wabunge 90 CCM wafyekwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, ‘kimewakata’ wabunge wake zaidi ya 90 waliokuwa wakitetea nafasi zao ndani ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Lissu akamilisha ujazaji fomu za urais Tanzania 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua za mwisho za ujazaji fomu za uteuzi ...

Read More »

Sakata la THRDC: LHRC yaiangukia serikali ya Tanzania

FLUGENCE Massawe, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), ameshauri mamlaka husika (Wizara ya Mambo ya Ndani) kutatua utata ulioibuka dhidi ya Mtandao ...

Read More »

Utata watawala wagombea Chadema kunyimwa fomu

UTATA umeibuka katika majimbo manne ya uchaguzi baada ya Wakurugenzi wa Uchaguzi, kuwanyima fomu wagombea wateule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Tanzania yatumia trilioni 1.1 kumaliza mgawo wa umeme

SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh.1.1trilioni kumaliza tatizo la mgawo wa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo amesema na Dk. Hassan Abbasi, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania leo ...

Read More »

Prof. Lipumba achagiwa milioni 1 ya fomu za urais

WANAWAKE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wamemkabidhi Prof. Ibrahim Lipumba, Mgombea wa chama hicho wa Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 2020 kiasi cha Sh. 1 milioni ...

Read More »

CUF ‘wamchomea’ Lissu, Membe

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza, rais hapaswi kuchaguliwa kwa kuhurumiwa kutokana na kupigwa risasi ama kufukuzwa kwenye chama chake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Na kwamba, kiongozi ...

Read More »

Sheikh Alhad: Mufti angeruhusi, ningejiunga NCCR-Mageuzi

ALHAD Mussa Salum, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Kama Sheikh Aboubakar Zuberi, Mufti Mkuu wa Tanzania angemruhusu kujiunga na chama cha siasa, angejiunga na Chama cha ...

Read More »

Magufuli atamani Ndugai awe spika tena

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

CCM yaiga staili ya upinzani

KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk. Bashiru Ally, Katibu ...

Read More »

Ilani ya ACT-Wazalendo hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kwa upande wa Tanzania ...

Read More »

ACT-Wazalendo yafanyia mabadiliko Katiba yake

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo yamefanyika jana Jumatano tarehe 5 Agosti, 2020 ...

Read More »

Watatu wachukua fomu za urais Tanzani

WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Lissu amtahadharisha Membe, agusia ushirikiano na ACT-Wazalendo

MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa nchini, “siyo lelemama.” Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Polepole alia na Lissu, Chadema

HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai ya kunajisi Wimbo ...

Read More »

Polepole apasua vichwa waliopita kura za maoni

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi ...

Read More »

Ilani ya Chadema 2020 hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo imepitishwa leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 ...

Read More »

Siku 100 za Chadema Ikulu

NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Siri iliyojaa hofu CCM

SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Jaji Mutungi aionya Chadema kunajisi katiba, sheria

JAJI Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, amekionya Chama Kikuu cha Upinzani nchini huko Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria za nchi hiyo kuwa kunanajisi Wimbo wa ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu: ACT-Wazalendo, Chadema nguvu moja

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha ACT-Wazalendo, wapo kwenye meza ya mazungumzo ya kuunda nguvu moja ili kuing’oa CCM madarakani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Makonda: Nisameheni

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Asilimia 70 wakazi Dar ni wambea – Makonda

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, asilimia 70 ya wakazi wa jiji hilo ni wambea. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ametoa kauli ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29 huku vituo vya kupigakura vitakuwa 80,155. Anaripoti ...

Read More »

Majaliwa akerwa shule za Kiislamu kuungua moto

TUME ya kuchunguza matukio ya majengo ya Shule za Msingi na Semondaei za Kislamu kuungua kwa moto jijini Dar es Salaam inakamilisha taarifa yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam. ...

Read More »
error: Content is protected !!