Author Archives: Kondo Tutindaga

Wabunge watano wa jiji hawa hapa

HATIMAYE wabunge watano (5) watakaoingia katika baraza la madiwani la halmashauri ya jiji la Dar es Salaam wamepatikana, anaandika Kondo Tutindaga. Wabunge waliochaguliwa kuingia katika baraza la jiji, ni Halima ...

Read More »

Mgongano wa maslahi ni pango la CCM

Rais Jakaya Kikwete

MAKABURI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni mengi sana. Mojawapo ni utamaduni wa kuendesha serikali kwa kupuuza migongano ya maslahi kati ya watendaji na serikali yao, au kati ya watendaji ...

Read More »

CCM imetaka yote, itakosa yote

Mgogoro wa madiwani Bukoba

BABA wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliwahi kusema wakati wa uhai baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa hapa nchini, kuwa uwepo wa vyama vya upinzani hata kama ni vya ...

Read More »

Kikwete afokee rushwa, si wahamiaji haramu

Wahamiaji

NIMEREJEA jijini Dar es Salaam baada ya ziara ya siku nane mkoani Kagera nikiwa katika msafara wa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Ilikuwa ziara nzuri iliyopata nafasi ya kutosha katika ...

Read More »

Ubabe unaitwa ni ujasiri, udhaifu huitwa uungwana!

Naibu Spika Job Ndugai

SIKUONEKANA wiki iliyopita. Nilikuwa mjini Dodoma kushuhudia mjadala wa muswada wa marekebisho ya sheria ya katiba mpya. Kwa bahati mbaya nimeishia kusikiliza vijembe, matusi, mipasho na hatimaye ngumi. Wabunge wa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube