Author Archives: Dany Tibason

CWT wavurugana Dodoma

CHAMA cha Walimu (CWT) Wilaya ya Dodoma mkoani Dodoma kimeingia kwenye utata ambapo Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati, anaandika Dany Tibason. Hali hiyo ilitokana na walimu kuomba mkutano kwa ...

Read More »

Halmashauri zakumbushwa wajibu wake

SERIKALI imewataka viongozi wa halmashauri nchini kusimamia kikamilifu sheria ya usimazi wa mazingira ya mwaka 2004 katika maeneo yao,  anaandika Dany Tibason. Na kwamba, hatua hiyo itasaidia kupunguza ongezeko la ...

Read More »

TEHAMA kurahisisha kazi serikalini

  WASIMAMIZI wa miradi mbalimbali ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) serikalini wametakiwa kutumia weledi wao kwa ajili ya kurahisisha miradi hiyo na shughuli mbalimbali za serikali, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Chadema yaja juu

LICHA ya kuwepo kwa vitisho kutoka mamlaka za juu nchini kuhusu kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimegoma kurudi nyuma, anaandika Dany Tibason. Kimeeleza ...

Read More »

‘Tuutukuze utalii wa ndani’

WATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kutembelea hifadhi mbalimbali za wanyama kwa ili kukuza utalii wa ndani, anaandika Dany Tibason. Hayo yalielezwa na maofisa utalii ambao ni Daniel Mweta na Eunice ...

Read More »

Dk. Tizeba: Watanzania wale nyama

SERIKALI inafikiria jinsi ya kuanzisha kampeini ya uhamasishaji ya Watanzania kula nyama ya ng’ombe, mbuzi na mifugo mingine inayoliwa, anaandika Dany Tibason. Imeelezwa kuwa, licha ya Tanzania kuwa ya tatu ...

Read More »

Waziri aonya watumishi wa umma

SELEMAN Jafo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ametangaza kupambana na watumishi pia watendaji katika halmashauri  ambao hawatimizi wajibu wao, anaandika Dany Tibason. Katika ...

Read More »

Hofu ya vurugu 100%

TAIFA lipo njiapanda. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kuasisi’ mvutano usio wa lazima, anaandika Dany Tibason. Pande mbili zinaumana; moja ikiwa ni serikali inayoendeshwa ...

Read More »

Wananchi wasaka viwanja Dodoma

DHAMIRA ya Rais John Magufuli ya kuhakikisha Dodoma inakuwa Makao Makuu ya Nchi imechochea wananchi kuanza kutafuta viwanja katika mji huo, anaandika Drfany Tibason. Wananchi wa Dodoma na nje ya ...

Read More »

Shibuda: Msindai, Mpendazowe wanafiki

HATUA ya Fredy Mpendazowe na Mgana Msindai kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatokana na kuhangaikia maslahi binafsi, anaandika Dany Tibason. Msindai, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida alijiunga na ...

Read More »

Kesi Bavicha kuendeshwa kwa mwezi mmoja

HAKIMU Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, James Karayemaha amesema, kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), itamalizika ndani ya mwezi mmoja, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Waziri Mkuu kuhamia Dodoma, Septemba mwaka huu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na walemavu Jenister Muhagama na makatibu wakuu kuhakikisha wanamaliza nyumba yake ifikapo mwezi wa ...

Read More »

JK: ‘Nilimpaisha’ Diamond

DK. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu amesema kuwa, yeye ni miongoni mwa ‘waliompaisha’ Nasibu Abduli maarufu kwa jina la Diamond Platinum, anaandika Dany Tibason. Amesema, akiwa madarakani amemsaidia kumuunganisha na wasanii ...

Read More »

JK ainanga CCM, amwonya JPM

KUONGOZA Chama Cha Mapinduzi (CCM) si lele mama. Ndivyo anavyosema Dk. Jakaya Kikwete, mwenyekiti wa sasa wa chama hicho, anaandika Dany Tibason. Na kwamba, chama hicho kilikuwa na ‘mafisi’ wengi waliokuwa ...

Read More »

Kikwete amtisha Magufuli CCM

JAKAYA Kikwete, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anayemaliza muda wake amemtahadharisha mwenyekiti mtarajiwa wa Chama hicho John Magufuli kwa kumweleza kuwa uenyekiti ndani ya CCM siyo lelemama kwani wajumbe ...

Read More »

Dk. Kikwete: Wamesubiri sana, wamechoka

DK. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, watu wamesubiri sana chama hicho kimfie kikiwa mikononi mwake, imeshindikana, anaandika Dany Tibaso. Ametoa kauli hiyo leo wakati akifungua mkutano ...

Read More »

RC ajikomba kwa JPM

WAKATI ‘mzuka’ wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) ukishuka baada ya kusitisha kusudio lao la ‘kuisaidia’ polisi kutekeleza agizo la Rais John Magufuli pia Jeshi ...

Read More »

CCM wakomba hoteli 306 Dodoma

JUMLA ya hoteli 306 sawa na vyumba 3331 zimemekodiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya mkutano mkuu wa chama hicho ambao unalengo la kumkabidhi Rais John Magufuli kushika ...

Read More »

Bavicha waing’ang’ania UVCCM

LICHA ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) kusitisha mpango wa kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limeshambulia umoja wa vijana wa chama hicho ...

Read More »

Diwani CCM adaiwa kodi ya pango Mil 34

DIWANI wa Kata ya Kikuyu Kasikazini, Islael Mwansasu (CCM) anadaiwa zaidi ya Sh. 34 milioni kama kodi ya pango la nyumba inayomilikiwa na Kampuni Hodhi Rasilimali za Reli (RAHCO) nchini, ...

Read More »

‘Kuna utulivu si amani’

TANZANIA hakuna amani nchini isipokuwa kuna utulivu, hivi ndivyo anavyosema Bunga Dettu, Mchungaji wa Kanisa la Waadventista (Wasabato) Mtaa wa Dodoma, anaandika Dany Tibason. Mbali na hilo mchungaji huyo anasema ...

Read More »

Tetemeko la ardhi latikisa Dodoma

TETEMEKO la ardhi katika Mkoa wa Dodoma limetokea saa 12: 01 asubuhi na kutishia maisha ya wakazi wa mji huo, anaandika Dany Tibason. Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Swaswa, ...

Read More »

Viongozi Bavicha watikisa mahakamani

BAADA ya viongozi wa kitaifa wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) kusota rumande kwa saa 96 hatimaye leo wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka, anaandika Dany Tibason. Watuhumiwa waliopandishwa kizimbani ...

Read More »

Dodoma yazingirwa, Bavicha wawindwa

MJI wa Dodoma umezingirwa na Jeshi la Polisi. Gari la maji ya kuwasha na yaliyobeba polisi muda huu ndiyo yanayoonekana kwa wingi kwenye maeneo mbalimbali tofauti na ilivyo kawaida, anaandika ...

Read More »

Polisi, DPP, washikana uchawi kuwapandisha kizimbani Bavicha

JESHI la Polisi mkoani  Dodoma limejikuta katika wakati mgumu kwa kushindwa kuwafikisha mahakamani viongozi wa wakuu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), anaandika Dany Tibason. Jeshi hilo limeshindwa kuwapandisha kizimbani viongozi ...

Read More »

Mahakama zabanwa mbavu

MAHAKAMA nchini zimetakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia haki ili kurudisha imani kwa wananchi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa leo na Fredinand Wambali, Jaji Mkuu Kiongozi wa Mahakama Kuu wakati akifungua ...

Read More »

Wachungaji: Magufuli si mwanasiasa

KUWEPO kwa malalamiko kutoka pande nne za nchi kuhusu namna Rais John Magufuli anavyoongoza nchi, kumeliibua kanisa kutoa ombi maalumu kwa viongozi wengine wa dini kumsaidia rais huyo, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Kimewaka Bavicha, Polisi Dodoma

KATIKA harakati za kuhakikisha wafuasi wa vyama vya upinzani nchini zinazimwa, Jeshi la Polisi mkoani Dodoama limewatia mbaroni viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Dany Tibason. Waliokamatwa ...

Read More »

Vilio, simanzi maafa ya watoto wanne

WATOTO wanne wa familia moja wameteketea kwa moto uliotokana na kulipuka kwa kibatari wakati wa usiku wa kuamkina jana, anaandika Dany Tibason. Msimamizi wa familia hiyo Rameki Mdachi amesema kuwa, mauti yaliwafika ...

Read More »

Watawala chimbuko la machafuko

IMEELEZWA kuwa machafuko mengi ambayo yanatokea duniani yanatokana na watawala kuminya haki kwa wanaowatawala, anaandika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa na Imamu mkuu wa msikiti wa Nunge,Al-Hajj Sheikh Ahmed Zuber, alipokua ...

Read More »

Miili City Boys yatambuliwa, maiti waongezeka

WATU waliofariki dunia kwenye ajali ya Basi la City Boys iliyotokea jana katika Kijiji cha Maweni, Singida wameongezeka na kufikia 30 huku baadhi ya miili ikitambuliwa, anaandika Dany Tibason. Kati ya ...

Read More »

Mabasi ya kampuni moja yaua 27

WATU 27 wamefariki dunia kutokana na ajali mbaya ya mabasi mawili ya kampuni moja kugongana uso kwa uso katika eneo la Maweni wilayani Manyoni Mkoani Singida, anaandika Dany Tibason. Kwa ...

Read More »

Chadema: Maandalizi kuikabili CCM yameanza

KATIKA kutekeleza tamko la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) la kufika Dodoma kusaidiana na Jeshi la Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bavicha Dodoma wameanza maandalizi ...

Read More »

Serikali yakiri udhaifu wa polisi kazini

SERIKALI imekiri wazi kuwa, Jeshi la Polisi nchini linakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa makazi bora jambo ambalo limesababisha kushuka utendaji kazi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa jana ...

Read More »

24,528 waliomaliza kidato cha nne wameumizwa

JUMLA ya wanafunzi 24,528 sawa na asilimia 27.2 wenye sifa ya kujiunga na kidato cha tano pia vyuo vya ufundi wamekosa nafasi hiyo, anaandika Dany Tibason. Wamekosa nafasi ya kujiunga na ...

Read More »

Kumekucha CCM vs Ukawa

MAMBO yanazidi kwenda mrama kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Dani Tibason. Msimamo uliotolewa na Baraza la Vijana wa Chama ...

Read More »

‘Ugonjwa huu si kimeta’

SERIKALI imeeleza kwamba, ugonjwa wa ajabu ulioibuka katika Wilaya za Chemba na Kondoa, Dodoma na kuua watu saba, hauna uhusiano na ugonjwa wa kimeta, anaandika Dany Tibason. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Polisi wamduwaza Sumaye

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema ameshangazwa na unyongaji demokrasia unaofanywa kwa kiwango kikubwa nchini, anaandika Dany Tibason. Ametoa kauli hiyo jana mjini Dodoma ...

Read More »

Chaso wachangia damu Dodoma

UMOJA wa Wanafunzi wa  Chadema Vyuo Vikuu  (CHASO) Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kupokea wito wa kuchangia damu salama zaidi ya chupa 50, anaandika Dany Tibason.  Zoezi hilo lilifanyika juzi wakati ...

Read More »

Mgombea Urais Chuo cha mipango atekwa

Uongozi wa chuo cha Maendeleo Vijijini (MIPANGO) umelalamikiwa na baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho kwa kushiriki vitendo vya  kumteka mgombea urais wa serikali ya wanafunzi,Bonifece Mmbando na kumsababishia kushindwa ...

Read More »

Osha wawezesha akinamama Dodoma

WAKALA wa usalama mahala pa kazi nchini (Osha) wametoa mafunzo kwa akinamama zaidi ya 60 wa Manispaa ya Dodoma wanaofanya kazi katika vumbi la nafaka pamoja na kuwapatia vifaa vya ...

Read More »

‘Kila mkoa uanzishe Benki ya Wananchi’

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu ameagiza kila mkoa nchini kuanzisha  Benki ya Wananchi, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ameitolea jana mjini Dodoma katika ufunguzi wa wadau wa Jumuiya za Benki ya ...

Read More »

11 watumbuliwa Halmashauri Kondoa

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Vijijini limewatumbua watumishi 11 kwa madai ya kuisababisha hasara ya Sh. 320 milioni halmashauri hiyo, anaandika Dany Tibason. Alhaji Omary Kariati, Mwenyekiti wa ...

Read More »

Mkakati wa Magufuli, Dk. Tulia ‘kuua’ Ukawa

  MIKAKATI inayofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani nchini, inalenga kudhoofisha upinzani huo kabla ya uchaguzi mkuu 2020, anaandika Dany Tibason. Miongoni mwa matukio yanayoakisi ...

Read More »

Wabunge walizwa, Zitto akoleza

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo amekoleza moto wa wabunge kukatwa kodi katika fedha za kiinua mgogo, anaandika Dany Tibason. Wakati hayo yakifanyika, Serikali ya Rais John Magufuli ...

Read More »

Diwani anusa ufisadi shule Tegemezi Teya

PAUL Nkhungwe, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Teya, Kata ya Ilindi wilayani Bahi, Dodoma amedai kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya Sh. 3 milioni zilizotakiwa kutumika kwenye ujenzi wa Shule ya ...

Read More »

Dk. Tulia asota Dodoma

Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge anaonja maumivu kutoka kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Dany Tibason. Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha ...

Read More »

Kutoka Bungeni leo

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) amesema, tabia ya wakuu wa mikoa na wilaya kuomba mafuta kwa wakurugenzi hairuhusiwi kwa kuwa, ...

Read More »

Sheikh Said: Kuweni na huruma

AHMED Said, Kaimu Shekh wa Mkoa wa Dodoma, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) amewaomba wafanyabiashara kuwa na huruma, anaandika Dany Tibason. Pia amewataka kuwa na hofu ya Mungu na kwani hawapaswi ...

Read More »

Chadema: Chondechonde Rais Magufuli

BARAZA la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Wilaya ya Bahi, Dodoma wamemshauri Rais John Magufuli kufanya kazi kwa manufaa ya Watanzania wote, anaandika Dany Tibason. Vijana hao wametoa kauli hiyo leo walipokuwa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube