Author Archives: Dany Tibason

TPA yatakiwa kupima mizigo kwa tani

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub (CCM) ameitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuweka utaratibu wa kupima mizigo inayoingia bandarini kwa tani badala ya kupima kwa ...

Read More »

Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi

WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti ya mwaka 2017/18, bunge lilielezwa, anaandika Dany ...

Read More »

Kampuni ya Chai Kagera yakumbwa na ukata

WIZARA ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imetaja kuwa ucheleweshaji wa malipo ya wakulima na wafanyakazi katika kiwanda cha chai cha Maruku mkoani Kagera ulianza Septemba, 2011 kutokana na uwezo mdogo ...

Read More »

Busara itumie kudai michango kwa wananchi

MKUU wa wilaya ya Bahi, Dodoma, Christina Kitundu, amewataka viongozi wasiwachangishe wananchi pesa za maendeleo kwa nguvu badala yake watumie busara, anaandika Dany Tibason. Mkuu huyo wa wilaya amelazimika kutoa ...

Read More »

Meya wa CCM ang’olewa Dodoma

MADIWANI wa Manispaa ya Dodoma wamemng’oa Meya wa Manispaa hiyo, Jafary Mwanyemba (CCM) kwenye wadhifa wake baada ya kusaini mkataba wa kuchimba visima vya maji katika kata ya Zuzu kinyume na ...

Read More »

Mwakyembe amgwaya Makonda, aitupa ripoti ya Nape

HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ana mambo mengi ya kufanya kwa sasa, lakini siyo ripoti ya mtangulizi wake, Nape Nnauye, anaandika Danny Tibason. Uteuzi wa Nape ...

Read More »

Bulembo atangaza kung’atuka CCM

ALHAJI Abdallah Bulembo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ametangaza kung’atuka rasmi katika nafasi yake, kwa mdai kuwa anahitaji kuumzika, anaandika Dany Tibson. Bulembo ambaye hivi karibuni ameteuliwa ...

Read More »

DC, Mbunge Chadema waungana kupinga mradi wa maji

SAMSON Odunga Mkuu wa Wilaya ya Chemba na Mbunge wa Viti Maalum Kunti Yusufu Majala (Chadema), wamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuukataa mradi wa maji wa Ntomoko kwa madai ya ...

Read More »

Mbunge ataka wananchi wadhibiti ufisadi

KUNTI Yusuph Majala, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) mkoa wa Dodoma, amewataka wananchi kujenga tabia ya kuhoji ubora na uendeshwaji wa miradi ya kata na vijiji ambayo hutengewa fedha na ...

Read More »

Dodoma ‘walilia’ chakula

RICHARD Kapinye, diwani wa kata ya Kibaigwa na Mwenyekiti wa kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira ya halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ameiomba serikali ya Rais John Magufuli kuagiza chakula kwenye ...

Read More »

Pinda atema ya moyoni serikali ya JPM

MIZENGO Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu katika Serikali ya Awamu ya Nne ameeleza kuwa, ni ndoto serikali kufikia malengo yake ya ‘serikali ya viwanda’ kama haitatekeleza mambo makuu mawili, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Watakiwa kutotumia nafaka kutengeneza pombe

MUSTAFA Rajabu Sheikh wa Mkoa wa Dodoma na Kadhi wa Mkoa huo amewaasa Watanzania kutotumia nafaka kama mahindi na mtama kwaajili ya kutengeneza pombe za kienyeji ilihali kuna uhaba wa ...

Read More »

CCM Vyuo Vikuu walia na rushwa ya ngono

NEEMA Mfugale, Katibu wa Shirikisho la Vyuo Vikuu la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma amesema, rushwa ya ngono ni changamoto kubwa inayokwamisha wanafunzi wa kike vyuoni kukubali kuwania nafasi ...

Read More »

Magufuli na wateule wake waonywa

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimesema hakitamvumilia kiongozi yoyote wa kisiasa ambaye ambaye atafanya unyanyasaji dhidi ya watumishi wa umma, anaandika Dany Tibasoni. Chama hicho kimemtaka Rais ...

Read More »

Walimu Bahi hoi, waidai serikali 254 milioni

SERIKALI inadaiwa jumla ya Sh. 254.1 milioni na walimu wa Halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma, ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na posho, anaandika Dany Tibason. Kutokana na madeni hayo, halmashauri ...

Read More »

Waislam Dodoma wapewa somo

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Dodoma wametakiwa kuzikamata fursa kutokana na Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi, anaandika Dany Tibason. Mbali na waumini wa dini hiyo kutakiwa kukamata ...

Read More »

‘Ni siku ya tafakari, si maasi’

WATANZANIA kote nchini wametakiwa kutotumia usiku wa leo (usiku wa mwaka mpya) kwa anasa, anaandika Dany Tibason. Na kwamba, wanapaswa kutafakari wapi walikosea au walikopatia katika kutenda mambo mema ya ...

Read More »

Mdee atumika katika utapeli

JINA la Halima Mdee, Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam linatumiwa na watu matapeli kwa maslahi yao. Anaandika Dany Tibason …. (endelea). Kutokana na hali hiyo, mbunge huyo ameliomba ...

Read More »

Kanisa: Serikali iache kuigiza

MAADILI kwa watumishi wa umma yameporomoka kutokana na viongozi hao kutomjua Mungu, anaandika Dany Tibason. Ni kauli ya Christopher Madole, Askofu wa Kanisa la Gospel Ministry Jimbo la Dodoma aliyoitoa leo ...

Read More »

Wananchi waua majambazi Dodoma

WATU watatu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuwawa na wananchi wenye hasira kali katika kijiji cha Dabalo Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma wakidaiwa kuvamia kijiji hicho ili kupora fedha, anaandika Dany ...

Read More »

Boda boda waongoza kuwapa mimba ‘madenti’ Dodoma

WANAFUNZI  23  wa kike katika shule mbalimbali  za msingi na sekondari wilayani Mpwapwa, Dodoma wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kupata ujauzito kati ya Janauri  hadi  Desemba mwaka huu, huku waendesha pikipiki ...

Read More »

Bajaji, daladala mikononi mwa RC Rugimbana

JORDAN Rugimbana, mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameombwa kuingilia kati mgogoro kati ya madereva wa daladala na bajaji ambao wamekuwa na mvutano mkubwa katika kituo cha Mashujaa, Manispaa ya Dodoma, ...

Read More »

CDA bado ‘pasua kichwa’ Dodoma

MAMLAKA ya Ustawi wa Makao ya nchi – Dodoma (CDA), imeendelea kutupiwa lawama kwa madai ya kuwapora ardhi wananchi na kuiuza kwa wageni wanaohamia katika mji huo, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

LAPF ‘yapiga tafu’ Dodoma

MFUKO wa Pensheni wa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (LAPF) umekabidhi hundi ya Sh. 6 milioni kwa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma ili kutatua tatizo la uhaba wa maji katika ...

Read More »

Waziri: Mambo magumu

MALALAMIKO ya wananchi kwamba, maisha yamekuwa magumu, sasa yamethibitishwa na serikali, anaandika Dany Tibason. Dk. Philipo Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Mipango na Maendeleo ...

Read More »

Chadema kanda ya kati yatangaza mapambano

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya kati umetangaza kuingia katika mapambano ya kukiimarisha chama hicho katika mikoa ya kanda hiyo, anaandika Dany Tibason. Kanda ya kati ...

Read More »

Wanakijiji Dodoma wajifungulia vichakani

WAKAZI wa kijiji cha Zepisa kata ya Hombolo Bwawani katika Manispaa ya Dodoma, wameiomba Serikali iwasaidie waweze kupata Zahanati iliyo karibu na makazi yao ili kuepukana na fedheha ya wanawake kujifungulia ...

Read More »

UVCCM wajitosa ujenzi wa vyoo

UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Kongwa wametangaza kujitolea kujenga matundu mawili ya choo cha walimu katika shule ya sekondari ya Iduo, anaandika Dany Tibason. Vijana hao ...

Read More »

Madiwani ‘wamshika uchawi’ DC Nyamagana

MARRY Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kutothibitisha matumizi ya Sh. 100 milioni, alizoomba ili kuwaondoa ...

Read More »

Tanesco yaidai serikali Sh. 125 bilioni

SHIRIKA la Umeme hapa nchini (TANESCO) limesema mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuwa linaidai Serikali zaidi ya Sh. 125 bilioni 125 ambazo ni ...

Read More »

PSPF hoi, yapata hasara Sh. 11.6 trilioni

MFUKO wa Pensheni wa PSPF umepata hasara ya Sh. 11.6 trioni huku msingi wa hasara hiyo ikiwa ni serikali kuchelewa kulipa madeni ya mafao ya wanachama waliokuwepo kabla ya kuanzishwa ...

Read More »

Dk. Tulia apigania wanawake, watoto

  WABUNGE wa Jumuiaya ya Ustawi wa Maendeleo ya nchi zilizopo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana mjini Dodoma kujenga uhusiano wa karibu ikiwa ni pamoja na kujadili kuhusu maradhi ya UKIMWI, anaandika ...

Read More »

Wabunge waisusia ofisi ya Samia Suluhu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imetangaza kutoshirikiana na Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mazingira kama ofisi hiyo haitakuwa tayari kufanya ziara ...

Read More »

Lukuvi achemsha kuwapora ardhi matajiri

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, amekiri kuwa kuwanyang’anya mashamba matajiri waliogoma kuyaendeleza si jambo jepesi na kwamba mpaka sasa limemshinda, anaandika Dany Tibason. Lukuvi amesema ...

Read More »

Wabunge waishambulia Sumatra

WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria na Katiba leo wamegomea mapendekezo ya marekebishi ya Sheria ya Sumatra sura 413 na Sheria ya Leseni za Usafirishaji sura 317, ...

Read More »

Samia Suluhu amtupia ‘madongo’ JK

SAMIA Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ‘ameikandia’ Serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na kusema imeacha mzigo mkubwa wa madeni, ...

Read More »

Vijana wa Chadema waigaragaza serikali kizimbani

VIJANA saba kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoani Dodoma ambao ni wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameibwaga serikali katika kesi Na. 127 ya mwaka 2016 iliyokuwa ikiwakabili, anaandika ...

Read More »

‘Hakuto tayari kudhalilika’

HATUKO tayari kudhalilika kwa kupokea fedha za wafadhili ambazo mashariti yake yanakiuka utu, mila na utamaduni wa kitanzania, anaandika Dany Tibason. Hivyo halmashauri zote nchini, zikusanya mapato pia zitumie fedha hizo ...

Read More »

Mkurugenzi amgomea Waziri Mkuu

AGIZO la Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, kuwataka watendaji wa Serikali kutoa taarifa katika vyombo vya habari juu ya mipango ya maendeleo inayofanywa na serikali, limepuuzwa na Godwin Kunambi, Mkurugenzi wa ...

Read More »

Askofu Lazaro kuitikisa Dar

EMMANUEL Lazaro, Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God ameandaa kongamano la uimbaji na uponyaji katika jiji la Dar es Salaam ambalo litashirikisha waimbaji maarufu wa injili ...

Read More »

Bakwata yapinga wafanyakazi kunyanyaswa

SELEMANI Lolila, Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), amesema kuwa dhuluma na manyanyaso kwa wafanyakazi wa Shule ya Sekondari ya Hijra na Shule ya Sekondari ya Jamhuri ikiwemo ...

Read More »

Waziri Mkuu amhenyesha DC Dodoma

CHRISTINA Mdeme, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma (DC), bado anaumiza kichwa juu ya namna ya kuwahamisha wananchi wanaoishi katika maeneo ya vyanzo vya maji vya Mzakwe, eneo la makutupola Mkoa ...

Read More »

Serikali okoeni wakulima Dodoma

SERIKALI imetakiwa kuwawezesha wakulima mkoani Dodoma, ili waweze kulima kilimo cha kisasa badala ya kulima kilimo cha mazoea na kisichokuwa na tija, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa na Sebastian ...

Read More »

Halmashauri Dom zatoa msaada Kagera

JUMLA ya Sh. 46.3 milioni zimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutokana na michango ya halmashauri zote saba za Mkoa wa Dodoma pamoja na taasisi mbalimbali ili kusaidia wakazi  waliopata ...

Read More »

Mabomu, risasi za 2015 bado hazijatumika

MWIGULU Lameck Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa kutokana na ugumu wa uchaguzi wa mwaka jana, serikali ililazimika kujiandaa kwa lolote, ikiwemo kununua vifaa vya kijeshi ...

Read More »

Bila gesi asilia Tanzania ya viwanda ni ndoto

MPANGO wa Serikali ya awamu ya tano kuanzisha na kukuza uchumi wa viwanda unaweza kuwa ni ‘ndoto ya mchana’ ikiwa serikali haitajipanga katika uzalishaji wa gesi asilia na mafuta ya ...

Read More »

Ma-RC kuwatafutia suluhu wakulima na wafugaji

JORDAN Rugimbana, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametaka kufanyika kwa kikao cha pamoja kati yake na Dk. Joel Bendera, Mkuu wa Mkoa wa Manyara ili kujadili ufumbuzi wa migogoro baina ...

Read More »

Elimu ‘yawagonganisha’ Jafo na Ndalichako

Suala la wizara ipi ina wajibu wa kusimamia uendeshwaji wa elimu hapa nchini limeendelea kugonga vichwa vya wabunge kama ambavyo limekuwa likizua mjadala kwa wachambuzi wa masuala ya elimu kwa ...

Read More »

Bunge kujadili miswada 9

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza leo mjini Dodoma huku likitarajia kujadili miswada sita na kuipitisha, anaandika Dany Tibason. Owen Mwandumbya, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na ...

Read More »

Chadema: UVCCM mbumbumbu

UDHAIFU katika kutambua masuala ya kiuongozi kunaufanya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwenda hovyo, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa jana na Patrobas Katambi, Mwenyekiti wa Baraza ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube