Author Archives: Dany Tibason

Wabunge waanza kubaguana waziwazi

Jesca Kishoa, Mbunge wa Viti Maalum Chadema

MBUNGE wa Viti Maalum Jesca Kishoa (Chadema) ameibana serikali na kuitaka itangaze kama wabunge wa Viti Maalum bila kujali vyama vyao waondoe bendera za bunge na badala yake waweke bendera ...

Read More »

Wabunge wa Lipumba wasusiwa na wapinzani bungeni

Wabunge wa UKAWA wakiwa wamevalia nguo nyeusi wakiwa nje ya ukumbi wa bunge

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai amewapiga vijemba wapinzani muda mfupi baada ya kumalizika kazi ya kuwaapisha wabunge 8 wa viti maalum walioteuliwa na Cuf kupitia Mwenyekiti  Ibrahim Lipumba anayetambulika na ...

Read More »

Hoja ya Bombadier kupasua Bunge kesho

Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier

HOFU  imetanda kuhusu mkutano wa Bunge unaotarajia kuanza kesho kwamba unaweza kutekwa na sakata la kukamatwa ndege ya serikali aina ya Bombadier, anaandika  Dany Tibason, Dodoma.  Wabunge wa  Chama Cha ...

Read More »

Kesi ya Kubenea yazidi kupigwa kalenda

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

HATMA ya kesi ya mbunge wa Ubunge, Saed Kubenea (Chadema) inatarajiwa kujulikana kesho, anaandika Dany Tibason. Kesho Mahakama ya Wilaya ya Dodoma itaamua ama itaendelea kuipiga kalenda kesi hiyo, kufutwa ...

Read More »

Lisu kupamba tamasha la injili

Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini zao, anaandika Dany Tibason. Katika mahojiano maalumu ...

Read More »

Mwenyekiti bodi ya maziwa ageuka ‘bubu’

William Ole Nasha, Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi

WAJUMBE wa Baraza la Wadau wa Maziwa Tanzania wamelalamikia bodi ya maziwa kuendeshwa bila wajumbe wake kwa miaka miaka mitatu sasa, anaandika Dany Tibason. Wametoa malalamiko hayo leo muda mfupi ...

Read More »

Madudu yabainika Viwanja vya ndege

Ujenzi wa Uwanja mpya wa Julius Kambarage Nyerere

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imemwagiza Mkaguzi na Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ...

Read More »

Wasioendeleza viwanja Dodoma kunyang’anywa

Mji wa Dodoma

MKURUNGEZI wa halmashauri ya manispaa ya  Dodoma  Godwin Kunambi ametangaza vita kwa wamiliki wa viwanja vikubwa ambao wameshindwa kuviendeleza kwa zaidi ya miaka mitatu, anaandika Dany Tibason. Kunambi amesema wamiliki ...

Read More »

Wafanyabishara ‘wambeep” Rais Magufuli, wampa siku 30

John Magufuli, Rais wa Tanzania

UONGOZI wa wafanyabiashara wa Tanzania bara na Zanzibar wametoa siku 30 Rais John Magufuli kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili katika shughuli zao vinginevyo maduka yote hata ya vichochoroni yatafungwa, anaandika Dany ...

Read More »

Askofu akemea watu kupenda kulalamika

Mji wa Dodoma

WATANZANIA wametakiwa kuachana na tabia ya kulalamika na badala yake wafanye kazi huku wakiwa mstari wa mbele kupinga unyanyasaji na ukandamizwaji, anandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Askofu ...

Read More »

Waislamu washauriwa kusaidia wenye mahitaji

Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu

WAUNINI wa dini ya Kiislamu nchini wametakiwa kuisaidia jamii yenye uhitaji bila kujali itikadi za kidini, ananadika Dany Tibason. Hayo yamebainishwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajabu muda ...

Read More »

Wananchi watahadharishwa bidhaa ‘feki’

tanzania-bureau-standards-tbs-quality-imports

WATANZANIA wameshauriwa kutumia bidhaa zenye nembo ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), ili kuepukana na utitiri wa vyakula vinavyozalishwa bila viwango kwa matumizi ya mlaji, anaandika Dany Tibason. Ushauri huo ...

Read More »

Kesi ya Mbunge Kubenea kunguruma Septemba 4

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema)

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) hadi Septemba 4 mwaka huu kutokana na uchunguzi wa kesi hiyo kutokamilika, anaandika Dany Tibason. ...

Read More »

Chadema Dodoma wamtetea Lissu

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida, akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu

CHAMA Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya kati kimelaani kitendo cha jeshi la polisi nchini kumkamata mara kwa mara, mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), anaandika Dany Tibason. Akizungumza ...

Read More »

Viziwi wapewa elimu ya kilimo

Mashine ya kuvutia maji kwaajili ya umwagiliaji

CHAMA cha Maendeleo ya Kilimo kwa Viziwi Tanzania (CHAMAKIVITA) kimejipanga kutoa elimu kwa viziwi ili kuwawezesha kulima kilimo cha kisasa, anaandika Dany Tibason. Kelvin Nyema ambaye ni kiongozi mtendaji wa ...

Read More »

Uhamiaji yajiandaa kutoa elimu kwa jamii

Mji wa Dodoma

IDARA ya uhamiaji mkoa wa Dodoma imeandaa mpango maalum wa kuwafikia wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi wilaya kwa lengo la kutoa elimu ya utambuzi wa wahamiaji haramu, anaanadika Dany ...

Read More »

Wanafunzi wa kiume Z’bar hatarini

Kisiwa cha Zanzibar

IMEELEZWA kuwa jumla ya watoto wa kiume wapatao 40 wanaosoma kati ya darasa la kwanza na la tatu kutoka visiwani Zanzibar wamefanyiwa ukatili wa kuingili kinyume na maumbile, anaandika Dany ...

Read More »

Mkapa kushuhudia Jubilei ya Mapadri Dodoma

Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu

RAIS mstaafu, Benjamin Mkapa anatarajia kuungana na Mapadri  pamoja na Maaskofu katika kusherea Jubilei ya miaka 100 ya upadri kwenye kituo cha Hija kilichopo eneo la Mbwanga kata ya Miyuji ...

Read More »

Naibu Waziri Mavunde awafunda vijana 

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Anthony Mavunde,akizungumza na vijana mbalimbali (hawapo pichani) katika ukumbi wa mikutano wa LAPF mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Konganano la Vijana duniani.

VIJANA nchini wametakiwa kuwa mabalozi waaminifu katika kulinda amani ya nchi, anaandika Dany Tibason Ushauri huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri ,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Anthony Mavunde, ...

Read More »

Jaffo ‘ayananga’ maonesho ya nanenane

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), Selemani Jafo amewashukia, Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa mikoa ya Dodoma na Singida kwa kushindwa kufanya maandalizi ya uhakika ya ...

Read More »

Waziri Mhagama ‘awapiga mkwara’ wakurugenzi

Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenister Mhagama amesema wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini watakaoshindwa kutenga asilimia tano ya mapato kwa ajili ya vijana na wanawake watachukuliwa hatua, anaandika ...

Read More »

Walimu wanawake walilia ndoa zao

Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

WALIMU wanawake wamelalamikia hatua ya serikali kuwapangia kazi katika vituo vya mbali kwa kuwa kunahataraisha ndoa na waume zao, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa mwalimu Joyce Kaishozi ambaye ni ...

Read More »

AWA watamba kupunguza majangili wa Tembo

Tembo

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA), imesema kwamba tatizo la ujangili katika mbuga mbalimbali umepungua hatua iliyosababisha Tembo kuongezeka, anaandika Dany Tibason. Hatua hiyo imetokana na kutolewa elimu mbalimbali ...

Read More »

Maonesho ya nane nane yadorora Dodoma

TWALIBU

MAONESHO ya Wakulima ya nane nane mwaka huu yanayofanyika mkoani Dodoma yamedorora, anaandika Dany Tibason. Baadhi ya washiriki waliozungumza na MwanaHALISI online katika maonesho hayo,walisema ni bora kuyafuta. Walisema maonesho ...

Read More »

Serikali yaombwa kusaidia wafugaji Ngamia

Ally Kuleva mfugaji wa ngamia kutoka kijiji cha Kambi ya Kumi  akiwa anamwelekeza jambo ngamia wake wakati wa maonesho ya 88

SERIKALI imeombwa kuwatambua wafugaji wa Ngamia na kusaidia kuwapunguzia gharama za kuwafuga kwa kuwa wana faida zaidi kuliko wanyama wengine, anaandika Dany Tibason. Maombi hayo yalitolewa na Ally Kuleva ambaye ...

Read More »

Mfanyabiashara amshikia kisu mwanafunzi ambaka

MFANYABIASHARA maarufu katika mtaa wa Swaswa kata ya Ipagala Manispaa ya Dodoma, Charles Kalinga mwenye umri wa miaka 43 amenusurika kifo baada ya wakazi wa mtaa huo kumshushia kipigo kwa ...

Read More »

Kubenea aliamsha ‘dude’ mahakamani Dodoma

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema)

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea hadi Agosti 23 Mwaka huu kutokana na uchunguzi wa kesi hiyo kutokamilika, anaandika Dany Tibason. Mbunge ...

Read More »

Madiwani Kongwa wamtega Rais Magufuli

Mfano wa reli itakayotumika na treni ya mwendokasi kutoka Dar es Salaam mpaka Morogoro

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, limemuomba Rais John Magufuli kujenga reli ya treni ya abiria ya mwendo kasi kuanzia Dodoma mjini hadi mji mdogo ...

Read More »

Chadema kumburuza DC Chemba mahakamani

Nyundo ya Hakimu

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Chemba, Dodoma, umejipanga kwenda mahakamani kumfungulia kesi Mkuu wa Wilaya hiyo Samson Odunga, anaandika Dany Tibason. Kusudio la kwenda mahakamani ...

Read More »

Watu 45 watiwa mbaroni mkoani Dodoma

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu 45 kwa tuhuma mbalimbali pamoja na kukamata silaha, mali za wizi na madawa ya kulevya katika maeneo, anaandika  Dany Tibason. Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Lissu azua kizazaa mahakamani Dodoma

Kulia: Tundu Lissu akiondoka mahakamani baada ya kuhakikishia na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa (picha ya kushoto).

MWANASHERIA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu leo ametumia zaidi ya saa nne akiwa katika mahakama ya wilaya Dodoma akigoma kutoka humo ...

Read More »

Viongozi, Wanachama CCWT wazidi kuvutana

Katibu wa Chama cha Wafugaji nchini, Magambe Makoye (katikati) akionesha nyaraka kwa waandishi wa habari

BAADHI ya wajumbe na wanachama wa Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT) wameendelea kuvutana na uongozi wa juu chama hicho wakitaka viongozi kuachia madaraka na kufanyika uchaguzi, anaandika Dany Tibason. Baadhi ...

Read More »

Polisi wazidi kuwahenyesha wapinzani

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

HALI ya kisiasa kwa vyama vya upinzani nchini inazidi kuwa mbaya kutoka na makada wa vyama hivyo kuendelea kukamatwa na kuswekwa rumande na kunyimwa dhamana zaidi ya saa 48 za ...

Read More »

Kampuni ya ulinzi watuhumiwa kwa wizi UDOM

Lazaro Mambosasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam

KAMPUNI binafsi ya ulinzi la Stemo Security imedaiwa kujiingiza katika vitendo vya kiharifu badala ya kufanya kazi zake za ulinzi wa mali za raia wanaowapatia tenda za ulinzi, anaandika Dany ...

Read More »

Kubenea apandishwa kizimbani Dodoma

Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Dodoma na kusomewa shtaka la kumshambulia mbunge Juliana Shonza wa Chama Cha Mapinduzi, anaandika Dany Tibason. Wabunge ...

Read More »

Mbatia alia na ajira mpya za walimu

James Mbatia, Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro (NCCR-Mageuzi)

JAMES Mbatia, Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro (NCCR-Mageuzi), amesema kuwa tatizo la walimu nchini badoni kubwa sana kwa sasa tofauto na inavyoelezwa na serikali, anaandika Dany Tibason. Mbatia ...

Read More »

Mbunge wa CCM anusurika kipigo bungeni

Baadhi ya wabunge wa Ukawa wakilalamikia jambo bungeni. Picha ndogo, Juliana Shonza akichangia bungeni

JULIANA Shonza, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) amenusurika kuangushiwa kipigo kikali na wabunge wa Chadema mara baada kuwatambia kuwa atahakikisha Halima Mdee, Mbunge wa Kawe (Chadema), anaendelea kukaa nje ya ...

Read More »

Mbunge wa Kibiti afunguka kuhusu mauaji

Askari wakiwa kaziki kuwasaka wauaji

ALLY Seif Ungando, Mbunge wa Jimbo la Kibiti, mkoani Pwani amesema mapambano ya kudhibiti mauaji yanayoendelea jimboni kwake yanaweza kurahishishwa kwa serikali kupeleka umeme katika vijiji mbalimbali ambavyo mpaka sasa ...

Read More »

Miswada ya madini ‘kaa la moto’

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi

MJADALA mkali umeibuka katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma siku ya leo wakati Kamati ya Bunge ya iliyoundwa na Spika Job Ndugai kujadili miswada mitatu ya ulinzi na raslimali za nchi ...

Read More »

Ndugai atangaza ‘kufa’ na Mdee, Bulaya

job-ndugai3

Job Yustino Ndugai, Spika wa Bunge, amejiapiza kutoruhusu wabunge wanaotumikia adhabu mbalimbali kurejea Bungeni hata kama wataenda kupinga suala hilo katika mamlaka zingine zozote, anaandika Dany Tibason. Amesema ni lazima ...

Read More »

Mbunge wa Chadema azua jambo

Gari ya Zimamoto

FRANK Mwakajoka, Mbunge wa Jimbo la Tunduma mkoani Songwe, amesababisha vicheko na miguno ndani ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma, baada ya kuisifia serikali ya Zambia kwa msaada mkubwa inaotoa ...

Read More »

Waliyoomba viwanja CDA kuponyeka

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

SERIKALI imesema kuwa kila mwananchi aliyeomba  kiwanja kwa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kuwa kiwanja chake hakitapotea baada ya mamlaka hiyo kuvunjwa, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa ...

Read More »

Mnyika acharukia hati ya dharura

John Mnyika, Mbunge wa KIbamba (kushoto). Kulia ni Job Ndugai Spika wa Bunge

MBUNGE wa Kibamba John Mnyika (Chadema) amepinga kitendo cha rais Dk.John John Magufuli kupeleka hati ya Dharura ya kupitisha mswada wa sheria ya madini na mafuta na gesi, anaandika Dany ...

Read More »

Wabunge wapewa chumba cha kunyonyeshea watoto

Dk. Tulia Ackson, Naibu  Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewatengea wabunge wanawake wenye watoto eneo maalum la kunyonyeshea watoto wao ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha watoto hawapotezi fursa ya kunyonya maziwa ya ...

Read More »

Wanaobambikizia kesi wananchi kukiona

Suleiman Jaffo, Naibu Waziri wa Nchi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

SELEMANI Jafo, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuchukua hatua dhidi ya watendaji wa serikali ...

Read More »

Mafisadi CDA kuisoma namba

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene

WALIOKUWA wafanyakazi waandamizi wa iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA), huenda wasipangiwe majukumu mapya katika idara na mamlaka za umma, iwapo baadhi yao watathibitika kuhusika na vitendo vya ...

Read More »

Bashe adai mil. 200 za Magufuli

Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini

HUSSEIN Bashe, Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini, mkoani Tabora ameitaka Serikali kutoa kauli juu ya Sh. 200 milioni ambazo Disemba 2016, Rais John Magufuli aliahidi kuzitoa kwa ajili ya ...

Read More »

Mauaji Kibiti yagusa wabunge

Bunge likiendelea na vikao vyake

MFULULIZO wa mauaji yanayoendelea wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani yamewatikisa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuombaratiba ya leo ya shughuli za Bunge iahirishwe ili kujadili ...

Read More »

Silinde awavaa matrafiki ‘wezi’

Askari wa usalama barabarani akiwa kazini

MSEMAJI wa Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni, wa masuala ya fedha na uchumi David Silinde, ameitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya askari wa usalama barabarani ambao hufanya kazi bila weledi ...

Read More »

Lissu awaburuza kortini Ndugai na Mkuchika

Tundu Lissu, Rais wa TLS

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amepeleka ombi katika Mahakama  Kuu Kanda ya Dodoma, akiomba kumshtaki Job Ndugai, Spika wa Bunge na George Mkuchika, mwenyekiti ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube