Dany Tibason – MwanaHALISI Online

Author Archives: Dany Tibason

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

Wabunge wa UKAWA wakitoka bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge vimeanza Jijini Dodoma ambapo baada ya dua ...

Read More »

Elimu yapunguza ukeketaji Simanjiro

images (1)

KUTOKANA na juhudi zinazofanywa na wanaharakati kwa kupinga unyanyasaji na utatili kwa watoto wa kike na akina mama na kutoa elimu juu ya madhara ya ukeketaji,  juhudi hizo zimepelekea Ukeketaji kupungua ...

Read More »

Asasi za Kiraia hatarini kutakatisha fedha

DqGaE_OWsAAiqpz

IMEELEZWA kuwa Asasi za kiraia nchini zipo katika hatari ya kutumika kama sehemu ya kupitishia fedha chafu na watu wasiokuwa na nia njema. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo ...

Read More »

Serikali yaja na kibano cha AZAKI

DqGkF2LXcAEBSET

SERIKALI imezikemea baadhi ya asasi za Kiraia ambazo zimekuwa zikitumia vibaya fedha za ruzuku zinazotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya maendeleo. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa ...

Read More »

Waziri Mkuu kufungua maonyesho ya Azaki

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia  nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400 yatashiriki, kuanzia Oktoba 22 hadi 26 mwaka ...

Read More »

Wahujumu miondombinu ya maji wafikia saba

Nyundo na Mizani ya Hakimu

BAADA ya uchunguzi  unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) juu ya hujuma ya Maradi wa Maji wa Mtomoko uliopo katika wilaya ya Chemba na Kondoa katika ...

Read More »

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kizota katika jiji la Dodoma. ...

Read More »

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

Kange Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Picha Ndogo IGP, Simon Sirro

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini NIDA pamoja na ...

Read More »

Dodoma wala Eid leo, wawaonya wafanyabiashara

20180821_111059

IMMAMU wa Msikiti wa Alharamain wa Chang´ombe Jijini Dodoma Shaffi Hussein ,amewaasa wafanyabiashara kuacha kupandisha bei ya vyakula hususan ya mifugo hasa katika sikukuu ya Eid Al haj ili kuwawezesha ...

Read More »

Serikali yatoa ajira mpya za walimu

Suleiman Jafo, Waziri wa Tamisemi

SERIKALI imetoa ajira mpya za walimu 2,160 ambao wamepangwa katika shule za sekondari 1,721 nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 20, Agosti, ...

Read More »

Kondoa walia na miundombinu mibovu ya maji

DSC_0218

WAKAZI wa kata ya Chemchem wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwatatulia kero ya muda mrefu ya uchakavu wa  miundombinu ya mabomba ya maji ambayo toka yawekwe mwaka 1961 hayajafanyiwa ...

Read More »

Shivyawata waomba walimu maalum mashuleni

Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu

SHIRIKISHO la vyama vya watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) mkoa wa Dodoma limeomba Wizara ya Elimu kuwapeleka walimu wenye taaluma ya elimu maalum kwenye shule zote nchini. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Kampuni ya Ulinzi wamwita Waziri Mhagama

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo, Jenista Mhagama

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya Tele Security Campan Ltd wamemuomba Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama kuingila kati mgogoro uliopo kati ya wafanyakazi hao ...

Read More »

Rais Magufuli mgeni rasmi mkutano wa ALAT

Mwenyekiti wa ALAT, Gulamhafeez Mukadamu

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) intarajia kufanya mkutano wake mkuu wa 34 Desemba 24 hadi 28 mwaka huu Jijini Dodoma huku mgeni rasimi akiwa Rais John Magufuli. Anaripoti ...

Read More »

Sheria ya PSSSF yaanza kufanya kazi kesho

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo, Jenista Mhagama

SHERIA ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumsihi wa Umma (PSSSF) namba 2 ya mwaka 2018 kuanza kutumika rasmi kesho baada ya Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu ...

Read More »

Lugola: Natenda atakacho JPM

Kangi Lugola, Waziri wa mambo ya Ndani. Picha ndogo wakati akiapishwa

KANGI Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema, anafanya kile atakacho Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Waziri ...

Read More »

Gari litakaloziisha mzigo faini Mil 34, jela miaka mitatu

kb3

SHERIA ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inatarajia kuanza kutumika nchini Januari 2019 huku ukomo wa adhabu kwa makosa ya usafirishaji utakuwa ni dola za ...

Read More »

CUF Lipumba watinga Dodoma

Prof. Ibrahim Lipumba

MBUNGE wa Mtwara Mjini, Mafutaa Nachuma (CUF) kwa kushirikiana na uongozi wa chama hicho mkoa wa Dodoma wamefungua ofisi ya mkoa mkoani Dodoma mtaa wa By Road. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

RC Dodoma ataka uwekezaji wenye tija

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa ili kuwa na jiji lenye maendeleo ya haraka ni lazima wawekezaji wawekeze kwenye miradi yenye manufaa kwa jamii na kwa ...

Read More »

Tamisemi wapokea magari ya sekta ya Afya

Suleiman Jafo, Waziri wa Tamisemi

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekabidhiwa msaada wa magari sita na shirika la USAID Global Health Supply Chain, yatakayopelekwa katika halmashauri mbalimbali nchini ili ...

Read More »

Serikali yamwaga ajira sekta ya Afya

Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jafo

SERIKALI imetoa ajira mpya za watumishi kada za afya katika Mamlaka za serikali za Mitaa  (TAMISEMI) 6180 kwa mwaka wa fedha 2018/19. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akizungumza na vyombo ...

Read More »

SumaJKT yaokoa mamilioni ya Serikali

20180710_003409

SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesaini mikataba mitatu ya ujenzi wa vituo saba vya umahiri na jengo la mafunzo kwa wachimbaji wadogo katika Chuo cha Madini Dodoma ambapo miradi hiyo ...

Read More »

Mpina atamba kuvuka malengo ya makusanyo

Luhaga Mpina 12

WAZIRI wa Mifigo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema wizara yake itahakikisha inavuka lengo la makusanyo kwa kukusanya kiasi cha Sh. 50 bilioni badala ya Sh. 20 bilioni ambazo ndilo lengo ...

Read More »

Tacaids watoa somo kwa wanahabari

images

TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeanza kutoa mafunzo kwa wanahabari wa vituo vya radio Jamii ili kuweza kusaidia kampeni ya kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya ...

Read More »

Mavunde alia na siasa chafu

6

NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, amewataka wanasiasa kuachana na siasa zenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Wanaume waoga kupima ukimwi

20180705_133932

UTAFITI umebainisha kuwa wanaume wengi wamekuwa waoga kupima afya zao, hususani kupima Ukimwi jambo ambalo ni hatari zaidi kwa tofauti na wale ambao wanajitokeza kupima afya zao. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

TFDA waonya watengenezaji bidhaa feki

Afisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) akitoa maelekezo kwenye maonesho ya Wiki ya Watumishi wa Umma

MAMLAKA ya Uthibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) imetoa angalizo kwa wauzaji, wasambazaji pamoja na watengenezaji wa bidhaa mbalimbali ambazo zipo chini ya usimamizi wa Mamlaka hiyo kutotengeneza bidhaa feki na ...

Read More »

DC apokelewa kwa mabango, awatupa rumande

20180702_161851

MKUU wa Wilaya ya Kongwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Deo Ndejembi jana alijikuka katika wakati mgumu, baada wananchi wa kata ya Kikuyu Kaskazini kumpokea na mango ...

Read More »

Muswada wa Dodoma kuwa Jiji watinga Bungeni

Naibu Spika Job Ndugai

SERIKALI imewasilisha miswada mitano ukiwemo  unaopendekeza kutungwa kwa sheria ya Tamko la Makao Makuu ya mwaka 2018 kwa madhumuni ya kutangaza jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

Minyukano waipeleka Bunge mpaka usiku

Wabunge-wakiwa-bungeni

BUNGE jana lililazimika kuendelea na kikao chake hadi saa 3:27 usiku baada ya wabunge kutokana na wabunge kupinga marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo ya Sekta ya Korosho. Anaripoti Dany Tibason ...

Read More »

Bawacha wanunua kesi ya mwanamke kujifungua Polisi

Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega

UONGOZI wa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha)limelaani vikali kitedendo cha udhalilishaji kilichofanywa na jeshi la polisi dhidi ya Amina Mapunda (26) mkazi wa Kiswanya kijiji cha Mgundeni, tarafa ya Mang’ula ...

Read More »

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

maxresdefault

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka kujua zipo wapi fedha zilizoibuliwa na Mdhibiti ...

Read More »

Mbunge CCM aibana Serikali ubovu wa mashine za EFD’s

Prima-napred-polu-desno

SERIKALI imetakiwa kutoa taarifa ya uhakika juu ya sakata la kutofanyakazi kwa Mashine za Kieletroniki (EFD’s) huku ikidaiwa kuwa kitendo cha mashine hizo kutofanya kazi na serikali kukaa kimya ni ...

Read More »

Bajeti ya Lukuvi yapita bungeni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi

JANA serikali ilpitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Sh. 73,071,273,638. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Pamoja na kupitisha ...

Read More »

Idadi wanafunzi waliopewa ujauzito na madereva bodaboda utata

img_1409

SERIKALI imesema kuwa ni vigumu kupata idadi ya wanafunzi waliopewa mimba ba madereva wa pikipiki maafuru kwa madereva wa bodaboda. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kutokana na hali hiyo serikali ...

Read More »

Serikali yagoma kuwalipa fidia waliokutwa vyeti feki kimakosa

Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda

SERIKALI  imesema hakuna mfanyakazi aliyeondolewa kazini kimakosa katika zoezi la uhakiki wa vyeti feki, zaidi ya kurudishwa kazini. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya ...

Read More »

Wakurugenzi Halmashauri wachimbwa mkwara

Waziri wa TAMISEMI, Suleiman Jafo

SERIKALI imesema itamchukulia hatua kali mkurugenzi yoyote wa halmashauri nchini ambaye atashindwa kutenga asilimia kumi ya mapato kwa ajili ya akina mama na vijana. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbali ...

Read More »

Bwawa la maji kujengwa Morogoro kupunguza uhaba

IMG_20160108_095851-1

SERIKALI imekiri kuwa mji wa Manispaa ya Morogoro unakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa maji ya uhakika na kusababisha wananchi kukumbwa na hadha ya ukosefu wa maji. Anaripoti Dany ...

Read More »

Serikali yakubali hoja za Sugu kurekebisha Magereza

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu

SERIKALI imekubali kuufanyia kazi ushauri uliotolewa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu,’ (Chadema) kuhusu uboreshaji wa jeshi la magereza nchini. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbilinyi alitoa ushauri ...

Read More »

Mbunge Chadema asikitishwa na majibu ya mawazili

Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Ashantu Kijaji

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzana Mgonukulima (Chadema) amesema anasikitishwa na serikali kutoweza kujibu maswali kwa ufasaha na badala yake wanajibu kisiasa. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo aliitoa leo ...

Read More »

Kubenea, Sugu waibana serikali makosa ya mtandao

maxresdefault-1

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) ameitaka serikali ieleze ni lini itapeleka bungeni muswada wa kuifanyia marekebisho sheria ya makosa ya mtandao kutokana na sheria hiyo kubana uhuru wa mwananchi ...

Read More »

Sugu alisimamisha Bunge kwa muda

Joseph Mbilinyi 'Sugu' Mbunge wa Mbeya Mjini

KISHINDO cha Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), kimesimamisha shughuli za Bunge kwa muda wa takribani dakika sita ikiwa ni mapokezi yake ndani ya bunge kwa mara ya kwanza ...

Read More »

Kesi ya Mawio yamponza Mwendesha Mashtaka

IMG-20170215-WA0001

KWA mara nyingine Mahakama imehoji sababu ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali kutoa kauli nyepesi za kushawishi kutoendelea kwa kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili wahariri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Mabalozi nao kuhamishiwa Dodoma

Makutano ya barabara za Dodoma mjini

JUMLA ya Mabalozi 63 wameshakabidhiwa maeneo ya kujenga ofisi zao Katika Jiji la Dodoma lakini Ubalozi wa Zambia tayari umeshaanza mchakato huo kwa kuanza ujenzi wa nyumba ya Mkandarasi wake. ...

Read More »

Makao Makuu ya Mahakama Dodoma yaiva

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma

JAJI Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma amezindua zoezi la upandaji miti katika kiwanja ambacho itajengwa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania mkoani Dodoma. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Akizindua ...

Read More »

Waliokula Bil 1.5 kukiona cha moto

DbzJIzEWsAAseU5

RAIS John Magufuli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinawachukulia hatua kali watu wote waliohusika katika kufanya ubadhilifu wa zaidi ya Sh. 1.5 bilioni ya mradi wa maji wa ...

Read More »

Magufuli atangaza Dodoma kuwa jiji

magufuli-mtwara-1

RAIS John Magufuli jana katika sherehe za Muungano, ametumia sherehe hizo kutangaza Dodoma kuwa jiji badala ya kuwa Manispaa na kumtangaza aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi na ...

Read More »

Wadau, wawekezaji watakiwa kutoilalamikia Serikali

Charles Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

SERIKALI imewataka wawekezadi na wadau mbalimbali kuachana na tabia ya kulalamika serikali na badala yake watoe ushauri kwa serikali ni jinsi gani ya kutatua changamoto mbalimbali. Anaripoti Dany Tibason … ...

Read More »

TCAA watakiwa kufuata kanuni za kazi

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa

SERIKALI aimeitaka Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria za nchi katika utendaji wake wa kazi. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Hayo yalisemwa na ...

Read More »

Mbunge wa CCM aikaba serikali

Juma Nkamia, Mbunge wa Chemba

MBUNGE wa Chemba, Juma Nkamia (CCM) ameihoji serikali na kutaka ieleze ni lini itaana ujenzi wa kituo cha polisi na nyumba za askari. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Nkamia aliihoji ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube