Author Archives: Faki Sosi

Polisi wamng’ang’ania Kigaila, anyimwa dhamana

BENSON Kigaila, Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema ametupwa rumande baada ya kukosa dhamana alipojisalimisha kuhojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Lulu: Kanumba alijiangusha chumbani

MSANII maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael au Lulu, atawasilisha utetezi mahakamani dhidi yashitaka la kuua bila ya kukusudia kwa kutumia mashahidi watatu, anaandika Faki Sosi. Ni kauli ya wakili wake ...

Read More »

Mwigamba amsikitisha Zitto Kabwe

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza masikitiko juu uongo uliotumiwa na walikuwa wafuasi wa chama hicho, Samson Mwigamba na wenzake kuwa chama hicho kimekiuka misingi iliyojiwekea, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Matokeo ya darasa la 7 haya hapa, shule za serikali hoi

BARAZA la Mitihani Taifa NECTA limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2017, na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa 2.4% ukilinganisha na ule wa mwaka jana 2016, anaandika Faki ...

Read More »

Daktari wa Kanumba afunguka mazito kesi ya Lulu

MAHAKAMA ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa jamhuri kwenye kesi inayomkabili msanii wa filamu, Elizabeth Michael (Lulu), anayedaiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, ...

Read More »

Serikali kuvuna 50 kwa 50 kwenye dhahabu

HATIMAYE mazungumzo kati ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold kuhusu sekta ya madini yaliyodumu kwa takribani miezi mitano yamehimitishwa jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Rais John Magufuli ...

Read More »

Kesi ya Lulu yaunguruma, mdogo wa Kanumba atoa ushahidi

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imeanza kusikiliza ushahidi katika kesi ya mauaji ya bila kukusudia, inayomkabili msaanii wa filamu nchini, Elizabeth Maichael (Lulu), dhidi ya msanii mwenzake, Steven ...

Read More »

Picha za kwanza ya Tundu Lissu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari jana Makao Makuu ya chama ...

Read More »

Takukuru yakunjua makucha kwa makada wa Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha, Amani Golugwa, amehojiwa na Taasisi ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kufanywa na ...

Read More »

ACT-Wazalendo: Serikali ya CCM haina aibu

CHAMA cha Act-Wazalendo kimefunguka na kusema kwamba Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), haioni aibu kukandamiza demokrasia pamoja na uhuru wa vyombo vya habari, anaandika Faki Sosi. Hayo yameelezwa leo na ...

Read More »

Tundu Lissu kuanika kilichompata

AFYA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anayetibiwa majeraha ya risasi kwenye hospitali kuu ya Nairobi, inaendelea kuimarika na kwamba muda si mrefu ataanza kuzungumza na wananchi kupitia ...

Read More »

Nassari awang’ang’ania ‘maswahiba’ wa rais

MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametinga kwa mara ya pili kwenye ofisi za taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuwasilisha ushahidi wa madai ...

Read More »

JPM amteua waziri wa Kikwete

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania amemteua aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara katika Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya Kikwete, Gregory Teu kuwa mwenyekiti wa Bodi ...

Read More »

Sheikh Ponda bado ang’ang’aniwa

MWANAWAZUONI, mwanaharakati na kiongozi mashuhuri wa madhehebu ya dini ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, bado anaendelea kushikiriwa na jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaripoti ...

Read More »

Mtuhumiwa Escrow akimbizwa Muhimbili

HATIMAYE  mtuhumiwa katika kesi ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi amepata ruhusa ya kwenda kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  (MNH).  Anaandika Faki Sosi. Ruhusa ya mtuhumiwa huyo kupelekwa Muhimbili umetolewa ...

Read More »

Mzungu kortini kwa kukutwa na fuvu la Nyumbu.

RAIA wa  Denmark Ricki Thomson (49), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam  kwa kosa ka kukutwa fuvu la Nyumbu., Anaandika Faki Sosi. Mtuhumiwa huyo ...

Read More »

Sheikh Ponda atii sheria bila shuruti, ajisalimisha Polisi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Sheikh Ponda ...

Read More »

Loliondo washangilia Profesa Maghembe kupigwa chini

SIKU tano tangu Rais John Magufuli afanye mabadiloko kwenye Baraza la Mawaziri, wananchi wa wilaya ya Loliondo mkoani Arusha wameshangilia  kutemwa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Professa Jumanne Magembe, ...

Read More »

Sheikh Ponda: Nimemwona Lissu, nimeumia

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania, Tundu Lissu anayendelea na matibabu jijini ...

Read More »

Rais Magufuli aongeza ukubwa wa Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka mawaziri 19 hadi 21 na manaibu 16 hadi 21, anaandika Faki Sosi. Sasa idadi ...

Read More »

‘Watu wasiojulikana’ wanyemelea roho ya Lema

MBUNGE wa Arusha mjini, Godbless Lema (Chadema), amefunguka na kueleza anavyowindwa na watu wasiojulikana kama ilivyotokea kwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu (Chadema), anaandika Faki Sosi. Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Ushahidi wa Dk. wa Muhimbili wamweka huru Manji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji aliyekuwa anatuhumiwa kwa kosa la utumiaji wa dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Hukumu hiyo imetolewa mchana huu na Hakimu ...

Read More »

CUF kushirikiana na Ukawa uchaguzi madiwani

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata 43 hapa nchini unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, anaandika Faki Sosi. CUF kimesema katika uchaguzi huo kitashirikiana ...

Read More »

Mahakama yaipiga ‘stop’ Bodi ya Prof. Lipumba

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lilowekwa na mawakili wa Professa Ibrahim Lipumba la kuhusu kuzuwazuia wajumbe wake wa Bodi ya Wadhamini isifanye kazi mpaka shauri ...

Read More »

Familia ya Lissu yaibuka na kuing’ang’ania serikali

FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu imeibuka na kuing’ang’ania serikali ikitaka uchunguzi wa kina ufanyike ukihusisha wachunguzi wa nje ili kubaini watu waliomshambulia ndugu yao kwa risasi ...

Read More »

ACT-Wazalendo wamchongea Rais Magufuli kwa wafanyakazi

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeshitaki Rais John Magufuli kwa wafanyakazi kutokana na kauli zake alizozitoa jana alipokuwa akihutubia katika Mkutano wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT), anaandika ...

Read More »

Mbwembwe za Bombardier zayeyuka

AHADI ya Rais John Magufuli ya kununua na kuleta ndege moja aina ya Bombardier ifikapo Julai mwaka huu, imeyeyuka. Ndege haijafika Tanzania. Na sasa rais hazungumzii suala hili tena, anaandika ...

Read More »

Kada wa Chadema aliyesota rumande apata dhamana

KADA wa Chadema wiyani Chato, Obadiah Kiko (41), amepanidhishwa kizimbani jijini Dar es Salaam akituhumiwa kuchapisha “taarifa za uongo juu ya serikali,” anaandika Faki Sosi. Ndani ya chumba cha Mahakama ...

Read More »

Lema: Rais Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema kuwa Rais John Magufuli amedanganywa na wasaidizi wake kuhusu suala la kujiuzulu kwa madiwani wa Chadema kuwa wamemuunga mkono kazi yake ...

Read More »

UDSM wafunguka ‘kufeli’ kwa Rais wa DARUSO

MENEJIMENTI ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), imesema kwa sasa haiwezi kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana na taarifa za Erasmi Leon, aliyekuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa chuo ...

Read More »

Vigogo wa almas ‘maji ya shingo’ Kisutu

UPELELEZI wa kesi kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi bilioni mbili inayowakabili vigogo wa madini ya almas umekamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, anaandika ...

Read More »

Serikali ya Magufuli yalitia ‘kitanzi’ Raia Mwema

UHURU wa vyombo vya habari hususani magazeti umezidi   kuwa mashakani baada ya leo serikali kutangaza kulifungia gazeti linalotolewa kilawiki la Raia mwema, anaandika Faki Sosi. Gazeti hilo lilianzishwa na kumilikiwa ...

Read More »

Mzimu wa Bashite wazidi kupapasa

MEYA wa Manspaa ya Ubungo, Bonface Jacob amesema anakabiliwa vitisho na vishawishi mbalimbali ili kuhakikisha anafuta kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ya ...

Read More »

Madereva 3 wafungiwa milele kuendesha magari nchini

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limewafutia leseni za udereva wadereva watatu na kuwafungia milele kuendesha magari aina ya mabasi pamoja na yale ya mizigo kwa kosa la kusababisha ...

Read More »

Sakata la ‘Bashite’ kutolewa maelezo kesho

TUME  ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumhoji Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob kuhusu  madai yake aliyowasilisha kwa tume hiyo akitaka Mkuu wa  Mkoa wa Dar es ...

Read More »

Yusuf Manji azidi kukaangwa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea kielelezo cha nakala ya dawa anazozotumia mfanyabiashara, Yusuf Manji iliyotolewa na katibu muhtasi wake (sekretari), anaandika Faki Sosi. Mahakama hiyo imeendelea kupokea vielelezo ...

Read More »

Makubwa ya Yusuf Manji mahakamani

DAWA zinazotumikia kwenye matibabu ya ugonjwa wa moyo wa mfanyabiashara, Yusuf Manji zimezua mjadala kwenye ushahidi wa kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya, anaandika Faki Sosi. Mbele ya ...

Read More »

Msomi IFM adakwa akitaka kukodisha Bastola

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemtia mbaroni mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Robson Maji (21)kwa kosa la kukutwa akitaka kuuza bunduki aina ya ...

Read More »

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa ...

Read More »

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

Read More »

Askofu afanya maombi ya kuleta mvua

MWENYEKITI  wa  Good News For all Ministry  Askofu Dk Charles  Gadi  amefanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea taifa ili kuondokana hali ya ukame ulioanza  kuyakumba baadhi ya maeneo hapa ...

Read More »

BAVICHA kumuombea Tundu Lissu

IKIWA ni wiki moja tangu kupigwa risasi za moto mbunge wa  Singida Mashariki Tundu Lissu Chadema), Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), linatarajia kufanya maombi maalumu ...

Read More »

Mtandao wa Jamii forum imesajiliwa: Shahidi

MKUREGENZI mtendaji wa Usajili wa Vikoa vya Mitando Nchini (TZNIC), Abibu Mtahigie amekiri kuwa mtandao wa Jamii Forum umesajiliwa kwa kikoa cha Tanzania (Tz) anaandika Faki Sosi. Akitoa ushahidi kwenye ...

Read More »

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati ya kutoendelea na Mashtaka mahakamani hapo, anaandika ...

Read More »

Wanaharakati wainuka na kupaza sauti

KITUO cha  Sheria Haki za Binaadamu Nchini (LHRC), kimesema kwa sasa hali ya usalama hapa nchini ni siyo nzuri baada ya kuwapo matukio ya mashambulizi a silaha za moto, anaandika ...

Read More »

Mgombea urais Tanzania atupia lawama Polisi

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hashim Rungwe ametupia lawama Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwamba limemuonea kwa kumkamata usiku, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Wabunge waliotemwa na Lipumba wafunguka 

MBUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyetenguliwa Ubunge na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)  Riziki Ngwali amesema hujuma zilizofanywa ndani ya Chama hicho zinaweza kusababisha machafuko, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi. Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka ...

Read More »

Wanafunzi 917,072  darasa la Saba kuhenyeka kesho

WATAHINIWA  917,072 kutoka shule 16, 583 wanatarajia kuanza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2017 kuanzia kesho, anaandika Faki Sosi. Baraza la Mitihani la ...

Read More »

Sikukuu ya Eid yasherekewa kivingine Pugu

VIJANA mbalimbali wa dini ya Kiislamu wamefanya michezo katika viwanja vya Pugu Kajiungeni jijini Dar es Salaam ili kuwasaidia kutojiingiza katika maovu inapofika siku za sikukuu, anaandika Faki Sosi. Tamasha ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube