Thursday , 18 April 2024
Home sosi
808 Articles18 Comments
Habari za SiasaTangulizi

11 wajitosa Urais Chadema

WANACHAMA 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza kutia nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Lissu, mahakama yatoa siku 7 kwa serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania, imeipa siku saba Serikali kujibu kiapo kinzani kwenye kesi Na. 2 ya  mwaka...

Habari za Siasa

Zanzibar imepumua – Rais Magufuli

MIONGONI mwa mambo ambayo Rais John Magufuli anayojivunia katika uongozi wake wa miaka mitano, ni amani visiwani Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaadhimisha siku ya mtoto wa kiafrika kwa maboresho ya sheria

SERIKALI nchini Tanzania inatarajia kuazimisha siku ya mtoto wa Afrika kesho tarehe 16 Juni, 2020 huku ikimarisha mfumo wa kisheria kwenye ustawi wa...

Habari za Siasa

Mbunge Bwege atangaza kutimkia ACT-Wazalendo

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, kuanzia kesho Jumanne Juni 16 2020 baada ya Bunge...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe, ‘azitoboa ’ Bajeti 5 za Rais Magufuli 

KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yakwamisha kesi ya Idriss

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha kesi inayomkabili Idriss Sultani, Msanii wa Vichekesho na mwenzake Innocent Maiga baada ya...

Habari Mchanganyiko

Raia wa Armenia kortini kwa kuisababishia Serikali hasara Mil. 44

VARDAN MKHITARYAN (47), raia wa Armenia na mwenzake, wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa kosa kuisababishia hasara Serikali...

Habari za Siasa

Ado Shaibu: Serikali ilitaka nimlipe Rais Milioni 123

ADO Shaibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema Serikali ilimtaka alipe Shilingi 123 Milioni kama faini ya kushindwa kesi aliyomshtaki Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

CUF:  Tupo tayari kushirikiana lakini… 

CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania,  kimetoa msimamo kuwa kipo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani vyenye dhamira ya kukiondoa madarakani Chama...

Habari Mchanganyiko

Vigogo MSD wadaiwa kukwapua bil 1.6

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)  nchini Tanzania, Laurean Bwanakunu na mwenzake wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Spika Ndugai, Mwambe wapeta

MAHAKAMA Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya kupinga uamuzi wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kumrejesha bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe anusurika kwenda jela, ‘afungwa mdomo’

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amenusurika kifugo cha mwaka mmoja gerezani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Zitto ahukumiwa, apewa masharti magumu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya Zitto Kabwe kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kesho Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma...

Habari Mchanganyiko

Mashtaka ya Idrisa Sultan haya hapa

IDRIS Sultan, msanii wa vichekesho na mwenzake Innocent Maiga, wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za makosa ya mtandaoni. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...

Habari Mchanganyiko

Mbivu, mbichi sheria huduma ya habari Tanzania Juni 9

MAHAKAMA ya Afrika ya Afrika Mashariki imeenza kusikiliza maombi ya wadau wa habari Tanzania la kutaka mahakama hiyo kufuta kusudio la Serikali ya...

Habari za Siasa

Zitto ahoji matokeo uchunguzi maabara ya Corona 

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehoji matokeo ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la vipimo vya ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe amponza Spika Ndugai, washtakiwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri na Cecil Mwambe, Mbunge wa Ndanda aliyejiengua Chadema, wameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

Kisa corona: Makonda atangaza siku ya shangwe Dar

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaagiza wananchi wa jiji hilo kurejea kwenye shughuli zao kama ilivyokuwa awali....

Habari za Siasa

JPM: Mtalii hatowekwa karantini

RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii...

Habari za SiasaTangulizi

Wiki ya JPM kufanya uamuzi mgumu

RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Chadema wamevunja Katiba yao

ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Tito Magoti yapigwa kalenda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeahirisha kesi inayomkabili Tito Magoti, mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki...

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania lashauri corona igeuzwe fursa

KAMATI ya Kudumu ya  Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji nchini Tanzania, imependekeza wakati huu dunia ikiwa kwenye janga la ugonjwa wa homa...

Habari za Siasa

Jacob apambana kutetea umeya wake

BONIFACE Jacob, aliyevuliwa umeya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, amesema taratibu zinamtambua kuwa bado ni Meya. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Jinsi Chadema ilivyopoteza Mameya Dar

UCHAGUZI Mkuu nchini Tanzania uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, ulishuhudia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikipewa ridhaa na wananchi wa Jiji la...

Habari za SiasaTangulizi

Zama za Meya Jacob zahitimishwa Ubungo

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amekiri kumuandikia barua Naibu Meya, Ramadhan Kwangaya, kukabidhiwa majukumu yote ya Umeya ndani...

Habari za Siasa

Makonda atangaza kamatakamata ya wabunge, wao wamjia juu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania ametoa saa 24 kwa wabunge waliopo jijini humo kurudi Dodoma kuhudhuria vikao...

Habari za Siasa

Dk. Lwaitama: Ni uhuru wa mawazo wa wabunge Chadema

HATUA ya baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupuuza uamuzi wa chama hicho wa kutoendelea na vikao vya Bunge,...

Habari Mchanganyiko

Watetezi TV washinda rufaa dhidi ya TCRA

ADHABU  iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa Televisheni ya Mtandaoni ya Watetezi TV ya faini ya Shilingi 5...

Habari Mchanganyiko

Msikiti wa Mtoro Dar uliofungwa, wafunguliwa

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limeamua kuufungua Msikiti wa Mtoro, ulioko maeneo ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam, uliopangwa kufungwa kwa muda...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofariki dunia Tanzania wafikia tisa

WAZIRI  wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Zitto aandika barua nyingine, sasa IMF aitaka kuikagua BoT

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameeleza kuwa ameliandikia barua Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulitaka kuja nchini kuifanyia ukaguzi Benki...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Jacob kumng’oa Kubenea Ubungo?

KAULI ya Boniface Jacob, Diwani wa Kata ya Ubungo (Chadema) na Meya wa Manispaa ya Ubungo, kwamba hatogombea tena udiwani katika Uchaguzi Mkuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tishio la corona: Ibada KKKT, Misikiti zabadilishwa mwelekeo

WAKATI baadhi ya misikiti ikitumia dakika 20 pekee katika Ibada ya Ijumaa, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) sasa litaumia dakika 45...

Habari za Siasa

Tishio la uchumi kufuatia Corona: ACT yaziangukia jumuiya za kimataifa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeziomba jumuiya za kimataifa, hususan taasisi za fedha, kuzipa nafuu katika ulipaji madeni, nchi masikini zenye mikopo, ili ziweze kupata...

Habari za Siasa

Kesi ya Zitto: Shahidi ‘niliona maiti watatu’

SHAHIDI wa mwisho wa upande wa utetezi kwenye kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameieleza mahakama kuwa...

Habari za Siasa

Corona: Zitto aainisha mambo 7 kwa JPM

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemwandikia barua ya ushauri Rais John Magufuli iliyohusu namna ya kuukabili ugonjwa unaotokana na virusi...

Afya

Dar kupuliziwa dawa kuangamiza vimelea vya corona

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ameagiza kupuliziwa dawa ya kuua vimelea vya ugonjwa wa corona (COVID-19) katika maeneo mbalimbali...

Habari za Siasa

‘Uvamizi Segerea’: Mdee, Bulaya waanza kusota Kisutu

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na wenzake 14, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya...

Habari Mchanganyiko

TCRA yamburuza Idriss Sultan kizimbani

MSANII wa vichekesho Idriss Sultan, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi na wenzake wawili wakikabiliwa na kosa la kuchapisha maudhui mtandaoni bila kibali....

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Kwa sasa ni kawaida polisi kuua

MUSA Bakari, shahidi wa tano kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo ameiambia mahakama kwamba ni kawaida polisi kuua....

Habari za Siasa

Shahidi ‘ambeba’ Zitto

SENGWE Mbaruku, Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (Mviwata), mkoani Kigoma amedai, Zitto Kabwe ameshtakiwa kwa sababu ya kuwasemea wananchi wa...

Habari Mchanganyiko

BoT: Fedha zetu hazishiki COVID-19

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza, kwamba virusi vya corona vinavyosababisha homa ya mapafu (COVID-19), havikai kwenye pesa ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Safu ‘nzuri ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepata viongozi wa juu wawili, walioridhiwa na wanachama wa chama hicho usiku wa manane kuamkia leo tarehe 15 Machi 2020....

Habari za SiasaTangulizi

Membe atajwa Mkutano mkuu ACT-Wazalendo

JINA la Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, limetajwa katika Mkutano Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaoendelea katika Ukumbi wa...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Shilungushela watoana jasho

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amechuana vikali na mwanasiasa nguli, Nyagaki Shilungushela katika mdahalo wa kupima wagombea wa uenyekiti...

AfyaHabari za Siasa

Virusi vya Corona: Tahadhari ya Rais Magufuli kwa taifa

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na kusambaa kwa virusi vya Corona. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza kwenye uzinduzi wa...

Habari za Siasa

Lema kupishana na Mbowe jela?

GODBLESS Lema, Mbunge wa Iringa Mjini anaweza kupishana na mwenyekiti wake (Chadema) Freeman Mbowe, iwapo Biswalo Mganga, Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) ‘atamkomalia.’...

error: Content is protected !!