Author Archives: Faki Sosi

Rufaa yawakwamisha Mbowe, Matiko

UAMUZI wa Rufani ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema)-Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime vijijini umekwamisha usikilizwaji wa kesi ya uchochezi inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu ...

Read More »

Wambura ‘kilio’, arejeshwa mahabusu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Michael ...

Read More »

Kesi kupinga wakurugenzi kusimamia chaguzi; serikali yakwama kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi la serikali kwenye shauri la kupinga utaratibu wa kuteuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Wakurugenzi wa ...

Read More »

Kesi ya kina Kitilya yatua Mahakama ya Mafisadi

SERIKALI imeiomba amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kuhamisha kesi ya uhujumu uchumi aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitiyla na wenzake, kwenye Mahakama ...

Read More »

Uhujumu uchumi NIDA: TAKUKURU wamtaka kumhoji upya mtuhumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeombwa kufanya mahojiano upya na Xavery Kayombo, anayeshitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi wa taifa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kayombo ni ...

Read More »

Mmiliki wa Mwendokasi kizimbani kwa uhujumu uchumi

MKURUGENZI wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya kuhujumu uchumi. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

‘Ulissu’ wamponza Michael Wambura

MICHAEL Richard Wambura, aliyepata kuwa Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), amepandishwa kizimbani jijini Dar es Salaam. Ameshitakiwa kwa makossa kumi na saba (17), yakiwamo ya ...

Read More »

ACT-Wazalendo wahofia usalama wa Zitto

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kuwepo kwa hofu ya kudhuriwa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na vyombo vya habari leo tarehe 10 Februari ...

Read More »

Msikiti UDOM ‘wawakutanisha’ Sheikh Ponda, Rais Magufuli

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini ametaka hatua stahiki zichukuliwe kwa walioshiriki kuvunja msikiti katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Mshahara wa Lissu, sasa kaa la moto

MJADALA juu ya kusimamishwa mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, umezidi kupamba moto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ambaye yuko nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu yake, ...

Read More »

ACT-Wazalendo washtukia polisi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetilia shaka maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya kijana Isaka Petro aliyofanyika katika Kanisa la Sabato wilayani Itigi, Singida. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Mahakama yamkubalia Mdee shingo upande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali shingo upande sababu za Halima Mdee, Mbunge wa Kawe kushindwa kuhudhuria kesi yake leo 7 Februari 2019. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mdee alitakiwa ...

Read More »

Magufuli apingwa mahakamani

FATMA Karume, Wakili na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) anaongoza mawakili wenzake upande wa mashtaka kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi uliofanywa na Rais ...

Read More »

Rais Magufuli: Sijaingilia uhuru wa Mahakama

RAIS John Pombe Magufuli, amedai kuwa hajawahi kuingilia utendaji wa kazi za muhimili wa Mahakama. Amesema, “katika uongozi wangu, sijaingilia muhimili wa Bunge wala Mahakama.” Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza leo tarehe ...

Read More »

Kauli yake dhidi ya Magufuli, Mdee kupanda Kisutu tena

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam leo anapanda tena kizimbani kuendelea na shauri lake kuhusu kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli alilofunguliwa mwaka 2017. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya uchochezi; Mahakama yamtaka mdhamini wa Lissu

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameagiza wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi inayohusu tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la MAWIO, wafike mbele yake na ...

Read More »

Mwanajeshi feki kijana anaswa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata mwanajeshi feki aliyekuwa akitumia sare za jeshi hilo kufanya uhalifu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari ...

Read More »

Lissu, Chadema wamsuta Spika Ndugai

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuhusu ya matibabu ya mbunge wake wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Mbowe yupo fiti, atinga mahakamani

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amefika leo tarehe 31 Januari, 2019 kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhudhuria kesi inayomkabili yeye na viongozi waandamizi wa ...

Read More »

Mbowe, Matiko mahakamani tena

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, kesho Alhamisi, tarehe 30 Januari, wanarudi tena kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...

Read More »

Vigogo wa NIDA wasomewa mashtaka 100 Kisutu

DICKSON Maimu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na wenzake watano wasomewa mashtaka mapya 100 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na shitaka na uhujumu ...

Read More »

Zitto akwama Kisutu

SHAHIDI wa Serikali kwenye kesi ya uchechezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha usikilizwaji wa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kutokana na ...

Read More »

‘Mbaya wa Mbowe’ aukwaa ujaji

HAKIMU Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Wilbard Richard Mashauri, ni miongoni mwa maofisa 15 wa mahakama waliotangazwa na Rais John Pombe Magufuli, kuwa majaji wa ...

Read More »

Mahakama yamwachia huru Tido Mhando

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando leo tarehe 25 Januari, 2019 baada kumkuta hana hatia. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Rais Magufuli asikia kilio ujenzi Msikiti UDOM

RAIS John Magufuli amesikia kilio kilichofikishwa na Sheikh Mussa Kundecha, kuhusu kitendo kilichofanywa na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) cha kuvunja msikiti uliokuwa ukijengwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Amesema, kuwa ...

Read More »

JPM ajibu kombora la Mchungaji KKKT

RAIS John Magufuli amejibu hoja iliyoibuliwa na Amani Lyimo, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwamba, ‘amebana’ demokrasia nchini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Amesema, kuna demokrasia ya ...

Read More »

ACT-Wazalendo yabariki CCM kumsulubu Zitto

WAKATI Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipanga kumsulibu Zitto Kabwe, Chama cha ACT Wazalendo kimebariki mkakati huo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ACT-Wazalendo kimeshauri Wabunge wa CCM kujipanga kwa ...

Read More »

CAG amng’ang’ania Spika Ndugai

PROF. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), apigilia msumali kauli yake kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, halina meno na “ni dhaifu.” Anaripoti ...

Read More »

Afya ya Mbowe kizungumkuti Segerea

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetuma mawakili wake kwenda kufuatilia ukweli kuhusu taarifa za ugonjwa wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho Taifa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Salum ...

Read More »

Serikali yamvaa Lissu

SERIKALI ya Tanzania imedai kuwa, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ni muongo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Imeeleza, wakati Lissu akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC-Dira ya ...

Read More »

Herbinder Seth, Rugemarila waiangukia mahakama

TANGU Julai 2017, mpaka leo bado upelelezi haujakamilika, tunaomba upelelezi ukamilike ili tujue mwisho wake ni nini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo ni madai ya upande wa utetezi kwenye ...

Read More »

Mpakistani kizimbani kwa rushwa  

MUHAMMEDI Hasnain Hyderi, Raia wa Pakistan amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Slaam kwa tuhuma za rushwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea).  Leo Alhamisi tarehe 17 Januari 2019 kwenye ...

Read More »

Mbowe mgonjwa, ashindwa kufika mahakamani

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ni mgonjwa, hali iliyopelekea kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo Alhamisi, tarehe 17 Januari 2019, ...

Read More »

Mahakama yawabwaga wapinzani kesi ya muswada

MAHAKAMA Kuu Tanzania imetulia mbali shauri la kupinga Muswada Sheria ya Vyama vya siasa iliyonguliwa na Zitto Kabwe, Salumu Biman na Joran Bashange. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Zitto ambaye ...

Read More »

Zitto aibua madai mapya CAG & Ndugai

ZITTO Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, ameamua sasa “kulipasua jipu.” Anandika Faki Sosi … (endelea). Anasema, kinachomsababishia misukosuko Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu ...

Read More »

Wabunge wamburuza Spika Ndugai kortini

SAKATA kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, limeanza kuchukua sura mpya, kufuatia wabunge wake wanne, kwenda ...

Read More »

Askofu Bagonza: Muswada wa Vyama vya Siasa, ni wa Msajili si wa wananchi.

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, amedai muswada wa vyama vya siasa, “umeandaliwa mahususi kumlinda,” Jaji Francis Mutungi. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Serikali yawasilisha hoja 10, Mahakama kutoa maamuzi J’tatu

SERIKALI imewasiliasha hoja 10 kesi ya kupinga Muswa wa Sheria ya vyama vya siasa iliyofunguliwa na Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT-Wazalendo wa Wenzake. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Waombaji wengine ...

Read More »

Kitilya na wenzake sasa huru, wakamatwa tena

BAADA ya kusota mahabusu ya Magereza kwa miaka mitatu, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitiyla na wenzake, hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru ...

Read More »

Sakata la Prof. Assad; Zitto, Spika Ndugai wapambana kimataifa

NI kama vile sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad ndio kwanza linaanza baada ya ...

Read More »

Wazee wa Chadema: Muswada wa vyama vya siasa, kaburi la demokrasia

MUSWADA wa Vyama vya Siasa waendelea kupingwa na vyama vya upinzani nchi kwa kilichotajwa kuwa kaburi la Demokrasia. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Vyama vya upinzani nchini vimeungana kupinga muswada ...

Read More »

Mahakama Kuu yazuia ‘njama’ za Serikali

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, “kuzima” mkakati wake wa kuchelewesha kesi ya ...

Read More »

Zitto afungua kesi kupinga muswada, yahairishwa mpaka mchana

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake wawili, Joran Bashange na Salim Bimani wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya ...

Read More »

Zitto: Wabunge ‘makasuku’ wanatukwamisha Bungeni

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni kuna kwamisha maslahi ya wananchi kutokana kutumia wingi wao kupitisha yanayowapendeza watawala. Anaripoti Faki ...

Read More »

Vigogo hawa kutikisa Kisutu leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo inatarajia kusikiliza kesi ya vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti  Faki Sosi … (endelea). Miongoni mwa ...

Read More »

Abdul Nondo arejea UDSM

ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya hekaheka na hata kusimamishwa chuo. Anaripoti Faki ...

Read More »

Watoto 5,500 watazaliwa 2019, UNICEF wajipanga kwa usalama wao

SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa na asilimia 1.4 ya watoto watakaozaliwa siku ...

Read More »

Chungu na tamu ya siasa 2018

TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu mmoja mmoja ama taifa kwa ujumla, lakini ...

Read More »

Nusura ya MV. Nyerere kutokea Mafia

IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa katika Bahari ya Hindi wakienda kisiwani Mafia. ...

Read More »

Chadema waanza kupanga safu yao ya uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti wa chama hicho anaendelea kusota mahabusu kutokana ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram