Author Archives: Faki Sosi

Upinzani watinga Mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga sheria vya Vyama vya Siasa

UMOJA wa vyama nane vya upinzani nchini, vimefungua shauri la madai katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jijini Arusha, kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa nchini. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Ndugai amtaka Profesa Assad ajiuzulu

JOB Ndugai Spika wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania  ameshauri  Professa Mussa Assad Mkaguzi na Mdhibiti  Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ajiuzulu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Mahakama yamtia hatiani Bosi wa Vodacom 

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini Sh. 5.8 bilioni, Hisham Hendi, Mkurugenzi  Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, baada ...

Read More »

Sheikh Ponda amlima barua Ndugai, sakata la CAG

TAASISI na Jumuiya za Kislamu Tanzania imemuomba Spika wa Bunge Job Ndugai nakala ya mahojiano ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Mke wa Robert Kisena kuburuzwa kizimbani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru inatarajia kumburuza kortini Florencia Mashauri ambaye ni mke wa Robart Kisena, Mkurugenzi wa Kampuni ya Usafisirishaji ya UDART. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Shahidi amkwamisha Zitto Kisutu

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma mjini, imekwama kuendelea kusikilizwa leo katika Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Tumaini Kweka, Wakili wa Serikali ...

Read More »

Rais TLS: Lissu ahojiwe

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk. Rugemaliza Nshala amesema, ipo haja kwa Tundu Lissu kuhojiwa kutokana na shambulio lake. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Amesema, Watanzania wanahitaji kujua ukweli kuhusu ...

Read More »

Anayedaiwa kutumia jina la Katibu Mkuu CCM kutapeli akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Wilfred Welandumi kwa madai ya kutumia jina la Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya utapeli. Anaripoti ...

Read More »

TEF: Spika Ndugai kakosea

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kutofurahishwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kuzuia waandishi wa habari kuzungumza na wabunge baada ya kuamua kutoka nje ya ukumbi wa ...

Read More »

Serikali yafungua mjadala Sheria ya Vyombo vya Habari

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, imefungua mlango wa majadiliano kuhusu kubadili Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016. Anaripoti Faki Sosi … (Endelea). Kauli hiyo imetolewa baada ya serikali kukutana ...

Read More »

Prof. Shivji: Kuna sheria mbovu zinatungwa

MSOMI wa masuala ya sheria na utawala nchini Profesa Issa Shivji, ameeleza kukerwa na mwelekeo wa utungaji sheria mbovu kwa maslahi ya wachache. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Miongoni mwa ...

Read More »

Kigogo wa TAKUKURU aburuzwa kizimbani kwa uhujumu uchumi

TAASISI ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa  (Takukuru)  imemburuza kortini Kulthum Mansoor, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini  kwa kudaiwa kughushi na kujipatia kiasi cha Sh Bil ...

Read More »

Bulaya akwamisha kesi ya vigogo Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na kuumwa kwa mshitakiwa wa tisa kwenye ...

Read More »

Mahakama yabatilisha hukumu ya Bob Chaha Wangwe

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha hukumu ya mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, marehemu Chacha Wange- Bob Chacha Wangwe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hukumu ilitolewa na Mahakama ...

Read More »

Mdhamini wa Lissu afunguka

ROBERT Katula, mdhamini wa kwanza wa mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, ametaja sababu tatu kubwa za kuomba kujitoa kwenye udhamini wa mwanasiasa huyo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Katula, ...

Read More »

Kimbunga ACT-Wazalendo; CCM yaungana na CUF ‘kulaani’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeungana na Chama cha Wananchi (CUF) kulalamikia hatua ya waliokuwa wanachama wa chama hicho (CUF) kubadili rangi za majengo waliyokuwa wakitumia kupaka rangi ya ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki ...

Read More »

DK. Lwaitama amzungumzia Maalim Seif

UAMUZI  wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad wa kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umetajwa kuwa ni ushujaa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Msomi na ...

Read More »

Pigo lingine kwa Maalim Seif, mahakama yamtambua Prof. Lipumba  

HATIMAYE Mahakama Kuu, Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo tarehe 18 Machi 2019 imetoa uamuzi kwamba, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Nassari ajitetea, aomba huruma ya Spika Ndugai

JOSHUA Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki amemtaka Spika Ndugai kupitia upya uamuzi wake ambao haujazingatia ubinadamu na hata kupewa nafasi ya kusililizwa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Mbowe: Segerea kuna mambo ya kuumiza

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa amesema, amekutana na mambo ya kuumiza alipkuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Mbowe ...

Read More »

Mbowe, wenzake wapangiwa hakimu mwingine, wasomewa mashataka upya

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo tarehe 14 Machi 2019 wamesomewa upya mashtaka yao kutokana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupangia hakimu mwengine katika kesi yao ya ...

Read More »

Mama aliyejifungua watoto wanne apiga yowe

RADHIA Solomon (24), mzazi aliyejifungua watoto wanne kwa pamoja (mapacha) yupo kwenye wakati mgumu wa kukabili changamoto ya kumudu malezi ya watoto hao. Anaripoti Faki Sosi… (endelea). Radhia ameieleza MwanaHALISI ...

Read More »

Manara: Jumamosi ‘DO or DIE’

KUELEKEA mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi AS Vital kutoka nchini Congo, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi siku hiyo ...

Read More »

Zitto atokomea, mahakama yaamuru ‘ajisalimishe’

KESI ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini imekwama baada ya kiongozi huyo mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo na wadhamini wake kutohudhuria. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kutokana na kutofika ...

Read More »

Siri zavuja mgogoro Lipumba Vs Maalim Seif?

MIKAKATI inayofanywa na Kambi ya Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambiliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ina lengo moja kuu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Mahakama yawarejesha Mbowe, Matiko uraiani

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam, imewarejesha uraiani wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (Hai) na Esther Matiko (Tarime Mjini). Anaripoti Faki Sosi …(endelea). ...

Read More »

Hatma ya Mbowe, Matiko Kesho

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu ya uamuzi wa rufaa ya mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mbunge wa ...

Read More »

Rais wa madaktari; Mishahara haitukidhi

RAISI wa Madktari nchini Dk.Elisha Osati, ameiomba serikali kuongeza mishahara kwa watumishi wanaotoa huduma kwenye sekta ya afya nchini ili kumudu mahitaji ya maisha. Anaripoti Faki Sosi, (endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Mbowe kusaka dhamana kesho Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuendelea na usikilizwaji  wa rufaa ya Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini. Anaripoti ...

Read More »

BREAKING NEWS: Mbowe aibwaga Serikali Mahakama ya Rufaa

MAHAKAMA ya Rufaa ya Tanzania, imetupilia mbali maombi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), kupinga Mahakama Kuu, kusikiliza maombi ya kurejeshewa dhamana kwa wabunge wawili wa upinzani chini. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Fundo rufaa ya Mbowe, Matiko kufunguliwa

HATMA ya rufaa ya Freeman Mbowe, Mwenyekti wa Chadema Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini itajulikana kesho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe ...

Read More »

Msiba wa Ruge wakwamisha kesi ya Halima Mdee

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Tabia hii ya Ruge ndiyo ilimvutia JPM, Majaliwa

KIFO cha Ruge Mutahaba, aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) kimeibua sifa zilizojificha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Namna Ruge alivyokuwa akifahamika na wananchi ni zaidi ya namna ...

Read More »

Shahidi akwamisha tena kesi ya Zitto Kabwe

SHAHIDI wa Serikali katika kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha tena kesi hiyo kwa kinachodaiwa kuwa amepata dharura iliyomfanya ashindwe katika ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

Walichoandika Rais Magufuli, Kikwete na wanasiasa kufuatia kifo cha Ruge Mutahaba

SALAMU za majonzi za watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wasanii zimeendelea kuelekekezwa kwa Familia ya Mwanahabari mashuhuri nchini Ruge Mutahaba aliyefariki dunia jana tarehe ...

Read More »

Halima Mdee achomoka mahabusu

HALIMA Mdee, Mbunge wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam amepata dhamana leo baada kukaa ndani kwa saa 24. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Kubenea kutumia Sh. 15 mil, kukarabati soko la Manzese  

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ameahidi kusaidia kiasi cha Sh. 15 milioni ili kufanyia ukarabati wa soko la kuku lililopo katika kata ya Manzese. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Alitoa ...

Read More »

Kubenea ashtukia ufisadi wa Mil.100 soko la Manzese

ZIARA  ya Saed Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo amebaini ufisaidi wa Sh. 100 milioni kwenye machinjio ya kuku kwenye soko la Manzese. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kubenea leo ...

Read More »

Mbunge mwingine wa upinzani akamatwa

MBUNGE wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam, Halima James Mdee, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini. Anatuhumiwa kutoa kauli za kashfa dhidi ya Rais wa Jamhuri, ...

Read More »

Sumaye apokea msaada wa Pikipiki

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kanda ya Pwani, kimekabidhiwa pikipiki nne kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki ...

Read More »

Vitambulisho vya ujasiriamali ni bomu-Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamikia uanzishwaji wa mradi wa serikali wa ugawaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo na kwamba, ni bomu linalosubiriwa kulipuka. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

CUF Maalim: Tunahofia Jaji ametishwa

CHAMA cha Wananchi (CUF), kinachoongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, umedai kuwa kuna mkakati unaopangwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa serikali, kumshinikiza Jaji Dk. Benhajj Masoud, kutoa maamuzi yatakayombeba ...

Read More »

Chadema, serikali wavutana kuhusu Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kutishika na matamshi wanayodai kutolewa na mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano na kwamba, yanatishia usalama wa Tundu Lissu. Anaripoti ...

Read More »

CUF Lipumba; Tumeathirika

UAMUZI wa kufutwa kwa Bodi ya Chama cha Wananchi (CUF) uliotolewa jana tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud kutaathiri shughuli za chama hicho. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na mtandao ...

Read More »

Mbowe, Matiko ‘ngoma bado mbichi’

MAHAKAMA ya Rufani leo tarehe 18 Februari 2019 imeanza kusikiliza rufaa ya serikali ya kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kusikiliza rufaa ya dhamana ya Freeman Mbowe na Esther Matiko. Anaripoti ...

Read More »

Rufaa ya Mbowe ulinzi mkali waimarishwa

ULINZI makali umeimarishwa na Jeshi la Polisi na Magereza kwenye Mahakama ya Rufani wakati mahakama hiyo ikijiandaa kutoa uamuzi wa rufaa ya Freeman Mbowe na Esther Matiko. Anaripoti Faki Sosi… (endelea). Mbowe ambaye ...

Read More »

Fatuma Karume: Naachia ngazi TLS

FATUMA Karume, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) hatogombea tena nafasi hiyo baada ya kustaafu Aprili mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Karume, mwanasheria huyo mwiba kwa Serikali ya ...

Read More »

Prof. Lipumba, Maalim Seif nani kununa leo?

UAMUZI utakaofikiwa leo tarehe 18 Februari 2019 na Jaji Benhajj Masoud wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kuhusu wajumbe halali wa Bodi ya Udhamini ya Chama cha Wananchi ...

Read More »

Mpambano mzito Ndugai vs Zitto

KESI ya kikatiba inayohusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Mamlaka ya Bunge kuhoji wenye kinga kuunguruma leo tarehe 15 Februari 2019. Anaripoti ...

Read More »

Rufaa yawakwamisha Mbowe, Matiko

UAMUZI wa Rufani ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema)-Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime vijijini umekwamisha usikilizwaji wa kesi ya uchochezi inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram