Friday , 29 March 2024
Home sosi
807 Articles17 Comments
Habari za SiasaTangulizi

IGP, DCI ‘wamkimbia’ Nondo mahakamani Dar

WAKATI Mwenyekiti wa Mtandao wa Wananfunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo akipandishwa kizimbani leo asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, Mahakama...

Habari za Siasa

Mawaziri hawa hawako salama

WAZIRI wa Kilimo, Charles Tizeba na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina siku zao zinahesabika kutokana kushindwa kuhudhuria bila kutoa taarifa kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Nondo ‘awaponza’ Sirro, AG na DCI

MAWAKILI wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo wamefungulia kesi Mkuu wa jeshi la Polisi nchini (IGP), Mkurugenzi wa Upelelezi...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yachunguza serikali ya JPM

WAJUMBE wawili kutoka nchini Marekani kutoka katika kitengo cha Mshauri wa Marekani kinachohusu Siasa na Uchumi wametua nchini kwa kile kinachodhaniwa kuchunguza Serikali ya...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi TSNP wahojiwa saa saba kuhusu Nondo

JESHI la Polisi nchi limewahoji viongozi wa Mtandao wa wafunzi (TSNP) kama mashahidi kwenye kesi anayotarajiwa kufunguliwa Mwenyekiti wa mtandao huo Abdul Nondo....

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yahofiwa kuburutwa ICC

KAULI za viongozi wa serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli kwa wananchi, zinaweza kusababisha kufikishwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai...

Habari Mchanganyiko

Namaingo wazindua mradi mpya Msolwa

JUHUDI za Taasisi ya Namaingo Business Agents (NBA), imezindua mradi Shamba Mji Msolwa wilayani Mkuranga, Pwani ikiwa ni mwendelezo wa kuinua uchumi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro awajibu waliomvua uanachama

MWENYEKITI wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amejibu uongozi wa CUF wilaya ya Ubungo, uliomvua uanachama, na kusema...

Habari za SiasaTangulizi

Mauaji, ubaguzi wa mawakala dosari uchaguzi wa marudio

KITUO cha sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kimeeleza mauaji, kubaguliwa kwa mawakala wa upinzani kumetia dosari uchaguzi wa marudi wa jimbo la...

Habari za SiasaTangulizi

Wafuasi wa Chadema waliopigwa risasi waachiwa

MAHAKAMA imewaachia huru wafuasi saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuwapa dhamana wanachama watatu wenye majeraha ya risasi baada ya kufyatuliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aibua mazito risasi ya Akwilina

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amesema kuwa jeshi la Polisi limewajeruhi waandamanaji wa tano wa risasi za moto...

Habari za SiasaTangulizi

Mtatiro wa CUF aiparura serikali ya JPM

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitahadharisha serikali kuwa mashambulizi ya demokrasia yanaweza kuleta athari kwa jamii. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo yameelezwa leo...

Kimataifa

Binti achomwa moto hadi kufa

NI binti wa miaka 18 ambaye alikimbia kwa zaidi ya mita 100 ili kujiokoa na shambulizi, hatimaye alianguka chini kwa uchovu, wauaji wakamfikia...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amjia juu Mwigulu

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Lameck Nchemba, kujiuzulu mara moja wadhifa wake. Anaripoti Faki Sosi...

Habari za Siasa

Viongozi wa Chadema watinga Polisi kwa mahojiano

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamewasili kituo cha Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa mahojiano kama walivyotakiwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Afisa wa serikali apora sanduku la kura Kinondoni

AFISA mmoja mwandamizi wa serikali amepora sanduku la kupigia kura na kutoweka nalo, kwenye eneo la Magomeni, mtaa wa Idrisa, jimbo la Kinondoni,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wakabiliana na Polisi Kinondoni

VURUMAI kubwa imeibuka jijini Dar es Salaam, jioni hii, kufuatia jeshi la polisi kutumia mabomu ya machozi, risasi za moto na maji ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wabunge Chadema ‘waliamsha dude’ ofisi za Tume

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiongozana na Mgombea Ubunge Jimbo la Kinodnoni, Salumu Mwalimu pamoja na wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

DPP amwachia huru Sadifa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia huru aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa Hamis baada ya Jamhuri kuwasilisha ombi la kuifuta kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Watu ‘wasiojulikana’ wazidi kuinyanyasa Chadema

NAIBU Meya wa Manispaa ya Iringa ambaye ni Diwani wa Kata ya Gangalonga (Chadema), mkoani Iringa Dady Igogo, amenusururika kuwa baada ya kuvamiwa...

Habari za Siasa

Ripoti ya Polisi Kinondoni yaikaanga Chadema

RIPOTI ya Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni limeiweka kwenye mazingira magumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuonesha chama hicho kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumuenzi Tambwe Hiza kwa ushindi Kinondoni

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeahidi kumuenzi mwanachama wake Richard Tambwe Hiza kwa kushinda na kutangazwa washindi katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kibatala amnasua Sugu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi-Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu...

Habari Mchanganyiko

Mtoto yatima abakwa na kukatishwa ndoto zake

MMOJA kati ya waathirika wa vitendo vya ubakaji ni motto wa umri wa miaka 13 (jina limehifadhiwa) anayedaiwa kubakwa na kijana anayeitwa Baraka...

Habari za SiasaTangulizi

Tambwe Hizza afariki dunia

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umepata pigo kutokana na kifo cha mwanasiasa machachari, Richard Tambwe Hizza. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ukawa ni...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaeleza sababu za kutekwa diwani wake

CHAMA cha Chadema kimehusisha tukio kutekwa kwa mgombea wa udiwani wa kata ya Buhangazi wilayani Muleba Mkoani Kagera, Nelson Makoti kuwa ni njama...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Ushirikina: Chanzo cha ubakaji na ulawiti Iringa

IMANI sugu za ushirikiana mkoani Iringa ni mojawapo ya chanzo cha imani potofu zinazochochea vitendo viovu vya ubakaji, ulawiti na udhalilishaji wa watoto...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea: Tutashinda na tutatangazwa washindi

MBUNGE wa Chadema jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amesema, ni lazima chama chake kiibuke kidedea kwenye kinyang’anyiro cha ubunge jimboni Kinondoni. Anaripoti Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Lowassa, Sumaye, wabunge wa Chadema wammaliza Mtulia

EDWARD Lowasa Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameawambia wananchi wasipopigania Demokrasia watakuwa kwenye kibano. Anaripoti Faki Sosi...

Habari Mchanganyiko

Ukatili na unyanyasaji wa kijinsia unavyoathiri watoto Iringa

LICHA ya juhudi za serikali na watetezi wa haki za watoto kuendeleza harakati za kulinda hadhi na afya za watoto nchini Tanzania, matukio...

Elimu

Rais wa DARUSO alikoroga UDSM

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamemtuhumu Rais wa serikali yao, kwa kukiuka katiba na kutumia nafasi yake kufanya mambo...

Habari za Siasa

Meya Dar: Ngoma ngumu 2020

USHINDI wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwenye uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ni ishara kwamba uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

UKAWA kuanikwa siri ya ushindi ya Unaibu Meya

MWENYEKITI wa Chadema, Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, atakutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, muda wowote wiki hii. Anaripoti Faki...

Habari za Siasa

CCM washikana uchawi, uchaguzi wa naibu meya

DIWANI mmoja kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina tunalihifadhi kwa sasa, ameibua taharuki baada ya kuamua kumpigia kura mgombea wa nafasi ya naibu...

Habari za Siasa

Dk. Bisimba wa LHRC ajivisha ‘mabomu’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimejivisha mabomu na kukataa wazi wazi mpango wa serikali kilichodai kwamba ni muendelezo wa kuminya...

Habari Mchanganyiko

TCRA yaihukumu Azam TV, Star TV

MAMLAKA ya mawasiliono nchini TCRA imetoa hukumu kwa televisheni nne kwa tuhuma za uchochezi  na kukiuka  kanunuzi za utangazaji, Anaripoti Faki Sosi….(endelea) Mamlaka hiyo...

Afya

Unicef yalilia maisha ya watoto waliozaliwa Mwaka Mpya

IKIWA ndani ya mwaka mpya watoto 48,000 wamezaliwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini shirika la watoto duniani Unicef limezisihi nchi za ukanda...

Habari za Siasa

Mdogo wa Lissu: Bunge limembagua Tundu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linadaiwa kumbagua Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kilichodaiwa ni kutokana na Spika wa bunge...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba apata pigo jingine

MAHAKAMA ya Rufaa nchini imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na msajili wa vyama vya...

Habari Mchanganyiko

Sheikh Ponda aibwaga tena Serikali, aachiwa huru

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa watangaza vita na NEC uchaguzi wabunge

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Januari 13, 2018...

Habari za Siasa

Kubenea: Nitawasaka wanaonichafua

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amekana madai kuwa anataka kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki Sosi…...

Habari za SiasaTangulizi

Upinzani wazidi kubomoka, Mbunge wa CUF arudi CCM

MAULID Mtulia, Mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF amejiuzulu uanachama na ubunge kupitia chama hicho kwa madai kuunga mkono...

Habari za SiasaTangulizi

‘Vita nyingine’ ya uchaguzi mdogo yaja

KIPYENGA cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu ya Tanzania Bara na kata sita, kimepulizwa rasmi, imefahamika, anaandika Faki Sosi. Makamu Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Utekwaji, uteswaji umevuruga Uchaguzi wa Madiwani

UCHAGUZI mdogo wa kata 43 nchini uliofanyika Novemba 23 mwaka huu umeingia dosari kutokana kuripotiwa kwa matukio ya kupigwa, kutekwa pamoja matumizi mabaya...

Habari Mchanganyiko

Serikali yazitia Kitanzi Asasi za kiraia, THRDC watoa kauli

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umepinga kauli ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa...

Habari za Siasa

Lowassa akanusha kuomba kurejea CCM

EDWARD Lowassa amesema hana mpango wa kurejea CCM kama ambavyo taarifa zimekuwa zikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii, anaandika Faki Sosi. Lowassa amesema amepata...

Michezo

Wema Sepetu azidi kusota mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imehailisha usikilizwaji wa kesi  ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu mpaka...

Habari za Siasa

Hukumu ya Sheikh Ponda kizungumkuti

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda kwa mara nyingine, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Z’bar wamponza mtoto wa Chacha Wangwe

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhuku kwenda jela mwaka mmoja  na nusu au kulipa faini ya Sh. 5 milioni, mtoto wa Marehemu Chacha...

error: Content is protected !!