CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuhusu ya matibabu ya mbunge wake wa Singida Mashariki,...
By Faki SosiJanuary 31, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amefika leo tarehe 31 Januari, 2019 kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhudhuria...
By Faki SosiJanuary 31, 2019MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko, kesho Alhamisi, tarehe 30 Januari, wanarudi...
By Faki SosiJanuary 30, 2019DICKSON Maimu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na wenzake watano wasomewa mashtaka mapya 100 kwenye Mahakama ya Hakimu...
By Faki SosiJanuary 29, 2019SHAHIDI wa Serikali kwenye kesi ya uchechezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha usikilizwaji wa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Faki SosiJanuary 29, 2019HAKIMU Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Wilbard Richard Mashauri, ni miongoni mwa maofisa 15 wa mahakama waliotangazwa na...
By Faki SosiJanuary 27, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando leo tarehe 25 Januari, 2019...
By Faki SosiJanuary 25, 2019RAIS John Magufuli amesikia kilio kilichofikishwa na Sheikh Mussa Kundecha, kuhusu kitendo kilichofanywa na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) cha kuvunja...
By Faki SosiJanuary 23, 2019RAIS John Magufuli amejibu hoja iliyoibuliwa na Amani Lyimo, Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwamba, ‘amebana’ demokrasia nchini. Anaripoti Faki...
By Faki SosiJanuary 23, 2019WAKATI Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakipanga kumsulibu Zitto Kabwe, Chama cha ACT Wazalendo kimebariki mkakati huo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJanuary 20, 2019PROF. Mussa Assad, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), apigilia msumali kauli yake kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
By Faki SosiJanuary 18, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetuma mawakili wake kwenda kufuatilia ukweli kuhusu taarifa za ugonjwa wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa chama hicho...
By Faki SosiJanuary 18, 2019SERIKALI ya Tanzania imedai kuwa, Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ni muongo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Imeeleza, wakati Lissu akihojiwa na...
By Faki SosiJanuary 17, 2019TANGU Julai 2017, mpaka leo bado upelelezi haujakamilika, tunaomba upelelezi ukamilike ili tujue mwisho wake ni nini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo...
By Faki SosiJanuary 17, 2019MUHAMMEDI Hasnain Hyderi, Raia wa Pakistan amepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Slaam kwa tuhuma za rushwa. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). ...
By Faki SosiJanuary 17, 2019MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ni mgonjwa, hali iliyopelekea kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hayo...
By Faki SosiJanuary 17, 2019MAHAKAMA Kuu Tanzania imetulia mbali shauri la kupinga Muswada Sheria ya Vyama vya siasa iliyonguliwa na Zitto Kabwe, Salumu Biman na Joran Bashange....
By Faki SosiJanuary 14, 2019ZITTO Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, ameamua sasa “kulipasua jipu.” Anandika Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJanuary 13, 2019SAKATA kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, limeanza kuchukua...
By Faki SosiJanuary 13, 2019ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, amedai muswada wa vyama vya siasa, “umeandaliwa mahususi...
By Faki SosiJanuary 12, 2019SERIKALI imewasiliasha hoja 10 kesi ya kupinga Muswa wa Sheria ya vyama vya siasa iliyofunguliwa na Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT-Wazalendo wa Wenzake....
By Faki SosiJanuary 11, 2019BAADA ya kusota mahabusu ya Magereza kwa miaka mitatu, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitiyla na wenzake, hatimaye...
By Faki SosiJanuary 11, 2019NI kama vile sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof....
By Faki SosiJanuary 11, 2019MUSWADA wa Vyama vya Siasa waendelea kupingwa na vyama vya upinzani nchi kwa kilichotajwa kuwa kaburi la Demokrasia. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJanuary 7, 2019MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...
By Faki SosiJanuary 4, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake wawili, Joran Bashange na Salim Bimani wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Muswada...
By Faki SosiJanuary 4, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni kuna kwamisha maslahi ya wananchi kutokana kutumia...
By Faki SosiJanuary 3, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo inatarajia kusikiliza kesi ya vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....
By Faki SosiJanuary 3, 2019ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya...
By Faki SosiJanuary 2, 2019SHIRIKA la Wototo Duniani (UNICEF) limeeleza kuwa siku ya mwaka mpya kutazaliwa watoto 395,072 ambapo nchini Tanzania watazaliwa watoto 5,500 ambao ni sawa...
By Faki SosiDecember 31, 2018TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu...
By Faki SosiDecember 31, 2018IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa...
By Faki SosiDecember 27, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti...
By Faki SosiDecember 26, 2018RAIS John Magufuli amemgomea John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo kuhusu ombi lao la kuitaka serikali kuwalipa fidia...
By Faki SosiDecember 19, 2018MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imehalisha kutoa uamuzi juu ya uhalali wa Msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Profesa Ibrahim...
By Faki SosiDecember 2, 2018MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa maamuzi muda mfupi ujao, iwapo maombi ya Freeman Mbowe na Ester Matiko ya kupewa...
By Faki SosiNovember 30, 2018JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ametupilia mbali, mapingamizi ya serikali yaliyolenga kumzuia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini,...
By Faki SosiNovember 30, 2018LEO yaweza kuwa siku ngumu kwa utawala na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iwapo Dk. Vicensia Shule...
By Faki SosiNovember 30, 2018JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, amepanga kutoa umauzi wa pingamizi la awali kwenye kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Faki SosiNovember 29, 2018MKAKATI wa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), “aliyechongwa” na msajili wa vyama vya siasa, Prof. Ibrahimu Lipumba, kutaka kuwaondoa wafuasi wa Katibu...
By Faki SosiNovember 26, 2018HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Wilbard Mashauri, ametoa sababu kubwa tano alizofikia kufanya maamuzi ya kufuta dhamana...
By Faki SosiNovember 24, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewafutia dhamana, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mbunge...
By Faki SosiNovember 23, 2018JESHI la Polisi limewasafirisha viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliowakamata juzi jioni baada ya kampeni za udiwani kwenye kata Kivinje...
By Faki SosiNovember 22, 2018TATIZO la usafiri limekwamisha kesi ya Harbinder Seth na mfanyabiashara James Rugemalira iliyokuwa ikitajwa leo Alhamisi Novemba 22, 2018 lakini imeshindikana kutoka na...
By Faki SosiNovember 22, 2018MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashataka kuharakisha ushahidi kwenye kesi inayomkabili Halima Mdee Mbunge wa Kawe ya ya kutumia lugha...
By Faki SosiNovember 21, 2018VIONGOZI watatu wandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekamatwa na jeshi pa polisi, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, kwa tuhuma “zisizojulikana.” Anaripoti Faki Sosi...
By Faki SosiNovember 21, 2018RAIS John Magufuli amepiga ‘stop’ kufanyika Sherehe za Uhuru mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa amesema hayo leo...
By Faki SosiNovember 20, 2018NI siku ya tatu tangu Serikali kuifikisha Bungeni Muswada wa sheria ya vyama vya siasa nchini ambapo umoja wa vyama vya siasa visivyokuwa...
By Faki SosiNovember 19, 2018MAHAKAMA ya hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa Jamhuri kuharakakisha upelelezi wa kesi inayomkabili Kamishna wa zamani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
By Faki SosiNovember 19, 2018NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni...
By Faki SosiNovember 19, 2018