Author Archives: Faki Sosi

Mzungu aponzwa na Mkia wa Tembo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Raia wa Afrika kusini Rudolf Van Niekerk miaka tano jela au faini ya Sh 65.8 milioni kwa kosa la kusafirisha nyara za serikali, anaandika ...

Read More »

‘Wanamtandao’ wa ujangili kizimbani

WATU 10 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa kuratibu mtandoa wa ujangili unaojihusisha na usafirishaji wa meno ya tembo, anaandika Faki Sosi. Watuhumiwa hao ni ...

Read More »

Utetezi MAWIO watupwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo imesema kuwa, hoja zilizotolewa na upande wa washtakiwa katika kesi ya uchochezi kwenye Gazeti la MAWIO, hazina mashiko, anandika Faki Sosi. ...

Read More »

Mtuhumiwa wa kuiba mil 7 kwa dakika apandishwa kizimbani

MOHAMEDI Mustafa Mkurugenzi wa Kampuni ya Farm Plant Limited na wenzake wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kuisababishia serikali hasara ya Sh 15.6 billion, anaandika Faki Sosi. ...

Read More »

Gwajima aibuka

  MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameibuka na kutiwa mbaroni na jeshi la polisi, anaandika Faki Sosi. Mchungaji Gwajima alikamatwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa ...

Read More »

Ndoa chini ya miaka 18 marufuku

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana imebatilisha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 iliyokuwa inatoa mwanya wa binti wa  chini ya umri wa miaka ...

Read More »

Sheria ya Ugaidi yawakera Waislam

SHERIA elekezi inayotumiwa katika kukabiliana na ugaidi nchini na dunia zima ina uonevu mkubwa kwa kuwa, wanaohusishwa nayo wengi wao si magaidi, anaandika Faki Sosi. Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa ...

Read More »

Kesi ‘Kifaru cha Jeshi’ yapigwa kalenda

UPELELEZI wa kesi inayowakabili Musa Mkama, Mhariri wa Gazeti la Dira na Prince Newton, mwandishi wa gazeti hilo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirishwa, anaandika ...

Read More »

Lugola aionya Jamhuri kumsotesha kortini

KANGI Logala, Mbunge wa Mwibara ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuoa onyo kwa Jamhuri kwa kukwamisha kuwasomea maelezo ya awali katika kesi inayowakabili, anaandika Faki Sosi. Lugola, Victor Mwambalaswa, ...

Read More »

Hakimu Kisutu ‘awawakiwa’ Mdee, Mwita

HATUA Halima Mdee, Mwita Waitara kutofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuendelea na shauri la kesi yao, imemkera hakimu Huruma Shahidi, anaandika Faki Sosi. Ni ...

Read More »

Gwajima mgonjwa, kesi yake yapigwa kalenda

PETER Kibatala wakili wa Josephati Gwajima Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima ameiomba mahakama kuhairisha tarehe ya kusikiliza kesi inayomkabili askofu huyo sababu anaumwa, anaandika Faki Sosi. Kibatala amedai ...

Read More »

Mbunge alizwa milioni 4.8

WATU saba wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa Tuhuma za kumwibia Sh 4.85 milion, Angel Kiziga Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, anaandika Faki Sosi. Watuhumiwa hao ...

Read More »

Lissu: Namtaka dikteta uchwara mahakamani

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki amesema, ‘namtaka dikteta uchwara mahakamani,’anaandika Faki Sosi. Lissu ambaye ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni amesema hayo leo muda mfupi baada ya ...

Read More »

Ukawa wavuruga tena bungeni

LEO wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wametibua taratibu za Bunge kwa mara nyingine, anaandika Faki Sosi. Wametoka nje baada ya Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika ...

Read More »

MAWIO wapangua mashtaka mawili

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo imewafutia mashitaka mawili Siomon Mkina, Mhariri wa Mawio na Jabir Idrisa, mwandishi wa gazeti hilo na Tundu Lissu, Mbunge wa ...

Read More »

Lissu: Serikali hii ni ya hovyo

TUNDU Lissu, Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ameseme kuwa, vitendo vinavyofanywa na serikali ya sasa ni vya hovyo, anaandika Faki Sosi. Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema pia ...

Read More »

Mafisadi sasa kumekucha

AHADI ya Rais John Magufuli kuanza kushughulika na viongozi wa umma wanaofanya ufisadi, sasa inapelekwa mkukumkuku, anaandika Faki Sosi. Ikiwa tayari Bunge la Jamhuri limepitisha Sheria ya Uanzishwaji wa Mahakama ...

Read More »

Mzimu wa ‘Bunge Live’ watikisa

HATUA ya serikali kuzuia kurusha moja kwa moja mjadala wa vikao vya Bunge kama ilivyokuwa awali, bado inaumiza wananchi, anaandika Faki Sosi. Safari hii wananchi wametinga mahakamani na kwamba leo wamefika ...

Read More »

CCM waifanyia mbaya CUF

YOWE linapigwa na Chama cha Wananchi (CUF) dhidi ya rafu zinazochezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Ahmed Mbonde, Diwani wa Kata ya Kilindoni (CUF) wilayani Mafia katika ...

Read More »

Sangoma wapandishwa kortini

WATU watatu wanaosadikika kuwa waganga wa kienyeji wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa la kosa utapeli, anaandika Faki Sosi. Watu hao ni Halid Mjewa (55), Salum Mwawala ...

Read More »

Jua kupatwa Sept 1

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetoa utafiti wa tukio la kupatwa kwa jua nchini pamoja na sehemu zote za Afrika pia Madagaska litakalotokea tarehe 1 Septemba mwaka huu, anaandika ...

Read More »

Dira ya Mtanzania wapandishwa kortini

  MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewapandisha kizimbani, mhariri na mwandishi wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Musa Mkama na Prince Newton kwa kosa moja la kuandika habari za uongo ...

Read More »

Vodacom yaja na mfumo mpya ununuzi magazeti

KAMPUNI ya Simu za Mkononi (Vodacom) leo imezindua mfumo mpya wa kununua magazeti na majarida kupitia simu za mkononi za kisasa (smartphone) kwa kupakua ‘application’ inayoitwa m-paper, anaandika Faki Sisi. Vodacom ...

Read More »

Hali inatisha bungeni

KAMA mdhaha vile. Moto unazidi kufukuta kati ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wanaotoka vyama vya upinzani bungeni, anaandika Faki Sosi. Mpasuko katika makundi hayo mawili (chama ...

Read More »

Kinachomtesa Magufuli ni woga

NCHI inatikisika. Kilicho nyuma ya mtikisiko huo ni woga wa mkuu wa nchi, Rais John Magufuli, tena woga usio na mchungaji, anaandika Faki Sosi. Mambo mengi yanayoonekana kumpoteza Rais Magufuli ...

Read More »

Rubaratuka mwenyekiti mpya TPA

RAIS John Magufuli amemteua Prof. Ignas Aloys Rubaratuka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia Mwezi Aprili mwaka huu, anaandika Faki ...

Read More »

Chadema wapokwa kata Kibamba

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemvua udiwani Ephraim Kinyafu, aliyekuwa Diwani wa Kata ya Saranga (Chadema) kwa madai uchaguzi uligibikwa na unakasoro, anaandika Faki Sosi. Akitoa hukumu leo Warialandwe Lema, Hakimu Mkazi ...

Read More »

Prof. Lipumba kuiua CUF?

HATIMAYE Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa Mwenyekti wa Chama cha Wananchi (CUF) ametangaza kurejea kwenye nafasi yake ya uenyekiti-taifa wa chama hicho, anaandika Faki Sosi. Amesema, anarejea kwenye nafasi hiyo baada ...

Read More »

Pwani wamvaa Rais Magufuli

CHAMA Cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Pwani kimemtaka Rais John Magufuli kuendesha nchi kwa kufuta misingi ya sheria na Katiba, anaandika Faki Sosi.  Kauli hiyo imetolewa na Baraka Mwago, ...

Read More »

Bajeti 2016/17 yakera CCM

BAJETI ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 iliyosomwa jana, imekera wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Wabunge hao wameonesha kukerwa na bajeti hiyo pale Dk. Philip ...

Read More »

CUF yakwama tena kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesikiliza hoja za kupinga kiapo cha ushahidi kilichotolewa na Muhidin Thabit, shahidi wa Kondo Bungo katika kesi ya kupinga matokeo ...

Read More »

Mbowe: Haturudi nyuma

KAZI imeanza. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli jana kusababisha vurugu kubwa Kahama mkoani Shinyanga, anaandika Faki Sosi.   NI kwa mara ya kwanza ndani ya ...

Read More »

‘CCM wamempuuza Waziri Mkuu’

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepuuza kauli ya Kassimu Majaliwa, Waziri Mkuu iliyowataka wananchi kuacha na siasa na kujikita katika maendeleo, anaandikaFaki Sosi. Waziri Majaliwa alitoa kauli hiyo mwanzoni mwa mwaka huu ...

Read More »

Polisi yakurupua ‘vita’ ya Chadema, CCM

  JESHI la Polisi nchini limeingilia kati ‘vita’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Taarifa ya Nsato Mssanzya, Kamishna wa Polisi Operesheni ...

Read More »

Kubenea abaini madudu fedha za jimbo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo, Dar es Salaam ameeleza kubaini kuwepo kwa ufujaji wa fedha za miradi ya maendeleo ya jimbo hilo na baadhi ya viongozi wa mitaa, anaandika Faki ...

Read More »

Ukawa waipopoa BoT Bungeni

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni inatilia mashaka uwezo na dhamira ya Benki Kuu (BoT) kufanya ujasusi wa miamala ya fedha, anaandika Faki Sosi. Ni katika kuzuia utakatishaji wa fedha sambamba na ...

Read More »

Sheikh Ponda ‘asakwa’

  SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, bado anawindwa na mawakili wa serikali, anaandika Faki Sosi. Mawakili hao wanapinga hukumu yake iliyotolewa na Richard Kabate, ...

Read More »

Zamu ya Dola kumdhibiti Maalim

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kimeshindwa kumdhibiti Maalim Seif Sharif Hamad na sasa dola kutumika, anaandika Faki Sosi. Wabunge wa CCM kupitia Baraza la Wawakilishi (BLW) visiwani humo jana ...

Read More »

Mgomo UDSM; Hakijaeleweka

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kusitisha mgomo wao mpaka pale pesa za kujikimu zitakapoingizwa kwenye akaunti zao, anaandika Faki Sosi. Mgomo huo umeanzishwa baada ya kucheleweshwa ...

Read More »

Makinda mwenyekiti mpya wa bodi MHIF

RAIS John Magufuli amemteua Anna Makinda, aliyekuwa Spika wa Mbunge kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Kudai ajira kwawaponza wahitimu JKT

WAHITIMU sita wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo kufanya mkusanyiko usio halali na kushawishi wenzao kuandamana ...

Read More »

Kimenuka, Bunge laahirishwa

BUNGE la Tanzania limeahirishwa. Ni kutokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugomewa kuwasilisha hoja binafsi kuhusu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kusimamishwa, anaandika Faki ...

Read More »

CCM yaangukia pua Tabata

PATRICK Asenga Diwani wa Kata ya Tabata (Chadema) ameshinda kesi ya uchaguzi aliyofunguliwa na Sudi Kasim aliyekuwa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Mahakama ya Hakimu ...

Read More »

Silaa akwama tena kortini

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekwama kuendelea kusikiliza ushahidi wa aliyekuwa mgombe ubunge wa Ukonga, Jerry Silaa (CCM) baada ya kuwekewa pingamizi na upande wa walalamikiwa, ...

Read More »

Maalim Seif amtia kiwewe Dk. Shein

KIWEWE cha Serikali ya Dk. Ali Mohammed Shein kinakomaa, matokea ya kukanyagwa demokrasia visiwani Zanzibar yanatesa utawala wake, anaandika Faki Sosi. Kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais ...

Read More »

Ukawa wasaka majangili bungeni

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyofanyika tarehe 4 Oktoba 2013 haijafika kikomo. Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo bungeni vimedai idadi ya majangili waliokamatwa, anaandika Faki Sosi. Ni kwa ...

Read More »

Kesi ya DART na serikali Juni 21.

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imepanga kusikiliza kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh milioni 83.5, Juni 21 mwaka huu, kesi hiyo inawakabili vigogo watatu wa Mradi ...

Read More »

Mnyika aibuka na IPTL, Escrow, Richmond bungeni

MAAZIMIO ya Bunge kuhusu Richmond, Akaunti ya ‘Escrow’ pamoja na umiliki wa Kampuni ya IPTL yameibuka tena bungeni na kuipa serikali wakati mgumu, anaandika Faki Sosi. Akiwasilisha Hotuba ya Msemaji ...

Read More »

Idd Azzan abwaga manyanga

IDD Azzan aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni (CCM), amekubali kushindwa na Maulid Mtulia wa CUF,anaandika Faki Sosi. Azzan kupitia wakili wake Abubakari Salim ameiomba Mahakama Kuu nchini kufuta kesi ...

Read More »

Ngawaiya wa CCM aiomba ‘poo’ mahakama

  JONATHAN Mulinga, wakili mtetezi katika kesi inayomkabili Thomas  Ngawaiya, aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ameiomba mahakama isogeze mbele kesi hiyo ile ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube