Author Archives: Pendo Omary

Mahakama Kuu yazuia ruzuku ya CUF

MAHAKAMA Kuu, Masijala ya Dar es Salaam imemzuia Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kutoa fedha za ruzuku ya Chama cha Wananchi – CUF kwa Profesa Lipumba na ...

Read More »

Lijualikali: Nimepata mateso makali Ukonga

PETER Lijualikali, Mbunge wa Kilombero, (Chadema) amesema akiwa mfugwa kwa yake kwa siku 79 katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam, aliteswa na kunyimwa haki zake, anaandika Pendo Omary. ...

Read More »

Lijualikali arudi uraiani, Sumaye ampokea

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, ameongoza viongozi wa Chadema waliofika kwenye gereza la Ukonga kumtoa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali, anaandika Pendo Omary. Lijualikali ametoka gerezani baada ...

Read More »

Mahakama Kuu yamtoa Lijualikali gerezani

PETER Lijualikali (30), Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yupo huru. Amevuka vinzingiti dhidi ya haki. Ameshinda kesi ya rufaa ya jinai Na. 60 ...

Read More »

Rais Magufuli awaonya wanahabari, asema hawana uhuru

RAIS John Magufuli leo amewaonya waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari kwa namna wanavyofanya kazi yao. “Be careful, watch it. Sasa mnafikiri mna uhuru wa namna hiyo? not for ...

Read More »

Wanasiasa, wadau wamtia moyo Nape

WANANCHI na wadau mbalimbali wametoa maoni juu ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, anaandika Pendo Omary. Nape uteuzi wake ...

Read More »

Makonda alitishia kuwafunga jela Clouds

KAMATI ya Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ya kuchunguza uvamizi uliofanywa kwa studio za Clouds Media na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, imekabidhi ripoti ...

Read More »

Wahariri, Waandishi wamsusia Makonda

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ushirikiano ...

Read More »

Magufuli amwambia Makonda “chapa kazi”

RAIS John Magufuli amemwambia Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, “endelea kuchapa kazi” na anamtaka aamini kuwa ni yeye rais anayepanga, wala sio kushauriwa na mtu yeyote, ...

Read More »

Chadema: Bajeti ijayo maumivu tupu

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Bajeti inayopendekezwa na serikali katika mwaka wa fedha 2017/2018 ina mapungufu makubwa yanayotishia hata utekelezaji wake, anaandika Pendo Omary. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Magufuli, Zitto, Mwigulu wanena kuhusu wanawake

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa pamoja na watu mashuhuri hapa nchini akiwemo Rais John Magufuli, wametoa salamu za kuwatakiwa heri wanawake katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, anaandika Pendo ...

Read More »

CUF yampuuza Prof. Lipumba

NASSOR Ahmed Mazrui, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar amesema Katiba ya chama hicho haimpi mamlaka yoyote Profesa Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi na manaibu wakurugenzi ...

Read More »

‘Katiba pendekezwa itachochea Wazanzibar kudai uhuru’

OTHMAN Masoud Othman, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kutimuliwa kwa kuunga mkono mapendekezo ya serikali tatu, amesema Katiba inayopendekezwa  itajenga mfumo utakaosababisha kizazi kijacho cha Zanzibar kidai uhuru ...

Read More »

Mama Kikwete afariki dunia

NURU Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefariki dunia mapema hii leo, anaandika Pendo Omary. Bi. Nuru amefariki mapema ...

Read More »

ACT Wazalendo walilia Azimio la Arusha

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema chimbuko la kiwango cha kutisha cha rushwa na ufisadi uliotamalaki nchini kwa sasa, ni uamuzi wa uongozi kufuta Azimio la Arusha, anaandika Pendo Omary. Azimio ...

Read More »

Washukiwa wa unga, wamtii Makonda

WEMA Sepetu amefika. Babuu wa Kitaa amefika. Khalid Mohamed (TID) amefika. Hamidu Chambuso (Nyandu tozi) naye amefika. Ni wasanii walioepuka ‘kiaina’ mgogoro mkubwa na serikali ya Mkoa wa Dar es ...

Read More »

Polisi: wanaoporwa mamilioni hawatunzi siri

WASAFIRISHAJI wa fedha wametakiwa kuwa na usiri katika michakato yote inayohusiana na usafirishaji wa fedha ili kuepuka matukio ya kuvamiwa na majambazi, anaandika Pendo Omary. Mbali na kuwa na usiri, ...

Read More »

ACT yazidi kuikaba serikali

CHAMA Cha ACT-Wazalendo sasa kinataka serikali imwelekeze Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye utoaji wa vibali vya kuuza chakula nje mwaka jana, anaandika Pendo ...

Read More »

Kigogo Chadema alia na kodi

ONGEZEKO la kodi limetajwa kuchochea hali ngumu ya maisha inayolalamikiwa na wananchi wengi hapa nchini, anaandika Pendo Omary. Casimir Mabina, Mratibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya ...

Read More »

Polisi Dar kuwavaa wauza silaha

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewataka wafanyabiashara kuacha kuuza silaha kama mapanga, majambia, visu, manati na upinde bila utaratibu wa kisheria, anaandika Pendo Omary. Simon Sirro, ...

Read More »

Lissu amwaga siri kufungwa Lijualikali

HATUA ya Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, Morogoro kumfunga Peter Lijualikali, Mbunge wa Jimbo la Kilombero miezi sita jela, inatokana na visa vya kisiasa, anaandika Pendo Omary. Ni kauli ya ...

Read More »

MSD yawatangazia ‘neema’ wagonjwa

BOHARI ya Dawa hapa nchini (MSD) leo imetangaza hali ya kuridhisha ya upatikanaji wa dawa na kusema hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu aina 17 ya dawa zitawasili kwamba upatikanaji ...

Read More »

Kimbembe CUF, 369 milioni zatoroshwa

SHILINGI 369.4 milioni mali ya Chama Cha Wananchi (CUF) zinadaiwa kutoroshwa kutoka Hazina ya Serikali Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya Alhamis ya tarehe 05 Januari 2017, ...

Read More »

CUF yavuka kihunzi Dimani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimevuka kihunzi cha rufaa iliyowekwa dhidi yake na mgombea ubunge Jimbo la Dimani Zanzibar, Juma Ali Juma wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Pendo Omary. Taarifa ...

Read More »

CUF yaiachia Chadema kata zote uchaguzi mdogo

CHAMA cha Wananchi CUF kimesema hakijasimamisha mgombea yoyote katika chaguzi za marudio zinazotarajiwa kufanyika Januari 22 mwakani katika kata 20, ananadika Pendo Omary. Akizungumza na MwanaHALISI Online leo jioni Shaweji ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar gizani

WAKATI kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani, Zanzibar zikiwa zimeanza, Juma Ali Juma mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amemkatia rufaa kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ...

Read More »

Dk. Mahanga: Magufuli anaua demokrasia aliyoikuta

DAKTARI Makongoro Mahanga, aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kazi ameshangazwa na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli akisema, ni utawala uliojipambanua kwa kuminya na kukandamiza ...

Read More »

Kubenea: Mtanufaika nami

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam amewahakikishia wakazi wa Mtaa wa Mavurunza A, Kata ya Kimara jimboni humo kwamba, kero zao zitatatuliwa, anaandika pendo Omary. ...

Read More »

CUF yapitisha mgombea Dimani, Zanzibar

CHAMA cha Wananchi – CUF tayari kimemteua mwanachama wake Abdulrazak Khatib Ramadhan kugombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Dimani Zanzibar, anaandika Pendo Omary. Nassor Ahmed Mazrui, Naibu Katibu ...

Read More »

Ukawa kuidhibiti NEC, Lipumba uchaguzi Dimani

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimejipanga kudhibiti hila za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Prof. Ibrahim Lipumba kukihujumu Chama Cha Wananchi – CUF katika uchaguzi ...

Read More »

Dk. Mahanga: Magufuli anadidimiza uchumi

MAKONGORO Mahanga, amesema sera ya kodi, fedha, uchumi na uwekezaji katika serikali ya awamu ya tano zina walakini mkubwa na kwamba ndiyo chanzo cha hali mbaya ya kiuchumi hapa nchini ...

Read More »

‘Magufuli ni muoga’

UTETEZI wa Rais John Magufuli juu ya hatua ya vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufanyika Ikulu katika makazi na ofisi ya rais umepingwa huku mabadiliko ya kimfumo ndani ya ...

Read More »

Rais Magufuli aonywa kero za Muungano

MARIAM Msabaha, Mbunge wa Viti maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar amemtaka Rais John Magufuli kuangalia upya changamoto za Muungano wa Tanganyika ...

Read More »

Magufuli kuhamishia sherehe za Uhuru Dodoma

RAIS John Magufuli amesema sherehe za kumbukumbu ya siku ya Uhuru zilizofanyika leo ndizo za mwisho kufanyika jijini Dar es Salaam kwani tarehe 9 Desemba mwakani zitahamishiwa makao makuu ya ...

Read More »

Kubenea ajitosa kunusuru wajawazito Kimara

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo ameahidi kuishawishi Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilifanyie ukarabati jengo la wazazi la zahanati ya Mavurunza lililopo kata ya Kimara jijini Dar es ...

Read More »

‘Dk. Tulia ndio tatizo’

DK. Tulia Ackson si mwanasiasa na ndio maana anayumbisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anaandika Pendo Omary. Ni kauli ya Mariam Msabaha, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa ...

Read More »

Lowassa: Castro alama ya mapambano

FIEDEL Castro, mwasisi na mwanamapinduzi wa taifa la Cuba aliyefariki dunia mwishoni mwa Novemba mwaka huu, ametajwa kuwa ni ‘alama ya mapambano dhidi ya ubeberu na udikteta’, anaandika Pendo Omary. ...

Read More »

Mahakama yamtema Kafulila

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo mbele ya Jaji David Mrango, imefuta ombi la David Kafulila la kuingiza rufaa yake upya, anaandika Pendo Omary. Kafulila alitaka kuingiza rufaa yake upya ...

Read More »

Ukawa ‘kufukua makaburi’

HATUA ya serikali kuendesha zoezi la bomoabomoa katika maeneo ya Kata za Kiluvya, Mbezi na Msigani inapaswa kufuatiliwa, anaandika Pendo Omary. Ni kauli ya Boniface Jacob, Mstahiki Meya wa Manispaa ya ...

Read More »

Ukawa washinda Umeya Ubungo, CCM hoi

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetwaa Manispaa ya Ubungo leo, anaandika Pendo Omary. Boniface Jacob (Chadema) ameshinda kiti cha Umeya wa manispaa hiyo jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Uchaguzi Meya Ubungo gizani

UCHAGUZI wa kumpata Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama unafanyika gizani, anaandika Pendo Omary. Serikali imeagiza kwamba, waandishi wa habari wasiruhusiwe kuingia kwenye ukumbi wa uchaguzi na ...

Read More »

Meya Ilala aendelea kutekeleza ahadi

CHARLES Kuyeko, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya Bonyokwa, amesema tayari ametekeleza ahadi ya alizotoa wakati akiwania uongozi wa kata hiyo Oktoba mwaka ...

Read More »

Bomoa bomoa yaacha kilio ‘kwa Mnyika’

ZOEZI la kubomoa nyumba zaidi ya 100 za mtaa ya Mbezi Centre kata ya Mbezi na mtaa wa Msigani kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba katika wilaya ya Ubungo limeacha ...

Read More »

Serikali yaanza ‘kumfilisi’ Sumaye

HATUA ya Serikali ya Rais John Magufuli kutwaa shamba la Frederick Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu zinaelekea kukamilika, anaandika Pendo Omary. William Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ...

Read More »

Kafulila kuitwaa Kigoma Kusini?

HATUA ya Mahakama ya Rufaa, Kanda ya Tabora kutupilia mbali maombi ya kufutwa rufaa ya Davidi Kafulila iliyowasilishwa na mawakili wa Hasna Mwilima, Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo ...

Read More »

‘Morocco isiyumbishe msimamo wetu’

DIPLOMASIA ya Uchumi kati ya Tanzania na Morocco isitumike kuyumbisha msimamo wa Tanzania katika harakati za kupigania uhuru wa Taifa la Sahara Magharibi, anaandika Pendo Omary. Tangu wakati wa utawala wa ...

Read More »

Magufuli ashindwa ‘kufurukuta’ UDSM

RAIS John Magufuli amekiri ‘kugonga mwamba’ kwa ahadi ya serikali yake kwamba, hakuna mwanafunzi wa Chuo Kikuu atakayecheleweshewa mkopo na kama ikitokea hivyo, mtumishi wa serikali aliyehusika na suala hilo ...

Read More »

Kafulila: Sintoisahau Clouds TV

YALIYOMKUTA David Kafulila, katika Studio za Kituo cha Utangazaji cha Televisheni ya Clouds, hatokisafau maishani mwake, anaandika Pendo Omary. Ni kwa kuwa, alialikwa kuzungumzia masuala ya uchumi na baada ya ...

Read More »

Goli la mkono lanukia umeya Kinondoni

CASIMIR Mabina, Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amesema wamejipanga kudhibiti hila za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinachotaka kutwaa umeya wa Manispaa ya Kinondoni jijini ...

Read More »

Mwijage: Tanzania ina viwanda 49,243

TANZANIA ina jumla ya viwanda 49,243, ripoti ya sensa ya viwanda nchini iliyozinduliwa leo imeeleza hivyo, anaandika Pendo Omary. Akizindua ripoti hiyo leo jijini Dar es Salaam, Charles Mwijage, Waziri wa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube