Author Archives: Mwandishi Wetu

Majaliwa: Anayeitaka fedha, ataipata shambani

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) ...

Read More »

CCM: Mikutano kupata wagombea iwe wazi, mabalozi wapewa rungu

MCHAKATO wa kura za maoni za kuwatafuta wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufanyika kwa uwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). ...

Read More »

Polepole: Viongozi wasioridhika, tosheka hawafai

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, amesema viongozi wa umma wasioridhika na nyadhifa zao, hawana nafasi ndani ya chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Moto wateketeza stoo shule ya Mivumoni Dar

SEHEMU ya Shule ya Mivumoni Islamic Seminary iliyoko ndani ya Msikiti wa Mtambani, Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto, asubuhi ya leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020. Anaripoti ...

Read More »

386 wajitosa majimbo tisa K’njaro, sita waingia mitini

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 386 kati ya 392 wamechukua na kurejesha fomu za kuomba chama hicho kiwapitishe kuwania ubunge katika majimbo tisa ya Mkoa wa Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Watatu mbaroni akiwemo mtoto tuhuma usafirishaji bangi

POLISI Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania linawashikilia watu watatu akiwemo mtoto wa miaka 16 kwa kosa la kukutwa wakisafirisha bangi (salphet) 15 zenye uzito wa kilogram 379 na misokoto 88 ...

Read More »

Bibi amuunguza kwa moto mjukuu wake

DARIA Frank (55), Mkazi wa Mamba, Vunjo Mashariki katika Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuunguza kwa moto mjukuu wake. Anaripoti mwandishi wetu, Kilimanjaro…(endelea). ...

Read More »

Membe achukua fomu urais, asema atamwaga cheche

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje, Bernard Membe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT-Wazalendo kimpitishe ili awanie urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi ...

Read More »

Dakika ya 87 yamvuruga Samatta

BAO lililofungwa katika dakika ya 87 na Theo Walcott, mchezaji wa Klabu ya Everton katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza (EPL), limezamisha ndoto ya mchezi wa kimataifa wa Tanzania anayechezea ...

Read More »

Marekani ‘yapora’ Jumba la Yahya Jammeh

JUMBA la kifahari la Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, limechukuliwa na Serikali ya Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa za Wizara ya Sheria Marekani, Jammeh alikwapua ...

Read More »

Zitto amjibu Msajili vyama vya siasa

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameamua ‘kupuuza’ barua ya msajili wa vyama vya siasa na kwamba wanaendelea na ujenzi wa chama chao. Anaripoti ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Bosi Takukuru awaonya wafanyabiashara

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya ...

Read More »

Membe: Niko tayari kugombea urais Tanzania, Chadema…

BERNARD Kamilius Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania amekubali ombi la wanachama wa ACT-Wazalendo la kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu ...

Read More »

Rais Magufuli ateua RC, Katibu mkuu na DC Dodoma

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo akiwemo mkuu wa mkoa (RC), katibu mkuu na mkuu wa wilaya (DC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Msajili aikamia ACT- Wazalendo, atishia kuifuta

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, inakusudia kukipa adhabu Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Muuguzi ajitosa ubunge Singida

UKENDE William Shalla, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge Viti Maalum mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Shalla ambaye ni mtaalamu wa tiba ...

Read More »

‘Meya’ Chadema ashinda kura za maoni Moshi Mjini

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, Raymond Mboya ameshinda kura za maoni za kuwania nafasi ya ubunge  kupitia Cham cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Moshi ...

Read More »

Ubunge CCM: 247 wajitosa majimbo saba Iringa

WANACHAMA 247 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa wamejitosa kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania ubunge katika majimbo saba mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Idadi hiyo ni ...

Read More »

Maalim Seif: Membe unaogopwa, gombea urais Tanzania

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Bernard Membe anaogopwa. Anaandika Yusuph Katimba..(endelea). Membe amejiunga na chama hicho akitokea Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kufukuzwa uanachama ...

Read More »

Membe akumbusha ‘machungu’ ya Lowassa, Sumaye

BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema hatofuata nyayo za makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), waliohamia upinzani kisha kurejea katika chama hicho tawala. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Rais Magufuli awaapisha warithi wa Makonda, Mnyeti

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa ya Dar es Salaam na Manyara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Viongozi hao wameapishwa leo ...

Read More »

JPM atengua Ma-DC, RAS, DED na RC akiwemo Makonda

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa (RC), Wakuu wa Wilaya (DC), Katibu Tawala wa Mikoa (RAS) na Wakurugenzi wa Halmashauri (DED). ...

Read More »

Mahakama ya Afrika: Matokeo urais Tanzania yapingwe mahakamani

SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanyia marekebisho Ibara ya 41 (7) ya Katiba yake, inayopinga matokeo ya rais kupingwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amri hiyo imetolewa leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 ...

Read More »

Mama Salma Kikwete ajitosa ubunge Mchinga

MAMA Salma, Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Mchinga Mkoa wa Lindi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mama ...

Read More »

Arusha Mjini jimbo gumu CCM

MIONGONI mwa majimbo magumu katika uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Jimbo la Arusha Mjini. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). ‘Vyuma vinne’ vimekutana kwenye jimbo hilo. Kitu kinachonogesha ni kwamba, wapo ...

Read More »

Waziri Mkuu Tanzania achukua, arejesha fomu Ruangwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa jimbo la Ruangwa, wilayani humo, mkoani Lindi. Anaripoti Mwandishi wetu endele ...

Read More »

Mwandishi Azam TV ajitosa ubunge Kigoma Mjini

MWANDISHI wa habari wa AZAM TV, Baruan Muhuza amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Kigoma Mjini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) ...

Read More »

Ubunge CCM: Angellah Akilimani ajitosa Ukonga

ANGELLAH Akilimali, Mkuu wa Idara ya siasa na habari wa vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuwania ubunge Ukonga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam (endelea) Angellah ...

Read More »

Fukuto Chadema Ubungo: Katibu ‘walikiuka mwongozo’

FUKUTO la kutimuana katika Jimbo la Ubungo, linashika kasi huku Katibu wa Kanda ya Pwani akisema, viongozi Wilaya ya Ubungo walikiuka mwongozo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kutokana na kukiukwa ...

Read More »

Ubunge CCM: 2020 Shuguli pevu

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna shughuli pevu katika hatua ya upigaji kura za maoni ili kupata wateule wa ubunge kwenye majimbo mablimbali nchini. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Ni baada ya ...

Read More »

Mnyika: Nilisema sitagombea, nijenge chama

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, ametaja sababu zilizomsukuma kutogombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Regina ...

Read More »

Ubunge CCM: 241 wajitosa majimbo tisa K’njaro

WANACHAMA 241 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, wamejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika majimbo tisa mkoani humo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. ...

Read More »

Grace Kiwelu aongoza kura za maoni Vunjo

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa jimbo la Vunjo Mkoa wa Kilimanjaro wamempendekeza, mbunge wa viti maalum (Chadema), Grace Kiwelu kupeperusha bendera ya ubunge wa jimbo la vunjo. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Profesa Mkumbo atoa sababu kuwania ubunge Ubungo

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo amechukua fomu ya kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Ubungo jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Sirudi nyuma – Maalim Seif

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, visa vinavyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ni sawa na ‘kumpiga teke chura.’ Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar…(endelea). Akizungumza kwenye mkutano ...

Read More »

CCM wafurika kuchukua fomu za Ubunge Moshi Mjini

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Moshi Mjini wamefurika kwenye ofisi ya chama hicho wilaya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea ubunge. Anaandika Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Leo tarehe 14 Julai ...

Read More »

Silinde achukua fomu Tunduma, atuma salamu Chadema

ALIYEKUWA mbunge wa Momba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DAVID Silinde amechukua fomu ya kugombea ubunge Tunduma Mkoa wa Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) ...

Read More »

Fomu za urais, matokeo kutangaziwa Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imehamia rasmi katika ofisi zake mpya zilizopo Njedengwa jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Kuhamia huko kwa NEC kutoka Dar es Salaam, ...

Read More »

Mhadhiri UDSM ajitosa ubunge Segerea

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Dk James Jesse amechukua fomu kuwania ubunge jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Dk. ...

Read More »

Mwandishi wa habari ajitosa ubunge Iringa

MWANDISHI wa habari nchini Tanzania, Tumain Msowoya amechukua fomu ya kuwania ubunge viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Iringa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mtoto wa Lowassa ajitosa ubunge Monduli

FREDRICK, mtoto wa waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua fomu ya kugombea ubunge Monduli, mkoani Arusha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Gambo ajitosa Ubunge Arusha Mjini, Nanai aenda Kawe

MRISHO Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amechukua fomu kuwania Ubunge Arusha Mjini ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea) Gambo amechukua fomu leo Jumanne tarehe ...

Read More »

Lema: Hata mkiniletea CCM wote Arusha, nitashinda

GODBLESS Lema, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Arusha Mjini anayemaliza muda wake, amesema sheria ingeruhusu, angetaka wagombea wote wa CCM Arusha ashindane nao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Lema ...

Read More »

Hiki ni kiburi au dharau Chadema kwa waandishi wa habari?

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwakumbatia waandishi wa habari, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kinawapuuza. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Jana Jumatatu tarehe 13 Julai 2020, majimbo saba kati ...

Read More »

Susan Lyimo aibuka mshindi Kinondoni

SUSAN Lyimo, Mbunge Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameshinda kura za maoni za kuwania kupitishwa kugombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa ...

Read More »

Polepole: Mikutano kura za maoni iwe wazi, waandishi wa habari…

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humprey Polepole ameitaka mikutano ya majimbo na wilaya ya kura za maoni ya kupata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi ndani ...

Read More »

CCM yapiga ‘stop’ michango holela fomu za ubunge, udiwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimesema, mwanachama wa chama hicho anayetaka kuwania udiwani, ubunge au uwakilishi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020 asilazimishwe kutoa michango. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) Kauli ...

Read More »

Viongozi wa dini kuiombea Lipuli isishuke Ligi Kuu

VIONGOZI wa dini mkoani Iringa wameombwa kuiombea timu ya Lipuli FC ili isiweze kushuka daraja, katika kipindi cha siku 14 ambapo timu hiyo itacheza michezo minne ya Ligi Kuu Tanzania ...

Read More »

Milioni 7 wapona corona duniani

WAGONJWA milioni 7.58 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) duniani wamepona. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa Worldometer, hadi kufikia leo asubuhi Jumatatu tarehe 13 Julai 2020, wagonjwa ...

Read More »

Timu Maalim Seif ‘wafurahia’ uteuzi wa Dk. Mwinyi Z’bar

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeeleza ‘kufurahishwa’ na wepesi uliofanya na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ngazi ya urais Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online leo tarehe 13 Julai 2020 kuhusu ...

Read More »
error: Content is protected !!