Author Archives: Mwandishi Wetu

NACTE yatoa wito kutoa maoni ya utendaji wake

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limeutaka umma wa watanzania na wadau wa elimu kutoa mrejesho juu ya huduma zinazotolewa na Baraza hilo ili kuweza kuboresha huduma zake, ...

Read More »

Magufuli apuuza donda la Wazanzibari

RAIS John Magufuli amepuuza maalamiko ya Wazanzibar kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) licha ya kukataliwa, kimelazimisha kurudi madarakani, anaandika Mwandishi Wetu. Amempongeza Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ...

Read More »

Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu?

  Mheshimiwa Rais John Magufuli, sijawahi kukuandikia barua, ama ya sanduku la posta au ya mtandaoni. Leo nakuandikia kupitia gazetini kwa sababu mbili, anaandika Ansbert Ngurumo. Kwanza, natambua kuwa wewe ni ...

Read More »

Serikali yaumbuka–Bajeti hewa

SERIKALI ya Dk John Magufuli imeumbuliwa na kambi ya upinzani, imeumbuka kwa kupeleka bajeti hewa itakayopitishwa na wabunge wengi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Josephat Isango.  David Silinde, Waziri ...

Read More »

Moto wawaka KKKT

WAKATI Asime Modern Mwakilima, Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani akitafakari kuhama Ukristo na kuingia Uislam, waraka uliosambaza ndani ya kanisa hilo ...

Read More »

Askofu Malasusa kuibua gogoro KKKT

DK. Alex Malasusa, Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ameanza mchakato wa kubadilisha katiba ya kanisa lake ili kuzuia kung’olewa ...

Read More »

Chozi la Kabwe kwa Makonda limetua

PAMOJA na kuelezwa kuwa umauti hauna adui, lakini kwa msiba huu wa Wilson Mbonea Kabwe umekuwa tofauti. Una maadui, tena maadui wasiofahamu maisha yake, utendaji na uadilifu wake katika kazi, ...

Read More »

‘Usiku watoto wasitumwe nje’

JAMII imeshauriwa kuacha tabia ya kutuma watoto nje wakati wa usiku ili kuwaepusha na matatizo ya ukatili wa kijinsia ikiwemo kubakwa na kulawitiwa, anaandika Christina Haule. Khasim Munga, Kaimu Ofisa ...

Read More »

Magufuli afumua TCU, St. Joseph yaponza wengi

RAIS John Magufuli amevunja Kamisheni  ya Tume vya Vyuo Vikuu (TCU) na kuwasimamisha kazi watendaji wakuu wa tume hiyo baada ya kubainika kudahili wanafunzi wasio na sifa na kuwapa mikopo, ...

Read More »

Wazazi watakiwa kutonyanyasa watoto

WAZAZI nchini wametakiwa kuacha tabia ya kunyanyasa watoto bali wawatimizie haki na mahitaji yao kwa mujibu wa sheria zilizopo, anaandika Christina Haule. Ally Mlango, Ofisa Elimu wa Kata ya Mtibwa ...

Read More »

Ashikiliwa kwa kumpopoa afande

ATHARI Majaribu (17) Mkazi wa Mjimpya Manispaa ya Morogoro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo huku watu wawili wakitafutwa kwa tuhuma za kumpiga mawe polisi aliyewakamata wakiwa na nyara ...

Read More »

Mashishanga: Puuzeni mafisadi

STEVEN Mashishanga, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mstaafu amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupuuza mafisadi wanaotaka kuwagawa ili wasiunge mkono juhudi zinazofanywa na Rais John Magufuli, anaandika Christina Haule. ...

Read More »

Sukari imetusahaulisha Lugumi?

SAKATA la kukosekana sukari limeshika kasi nchini.Tatizo la kukosekana sukari lilianza baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi kwa kile alichosema ni kulinda ...

Read More »

Sumaye ateuliwa CC Chadema

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika mwandishi wetu kutoka Dodoma. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema – ...

Read More »

Sakata la sukari: Mkapa alipuliwa

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu, amemtuhumu Rais John Pombe Magufuli, kusababisha uhaba wa sukari nchini, anaandika Josephat Isango. Anasema, uamuzi wa rais wa kupiga marufuku uigizaji wa sukari kutoka ...

Read More »

CCM wanakumbatia staili ya ‘Chura’

HIVI sasa, kutokana na staili yake na ya kundi analoongoza la Wasafi. Mwimbaji na msanii wa miondoko ya kizazi kipya, Naseeb Abdul – ‘Diamond’, amejizoelea umaarufu mkubwa, huku vijana na ...

Read More »

Majipu yataondoka na CCM

WIKI iliyopita, Rais John Magufuli aliitisha mkutano wa ghafla kukutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ngazi ya mikoa na wilaya zote nchini, anaandika Ansbert Ngurumo. Mwaliko huo ulikuwa ...

Read More »

KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

TAMKO limeandaliwa ili kusafisha tuhuma zinazomkabili Dk. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka kwenye ...

Read More »

Mlinzi ajeruhi kwa risasi

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Bernad Amon (30), Mlinzi wa Kampuni ya Quick kwa tuhuma za kufyatua risasi kwa uzembe na kusababisha majeraha kwa watu wawili, anaandika Christina Haule. ...

Read More »

Sakata la Malasusa, watoto watoroshwa

MUME wa mwanamke anayedaiwa kumkamata ugoni Askofu Dk Alex Malasusa wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania (KKK) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, (DMP) anatafuta watoto waliotoroshwa kwa maelekezo ya ...

Read More »

Bundi wa ugoni atua kwa Askofu Malasusa

DK. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu, ...

Read More »

Wanaomkosoa Magufuli ni wazalendo wafia nchi

RAIS John Magufuli ana staili yake ya uongozi – kwa kauli na vitendo – lakini inaaza kumfanya aonekane “dikteta mtarajiwa,” anaandika Ansbert Ngurumo. Baadhi ya wananchi waliokuwa wamekata tamaa, waliochoshwa ...

Read More »

Wanawake ‘waula’ bima za magari

WANAUME wengi hupata ajali za barabarani kulinganisha na wanawake kutokana na uendeshaji usio salama ikiwamo mwendo kasi na kuendesha magari mabovu, anaandika Josephat Isango. Patrick Lodamun Afisa masoko wa kampuni ...

Read More »

Mrema: Mfikishieni ushauri huu Magufuli

AUGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP) amesema, ushauri wake kwa Rais John Magufuli ni kubadili mwelekeo wake kwa vyombo vya habari, anaandika Josephat Isango. Amesema, Rais Magufuli ili ...

Read More »

Mahakama yampa masharti Kubenea

HATIMAYE hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers akidaiwa kumtolea lugha ya matusi Paul Makonda, Mkuu ...

Read More »

Magufuli usiumbe maneno kwa moyo

NINA orodha ndefu ya kauli za Rais John Magufuli, hasa zilizo tata. Zile zinazozua mjadala katika jamii, anaandika Ansbert Ngurumo. Kama alivyokiri mwenyewe wiki kadhaa zilizopita mbele ya viongozi wenzake ...

Read More »

Mwigulu aomboleza kwa Lissu

MWIGULU Nchemba Waziri  wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ameomboleza msiba wa Christina Mughwai, mbunge wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Singida, na kumsifu marehemu kuwa ...

Read More »

Udhaifu wa JK, siyo uimara wa JPM

MPAKA sasa, sifa kuu ya Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli ni kujenga ufuasi wa kushangiliwa kwa kila jambo, anaandika Gululi Kashinde. Washangiliaji wako kila kona. ...

Read More »

Mrema kilio, Mbatia kicheko

AGUSTINO Mrema (TLP), aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo (2010-2015) amefuta kesi ya kupinga ushindi wa James Mbatia (NCCR-Mageuzi) kwenye jimbo hilo, anaandika Mwandishi Wetu. Kwenye kesi ya kupinga matokeo ...

Read More »

Maalim Seif: Namhurumia Dk. Shein

TAREHE 20 Machi 2016, kulifanyika uchaguzi wa marudio wenye utata katika visiwa vya Zanzibar, ambao ulisuswa na chama kikuu cha upinzani visiwani humo, Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar (CUF). Aliyetangazwa ...

Read More »

Mikopo ya Kilimo nje nje TADB

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa masoko ili kuongeza mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini, anaandika Saidi Mkabakuli. Dhamira hiyo inalenga kufanya mabadiliko ...

Read More »

Zanzibar yaiponza Tanganyika

UCHAGUZI wa marudio uliofanyika tarehe 20 Machi 2016, na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni iliyopitishwa na Bunge kwa haraka haraka mwaka jana, vimeanza kuleta madhara kwa Tanzania Bara, baada ya ...

Read More »

Zanzibar chini ya mtutu wa bunduki

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa (SUK) katika Visiwa vya Zanzibar imefikia tamati, anaandika Yusuph Katimba. Uchambuzi wa kisheria unaonesha kuwa utawala wa sasa wa Zanzibar haufuati katiba, na kwamba hata ...

Read More »

Msife moyo, uchaguzi ni mchakato, si tukio – Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya uchaguzi yaliyopinduliwa; na kwamba matokeo hayo yawe chachu ya kufanya  vizuri zaidi ...

Read More »

Mgogoro wa Zanzibar, kumuumbua Kikwete?

HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio” Visiwani uliofanyika 20 ...

Read More »

Maalimu Seif afunguka

SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi ...

Read More »

Msafara wa Kamati ya Bunge wapata ajali

WATU sita wamefariki dunia, wengine saba ni majeruhi, katika ajali iliyohusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI, katika eneo ya Kerege, Bagamoyo Pwani, ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar ‘doroo’

VIJANA wamegoma kujitokeza na kushiriki uchaguzi wa marudio visiweani Zanzibar na kusababisha zoezi hilo kuzorota, anaandika Mwandishi Wetu. Katika mitaa mbalimbali Unguja na Pemba kuna hali ya utulivu huku maofisa ...

Read More »

Nyumba ya Kamisha yalipuliwa Z’bar

UTABIRI wa machafuko kuelekea uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar sasa umeanza kutimia, anaandika Mwandishi Wetu. Habari kutoka visiwani Zanzibar zinaeleza kwamba, nyumba ya Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani ...

Read More »

Mchezo mchafu Z’bar

MAANDALIZI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika dola visiwani Zanzibar yanafanywa kwa kutumia vitisho vya kijeshi, anaandika Mwandishi Wetu. Mwandishi wa habari hizi aliyepo visiwani humo anaarifa kwamba, kinachofanywa kwa ...

Read More »

Lowassa analea amani ya nchi

KIMSINGI, kuna tofauti kubwa kati ya binadamu mmoja na mwingine kwenye mambo mengi. Hii ifahamike hivi, anaandika Adam Mwambapa. Kama ilivyo kwangu na kwako, ndivyo ilivyompendeza Mwenyezi Mungu kwamba, binadamu ...

Read More »

Wamechanganyikiwa

DALILI zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuukosa Umeya wa Jiji la Dar es Salaama zimedhihiri na sasa wamechanganyikiwa, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar ...

Read More »

Taharuki ugonjwa wa Maalim Seif

AFYA ya Maalim Seif Sharif Hamad imeibua taharuki bara na visiwani huku wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakisubiri taarifa kamili, anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar. Jana Maalim Seif, ...

Read More »

Maalim Seif: Hatutavumilia

MAALIM Seif Sharif Hamad, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar ameanza kuitia kiwewe Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu. Amesema, tabia ya mazombi visiwani humo kuendelea kushambulia wananchi ...

Read More »

Uchaguzi wagawa majeshi Zanzibar

Baada ya kuwepo fununu za mgawanyiko ndani ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya usimamizi wa amani katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika machi 20 mwaka huu, uongozi wa ...

Read More »

TBC kuonesha bunge ‘live’

KILIO cha ukosefu wa fedha za kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge la Tanzania kupitia Shirika la Utangazaji nchini (TBC) ambacho kimekuwa kikitolewa na serikali, sasa kimepata ufumbuzi, ...

Read More »

Mabilioni ya NSSF yatafunwa

BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Tija la Taifa (NIP) imeishauri serikali kuunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya ya fedha za serikali zaidi ya dola za Kimarekani 1.5 bilioni, anaandika ...

Read More »

Maalim Seif: Ondoeni shaka, nitatangazwa

ALIYEKUWA mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka Wazanzibari na wapenda amani kuondoa shaka na kwamba, atatangazwa kuongoza visiwa hivyo. Anaandika Mwandishi Wetu. ...

Read More »

Maalim Seif amtuhumu Kikwete

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amemtuhumu Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa kuingilia uchaguzi Zanzibar. Anaandika Mwandishi Wetu. Akizungumza kwenye mkutano wa viongozi wa wilaya na ...

Read More »

Hamburg yaisaidia Kinondoni mradi bil 3.5

MANISPAA ya Kinondoni kwa ushirikiano na Manispaa ya Jiji la Hamburg, nchini Ujerumani ziko katika hatua za mwisho za ujenzi wa mradi mkubwa kwa ajili ya kukusanya taka zinazooza na ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube