Author Archives: Mwandishi Wetu

Maalim Seif, Membe wateuliwa kugombea urais Tanzania na Z’bar

MKUTANO Mkuu wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kimewateua Bernard Membe na Maalim Seif Sharif Hamad kuwa wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Fatma Karume atoa somo la demokrasia, amkosoa Msajili

FATMA Karume, Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, ametoa somo la demokrasia kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaofanyika leo Jumatano tarehe 5 Agosti 2020 katika Ukumbi ...

Read More »

Zitto aeleza ACT-Wazalendo itakayofanya ikiingia Ikulu

KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amechambua masuala mbalimbali ambayo chama hicho endapo kikiibuka mshindi katika Uchaguzi Mkuu utaaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Msajili ashangazwa Lissu kuibuka mkutano ACT-Wazalendo, Chadema yamjibu

OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, imeendelea kusisitiza vyama vya siasa kuzingatia sheria za nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 huku akishangazwa ...

Read More »

Lissu aibua shangwe mkutano mkuu ACT-Wazalendo

TUNDU Antipus Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameibua shangwe ndani ya Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mkutano huo ...

Read More »

Maalim Seif: Tukishindwa tutakubali, lakini tukishinda…

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, endapo watashindwa kihalali katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 watakuwa tayari kukubali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Wiki hii: JPM, Lissu ‘kukutana’ NEC

MIOAMBA miwili ya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, inatarajiwa ‘kupigana kumbo’ katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC), Dodoma wakati wa kuchukua fomu za urais. Anaripoti ...

Read More »

Membe, Maalim Seif kuteuliwa na ACT-Wazalendo kugombea urais Tanzania, Z’bar?

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, kinafanya mkutano mkuu wa chama hicho ukiwa na ajenga mbili kuu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

NEC kuanza kutoa fomu za urais leo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaanza kutoa fomu za uteuzi kwa wagombea urais wa Tanzania na makamu wake, kuanzia leo Jumatano tarehe 5 -25 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Chadema: Siku 60 za kampeni zitafidia miaka 5 ya giza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeeleo (Chadema), kimesema kitatumia siku 60 za kampeni za uchaguzi kwa kasi kufidia miaka  mitano ya kuwa kigzani katika kujieleza kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Lissu azidi kuruka vihunzi kugombea urais Tanzania

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umemteua Tundu Antipus Lissu, kuwa mgombea urais wa nchi hiyo utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mgombea Urais Chadema Z’bar: Nina wake watatu, watoto kumi ninaweza

SAID Issa Mohamed, ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 27 na 28 Oktob, 2020. Anaripoti ...

Read More »

Msajili avitaka vyama vya siasa kuzingatia sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tazania, umetoa wito kwa vyama vya siasa nchini humo kuhakikisha wanazingatia sheria na taratibu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

Butiku atamani uchaguzi mkuu uwe huru, amani

TAASISI ya Mwalimu Nyerere imesema, Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 ukiwa wa amani, huru na haki utawezesha kupatikana viongozi bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe kukubali kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Mnyika: Mgombea urais Chadema atachukua fomu Agosti 8

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, John Mnyika amesema, mgombea wao wa urais atakwenda kuchukua fomu za urais Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi ...

Read More »

Shangwe zatawala mkutano mkuu Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanya mkutano mkuu wake leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Anaripoti Brightness Boaz…(endelea) Wajumbe wa ...

Read More »

Vigogo KDCU kortini tuhuma za utakatishaji milioni 900

WATU 11 wakiwemo viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Karagwe (KDCU LTD), Mkoa wa Kagera wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba kwa kosa la utakatishaji fedha kiasi cha Sh. ...

Read More »

Tundu Lissu atuma salamu NEC

TUNDU Lissu, mgombea mteule wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametuma salamu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  ...

Read More »

Machinga Dar wamwomba JPM awasaidie

WAJASIRIAMALI wadogo maarufu ‘machinga’ eneo la Gongolamboto wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamemmwomba, Rais John Magufuli wa Tanzania kutatua mgogoro wa ulinzi shirikishi uliodumu kwa miezi mitano kati ...

Read More »

Mwalimu apendekezwa mgombea mwenza urais Chadema

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu kuwa mgombea mwenza wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano ...

Read More »

Urais Z’bar: Chadema kumsimamisha Said Mohamed

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema) kimependekeza kwa mkutano mkuu wa chama hicho, Said Issa Mohamed kuwa mgombea Urais wa Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) ...

Read More »

Lissu ashinda Urais Chadema

TUNDU Antipus Lissu, amependekezwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) kuwa mgombea urais wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Baraza Kuu Chadema: Ni Lissu, Nyalandu

BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinafanyika leo Jumatatu tarehe 3 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kikao hicho, kinafanyika ukumbi wa Mlimani ...

Read More »

Maalim Seif: Safari hii tunakaba kote

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, hakitaruhusu sehemu yoyote Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Urais Chadema: Kesi za Lissu si hoja

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeeleza kwamba hakitakwama kumpitisha Tundu Lissu kwa sababu ya kuhofia kesi zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Na kwamba, iwapo kura ...

Read More »

Magufuli awapokea mabalozi wa Marekani, Vietnam

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepokea hati za utambulisho za mabalozi wawili walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Waliowasilisha hati hizo Ikulu ...

Read More »

FIFA: Ya Sepp Blatter yamkuta Infantino

TUHUMA za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limechepua tena na sasa Gianni Infantino, rais wa shirika hilo amefunguliwa jalada la uchunguzi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Infantino anatuhumiwa ...

Read More »

Ngoma bado mbichi CCM

KAULI ya Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba ‘wateule hawajapatikana,’ inaumiza vichwa waliopitishwa kwenye kura za maoni. Anaripoti ...

Read More »

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1 dhidi ya Chelsea. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea) ...

Read More »

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Mabingwa wa kihistoria, Timu ...

Read More »

Waziri Ummy atoa darasa la unyonyeshaji watoto

ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni sababu kubwa ya utapiamlo kwa watoto. Anaripoti ...

Read More »

Nondo: Mahakama iwape dhamana viongozi Bavicha

NGOME ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo kimelaani viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), kunyimwa dhamana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Samia afungua maonyesho ya nanenane, atoa maagizo nchi nzima

SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wizara, taasisi za umma na binafsi kutumia maonesho ya kilimo ‘Nanenane’ kama jukwaa la wakutanisha wadau wake, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazowakabili. Anaripoti ...

Read More »

727 wakutwa na corona Kenya, vifo vyafikia 364

SERIKALI ya Kenya, imetangaza wagonjwa wapya 727 wa virusi vya corona (COVID-19) baada ya kupima sampuli 6,371 ndani ya saa 24 zilizopita. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kenya imekuwa na ...

Read More »

NCCR-Mageuzi yatoa vifaa vya uchaguzi Dodoma

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimeanza kugawa vifaa vya uchaguzi kama bendera, katiba na kadi kwa wagombea wake wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Saa 72 za moto Chadema

CHAMA Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kinaingia siku tatu ngumu za mchakato wa kupata mgombea urais wa Tanzania na Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Tanzania yapiga ‘stop’ ndege za Kenya

SERIKALI ya Tanzania imezuia ndege za Shirikla la Ndege la Kenya (KQ) kutua nchini humo kuanzia leo Jumamamosi tarehe 1 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Neema kwa wagonjwa wa saratani KCMC

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC Mkoa wa Kilimanjaro, imeanza mchakato wa ujenzi wa hosteli za wagonjwa wa saratani wenye kipato cha chini ili kuwapunguzia adha ya usafiri kutokana na baadhi ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: Mufti Wa Tanzania awapa neno Waislamu

ABOUBAKAR Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania, amewaonya watu wanaopanga kufanya vurugu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Mufti Zubeir amesema hakuna ...

Read More »

Rais Magufuli ateua DC Rufiji

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Tarifa iliyotolewa jana Alhamisi tarehe 30 ...

Read More »

Viti maalum UVCCM: Agness aibuka mshindi, DC awapa neno

AGNESS Mchau (30), ameibuka mshindi kura za maoni ubunge wa viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kupata kura 24 kati ya ...

Read More »

Shahidi aeleza Diwani CCM alivyopokea rushwa, alivyonaswa

SHAHIDI wa kwanza Yusufu Shaban Omar Matimbwa katika kesi inayomkabili Diwani wa Kijichi, Mbagala jijini Dar es Salaam Elias Mtarawanje (29), anayedaiwa kupokea rushwa, ameeleza namna Polisi walivyoweka mtego na ...

Read More »

Mwanafunzi ‘atumia fursa’ mbele ya JPM

REHEMA Mikidani Ngenje, Mwanafunzi wa Darasa la Nne Shule ya Msingi Somanga, Lindi amemweleza Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, shule yao ilivyo mbovu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Somanga, Lindi … (endelea). ...

Read More »

ZEC: Uchaguzi mkuu Z’bar Oktoba 27 na 28

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa urais na uwakilishi utafanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Hayo yamesemwa na Mwenyekiti ...

Read More »

Wajumbe UVCCM wapokonywa simu mkutanoni

WAJUMBE wa Baraza la Vijana la Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) jijini Dodoma, wamepokonywa simu zao za mkononi, wakati wa mkutano wa kura za maoni kutafuta mgombea ubunge viti maalum kundi ...

Read More »

Milioni 10 wapona corona duniani 

WAGONJWA milioni 10.7 wamepona ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa worldometer, unaonyesha hadi leo Alhamisi 30 Julai 2020 unaonyesha, walioambukizwa ...

Read More »

India vs China: India yaongeza ndege za kivita

WAKATI hali ya sintofahamu kati ya China na India ikishika hatamu, India imenunua ndege tano mpya za kivita aina ya Rafale zilizo na uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu. Inaripoti mitandao ya ...

Read More »

Ubunge Viti maalum: Wajumbe UVCCM kazini leo

WAJUMBE wa Mabaraza ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa mikoa nchini Tanzania, leo Alhamisi tarehe 30 Julai 2020, watapiga kura za maoni za ubunge wa viti maalum katika ...

Read More »

Mkapa ahitimisha safari ya siku 29,845 duniani

BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu wa Tanzania, amehitimisha safari yake ya siku 29,845 hapa duniani. Anaripoti Hamisi Mguta, Lupaso, Masasi … (endelea) Safari yake imehitimishwa leo ...

Read More »
error: Content is protected !!