Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8560 Articles1222 Comments
Kimataifa

Kufunguliwa mipaka ya China na Hong Kong yazua hofu

  HOFU imetanda kwa raia wa Hong Kong juu ya uwezekano wa kuingia kwa aina virusi vya Covid-mutant kutoka China baada ya mpaka...

Habari za Siasa

CCM yamtoa wasiwasi Rais Samia kuhusu mikutano ya hadhara

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wasiwasi Rais Samia Suluhu Hassan, kuhusu mikutano ya hadhara kwa kusema kuwa itatumia fursa hiyo kuwaeleza wananchi...

Kimataifa

Mchezaji wa zamani wa Taifa Zambia, Kaizer Chiefs afariki kwa kushambuliwa na mbwa wake

  NYOTA wa zamani wa Chipolopolo, Philemon Mulala amefariki dunia baada ya kuumwa na mbwa wake watatu nyumbani kwake Lichtenburg Afrika Kusini. Yameripoti...

Kimataifa

Kagame agomea nchi yake kupokea tena wakimbizi wa DR Congo

  RAIS wa Rwanda Paul Kagame anasema nchi yake haitatoa tena hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mashirika...

Habari za Siasa

Kishimba ampa tano Rais Samia kutoa tani 1000 Kaham Mjini

  MBUNGE wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM) amesema wameaza kupokea tani 100 mahindi kwa ajili ya chakula na wataendelea kupokea tani zingine...

Kimataifa

Nyaraka za siri zakutwa katika ofisi ya zamani ya Rais Biden

  IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani...

Habari Mchanganyiko

Dk. Mpango kupanda miti miaka 59 ya Mapinduzi

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda miti ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka...

Habari Mchanganyiko

Mgodi waiangukia Serikali uvamizi wachimbaji wadogo

UONGOZI wa Mgodi wa CANUCK uliopo Wilaya ya Msalala  kata ya Mwakanta kijiji cha Magung’humwa mkoani Shinyanga umeiomba Serikali kupitia Wizara ya Madini...

Habari Mchanganyiko

Mgeja ataka vyama visitumie mikutano ya hadhara kuchafua wengine

MWENYEKITI wa Tanzania Mzalendo foundation Khamis Mgeja amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia ruhusa ya Mikutano ya hadhara iliyotolewa na Rais Samia Suluhu...

HabariKimataifa

M23 wakabidhi kambi ya kijeshi ya Rumangabo, mashariki mwa Kongo

KUNDI la waasi la wanamgambo la M23, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wameirudisha kambi ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Afungwa miaka 30 jela kwa kumbaka dada’ke

  MKULIMA Frank Kigomba, amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kilolo,mkoani Iringa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na kulipa fidia ya Sh....

Kimataifa

Dawa mpya bora ya Ukimwi yaidhinishwa, matumaini yarejea

  MAMLAKA inayoshughulika na uidhinishaji Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imeidhinisha dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa watu wazima kwa...

MichezoTangulizi

TFF: Fei Toto mchezaji halali wa Yanga

  KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji...

Kimataifa

29 wauawa operesheni ya kumkamata mtoto wa El Chapo

  TAKRIBANI watu 29 nchini Mexico wameuawa wakati wa operesheni ya umwagaji damu ya kumkamata mtoto wa kinara wa biashara haramu ya dawa...

Kimataifa

Marekani yapata Spika baada ya kura kurudiwa mara 15 kwa siku 4

  KEVIN McCarthy amechaguliwa kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani huku kukiwa na majibizano makali ambayo karibu yashuhudiwe wawakilishi wa chama...

Habari Mchanganyiko

Wateja 623 wajishindia Mil. 150 kampeni ya NMB MastaBata Kote Kote

NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina ya boxer wa droo ya sita,...

Habari za Siasa

CCM yakiri kuathiriwa na zuio la mikutano ya hadhara

  SIKU chache baada ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutengua zuio la kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, Chama...

Afya

Watumishi wawili Uyui waliobishania vifaa vilivyoisha muda, wasimamishwa

  WATUMISHI wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya Uyui kutoka Zahanati ya Ishihimulwa waliokuwa wakijibizana kuhusu vifaa vilivyoisha muda...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Tunakuja kwa kishindo

  WAKATI vyama vya siasa vya upinzani vikianza kutangaza ratiba ya kuanza mikutano ya hadhara, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema Kamati yake Kuu, itakutana...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbatia nao kufanya mikutano ya hadhara

  WAFUASI wa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, anayedaiwa kufukuzwa James Mbatia, wamepanga kufanya mikutano ya hadhara Januari 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Huawei and partners share how technology enables digital inclusion & sustainability at MWC Barcelona 2023

  AFTER launching the TECH4ALL initiative at Mobile World Congress (MWC) Barcelona four years ago, Huawei and its partners shared the latest insights...

Habari Mchanganyiko

BoT yabaini ongezeko udanganyifu miamala ya fedha

  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea taarifa(hati au barua pepe) inayodai kuwa ni...

Makala & UchambuziTangulizi

Hawatatukana watafufua makaburi

  VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimefunguliwa kutoka katika kifungo cha takribani miaka sita baada ya katazo lisilo la kikatiba wala kisheria la...

Habari Mchanganyiko

Sakata la aliyefia mahabusu lachukua sura mpya, ndugu kupinga hukumu

  NDUGU wa marehemu Stella Moses, aliyedaiwa kufia katika mahabusu ya Kituo Cha Polisi Cha Mburahati, jijini Dar es Salaam, imepanga kukata rufaa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuzindua mikutano ya hadhara kitaifa Januari 21

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitazindua rasmi mikutano ya hadhara kitaifa tarehe 21 Januari 2023, ikifuatiwa na uzinduzi wa mikutano hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

CUF yatangaza kufanya mikutano ya hadhara, Prof. Lipumba kuunguruma Manzese kesho

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara huku kikiagiza matawi yake kuandaa mikutano hiyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Kimataifa

Aua mke, watoto watano na yeye mwenyewe baada ya kudaiwa talaka

  MWANAUME mwenye umri wa miaka 42 amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua katika jimbo la Utah nchini Marekani...

Habari Mchanganyiko

IGP apangua makamanda wa mikoa, Muslim apelekwa Makao Makuu

  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko madogo ya Makamnda wa Polisi wa Mikoa ambapo wengine wamehamishiwa makao...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Panda, shuka ya Diwani Athuman kabla na baada ya kung’olewa Ikulu

  HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...

Habari Mchanganyiko

Waziri apanda bodaboda kwenda kukagua mradi wa maji

WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso, amelazimika kutumia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ili kuweza kufika kwenye mradi wa maji wa...

Kimataifa

Uchaguzi Spika Bunge Marekani bado ngoma ngumu

Mrepublican Kevin McCarthy wa California ameshindwa katika duru ya nne, ya tano na ya sita ya uchaguzi wa kuwa spika wa Baraza la...

Makala & Uchambuzi

Kwa nini walemavu wasioona wanalilia kondomu za nukta nundu?

KWENYE moja ya vikao vya kamati ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania, hoja iliyogusa hisia kubwa za wengi ni ya watu wenye ulemavu...

Habari Mchanganyiko

Songwe waunda jukwaa za wadau wa parachichi

WADAU wa zao la Parachichi kutoka wilaya zote nne za mkoa wa Songwe wamekutana na kuzindua jukwaa na kujitambulisha kwa Serikali ili kutatua...

Habari Mchanganyiko

Polisi mbaroni tuhuma za rushwa ya Sh milioni 100

MMOJA  wa askari anayetuhumiwa kuhusika na tukio la kuomba rushwa ya Sh milioni 100 kwa mfanyabiashara wa Usa River Jijini Arusha, Profesa Justine...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwenyekiti UVCCM auawa kwenye fumanizi

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana  wa CCM (UVCCM) kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba  mkoani Singida, Ramadhani Hamisi (30) ameuawa kwa kuchomwa na...

Habari Mchanganyiko

TEF: 2023 mwaka wa mageuzi sekta ya habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesema mwaka 2023 utakuwa mwaka wa mageuzi katika sekta ya habari kwa kuwa marekebisho ya Sheria ya...

Kimataifa

2022 Mwaka ulioitikisa China

MWAKA 2022 ulikuwa mwaka wenye changamoto kwa Serikali ya China hasa wakati inakabiliana na kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19. Imeandikwa na chombo cha habari...

Habari za SiasaTangulizi

Samia amtumbua Balozi wa Tanzania UN, apangua safu TISS, Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga kuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Mjini New York akichukua...

Habari za Siasa

Zitto: Tumefarijika, tumeuanza mwaka mpya vizuri

  KIONGOZI wa ACT Wazalendo, Zitto kabwe amesema wamefarijika sana baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kufuta zuio la mikutano ya hadhara...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Haikuwa kazi nyepesi, tumeirudisha CCM kwenye reli

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa mkwamo wa...

Habari za Siasa

Rungwe: Tumekula ubwabwa na kuanza mwaka kwa faraja tupu!

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashim Rungwe amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kuondoa zuio la...

Habari Mchanganyiko

Zaidi ya asilimia 90 ya laini za simu zimehakikiwa: TCRA

  SIKU chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutoa wito kwa watumiaji wa huduma za Mawasiliano ya simu, kuhakiki laini zao...

Habari za Siasa

Samia ang’aka wanaomsema anakopa sana, Rungwe ampa tano

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kusemwa kwa mengi hususani kuhusu suala la kukopa sana, hatishiki kwa sababu amedhamiria kuhakikisha...

Habari za Siasa

Rungwe azungumzia ruksa mikutano ya hadhara “tumeondoka zama za kutishana”

  MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amesema zama alizoziita za kutishana zimeondoka na kwamba vyama vya siasa vitakuwa...

Habari Mchanganyiko

Mtendaji atumbuliwa akituhumiwa kufanya mapenzi ofisini, kuhonga fedha za Serikali

  MTENDAJI wa Kijiji cha Mbigili wilayani Kilosa, Briton Mshani, amefukuzwa kazi kwa tuhuma za kufanya mapenzi ofisini, pamoja na kumhonga mpenzi wake...

Habari Mchanganyiko

Serikali yapiga marufuku uuzaji viwanja 20/20

  SERIKALI imepiga marufuku uuzaji wa viwanja visivyopangwa maarufu kama 20/20, kwa kuwa unakwenda kinyume cha sheria na kuzuia wananchi husika kupata huduma...

Habari za Siasa

Rais Samia kuunda kamati ya ushauri marekebisho ya Katiba

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake imedhamiria kuukwamua mchakato wa marekebisho ya katiba na kwamba muda si mrefu kamati ya ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aondoa zuio la mikutano hadhara ya vyama vya siasa

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, lililowekwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli, kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataja sababu za Chadema kurudi kundini

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekubali kushiriki mkutano wa pamoja wa vyama vya siasa Tanzania,...

Kimataifa

Prince Harry atamani kurudiana na baba, kaka yake

  MWANAMFALME Harry anasema “Ningependa kurudiana na baba yangu, ningependa kuwa na kaka yangu,” kwenye utangulizi wa mahojiano kabla ya kutolewa kwa kumbukumbu...

error: Content is protected !!