Tuesday , 16 April 2024
Home mwandishi
8657 Articles1236 Comments
Habari Mchanganyiko

Baada ya Congo DR, Somalia mbioni kujiunga na EAC

  TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya timu iliyoundwa na taasisi hiyo kutathmini...

Habari Mchanganyiko

NMB yafadhili ziara ya mafunzo machinga, bodaboda Dar nchini Rwanda

BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda...

ElimuHabari Mchanganyiko

Waliopata Division one St Anne Marie Academy waula, Waahidiwa kupelekwa Ngorongoro, Mikumi

WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea mbuga za wanyama...

Habari Mchanganyiko

Wadau wataka kasi iongezeke marekebisho sheria za habari

  WADAU wa tasnia ya habari wametakiwa kuongeza juhudi katika kupaza sauti kutaka mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya...

Habari za Siasa

Vijana ACT-Wazalendo Dar wampa tano Rais Samia

  NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuunda tume ya kuangalia namna ya kuboresha mfumo wa...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wanaokwamisha mradi Liganga na Mchuchuma kitanzani

  NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Zungu, watu wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,...

Habari Mchanganyiko

Ndege ya Precision Air yaahirisha safari kwa hitilafu, nyingine yatua kwa dharura

  NDEGE ya Shirika la Precision Air imeshindwa kufanya safari yake kama kawaida baada ya kupata hitilafu ya kiufundi huku nyingine ikilazimika kutua...

Habari za Siasa

Gridi ya Taifa kufumuliwa kukabiliana na katizo la mgao wa umeme

  WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba, amesema Serikali ina mpango wa kufumua gridi ya taifa, ili kuboresha miundombinu yake chakavu inayosababisha changamoto ya...

Habari Mchanganyiko

NMB yakabidhi vifaa tiba hospitali Mtwara  

BENKI ya NMB Kanda ya Kusini imetoa msaada wa vifaa tiba kwa hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Benedict ya Ndanda iliyopo Wilayani Masasi...

Habari Mchanganyiko

Kasilda Mgeni anasisitiza umoja, ushirikiano Same 

  MKUU mpya wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewaomba watumishi wa umma wilayani hapo kudumisha umoja na ushirikiano ili kuchochea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hii hapa kauli ya Sheikh mpya mkoa wa Dar

SAA chache baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Sheikh mpya wa mkoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Breaking news! Mufti amng’oa Sheikh mkoa Dar

BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa Sheikh Alhad Mussa...

Kimataifa

Hospitali za China zilifurika wagonjwa, wazee kipindi cha wa likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar

HOSPITALI  nchini China zimejaa wagonjwa na wazee katika kipindi cha likizo ya Mwaka Mpya wa Lunar. hali hii imetokea ikiwa mamlaka ya China...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kuchunguza dawa za asili

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Serikali kudhibiti uuzaji holela wa dawa za asili zisizopimwa ubora,...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 215 zajenga miundombinu Kinondoni, mafuriko sasa basi!  

ADHA ya mafuriko kwa wakazi wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo sasa imebaki kuwa historia baada ya jumla ya Sh bilioni 215.9 kutumika...

Habari za Siasa

Kada NCCR-Mageuzi aliyepotea aokotwa porini akiwa taabani, hajitambua

  MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023, amepatikana akiwa hajitambui katika pori...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yataka Jaji Mkuu, Jaji Biswalo wajiuzulu kupisha uchunguzi fedha za Plea Bargaining

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Jaji wa Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ambaye kwa sasa...

Habari za Siasa

Kigogo ACT-Wazalendo: Vyama vya upinzani vilikosea kumpokea Membe, Lowassa

  KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema vyama vya upinzani vilifanya makosa kuwapokea baadhi ya makada waliotoka katika chama tawala...

Kimataifa

Papa Francis ayataka mataifa ya nje kuacha kupora mali DRC

  KIONGOZI wa kanisa Katoliki Papa Francis, ameyataka mataifa ya nje kuacha kupora mali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na bara la...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yatoa tamko bungeni sakatala la viboko shuleni

  SERIKALI imewaagiza maafisa elimu wa mikoa na wilaya kuratibu usimamizi wa adhabu ya viboko shuleni, ili kuepusha vitendo vya walimu kutoa adhabu...

Habari Mchanganyiko

Watumishi BRELA wanolewa kuongeza ufanisi utendaji kazi

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeandaa mafunzo ya siku tano kwa watumishi wake kutoka Kurugenzi ya Kampuni na Majina...

Kimataifa

Mashabiki wakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya wafuasi wa Arsenal na Manchester City kupigana Uganda

  MASHABIKI wawili wa soka nchini Uganda wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mwanamume mmoja kuuawa katika mji mkuu, Kampala kufuatia mzozo...

Habari Mchanganyiko

GGML kuwapatia mafunzo kazi wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini

JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd (GGML) katika...

Habari Mchanganyiko

NHC yaongeza mapato kufikia kufikia Sh bilioni 257

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeongeza mapato hadi kufikia kiasi cha Sh. bilioni 257.4 mwaka 2022 kutoka bilioni 144.4 mwaka 2021. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yaitaka Serikali ichukue hatua kudhibiti mfumuko wa bei

  SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanya tathimini dhidi ya changamoto ya kupanda kwa bei ya mahitaji muhimu ikiwemo vyakula, ili iweze kuchukua hatua...

Habari za Siasa

Bunge lataja kinachokwamisha Mradi wa Mchuchuma na Liganga

  MRADI wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma, ulioko wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe, umetajwa kukwama kutokana na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mo Dewji achomoza bilionea pekee Afrika Mashariki

MAZINGIRA mazuri ya uwekezaji nchini Tanzania yamezidi kuleta matunda baada ya Jarida la maarufu duniani la Forbes kumtaja mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa...

Habari za Siasa

Serikali kuja na utaratibu mpya wa kupanga shule bora

  HUENDA Serikali nchini Tanzania ikaja na utaratibu mpya wa kupanga shule bora na zile za nafasi za mwisho baada ya kufutilia mbali...

Habari za Siasa

Samia ataka utaratibu wa usuluhishi upewe kipaumbele

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ni vyema utaratibu wa usuluhushi upewe kipaumbele katika utatuzi wa migogoro...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia: Panapotokea uvunjifu wa amani panakuwa haki imepotezwa

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema panapotokea uvunjifu wa amani mara nyingi ni pale haki inapopotezwa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Kampuni za simu zinazoruhusu meseji za matapeli, matangazo kikaangoni

  WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuzichukuliwa hatua kampuni za mawasiliano ya simu...

Habari za Siasa

Mpina ataka uchunguzi mchakato wa manunuzi SGR Tabora-Kigoma

  MBUNGE wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina, ameliomba Bunge kuitisha mchakato wote wa manunuzi wa mkataba wa mkandarasi wa...

Habari za Siasa

Spika Tulia ataka ripoti za waliowapa ujauzito wanafunzi 9,011

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuwasilisha bungeni taarifa ya watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi...

Habari za Siasa

Mbowe: Wanachadema wametuma salamu hitaji la katiba mpya, tume ya uchaguzi

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema muitikio mkubwa wa wanachama wa chama hicho katika mikutano ya hadhara,...

Habari za Siasa

Rais Samia aipa miezi minne tume kupitia mfumo haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka tume aliyoiunda kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, kukamilisha kazi hiyo ndani ya miezi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru aibuka na bei za vyakula, “Njaa inadhalilisha nchi”

MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...

Habari Mchanganyiko

Sali, Libenanga washangilia DC kuondoshwa Ulanga

BAADHI ya wananchi wakazi wa wilaya ya Ulanga, wamepongeza uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kumuondoa mkuu wa wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya...

Habari Mchanganyiko

Ubalozi wa Ufaransa wafungua ofisi ndogo Dodoma

UBALOZI wa Ufansa umefungua ofisi ndogo mkoani Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada zinazaofanywa na Serikali, kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na...

Habari Mchanganyiko

Polisi, wananchi wafanya usafi

JESHI la Polisi Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wameshirikiana na wananchi kufanya usafi, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

NMB yazindua Umebima 2023 kutoa elimu zaidi ya bima

KATIKA azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yataka kibano wadaiwa sugu kodi majengo ya serikali

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), iwachukulie hatua za kisheria wapangaji wake wanaodaiwa malimbikizo ya...

Habari za Siasa

Bunge lataka TBC kuajiri wenye vipaji ili kuvutia watazamaji

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imelitaka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kuajiri watangazaji au wasanii wenye vipaji badala ya kuajiri wenye...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaangukia wafanyabaishara mfumuko wa bei “ tusaidie wananchi”

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Daktari Hussein Mwinyi, amewataka wafanyabiashara visiwani humo, kupunguza bei za bidhaa hususan vyakula, ili kuwasaidia wananchi wasiokuwa...

Habari za Siasa

Gambo avutana na Dk. Nchemba kuhusu mfumuko wa bei, Spika atoa agizo

  MBUNGE wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amekataa kupokea taarifa ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, iliyoeleza kwamba mfumuko...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ahoji fedha za Plea-Bargaining

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai, ikapitie mchakato kisheria wa makubaliano ya kukiri...

Habari za Siasa

Rais Samia: Naogopa mahakama, polisi

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema hapo awali alikuwa anaogopa kuingia katika majengo ya mahakama na polisi, akieleza kuwa alihisi huenda akageuziwa kibao...

Habari Mchanganyiko

LSF yazindua mradi kuwezesha wanawakekiuchumi, 1,423 kunufaika Arusha

  SHIRIKA la Legal Services Facility (LSF), limezindua mradi wa kuwawezesha kiuchumi wanawake jamii ya kimasai waishio wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, ambapo...

Habari Mchanganyiko

Wateja wa M-Pesa sasa kupokea pesa kutoka nchi 21 za Ulaya

  WATEJA wanaotumia mtandao wa simu wa Vodacom kupitia M-Pesa sasa wanaweza kupokea fedha kutoka katika nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani na nchi...

Tangulizi

Sheria ya kuwabana wenye nyumba yaja,Waziri Mabula ataka madalali wawe na maadili

SERIKALI imesema inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoanzisha chombo cha kusimamia sekta ya milki (Real estate Regulatory Authority), kwaajili ya kusimamia na kulinda maslahi...

ElimuMakala & Uchambuzi

Waraka maalumu kwa NECTA, “hawapaswi kuungwa mkono”

HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...

error: Content is protected !!