Author Archives: Mwandishi Wetu

‘Vigogo CCM waporaji ardhi’

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa watu wanaojihusisha na uporaji ardhi ya wananchi na baadaye kusababisha migogoro. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na ...

Read More »

Nyalandu amaliza mgogoro Karatu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea kuipatia ufumbuzi migogoro ya ardhi na mipaka baina ya wananchi na hifadhi za taifa na mapori ya akiba nchini. Anaandika Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Kafulila: Serikali ya CCM ni “misheni town”

DAVID Kafulila- Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ameivaa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema imechafua taswira ya Tanzania nje ya nchi kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya ufisadi. Anaandika ...

Read More »

Kura za maoni: Vigogo CUF waanguka

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS), kutoka Chama cha Wananchi (CUF); wabunge wengine kadhaa wakongwe wa chama hicho na baadhi ya wawakilishi, wameangukia pua katika kura za maoni za ...

Read More »

Lowassa amtisha Rais Kikwete

EDWARD Lowassa, mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojiapiza kufia katika urais, amekimega chama hicho vipande viwili. Anaripoti Yusuf Aboud … (endelea). Lowassa aliyekuwa mmoja wa wanachama sita ...

Read More »

Zitto ataka ripoti ya CAG ifanyiwe kazi

SIKU moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, kuwasilisha ripoti tano za ukaguzi wa fedha kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2014, ikibainisha ...

Read More »

Kiwanga ataka Moro igawanywe

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), ameitaka Serikali kuingilia kati mgogoro ambao unaonekana kukua kati ya majimbo ya Ulanga Mashariki na Ulanga Magharibi. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Kiwanga alitoa pendekezo ...

Read More »

Waziri Mahenge azomewa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binirth Mahenge, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge kutokana na kuunga mkono uongozi wa mkoa wa Kigoma ...

Read More »

Tunazo nyumba za kibalozi 97-Kairuki

TANZANIA imesema inayo majengo 97 ya kibalozi katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema hayo ...

Read More »

Tutavuna wabunge 5, madiwani 16 CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro, kimejinasibu kuwa kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokiendea kombo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), watanyakua wabunge watano na madiwani 16 watakaochoshwa na ...

Read More »

Waganga 1600 wabainika kutosajiliwa

ZAIDI ya waganga 1600 wa tiba asilia katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamengundulika hawajasajiliwa katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambapo mpaka sasa ni 164 pekee waliosajiliwa. ...

Read More »

Serikali “yajivika mwiba” wa BVR

PAMOJA na kazi ya uandikishaji wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) kuambatana na kasoro lukuki, Serikali imeahidi kuwa kazi hiyo itakamilika ndani ya siku 60. ...

Read More »

Miundombinu yakwaza walemavu

WATU wenye ulemavu nchini, wameiomba Serikali na taasisi binafsi zinazotoa huduma za kijamii kuhakikisha wanaweka miundombinu rafiki itakayowawezesha kuzifikia huduma kwa urahisi. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha … (endelea). Rai hiyo, ...

Read More »

Nyalandu: Nassari hanibabaishi

SIKU moja baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), kudai kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kazi yake ni kuzunguka maporini na kupiga picha, amejibu akisema ...

Read More »

Waislam watwangana msikitini

WATU wawili waumini wa dini ya Kiislamu, wamejeruhiwa katika vurugu zilizoibuka kwenye Msikiti wa Hidayah kata ya Kitangiri jijini Mwanza. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Kufuatia vurugu hizo, Jeshi la Polisi ...

Read More »

Nani ataangushiwa gogo CCM?

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumedoda. Hakuna kinachosonga mbele. Mambo hayaendi. Kinachoonekana machoni mwa wengi, kutalamaki vituko na mtikisiko. Mradi wa “Katiba Mpya,” ambao ungetumika kama mtaji mkuu wa ...

Read More »

Taa ya habari haipaswi kuzimika

TASNIA ya habari ni taa ya umma inayomulika na kuangaza kwenye giza na kuonyesha wazi yaliyojiri humo pamoja na kufichua maovu kwa faida na maslahi ya umma. Taa hii muhimu ...

Read More »

Mbunge wa CCM agawa “rushwa” usiku

WAKATI wabunge wakihaha kutetea majimbo yao katika uchaguzi mkuu mwaka huu, Mbunge wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), anadaiwa kugawa fedha wa wafuasi wake usiku wa manane katika nyumba ...

Read More »

Uamsho wacharuka kortini

VIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), wanaokabiliwa na tuhuma za ugaidi, wamegoma kula wakidai bora wapigwe risasi za kichwa wafe kuliko kugeuza madai yao ya Zanzibar kuwa ...

Read More »

Mwenyekiti Bavicha avuta pumzi Shinyanga

KADIRI uchaguzi mkuu wa Oktoba unavyokaribia, ndivyo sura mpya kwenye siasa zinachomoza na hivyo kuwatia hofu wawakilishi wanaoshikilia kata, majimbo na hata kiti cha urais kitakachokuwa wazi baada ya Rais ...

Read More »

Serikali yamtakasa Maswi sakata la Escrow

BALOZI Ombeni Sefue- Katibu Mkuu Kiongozi, amesema uchunguzi uliofanywa dhidi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi, haukumkuta na hatia yoyote katika kashfa ya ukwapuaji fedha ...

Read More »

Baraza la madiwani lamkataa mchumi

ALPHONCE Mwakabesa-Mchumi wa Jiji la Mwanza, amekataliwa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya jiji kwa madai ya kutotimiza wajibu wake. Anaandika Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). 
Hatua hiyo imefikiwa ...

Read More »

Korti yamwidhinisha Nkurunziza

PIERRE Nkurunziza-Rais wa Burundi, ameruhusiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha urais kwa muhula wa tatu. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama ya Katiba ya Burundi chini ya jopo la ...

Read More »

Serikali isipojiheshimu na ikachokwa, alaumiwe nani?

KUNA barua ya Josephat Butiku, ambaye wengi tunafahamu kama mwana CCM halisi na ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), aliyomwandikia Rais mstaafu Benjamin Mkapa, ambayo Fred Mpendazoe ameinukuu ...

Read More »

UVCCM “wamchome” Chegeni

MZOZO mkali unafukuta ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Lamadi wilayani Busega-Simiyu, hatua ambayo inamweka pabaya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) wa wilaya hiyo, Raphael Chegeni, Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Wavuvi Muleba wataabika na uhalifu

KWA asilimia kubwa, wakazi wa kanda ya Ziwa hususani mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza, wanategemea mazao yatokanayo na shughuli za uvuvi ili kuendesha maisha yao ya kila siku. Anaandika Ashura Jumapili, Bukoba … ...

Read More »

Ubunge waipasua CCM Bukoba Vijijini

BAADA ya mgogoro kati ya Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki na aliyekuwa Meya wa Manispaa hiyo, Dk. Anatory Amani, kukiathiri Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hivyo kufanya vibaya ...

Read More »

Waziri Mukangara ‘akimbia’ waandishi

FENELLA Mukangara-Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ametia doa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zinazoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). ...

Read More »

Chadema yaibwaga tena CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa mara nyingine tena kimekibwaga Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kesi ya kupinga matokeo ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kihonda Maghorofani. Anaandika ...

Read More »

Watanzania wako tayari kununua utumwa?

TUNAPOELEKEA katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, Watanzania wanapaswa kujiuliza kama wako tayari kuuza uhuru wao na kununua utumwa kwa kukubali kudanganywa kwa fedha na maneno matamu. Wako viongozi wabovu ambao wako ...

Read More »

Nimeitwa kuitumikia Chadema

MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Morogoro, James Mabula, amesema ameitwa na Mungu kukitumikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Bryceson Mathias, Morogoro… (endelea). Akizungumza katika ...

Read More »

Wyndham yafungua hoteli Tanzania

SHIRIKA la Hoteli la Wyndham, ambalo linaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya hoteli na moja kati ya vitengo vitatu vya kibiashara vya Kampuni ya Wyndham Worldwide, limefungua hoteli ...

Read More »

Shule zasotea ruzuku

UFUATILIAJI wa Shirika la Hakielimu, umeaonesha kuwa kwa robo tatu za mwaka wa fedha, iliyoishia 31 Machi mwaka huu, Serikali imeweza kutoa asilimia tisa tu ya Sh. 10,000 kwa shule ...

Read More »

Waandishi 53 kuchuana EJAT

BAADA ya uchambuzi wa kazi 959 zilizowasilishwa, hatimaye majaji wameteua jumla ya waandishi 53 watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zilizoandaliwa na ...

Read More »

Mwigulu aleta tafrani Kagera

JINA la Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limeleta kizaazaa mkoani Kagera. Watu wasiofahamika wanapita kwenye makontena na maduka yaliyo kando ya barabara kuu ya Bukoba – ...

Read More »

Sababu 40 za kuipinga Katiba inayopendekezwa

ZIPO sababu zaidi ya 100 za kuikataa katiba inayopendekezwa, kwa leo tutaangazia sababu 40 za kupinga katiba hiyo. Sababu hizo zimegawanyika katika sehemu mbili kimchakato na kimaudhui. Sababu ya kwanza ...

Read More »

Chadema yatwaa Mji mdogo Katoro

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimechaguliwa kuuongoza Mji Mdogo wa Katoro mkoani Geita, baada ya kukibwaga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). Mkurugenzi wa Halmashauli ya Wilaya ya ...

Read More »

Wanne wahukumiwa kifo kwa kuua Albino

HATIMAYE Mahakama imetenda haki kwa familia ya marehemu Zawadi Magindu (22)-mlemavu wa ngozi (Albino), aliyeuwa na kisha baadhi ya viongo vyake kunyofolewa mwaka 2008. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). Sasa watu wanne; ...

Read More »

Zitto aomba achunguzwe

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto, ameombwa tuhuma zilizotolewa dhidi yake na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), zichunguzwe. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). “Naiomba Sekretariati ...

Read More »

EWURA yashusha tena bei ya mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa ambazo zitaanza kutumika kuanzia Machi 4, 2015. Anaandika Mwandishi wetu… ...

Read More »

CCM washtakiana kwa Kinana

JOTO la uchaguzi mkuu linazidi kupanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na sasa makada wake wameanza kushitakiana wakituhumiana kuanza kampeni kabla ya wakati. Anaandika Edson Kamukara…(endelea). Mbunge wa Tabora ...

Read More »

Rais Kikwete kukutana na Albino

RAIS Jakaya Kikwete, wiki ijayo anakutana na baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) ili kuweka “mkakati ya pamoja” wa kukabili vitendo vya ...

Read More »

Mbowe: Serikali iwajibike mauaji ya albino

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman, ameitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwasaka na kuwakamata wauaji wa walemavu wa ngozi (albino) na vikongwe. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). ...

Read More »

Mkakati wa UKAWA waiva

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), viko kwenye hatua za mwisho za kuweka utaratibu wa pamoja kwa ajili ya kuwapata wagombea wake katika nafasi za urais, ubunge na ...

Read More »

UKAWA: Mbele kwa mbele

MUUNGANO wa vyama thabiti vya upinzani nchini, umevuna maelfu ya wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji katika uchaguzi uliyofanyika 14 Desemba 2014. Haya ni matokeo yenye ...

Read More »

Chadema yamvaa Kikwete

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa Rais Jakaya Kikwete, amepatwa kigugumizi kushughulikia watuhumiwa wakuu wa ufisadi katika Akaunti ya Escrow kwa kuwa yeye ni sehemu ya wizi huo. ...

Read More »

Wasanii chipukizi waomba ushirikiano kwa wakongwe

WADAU wa sekta ya Sanaa nchini Tanzania wametakiwa kuungana na kushirikiana katika kazi zao ili kuleta ushindani kwa nchi za jirani katika tasnia hiyo ya sanaa. Rai hiyo ilitolewa jana ...

Read More »

Kidato cha nne kuanza mtihani Jumatatu

NAIBU Waziri wa Elimu na Ufundi, Jenista Mhagama amewataka maofisa watakaosimamia mitihani ya kidatu cha nne mwaka huu, kutoruhusu kuwapo kwa udanganyifu, imefahamika. “…natoa wito kwa maafisa elimu wote wa ...

Read More »

Mwambene: Hakuna mwenye hati miliki ya nchi?

UHUSIANO wa gazeti la MAWIO na serikali – Idara ya Habari Maelezo – ni wa mashaka. Ni bahati njema, tunafahamu kwa undani kinachosababisha uhusiano huo kuwa mbaya. Ni msimamo wa ...

Read More »

2015; mwaka wa kulia waliojisahau

KUJISAHAU kubaya. Mtu aliyejisahau katika jamii; iwe mahali pa kazi au uraiani huwa hafikiri zaidi ya leo. Kwa bahati mbaya sana mtu aliyejisahau awe ofisa au mkurugenzi au raia tu, ...

Read More »
error: Content is protected !!