Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8556 Articles1225 Comments
Habari Mchanganyiko

RC Songwe aongoza ugawaji bidhaa za magendo kutoka Zambia

  MKUU wa mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ameongoza zoezi la ugawaji wa bidhaa zenye thamani ya Sh Milioni 12.4 zilizokamatwa wakati zikiingizwa...

Kimataifa

Puto la Kijasusi la China latia mashaka mahusiano yake na Marekani

  PUTO la Kijajasusi la China liliorushwa kwenye anga ya Marekani limetajwa kuwa chanzo cha kuteteresha mahusiano ya nchini hizo mbili. Imeripoti Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Muswada wa sheria ya habari kutinga bungeni kesho

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016,...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Dk. Tulia achachamaa degree za heshima kuuzwa kama pipi

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema shahada za udaktari wa falsafa ‘degree za heshima’ zinazotolewa...

Habari Mchanganyiko

Tanzania inakabiliwa na uhaba wa nyumba milioni 3

  TANZANIA inakabiliwa na uhaba wa nyumba zipatazo milioni tatu licha ya kuwa watanzania ni zaidi ya milioni sitini ambapo jiji la Dar...

ElimuTangulizi

12 mbaroni udanganyifu mitihani kidato cha nne, Bunge lagongea msumari

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema jumla ya watu 12 wamekamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvujisha mtihani wa...

Kimataifa

Waziri wa mambo ya ndani Kenya matatani, Raila amkingia kifua

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i, anasakwa na Jeshi la Polisi nchini humo, huku sababu za hatua hiyo kutowekwa...

Habari Mchanganyiko

ACT-Wazalendo yawapa neno wanahabari mkwamo muswada sheria ya habari

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimewataka waandishi wa habari na wadau wengine wa tasnia hiyo, kupaza sauti zao ili Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

Habari za Siasa

Hoja ya Moshi kuwa Jiji yaibuliwa tena bungeni

  MBUNGE wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo, ameitaka Serikali kupandisha hadhi ya utawala miji iliyokidhi vigezo, pamoja na kugawa mikoa yenye ukubwa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Mwigulu yatibua Bunge, Spika aifuta

  KAULI ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba aliyoitoa bungeni kuwa “wabunge wajadili mambo mengine yanayohusu uganga” imeendelea kuutibua muhimili...

Habari Mchanganyiko

Kampeni ya Umebima yazinduliwa tena Zanzibar

MCHAKATO wa elimu ya bima na uhamasishaji wa matumizi yake umezidi kunoga baada ya Benki ya NMB kuzindua tena kampeni ya Umebima Zanzibar...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina akiwasha bungeni mkwamo marekebisho ya katiba

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amehoji bungeni jijini Dodoma, sababu za mchakato wa marekebisho ya katiba, kukwama licha ya Rais Samia Suluhu Hassan,...

Habari Mchanganyiko

Wawili washikiliwa vurugu za wachinga Mwanza

  JESHI la Polisi mkoani Mwanza, linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma za kuongoza vurugu zinazodaiwa kufanywa na baadhi ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga), dhidi...

Habari Mchanganyiko

Wahandisi GGML wafanya ziara ya mafunzo Daraja la Kigongo–Busisi

KUNDI la wahandisi 40 kutoka kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wametembelea daraja la Kigongo-Busisi linalounganisha mikoa ya Mwanza na Geita kwa...

Habari za Siasa

Ole Sendeka alitaka Bunge liache kulalamika, lichukue maamuzi

MBUNGE wa Simanjiro, Christopher Olesendeka, amelitaka Bunge liache kulalamika kwa maamuzi yake iliyokwisha fanya, badala yake litoe maazimio ya kuwachukulia hatua watu wanaoshindwa...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yatoa mapendekezo manne changamoto ukosefu ajira kwa vijana

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, imetoa mapendekezo manne kwa Serikali, juu ya namna ya kutatua changamoto za ukosefu...

Kimataifa

Raia Pakistan walilia haki siku ya Mshikamano Kashimir

RAIA wa Pakistani waishio nchini Tanzania wameadhimisha siku ya Mshikamano wa Kashmir (Kashmir Solidarity Day) inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Februari huku wakiomba...

Habari Mchanganyiko

Mawakili waiburuza mahakamani TLS, EALS

  WAKILI Hekima Mwasipu na wenzake wawili, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, kupinga masharti mapya yanayowalazimisha mawakili...

Habari za Siasa

Jaji Biswalo aendelea kung’ang’aniwa fedha za ‘Plea Bargaining’, CUF wataka ajiuzulu

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ajiuzulu cheo chake cha ujaji wa Mahakama Kuu, ili...

Habari Mchanganyiko

DPP aweka pingamizi kesi ya ‘watu wasiojulikana’

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), ameweka pingamizi dhidi ya kesi ya jinai iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Luqman Maloto, kuhoji ukimya wa...

Kimataifa

Ramaphosa akiri tatizo la umeme Afrika Kusini kuathiri sekta ya madini

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini ambayo ni nguzo muhimu ya...

Kimataifa

Idadi ya vifo tetemeko la ardhi yafikia 9000

  IDADI ya vifo vilivyotokana na tetemeko la ardhi lililotokea Jumatatu wiki hii nchini Syria na Uturuki vimefikia 9,000. Inaripoti Mitandao ya Kijamii...

Habari Mchanganyiko

Washindi saba safarini Dubai NMB MastaBata ‘Kote Kote’

KAMPENI ya kuhamasisha matumizi ya Mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo jana Jumanne tarehe 7 Februari...

Habari za Siasa

Bunge labaini madudu mfumo ukusanyaji mapato, h’shauri tatu kikaangoni

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imedai kuwa, kuna changamoto ya uvujaji wa mapato ya Serikali...

Habari za Siasa

Mkuu wa wilaya ya Rungwe azindua vyumba sita vya madarasa vya thamani ya 64 mil

  MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua vyumba sita vya madarasa katika shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji Cha Katunduru kata...

Habari za Siasa

Mbunge afurahia mabilioni ya Samia kutua jimboni

  MBUNGE wa Igunga, Nicholas Ngassa ameishukuru Serikali kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hasssan kwani...

Habari za Siasa

PIC yaishauri Serikali kuanzisha mfuko wa uwekezaji kusaidia mashirika ya umma

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imeishauri Serikali ianzishe Mfuko Maalum wa Uwekezaji kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Ongezeko la mapato lamkosha RC Songwe

  MKUU wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Tunduma, Philimon Magessa kwa jitihada za ukusanyaji mapato...

Habari za Siasa

Chadema yamtaka Dk. Mwigulu ajiuzulu uwaziri

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu wadhifa wake ili kupisha uchunguzi wa...

Habari Mchanganyiko

NBC Dodoma International Marathon kutimua vumbi Julai 23

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetanganza msimu wa nne wa mbio za NBC Dodoma International Marathon 2023 zinazotarajiwa kufanyika Julai 23 mwaka...

Habari Mchanganyiko

NMB wadhamini wiki ya usalama barabarani

BENKI ya NMB ni miongoni mwa wadhamini wa Wiki ya Usalama Barabarani nchini Tanzania iliyozinduliwa wiki iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Habari Mchanganyiko

GGML yakabidhi madarasa 2 kwa Shule ya msingi Kiziba

KATIKA kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha elimu na kulea kizazi kijacho ambacho kitasaidia Taifa kufikia malengo ya kiuchumi na kimaendeleo, Kampuni...

Habari Mchanganyiko

WFP wasaini mkataba kuinua wakulima wadogo nchini

  SHIRIKA la Chakula Duniani (WFP) kwa upande wa Tanzania limesaini makubaliano ya awali na Taasisi ya International Crop Research Institute for the...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi Uturuki: Vifo vyaongezeka hadi 4,800

  Idadi ya vifo vilivyotokana na tetemeko lililotokea jana Jumatatu katika mpaka wa Syria na Uturuki, imeongezeka hadi kufikia zaidi ya 4,800 bada...

Habari za Siasa

DC aongoza kupanda miti 1,000 Rungwe kwa siku moja, mbolea, ruzuku kuendelea kusambazwa

MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa...

Kimataifa

Tetemeko la ardhi laua watu 300 Uturuki, Syria

  WATU  300 wamefariki dunia katika tetemeko kubwa la ardhi lenye kipimo cha 7.8, lililotokea leo tarehe 6 Februari 2023, katika mpaka wa...

Habari za Siasa

Spika Tulia aongeza kamati za kisekta bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameongeza kamati za kudumu za kisekta mhimili huo kutoka tisa hadi 11. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Akisoma...

Habari Mchanganyiko

Profesa Kabudi aomba Morogoro iwe jiji

MBUNGE wa jimbo la Kilosa mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi, ameomba mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kuupandisha...

Habari Mchanganyiko

Ajali Tanga- RC awakomalia madaktari waliosimamishwa, aibua shangwe miili ikiagwa

MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Serikali haikumsimamisha Mganga Mfawidhi Halmashauri ya Mji Korogwe na daktari mteule wa hospitali ya wilaya...

Habari Mchanganyiko

Idadi ya vifo ajali Tanga yaongezeka kufikia 20

MKUU wa mkoa wa Tanga, Omar Mgumba leo Jumapili amesema majeruhi watatu katika ajali iliyotokea juzi Korogwe mkoani Tanga, wamefariki dunia na kuongezeka...

Habari Mchanganyiko

RC Mtaka aeleza alivyoghadhabishwa na viongozi wenzake “kwani huli, hulipwi mshahara?”

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema katika kuhakikisha wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba 2022 wanaendelea kidato cha kwanza 2023,...

Habari Mchanganyiko

Samia atuma salama za pongezi CCM ikitimiza miaka 46

WAKATI Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 5 Februari 2023 kikitimiza miaka 46 tangu kuasisiwa kwake, Rais Samia Suluhu Hassan ametumia ukurasa wake wa...

Kimataifa

Urusi, Ukraine zabadilishana wafungwa wa kivita

JUMLA ya wafungwa 179 wa kivita wa Urusi na Ukraine wamerejea nyumbani kufuatia mpango wa kubadilishana wafungwa. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Mshauri mwandamizi...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aungana na wananchi ujenzi maabara za sekondari

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Nyamrandirira, mkoani Mara, wamechangia fedha na vifaa mbalimbali kwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa majina 12 ya familia moja waliofariki kwenye ajali Tanga

  MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo, Jumamosi tarehe 4 Februari, mkoani...

Kimataifa

Papa Francis kukutana na wahanga wa vita Sudan Kusini

  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na wahanga wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awalilia 17 waliofariki ajalini wakisafirisha maiti

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza watu 17 waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Tanga,...

Kimataifa

Polisi ahukumiwa kifo kwa kumuua wakili

  MAHAKAMA kuu nchini Kenya imemhukumu kifo Ofisa wa Polisi, Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine wawili yaliyotokea...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wachimbaji wajenga zahanati kuokoa afya za wakazi 2000

  ZAIDI wakazi 2,000 wa kijiji cha Nyamishiga Kata ya Lunguya Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na adha ya kutembea...

Habari Mchanganyiko

Baada ya Congo DR, Somalia mbioni kujiunga na EAC

  TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), baada ya timu iliyoundwa na taasisi hiyo kutathmini...

error: Content is protected !!