Author Archives: Mwandishi Wetu

Mwigulu atwikwa mzigo wa maiti

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Boniventure Mushongi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani wamedaiwa kuwajua watu waliohusika na mauaji ya watu saba ambao maiti zao ...

Read More »

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni ...

Read More »

Lema amemkosea nani?

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), bado anasota kwenye gereza kuu la Kisongo, mkoani Arusha, anaandika Yusuph Katimba. Lema yuko gerezani kufuatia upande wa mashitaka kupinga kuachiwa kwa dhamana ...

Read More »

Lowassa, Maalim, Kingunge wateta

EDWARD Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania (2005-2008), Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar (2010-2015) pamoja na mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru wamekutana jijini Dar ...

Read More »

Tumuamini JPM au gavana?

RAIS John Magufuli, akiwa katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria (OUT), eneo la Bungo, Kibaha, Pwani, alitumia nafasi hiyo kuelezea sababu za kutengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ...

Read More »

KKKT Mashariki na Pwani kwafukuta

SAKATA la vyeti feki, limetinga ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anaandika Mwandishi Wetu. Naibu Katibu Mkuu wa kanisa hilo, Mchungaji Ernest ...

Read More »

JPM amgeuka Kikwete

SERIKALI ya Rais John Magufuli imelaumiwa kwa kukiuka misingi ya msimamo wa nchi kuhusu mataifa ya Morocco na Israel, anaandika Shaban Matutu. Hii inatokana na uamuzi wa serikali wa kutaka ...

Read More »

Ewe Machali nani aliyekuroga?

NANI aliyemroga Moses Joseph Machali, mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), aliyeongoza jimbo hilo kipindi kimoja cha 2010-2015?, anaandika Shabani Matutu. Hili ni swali la kwanza kunijia baada ya ...

Read More »

Kitwanga lawamani Misungwi

NICODEMUS Ihano, diwani wa kata ya Mabuki wilayani Misungwi amemtupia lawama Charles Kitwanga, Mbunge wa Jimbo la Misungwi akidai ni miongoni mwa ‘vigogo’ wanaowalinda wakandarasi wazembe katika halmashauri ya wilaya ...

Read More »

EU ‘yamkazia’ Dk. Shein, JPM

TAARIFA kwamba Umoja wa Ulaya (EU) bado una msimamo kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba 2015, ulivurugwa, imeamsha upya msisimko kwa umma wa Wazanzibari, anaandika Mwandishi Wetu. “Hatua ...

Read More »

Meya Kafana: Wapuuzeni wanaotaka kutuchafua

MUSA Kafana, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam amewataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii kwamba jiji hilo limetoa tenda ya ukusanyaji wa ushuru wa maegesho ...

Read More »

Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John ...

Read More »

‘Utembo’ wa rais umekuzwa na CCM

NIMEGUSWA na kauli za wazee watatu, wanasiasa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Joseph Butiku, Phillip Mangula, na Wilson Mukama – walipotoa mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya ...

Read More »

Prof. Lipumba awaponza Jaji Mtungi, Masaju

BODI ya Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi (CUF), imefungua kesi dhidi ya Jaji Francis Mutungi, George Masaju, Profesa Ibrahimu Lipumba na wafuasi 12 waliotimuliwa na chama hicho katika ...

Read More »

Magufuli ashitukia dili

UAMUZI wa serikali kuzuia uuzaji au ukodishwaji wa klabu za Simba na Yanga kwa matajiri wawili maarufu nchini, umelinda maslahi ya nchi na kuepusha nchi kutotawalika, imefahamika, anaandika Mwandishi Wetu. Mchambuzi ...

Read More »

Escrow na kweli ikidhihiri

ILIANZIA kwa David Kafulila, mwanasiasa kijana aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, aliposema ndani ya bunge mgogoro uliohusu uchotwaji wa fedha kifisadi zilizokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow, umeikosesha nchi mamilioni ya ...

Read More »

Magufuli atamuweza Lowassa mahakamani?

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji wa safu hii kutokana na uchambuzi wa wiki iliyopita, uliofananisha wongofu wa ghafla wa Sauli na mabadiliko ya ghafla ya Lowassa. Miongoni mwa watu 206 ...

Read More »

Familia ya Nyerere gizani

MAMA Maria Nyerere na familia yake hawakuhudhuria Sherehe ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere iliyofanyika Bariadi mkoani Simiyu jana, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Madiwani Chadema walazwa korokoroni

ALEXANDER Mnyeti, Mkuu wa Wilaya ya Arusha juzi aliwalaza mahabusu madiwani wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu. Madiwani hao wanatoka katika Halmashauri ya Arusha wilayani ...

Read More »

Lipumba agonga mwamba

PROFESA Ibrahim Lipumba amegonga mwamba. Juhudi zake za kufungua akaunti ya benki, tofauti na iliyo halali na inayotumika, zimekwama, anaandika Shabani Matutu. Prof. Lipumba anadaiwa kutaka kufungua akaunti yake katika Tawi ...

Read More »

Lipumba kaajiriwa na nani kuivuruga CUF?

VITUKO, mapenzi na mahaba ya ghafla ya vyombo vya dola na hasa Jeshi la Polisi kwa mtu anayedaiwa kuwa Mwenyekiti Halali wa Chama cha Wananchi au kwa kimombo Civic United ...

Read More »

Kubenea ashtukia janja ya CCM

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amefichua hujuma zinazotaka  kufanywa na Aron Kagurumjuli,  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ili kukibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

Washindi wa M Bet wakabidhiwa vitita vyao

WASHINDI wawili, Exaudi Mgeni wa Iringa na Joel Mwakagali wa Mbeya, waliojinyakulia jumla ya kitita cha Sh. 82 milioni, wamekabidhiwa fedha zao leo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Bukoba ‘kuushughulikia’ muswada wa habari

WAANDISHI wa habari mkoani Kagera wameombwa kutoa maoni yao juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, anaandika Mwandishi Wetu. Rai hiyo imetolewa na Bwana Deodatus Balile, ...

Read More »

Lipumba wa jana si bora kuliko Lowassa wa leo

WAKATI Profesa Ibrahim Lipumba akiendelea kutumia jina la Edward Lowassa kama kinga ya usaliti wake dhidi ya CUF na UKAWA, baadhi ya wasomaji wa safu hii wameniuliza maswali kadhaa juu ...

Read More »

Rais ‘amvizia’ Kinana

RAIS John Magufuli aliondoka Ikulu jijini Dar es Salaam hadi ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba bila kujulisha viongozi wake wakuu wa chama hicho, anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

Aliyemtembeza Lowassa afariki ghafla

AHMED Mussa Mseha, Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Kata ya Hamgembe, Manispaa ya Bukoba amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka ghafla akiwa kwenye ofisi ya wilaya ya ...

Read More »

Ukawa: Tutailiza CCM

  UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umejipanga kukiliza tena Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kinyang’anyiro cha kumpata Meya wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, anaandika Shabani Matutu. Hayo yamebainishwa leo ...

Read More »

Wafugaji kuiburuza serikali mahakamani

  WAFUGAJI kutoka wilaya nane za mkoani Morogoro, wameazimia kuifikisha serikali mahakamani kutokana na kukerwa na zoezi la kupiga chapa na utambuzi wa idadi ya mifugo yao, anaandika Christina Haule. Zoezi ...

Read More »

Lowassa, Mbowe wavamiwa na Polisi

VIONGOZI wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na jeshi la polisi wakati wakiendelea na kikao chao cha Kamati Kuu (CC), kwenye hoteli ya Giraffe jijini Dar es ...

Read More »

UKUTA moto

GIZA limetanda nchini kufuatia Serikali ya Rais John Magufuli kujiapiza kupambana na “Operesheni UKUTA,” anaandika Josephat Isango. Taarifa kutoka serikalini zinasema, mkakati umepangwa wa kuhakikisha waratibu na watekelezaji “Operesheni UKUTA” ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif ‘bifu’ kali msibani

MAMBO yanazidi kuharibika. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Maalim Seif Sharif Hamad kugoma kupokea mkono wa Dk. Ali Mohamed Shein kwenye msiba wa Alhaj Aboud Jumbe, anaandika Mwandishi Wetu. Hali ...

Read More »

JPM angejua, asingethubutu

KWA kauli na mwenendo wa utawala wake, Rais John Magufuli hapendi upinzani. Hapendi kukosolewa. Anafanya jitihada zote anazoweza kuhakikisha yeye pekee ndiye anabaki katika majukwaa ya siasa. Anawaambia wanasiasa wengine ...

Read More »

Rais mbabe au viongozi wa dini waoga?

TAIFA linahitaji uponyaji, maombezi na maonyo kutoka kwa viongozi wa dini zote, anaandika Mwandishi Wetu. Huduma hizo zinahitajika mno sasa kuliko wakati mwingine, kwa kuwa zipo dalili kwamba Tanzania sasa ...

Read More »

Chadema mguu sawa! Mbowe  hadi kieleweke

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka viongozi na wafusi wa chama hicho katika ngazi mbalimbali, kutotishika na vitisho vya jeshi la polisi, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Katoliki, Malinyi waingia mgogoro

WAKAZI wa Kaya 22 zilizopo katika Kijiji cha Munga, Tarafa ya Mtimbila wilayani Malinyi, Morogoro wameiomba Serikali ya Wilaya, Mkoa na Taifa kuingilia kati katika kutatua mgogoro wa ardhi uliopo ...

Read More »

Lissu hajulikani alipo, Chadema wamsaka

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki hajulikani alipo. Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Singida wanamsaka, anaandika Josephat Isango. Lissu alikamatwa na Jeshi la Polisi jana ...

Read More »

Lissu mbaroni

TUNDU Lissu Mbunge wa Singida Mashariki ametiwa mbaroni na jeshi la Polisi Mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara, anaandika mwandishi wetu. Taarifa zinasema kuwa Lissu alikamatwa mara ...

Read More »

Polisi wazidisha danadana tuhuma za Sosopi.

Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limeendelea kupiga danadana tuhuma zinazomkabili Patrick Ole Sosopi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), anaandika Josephat Isango. Taarifa ...

Read More »

Msigwa ataka Ikulu iuzwe

Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini (Chadema) amemshauri Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuuza kwanza Ikulu kabla ya kuuza majengo mengine ya serikali ili zipatikane ...

Read More »

Vodacom Foundation yatumia bilioni 15 katika miradi ya kijamii nchini 

Kampuni ya Simu ya Vodacom imetumia bilioni 15  kusaidia kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizopo kwenye jamii kupitia taasisi yake ya kusaidia masuala ya kijamii ya Vodacom Tanzania Foundation, anaandika Josephat Isango. ...

Read More »

Lissu amjibu Magufuli

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema kauli za Dk John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni za kibaguzi na zinavunja umoja ...

Read More »

Chadema yawapuuza Mutungi, Sendeka

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakina mpango wa kumjibu Jaji Francis Mutungi msajili wa vyama vya siasa nchini wala Christopher Olesendeka. anaandika Josephat Isango. Salumu Mwalimu, Naibu Katibu ...

Read More »

Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana

ABDULRAHAMAN Kinana, amekubali kuendelea na wazifa wake wa katibu mkuu. Anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa zinasema, Kinana ataendelea kutumikia wazifa huo hadi kufanyika uchaguzi mkuu ujao, Novemba mwaka kesho. Kwa mujibu ...

Read More »

Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana

ABDULRAHAMAN Kinana, amekubali kuendelea na wazifa wake wa katibu mkuu,anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa zinasema, Kinana ataendelea kutumikia wazifa huo hadi kufanyika uchaguzi mkuu ujao, Novemba mwaka kesho. Kwa mujibu wa ...

Read More »

Mbunge Segerea anachanganya wananchi

NIMEKUWA mkazi wa Segerea kwa muda mrefu, lakini kwa sasa naona hofu kwa wakereketwa wa maendeleo inavyowatawala, anaandika Mwandishi Wetu. Hofu hiyo inahusu matumizi ya Fedha za Mfuko wa Jimbo lao ...

Read More »

Jeshi la Polisi linajifedhehesha

AKIZUNGUMZA wakati wa kupokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, Rais John Magufuli alisema siasa kwa sasa hazina nafasi hadi baada ya miaka mitano, anaandika Josephat Isango. Kwa maneno yake ...

Read More »

BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

BARAZA la vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeapa kwenda mkoani Dodoma kusaidia jeshi la polisi kuzuia mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Josephat Isango… (endelea). ...

Read More »

Ponda amshukia Magufuli

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini (JTK), Sheikh Ponda Issa Ponda amesema, ni mapema mno kufurahia kauli ya Rais John Magufuli kuwa atarejesha mali za Waislam zilizoporwa na ...

Read More »

Vodacom yadhamini ziara ya wahariri Nairobi

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ndiyo wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni sita kwa ajili ya kudhamini ziara ya mafunzo ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube