Author Archives: Mwandishi Wetu

Magufuli mgombea Urais CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini ...

Read More »

NEC yashangaza watu, Membe, Makamba Out

HALMASHAURI Kuu ya Taifa (NEC) imemaliza kazi yake ya kuteua majina matatu ya wagombea wa CCM, ambayo hayakutarajiwa na wengi. NEC imewatupa nje, wagombea Bernard Membe na Januari Makamba. Anaandika ...

Read More »

Wagombea watano wa CCM hawa, CC yapasuka

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa ...

Read More »

Wapambe wakuu wa Lowassa kitanzini

MAKADA wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walio pia vinara wakubwa wa kumuunga mkono waziri mkuu aliyejiuzulu kwa shinikizo la bunge mwaka 2008, Edward Lowassa, katika kampeni ya kusaka urais ...

Read More »

Utafiti REDET ulioota mbawa wavuja

MPANGO  wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET),  inaofanywa na idara ya sayansi ya siasa na utawala ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ulihahirishwa ghafla umevuja. Anaandika Faki Sosi, DSJ … ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 ni 50/50

MADUDU yanayokithiri katika uandikishaji wa Dafta la Wapiga Kura kwa njia ya kielektroniki (BVR) yanauweka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu njia panda. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mzunguko wa ...

Read More »

Rais Karume ahofia vurugu Z’bar

RAIS Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume amesisitiza haja ya kulinda na kuendeleza amani iliyopo visiwani humo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, suala la amani si jambo la ...

Read More »

Kasulumbayi: Serikali imeishiwa mbinu

MBUNGE wa Maswa Mashariki, Slyvester Kasulumbayi (Chadema) amesema, serikali imeishiwa mbinu katika kubuni vyanzo vipya vya mapato. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na MwanaHALISIonline baada ...

Read More »

Mpango wa Rais Kikwete kujenga reli Dar wapingwa

MPANGO Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuitaka serikali ya Jamhuri ya India, kutoa msaada wa kujenga Reli jijini Dar es salaam ili kupunguza foleni, umepinga na baadhi ya wananchi na kuita, ...

Read More »

Maalim Seif: Ramadhani hii bei juu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, upungufu wa bidhaa katika masoko mbalimbali visiwani Zanzibar umechangia kupanda kwa bei za bidhaa hizo. Anaandika mwandishi wetu ...

Read More »

Jaji Ramadhani agutusha makada

BAADA ya kutajwatajwa vipindi tofauti kuwa anashawishiwa kuingia katika siasa ili afikiriwe kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake wa uongozi Oktoba, hatimaye Jaji Augustino Ramadhani amechukua fomu za Chama ...

Read More »

Mufti Simba afariki, viongozi wamlilia

MUFTI wa Tanzania, Shaaban Issa Bin Simba, amefariki dunia leo saa 1:30 asubuhi katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Taarifa kutoka Makao ...

Read More »

Mbatia aichana Bajeti 2015/16

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni kupitia kwa Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, James Mbatia, imesoma bajeti mbadala wa ile iliyowasilishwa na Serikali, huku ikiainisha masuala kadhaa ya kukuza uchumi ...

Read More »

Bajeti 2015/16 yauma, kupuliza

BAJETI ya Serikali kwa mwaka 2015/16 ya Sh. 22.4 trilioni, imewasilishwa huku upande moja ikiuma na upande mwingine ikipuliza kwa mwananchi wa kawaida.Wanaandika waandishi wetu … (endelea). Katika bajeti hiyo yenye ...

Read More »

‘Vigogo CCM waporaji ardhi’

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa watu wanaojihusisha na uporaji ardhi ya wananchi na baadaye kusababisha migogoro. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na ...

Read More »

Nyalandu amaliza mgogoro Karatu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea kuipatia ufumbuzi migogoro ya ardhi na mipaka baina ya wananchi na hifadhi za taifa na mapori ya akiba nchini. Anaandika Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Kafulila: Serikali ya CCM ni “misheni town”

DAVID Kafulila- Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ameivaa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema imechafua taswira ya Tanzania nje ya nchi kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya ufisadi. Anaandika ...

Read More »

Kura za maoni: Vigogo CUF waanguka

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS), kutoka Chama cha Wananchi (CUF); wabunge wengine kadhaa wakongwe wa chama hicho na baadhi ya wawakilishi, wameangukia pua katika kura za maoni za ...

Read More »

Lowassa amtisha Rais Kikwete

EDWARD Lowassa, mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojiapiza kufia katika urais, amekimega chama hicho vipande viwili. Anaripoti Yusuf Aboud … (endelea). Lowassa aliyekuwa mmoja wa wanachama sita ...

Read More »

Zitto ataka ripoti ya CAG ifanyiwe kazi

SIKU moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, kuwasilisha ripoti tano za ukaguzi wa fedha kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2014, ikibainisha ...

Read More »

Kiwanga ataka Moro igawanywe

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), ameitaka Serikali kuingilia kati mgogoro ambao unaonekana kukua kati ya majimbo ya Ulanga Mashariki na Ulanga Magharibi. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Kiwanga alitoa pendekezo ...

Read More »

Waziri Mahenge azomewa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binirth Mahenge, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge kutokana na kuunga mkono uongozi wa mkoa wa Kigoma ...

Read More »

Tunazo nyumba za kibalozi 97-Kairuki

TANZANIA imesema inayo majengo 97 ya kibalozi katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema hayo ...

Read More »

Tutavuna wabunge 5, madiwani 16 CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro, kimejinasibu kuwa kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokiendea kombo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), watanyakua wabunge watano na madiwani 16 watakaochoshwa na ...

Read More »

Waganga 1600 wabainika kutosajiliwa

ZAIDI ya waganga 1600 wa tiba asilia katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamengundulika hawajasajiliwa katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambapo mpaka sasa ni 164 pekee waliosajiliwa. ...

Read More »

Serikali “yajivika mwiba” wa BVR

PAMOJA na kazi ya uandikishaji wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) kuambatana na kasoro lukuki, Serikali imeahidi kuwa kazi hiyo itakamilika ndani ya siku 60. ...

Read More »

Miundombinu yakwaza walemavu

WATU wenye ulemavu nchini, wameiomba Serikali na taasisi binafsi zinazotoa huduma za kijamii kuhakikisha wanaweka miundombinu rafiki itakayowawezesha kuzifikia huduma kwa urahisi. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha … (endelea). Rai hiyo, ...

Read More »

Nyalandu: Nassari hanibabaishi

SIKU moja baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), kudai kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kazi yake ni kuzunguka maporini na kupiga picha, amejibu akisema ...

Read More »

Waislam watwangana msikitini

WATU wawili waumini wa dini ya Kiislamu, wamejeruhiwa katika vurugu zilizoibuka kwenye Msikiti wa Hidayah kata ya Kitangiri jijini Mwanza. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Kufuatia vurugu hizo, Jeshi la Polisi ...

Read More »

Nani ataangushiwa gogo CCM?

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumedoda. Hakuna kinachosonga mbele. Mambo hayaendi. Kinachoonekana machoni mwa wengi, kutalamaki vituko na mtikisiko. Mradi wa “Katiba Mpya,” ambao ungetumika kama mtaji mkuu wa ...

Read More »

Taa ya habari haipaswi kuzimika

TASNIA ya habari ni taa ya umma inayomulika na kuangaza kwenye giza na kuonyesha wazi yaliyojiri humo pamoja na kufichua maovu kwa faida na maslahi ya umma. Taa hii muhimu ...

Read More »

Mbunge wa CCM agawa “rushwa” usiku

WAKATI wabunge wakihaha kutetea majimbo yao katika uchaguzi mkuu mwaka huu, Mbunge wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), anadaiwa kugawa fedha wa wafuasi wake usiku wa manane katika nyumba ...

Read More »

Uamsho wacharuka kortini

VIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), wanaokabiliwa na tuhuma za ugaidi, wamegoma kula wakidai bora wapigwe risasi za kichwa wafe kuliko kugeuza madai yao ya Zanzibar kuwa ...

Read More »

Mwenyekiti Bavicha avuta pumzi Shinyanga

KADIRI uchaguzi mkuu wa Oktoba unavyokaribia, ndivyo sura mpya kwenye siasa zinachomoza na hivyo kuwatia hofu wawakilishi wanaoshikilia kata, majimbo na hata kiti cha urais kitakachokuwa wazi baada ya Rais ...

Read More »

Serikali yamtakasa Maswi sakata la Escrow

BALOZI Ombeni Sefue- Katibu Mkuu Kiongozi, amesema uchunguzi uliofanywa dhidi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi, haukumkuta na hatia yoyote katika kashfa ya ukwapuaji fedha ...

Read More »

Baraza la madiwani lamkataa mchumi

ALPHONCE Mwakabesa-Mchumi wa Jiji la Mwanza, amekataliwa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya jiji kwa madai ya kutotimiza wajibu wake. Anaandika Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). 
Hatua hiyo imefikiwa ...

Read More »

Korti yamwidhinisha Nkurunziza

PIERRE Nkurunziza-Rais wa Burundi, ameruhusiwa kuingia katika kinyang’anyiro cha urais kwa muhula wa tatu. Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama ya Katiba ya Burundi chini ya jopo la ...

Read More »

Serikali isipojiheshimu na ikachokwa, alaumiwe nani?

KUNA barua ya Josephat Butiku, ambaye wengi tunafahamu kama mwana CCM halisi na ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mwalimu Nyerere Foundation (MNF), aliyomwandikia Rais mstaafu Benjamin Mkapa, ambayo Fred Mpendazoe ameinukuu ...

Read More »

UVCCM “wamchome” Chegeni

MZOZO mkali unafukuta ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Lamadi wilayani Busega-Simiyu, hatua ambayo inamweka pabaya Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) wa wilaya hiyo, Raphael Chegeni, Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Wavuvi Muleba wataabika na uhalifu

KWA asilimia kubwa, wakazi wa kanda ya Ziwa hususani mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza, wanategemea mazao yatokanayo na shughuli za uvuvi ili kuendesha maisha yao ya kila siku. Anaandika Ashura Jumapili, Bukoba … ...

Read More »

Ubunge waipasua CCM Bukoba Vijijini

BAADA ya mgogoro kati ya Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki na aliyekuwa Meya wa Manispaa hiyo, Dk. Anatory Amani, kukiathiri Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hivyo kufanya vibaya ...

Read More »

Waziri Mukangara ‘akimbia’ waandishi

FENELLA Mukangara-Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ametia doa hafla ya utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zinazoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). ...

Read More »

Chadema yaibwaga tena CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa mara nyingine tena kimekibwaga Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kesi ya kupinga matokeo ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kihonda Maghorofani. Anaandika ...

Read More »

Watanzania wako tayari kununua utumwa?

TUNAPOELEKEA katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, Watanzania wanapaswa kujiuliza kama wako tayari kuuza uhuru wao na kununua utumwa kwa kukubali kudanganywa kwa fedha na maneno matamu. Wako viongozi wabovu ambao wako ...

Read More »

Nimeitwa kuitumikia Chadema

MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Morogoro, James Mabula, amesema ameitwa na Mungu kukitumikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Bryceson Mathias, Morogoro… (endelea). Akizungumza katika ...

Read More »

Wyndham yafungua hoteli Tanzania

SHIRIKA la Hoteli la Wyndham, ambalo linaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya hoteli na moja kati ya vitengo vitatu vya kibiashara vya Kampuni ya Wyndham Worldwide, limefungua hoteli ...

Read More »

Shule zasotea ruzuku

UFUATILIAJI wa Shirika la Hakielimu, umeaonesha kuwa kwa robo tatu za mwaka wa fedha, iliyoishia 31 Machi mwaka huu, Serikali imeweza kutoa asilimia tisa tu ya Sh. 10,000 kwa shule ...

Read More »

Waandishi 53 kuchuana EJAT

BAADA ya uchambuzi wa kazi 959 zilizowasilishwa, hatimaye majaji wameteua jumla ya waandishi 53 watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2014, zilizoandaliwa na ...

Read More »

Mwigulu aleta tafrani Kagera

JINA la Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limeleta kizaazaa mkoani Kagera. Watu wasiofahamika wanapita kwenye makontena na maduka yaliyo kando ya barabara kuu ya Bukoba – ...

Read More »

Sababu 40 za kuipinga Katiba inayopendekezwa

ZIPO sababu zaidi ya 100 za kuikataa katiba inayopendekezwa, kwa leo tutaangazia sababu 40 za kupinga katiba hiyo. Sababu hizo zimegawanyika katika sehemu mbili kimchakato na kimaudhui. Sababu ya kwanza ...

Read More »
error: Content is protected !!