Author Archives: Mwandishi Wetu

Ndesamburo aivuruga Chadema

MGOGORO wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge jimbo la Moshi Vijijini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bado unafukuta. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Safari hii, tuhuma ...

Read More »

Maalim Seif ampopoa Prof. Lipumba

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amebeza kauli ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba, wapinzani wamepoteza mwelekeo wa kupata katiba ya ...

Read More »

Lowassa avuta makundi ya vijana

MAKUNDI ya vijana yameonekana kumiminika mithili ya kumbikumbi warukapo wakati wa masika wakimsindikiza mgombea urais Edward Lowassa anayewakilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Anaandika Hamisi Mguta na Faki Sosi ...

Read More »

Chenge awekwa kiporo sakata la Escrow

BARAZA la Sekretariati ya Maadili Tanzania imetoa siku tatu kuwasilisha faili la madai kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Andrew Chenge anaeshutumiwa kupokea sh1.6 bilioni kutoka kampuni ya VIP Engeneering ...

Read More »

99.3% zawavusha Lowassa, Duni Urais 2015

WANACHAMA wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Juma Duni Haji wamepitishwa katika Mkutano Mkuu wa chama hicho kugombea ngazi ya urais na umakamu wa rais ...

Read More »

CCM, Upinzani watakiwa kujiandaa kisaikolojia

UMOJA wa Wanazuoni wa kiislam Tanzania watoa tamko la kuomba vyama vya siasa kukujiandaa kwa kupokea matokea ya uchaguzi mkuu. Anaandika Hamisi Mguta, DSJ …  (endelea). Tamko hilo lilitolewa na taasisi ...

Read More »

Ughaibuni waguswa mauaji albino

WATANZANIA  waishio Marekani wameguswa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), yanayotokea nchini Tanzania na kuamua kujitoa katika kupinga mauaji ya hayo. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). Hayo ...

Read More »

Spika Makinda ahimiza 50/50

SPIKA wa Bunge Anne Makinda amewahimiza wanawake kugombea nafasi za kisiasa  ili ipatikane asilimia 50/50 katika ili kuondoa mfumo dume. Anaandika Faki Sosi na Hamisi Mguta, DSJ … (endelea). Hayo ...

Read More »

Prof. Baregu: Chadema tuko wamoja

PROF. Mwesiga Baregu amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kingali kimoja na sasa imara zaidi. Mjumbe huyo wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema alikuwa akizungumzia mjadala mkali ndani ya ...

Read More »

Lowassa aelekea Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu ya kuwania Urais na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

MWANACHAMA mpya wa Chadema, Edward Lowassa, ameanza tena safari yake ya kuelekea Ikulu. Leo (Alhamisi) amechukua fomu ya kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Hamis Mguta, ...

Read More »

Wafanyabiashara Jangwani wageukwa, wafukuzwa

MKUU wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi  amewapa siku tatu wafanyabiashara wadogowago eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam walio hamishwa kutoka kariakoo kubomoa vibanda walivyojenga kwa ajili ya bihashara ...

Read More »

Leticia atimkia CCM, Abwao aibukia ACT

WABUNGE Leticia Nyerere na Chiku Abwao – Viti Maalum Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekihama chama hicho. Anaandika Hamisi Mguta, DSJ … (endelea). Wakati Leticia akirudi Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

TFDA yaipiga tafu Ilala

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA), imeikabidhi Manispaa ya Ilala madebe 100 ya kuhifadhia takataka. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). Msaada huo umekabidhiwa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, ...

Read More »

‘Jitoeni kwa watoto wenye mahitaji’

BALOZI wa Afrika Kusini nchini Tanzania, Thami Mseleku ameyataka mashirika mbalimbali kusaidia watoto wenye mahitaji maalum ili waweze kumuenzi aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela. Anaandika Hamisi Abdallah na Faki ...

Read More »

Zitto apigwa stop UKAWA

ZITTO Kabwe, kiongozi mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepata mapigo mawili kwa mpigo ndani ya kipindi cha wiki moja. Kwanza, chama chake kimezuiwa kujiunga na Jumuiko la vyama vinne vinavyounda ...

Read More »

Awamu ya Pili ‘Wazazi Nipendeni’ yazinduliwa

WIZARA ya Afya imezindua kampeni ya awamu ya pili ya Wazazi Nipendeni inayolenga kutoa elimu kwa jamii kuhusu uzazi salama ili kupunguza vifo vya wajawazito na watoto. Anaandika Faki Sosi, ...

Read More »

TIC kuwakusanya watanzania wa Ughaibuni

SERIKALI nchini Tanzania kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji (TIC), cha Kimataifa kinatarajia kufanya kongamano la Diaspora jijini Dar es salaam. Anaandika Sosi Faki, DSJ … (endelea). Aidha, kongamano hilo ...

Read More »

Hisabati, Kingereza yapatiwa mbinu mpya

SHIRIKA lisilo la kiserikali la North Mara Trust Fund linatarajia kuanzisha mradi wa kuenua (kuendeleza) elimu kwa njia ya kisasa (digital) ili kuongeza ufahamu katika masomo ya Kiengereza na Hisabati. ...

Read More »

Chadema kumburuza Magufuli Mahakamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiko mbioni kufungua mashauri mawili mahakamani dhidi ya John Pombe Magufuli, mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mabere ...

Read More »

Mbunge Lembeli aondoka CCM

HUYU ameondoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anasema, chama hicho kinanuka rushwa na kwamba yeye hawezi kugombea kwenye chama ambacho kimebeba wala rushwa. Ni James Lembeli, mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga. ...

Read More »

Polisi yajitamba kuimarisha ulinzi Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeumarisha ulinzi kipindi chote cha sikukuu ya Idd Elfitry ili wananchi washerekea kwa amani na utulivu. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). ...

Read More »

Tanzania yajinasibu na BRN

MIAKA  miwili tangu utekelezaji wa mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), uanze hapa nchini kwa utekelezaji  na kuonyesha matokeo mazuri katika kuboresha huduma za jamii. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). ...

Read More »

Kwa Nyalandu, tembo watatoroka nchi

LAZARO Nyalandu, Waziri wa Maliasili na Utalii, anakwepa kupambana na majangili mwituni. Badala yake, kutwa kucha kiguu na njia kwenye vyombo vya habari kupiga porojo na ‘kuuza sura’. Anaandika Yusuph Katimba ...

Read More »

Lowassa hakieleweki

KATIKA mazingira yanayoonesha Edward Ngoyai Lowassa kutojiamini, ameahirisha kukutana na waandishi wa habari katika dakika za mwisho. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Leo saa 5:00 asubuhi, Lowassa alitarajia kukutana na waandishi ...

Read More »

Magufuli mgombea Urais CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini ...

Read More »

NEC yashangaza watu, Membe, Makamba Out

HALMASHAURI Kuu ya Taifa (NEC) imemaliza kazi yake ya kuteua majina matatu ya wagombea wa CCM, ambayo hayakutarajiwa na wengi. NEC imewatupa nje, wagombea Bernard Membe na Januari Makamba. Anaandika ...

Read More »

Wagombea watano wa CCM hawa, CC yapasuka

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa ...

Read More »

Wapambe wakuu wa Lowassa kitanzini

MAKADA wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walio pia vinara wakubwa wa kumuunga mkono waziri mkuu aliyejiuzulu kwa shinikizo la bunge mwaka 2008, Edward Lowassa, katika kampeni ya kusaka urais ...

Read More »

Utafiti REDET ulioota mbawa wavuja

MPANGO  wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET),  inaofanywa na idara ya sayansi ya siasa na utawala ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ulihahirishwa ghafla umevuja. Anaandika Faki Sosi, DSJ … ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 ni 50/50

MADUDU yanayokithiri katika uandikishaji wa Dafta la Wapiga Kura kwa njia ya kielektroniki (BVR) yanauweka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu njia panda. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mzunguko wa ...

Read More »

Rais Karume ahofia vurugu Z’bar

RAIS Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume amesisitiza haja ya kulinda na kuendeleza amani iliyopo visiwani humo. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, suala la amani si jambo la ...

Read More »

Kasulumbayi: Serikali imeishiwa mbinu

MBUNGE wa Maswa Mashariki, Slyvester Kasulumbayi (Chadema) amesema, serikali imeishiwa mbinu katika kubuni vyanzo vipya vya mapato. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na MwanaHALISIonline baada ...

Read More »

Mpango wa Rais Kikwete kujenga reli Dar wapingwa

MPANGO Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kuitaka serikali ya Jamhuri ya India, kutoa msaada wa kujenga Reli jijini Dar es salaam ili kupunguza foleni, umepinga na baadhi ya wananchi na kuita, ...

Read More »

Maalim Seif: Ramadhani hii bei juu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema, upungufu wa bidhaa katika masoko mbalimbali visiwani Zanzibar umechangia kupanda kwa bei za bidhaa hizo. Anaandika mwandishi wetu ...

Read More »

Jaji Ramadhani agutusha makada

BAADA ya kutajwatajwa vipindi tofauti kuwa anashawishiwa kuingia katika siasa ili afikiriwe kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake wa uongozi Oktoba, hatimaye Jaji Augustino Ramadhani amechukua fomu za Chama ...

Read More »

Mufti Simba afariki, viongozi wamlilia

MUFTI wa Tanzania, Shaaban Issa Bin Simba, amefariki dunia leo saa 1:30 asubuhi katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Taarifa kutoka Makao ...

Read More »

Mbatia aichana Bajeti 2015/16

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni kupitia kwa Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi, James Mbatia, imesoma bajeti mbadala wa ile iliyowasilishwa na Serikali, huku ikiainisha masuala kadhaa ya kukuza uchumi ...

Read More »

Bajeti 2015/16 yauma, kupuliza

BAJETI ya Serikali kwa mwaka 2015/16 ya Sh. 22.4 trilioni, imewasilishwa huku upande moja ikiuma na upande mwingine ikipuliza kwa mwananchi wa kawaida.Wanaandika waandishi wetu … (endelea). Katika bajeti hiyo yenye ...

Read More »

‘Vigogo CCM waporaji ardhi’

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa watu wanaojihusisha na uporaji ardhi ya wananchi na baadaye kusababisha migogoro. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na ...

Read More »

Nyalandu amaliza mgogoro Karatu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameendelea kuipatia ufumbuzi migogoro ya ardhi na mipaka baina ya wananchi na hifadhi za taifa na mapori ya akiba nchini. Anaandika Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Kafulila: Serikali ya CCM ni “misheni town”

DAVID Kafulila- Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ameivaa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema imechafua taswira ya Tanzania nje ya nchi kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya ufisadi. Anaandika ...

Read More »

Kura za maoni: Vigogo CUF waanguka

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS), kutoka Chama cha Wananchi (CUF); wabunge wengine kadhaa wakongwe wa chama hicho na baadhi ya wawakilishi, wameangukia pua katika kura za maoni za ...

Read More »

Lowassa amtisha Rais Kikwete

EDWARD Lowassa, mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojiapiza kufia katika urais, amekimega chama hicho vipande viwili. Anaripoti Yusuf Aboud … (endelea). Lowassa aliyekuwa mmoja wa wanachama sita ...

Read More »

Zitto ataka ripoti ya CAG ifanyiwe kazi

SIKU moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, kuwasilisha ripoti tano za ukaguzi wa fedha kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2014, ikibainisha ...

Read More »

Kiwanga ataka Moro igawanywe

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), ameitaka Serikali kuingilia kati mgogoro ambao unaonekana kukua kati ya majimbo ya Ulanga Mashariki na Ulanga Magharibi. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Kiwanga alitoa pendekezo ...

Read More »

Waziri Mahenge azomewa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binirth Mahenge, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge kutokana na kuunga mkono uongozi wa mkoa wa Kigoma ...

Read More »

Tunazo nyumba za kibalozi 97-Kairuki

TANZANIA imesema inayo majengo 97 ya kibalozi katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema hayo ...

Read More »

Tutavuna wabunge 5, madiwani 16 CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro, kimejinasibu kuwa kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokiendea kombo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), watanyakua wabunge watano na madiwani 16 watakaochoshwa na ...

Read More »

Waganga 1600 wabainika kutosajiliwa

ZAIDI ya waganga 1600 wa tiba asilia katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, wamengundulika hawajasajiliwa katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambapo mpaka sasa ni 164 pekee waliosajiliwa. ...

Read More »

Serikali “yajivika mwiba” wa BVR

PAMOJA na kazi ya uandikishaji wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) kuambatana na kasoro lukuki, Serikali imeahidi kuwa kazi hiyo itakamilika ndani ya siku 60. ...

Read More »
error: Content is protected !!