Baraza Kuu la Chama cha Kikomunisti cha China limeidhinisha baraza jipya la mawaziri linaoundwa na marafiki wa karibu wa Rais Xi Jinping katika...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023ASKOFU mkuu wa kanisa la The Potter’s House Tanzania (PHCT), Ruth Kusenah amewataka vijana wote nchini kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kujiongezea...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023WAKATI timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na utekelezaji wa utwaaji ardhi kwa matumizi ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) mkoani Tabora katika...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023WADAU wa masuala ya utetezi wa haki za binadamu, wameshauri mfumo mzima wa haki jinai nchini ufumuliwe kwa maelezo kwamba haukidhi mahitaji ya...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023WANAVIJIJI wa Kata ya Bukumi, wilayani Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, wamejenga maabara tatu za masomo ya sayansi katika Shule yao ya Sekondari...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahara Michuzi ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuanzisha program zinazolenga kufungua fursa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023JUMLA ya wanachama 384 wanachama wa Chama cha Wananchi CUF akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, wametangaza...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023JUMLA wafanyakazi wa kike saba wa Benki ya NMB wamehitimu mafunzo Mwanamke Kiongozi yanayoratibiwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) yenye lengo la kuwajengea uwezo...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023RIPOTI ya Jumuiya ya Kijajusi ya Marekani imebaini kuna uwezekano wa kuwepo wa hatari ya kuibuka mzozo wa kijeshi kati ya India na...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam umeadhimisha Siku ya Wanawake duniani kwa kuendesha kampeni...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023WAKILI Mkuu wa Serikali amekitaka Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kuendelea kuwajengea uwezo wanachama wake ili waweze kufanya kazi kwa weledi...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amewataka majaji na mahakimu wanawake nchini, kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Azavel Lwaitama, amesema atakuwa wa kwanza kuwatetea wabunge viti maalum...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MWANAMUZIKI anayekuja kwa kasi kwenye game ya Afro Pop, Felix Philemon Sola ‘Skillager’ ameachia kitu kipya, ‘Body Busy’. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Msanii...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama, amedai wanachama 19 waliofukuzwa na chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023IMEELEZWA kuwa kutelekezwa kwa baadhi ya miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mkoa wa Songwe imetokana na baadhi ya wakandarasi waliopewa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa Serikali kuwahoji wajumbe wa Baraza la Wadhamini la Chama...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023UTEUZI wa wabunge wa viti maalum 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Halima Mdee, umeibua mvutano wakati Mjumbe wa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023BENKI ya Equity imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kwa kubainisha vipaumbele vya vinavyotoa suluhisho kidigitali katika utoaji huduma za benki kwa wanawake....
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023UPANDE wa Serikali, umeiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, kupata kibali cha kuwauliza maswali ya dodoso wajumbe wa Bodi...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023MSANII wa muziki wa Rap kutoka Nigeria, Savage a.k.a Savage tha Beast amerejea tena na wimbo wake mpya ‘Your Waist’ akiwa amegonga kolabo...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023MENEJA Mkuu wa Barrick Tanzania, Dk. Melkiory Ngido amewataka Wanawake kijiamini na kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo katika sekta ya uchimbaji wa madini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023STAA wa Amapiano aliyetesa vilivyo na kibao chake ‘Monalisa’, Lojay sasa ameachia mtaani singo yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘MOTO’, ikiwa ni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023BENKI ya Akiba Commercial Bank (ACB) imezindua akaunti mpya iliyopewa jina la WARIDI ambayo ni maalumu kwa wafanyabiashara wanawake nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023WAJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel, wanaanza kuhojiwa na mawakili...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023HARAMBEE ya ujenzi na ukarabati wa shule za sekondari zilizoko katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, imeshika kasi baada ya Kampuni...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023KIKUNDI cha wafanyakazi wa kike wanaofanya kazi katika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML ladies) wanaofanya kazi mjini Geita, wametoa msaada wa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023Tukiwa tunaadhimisha siku ya wanawake duniani, NMB imeandika historia mpya kwa kuwa Benki ya kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kuorodhesha hatifungani ya...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo kwa watumishi wa umma, imejitolea Sh milioni 15 kusaidia gharama ya matibabu...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023SHIRIKA linaloshughulika na masuala ya msaada wa kisheria, Legal Services Facility (LSF), limetatua migogoro ya kifamilia 315, kupitia huduma yao ya mtandaoni...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni Serikali yake itatangaza kamati itakayokuwa na jukumu la kusimamia ufufuaji mchakato wa marekebisho ya katiba,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa kukubali ombi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuingilia kati sakatala la wabunge viti maalum 19,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema watu wasiotaka mabadiliko na mageuzi anayoyafanya kupitia maridhiano, wako ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aangilie kwa jicho la tatu sakata la...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan asikatishwe tamaa na baadhi ya watu wanaopinga...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Mkoa wa Kilimanjaro, wamemchongea kwa Rais Samia Suluhu Hassan mtumishi wa Shule...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameitoa nchi gizani katika masuala ya uhuru wa habari...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MACHI 8 kila mwaka Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa kwa lengo kuongeza chachu katika harakati za mapambano ya kuleta usawa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MWANDISHI wa Habari mwandamizi wa gazeti la Nipashe kutoka kampuni ya IPP Media, Richard Makore amefariki dunia katika ajali iliyoua watu saba eneo...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso anatarajia kufungua Kongamano la Kimataifa la Maji la Kisayansi litakaloshirikisha takribani nchi 26 duniani ambalo litafanyika kwa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023TANZANIA imeungana na mataifa 180 duniani kushiriki maonesho makubwa ya utalii duniani (International Tourism – Börse Berlin) yanayofanyika katika jiji la Berlin...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Wafanyakazi Wanawake wa kampuni ya Barrick kutoka ofisi ya Dar es Salaam wametembelea hospitali ya Rufaa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SERIKALI imepiga marufuku huduma ya bweni kwa wanafunzi wa umri mdogo kuanzia darasa la awali hadi darasa la nne. Anaripoti Judith Mbasha,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imepanga tarehe 20 Aprili 2023, kutoa uamuzi wa rufaa iliyokatwa na Mwanahabari Saed Kubenea,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHEIKH Said Ukatule, aliyekuwa mahabusu ya Gereza Kuu la Ukonga, jijini Dar es Salaam, alikokuwa akishikiliwa na serikali kwa mashitaka ya ugaidi,...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023JUMLA ya wauguzi/manesi saba wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama wamefikishwa polisi baada ya kudaiwa kuwauzia dawa wagonjwa usiku wa manane. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023SHULE ya Sekondari ya Alpha ya jijini Dar es Salaam imezindua mfumo wa kupima na kugundua vipaji vya watoto kidigitali. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023