Vladimir Putin amesema atajadili mpango wenye vipengele 12 wa Xi Jinping wa “kusuluhisha mgogoro mkubwa nchini Ukraine”, wakati wa ziara inayotarajiwa mjini...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati ya pamoja kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mashamba makubwa ya pamoja...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023WAZIRI wa Kilimo, Hussen Bashe, amesema wizara hiyo tayari imegawa pikipiki 5,500 kati ya 7000 zilizonunuliwa kwa ajili ya maafisa ugani kusimamia...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023RAIS wa uchini Xi Jinping amewasili sasa nchini Urusi, na kulingana na Shirika la habari la Urusi TASS news , Xi Jinping...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amewataka mawaziri kushirikiana kwa pamoja katika utekelezaji wa mashamba makubwa ya pamoja katika Programu ya Building...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MAANDAMANO ya kupinga serikali zilizoko madarakani nchini Kenya na Afrika Kusini, yameendelea kushika kasi katika mataifa hayo, huku baadhi ya walioandamana wakitiwa...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MFUKO wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetoa fedha kiasi cha Sh. 75.8 milioni, kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023WAKATI maandamano yaliyoitishwa na Chama cha upinzani Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters, yakiendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali , Ubalozi wa Tanzania nchini...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023RAI imetolewa kwa Wakuu wa Wilaya nchini kuwa mstari wa mbele kubaini na kuibua mienendo isiyofaa ndani ya jamii ikiwemo vitendo vya...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin. Vinaripoti Vyombo vya Habari...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kubaka inayomkabili Isack Jacob kutokana na hali ya...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023KWA mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023IBADA maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, imefanyika katika Kanisa la Mt. Yohana Mria Muzeyi,...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema mojawapo ya kampuni za madini zinazoongoza nchini kwa kutafsiri na kutekeleza vyema matakwa ya Sheria...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023PUTO la kijasusi la China limetajwa kuwa halikuweza kusababisha tishio la usalama nchini Marekani badala yake limeweza kugundua udhaifu wa kijeshi Marekani...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023CHAMA cha Mabenki Tanzania (TBA) kimetoa wito kwa taasisi za kifedha nchini kuhakikisha kuwa makundi yote kwenye jamii hususani wanawake ushirikishwaji wao unapewa kipaumbele....
By Mwandishi WetuMarch 17, 2023ALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ameteuliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wasoma mita za maji nchini kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi bili kubwa za maji kwani hatua hiyo inaichafua...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023MTOTO wa kiume wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema akiwa kama kijana amechoka kusubiri na sasa atagombea kiti cha...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023Zaidi ya raia 2000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameingia nchini kuomba hifadhi ya ukimbizi kufuatia machafuko yanayoendelea katika mikoa ya...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza ari kubwa kwa...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023MTANDAO wa Kilimo Hai Afrika (AfrONet), umempongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Kilimo Hai Tanzania (TOAM), Dk. Mwatima Juma kwa kuteuliwa na Rais...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha ujuzi wao sehemu za...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekosoa vikali hatua ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) kuondoa usajili wa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Sylvester Masinde amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), kimesema kina mpango wa kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kuwasilisha ombi la kufanyiwa...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema Ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asilimia...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023IDADI ya vifo vilivyotokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi na Msumbiji imeongezeka na kuzidi watu 200 baada ya dhoruba hiyo iliyovunja rekodi...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga amesema watoto wote wanaotumia Toto Afya Kadi hivi sasa...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023WATU 4,060 wamepoteza maisha kwa ajali za barabarani na wengine 6,427 wakipata majeraha kutokana na ajali za barabarani kwa kipindi cha miaka...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023WAZIRI Mkuu nchini Tanzania, Kassim Majaliwa, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kuhakikisha wanakagua mabasi yote ya masafa marefu na kujiridhisha kuwa...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023TAASISI za umma nchini zimeshauriwa kushirikiana na taasisi binafsi katika jitihada za kuhakikisha teknolojia inatumika ipasavyo ili kupunguza ajali za magari nchini....
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023BENKI ya NMB imetenga Sh bilioni 200 kwa ajili ya kuwakopesha wafanyakazi wanaotaka kupata elimu ya juu au wale wanaohitaji fedha za kuwasomesha...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023KIMBUNGA Freddy, kilichoambatana na upepo mkali na mvua kubwa, kimerejea kusini mwa Afrika na kuua watu takriban 100 katika nchi za Malawi...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu atavaa viatu vyake vya uongozi...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeongeza muda wa siku 30 wa usimamizi wa Yetu Microfinance Bank Plc baada ya mchakato wa kutathmini...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, ameitaka Serikali kurekebisha vifungu vinavyozuia vijana...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023SERIKALI imewasilisha kwa Wabunge Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/24,...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023SERIKALI ya Marekani imesema ziara ya Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Kamala Harris kwa nchi za Afrika ikiwamo Tanzania, ni kujadili vipaumbele...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewafunda Wakuu wa Wilaya kwa kuwapa maelekezo saba yakuzingatia ili kuwasaidia kutimiza majukumu yao...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023KAMPUNI za Samsung na Vodacom Tanzania Plc zimeshirikiana tena kwa mara nyingine kuzindua simu ya mkononi ya Samsung Epic Galaxy S23. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023KIONGOZI mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, leo Jumatatu anaadhimisha miaka 10 tangu alipochaguliwa kuliongoza kanisa hilo duniani. Papa Francis, mwenye...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023WATU saba wanadaiwa kupoteza maisha kisiwani Mafia, mkoani Pwani baada ya kula samaki aina ya kasa anayedaiwa alikuwa na sumu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewataka Wakuu wa Wilaya kote nchini kudhibiti uvujaji wa siri za serikali kwa kuepuka...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023BODI ya Maji Bonde la Rufiji (RBWB) imesema iwapo mvua zitanyesha kwa kipindi cha miaka miwili ya msimu, Bwawa la Mwalimu Nyerere litakalozalisha...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuwawezesha wanawake walioajiriwa ndani ya kampuni hiyo kujiendeleza kielimu pamoja...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023Benki ya NMB imeandika historia nyingine baada ya kutwaa Tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2023 katika mkutano wa Africa Bank 4.0...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023