KAMPUNI ya Vodacom kwa kushirikiana na Infinix leo wametangaza uzinduzi wa sim mpya ya Infinix toleo la HOT 30 pamoja na kampeni ya...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023KATIKA kuadhimisha siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani – 2023 ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Morogoro, Kampuni ya Geita Gold Mining...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kuanzia tarehe 24 Aprili 2023. Jaji mstaafu...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023BENKI ya NMB ipo mbioni kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa kumaliza changamoto ya upungufu wa meza na viti kwa walimu wa shule ya...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi watumie huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign), kutokomeza vitendo vya...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023BENKI ya NMB imeendelea kuunga mkono juhudi ya Serikali kupitia Wizara ya Sayansi, Elimu na Teknolojia, kwa kutenga kiasi cha bilioni moja kwa...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023MOJA kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa...
By Mwandishi WetuApril 27, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma, wilayani Momba mkoani Songwe imevitaka vikundi vyote vilivyokopa mikopo ya asilimia 10 kurejesha kwa wakati wakati wakiendelea kusubiri...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023BALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer ameeleza kuridhishwa na mazingira ya biashara na uwekezaji, demokrasia, haki za binadamu na utawala...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe inatarajia kutumia fedha zake za mapato ya ndani Sh bilioni nne kujenga barabara zenye...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023MAMLAKA ya kijeshi nchini Sudan limesema, aliyekuwa rais wa taifa hilo aliyepinduliwa Omar Hassan al-Bashir, bado yuko mikononi mwa jeshi. Aidha, jeshi...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023KASINO mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa fedha nyingi kirahisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema miaka 59 ya Muungano imekuwa yenye umoja, amani na ustawi wa Taifa kama ilivyokuwa ndoto za waasisi...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023KAMPUNI ya Mkwama imejitosa katika ununuzi wa zao la tumbaku mkoani Tabora na kuwataka wakulima wa mkoa huo kulima kwa wingi zao...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa mwaka 2024. Biden mwenye umri wa miaka 80...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023WADAU wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wameshauriwa kuwasilisha hoja nzito zitakazoshawishi wabunge kuwasilisha bungeni maoni yao yaliyoachwa katika Muswada wa Sheria...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023WAZIRI wa Nishati January Makamba ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere Hydro Power. Kwa sasa...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023BAADHI ya wabunge wameanza kupokea mapendekezo ya wadau wa habari yaliyoachwa katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma ya Habari ya...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa nane wa mtandao unaojishughulisha na masuala ya utoaji misaada kwa jamii, East African Philanthropy network...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023Ugonjwa wa Kipindupindu umeibuka jijini Dar es salaam ambapo zaidi ya watu 10 wamethibitika kuugua ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 25, 2023IDADI ya maiti zilizofukuliwa na polisi nchini Kenya zimefikia 73. Watu hao waliofunga hadi kufa walikuwa wafuasi wa Kanisa la Good News...
By Mwandishi WetuApril 25, 2023TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023KAMPUNI ya ubashiri Meridianbet Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani limeanzisha kampeni ya Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto amemtaja mchungaji Paul Mackenzie kama mhalifu na gaidi kufuatia kufukuliwa kwa maiti 58 kutoka kwenye ardhi yake...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023SERIKALI imeiagiza Taasisi ya Taifa ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kufanya uchunguzi dhidi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy Drinks), ili kubaini...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023WADAU wa Haki ya Kupata Habari nchini (CoRI), wametinga bungeni jijini Dodoma, kwa ajili ya kuwasilisha kwa wabunge mapendekezo yao yaliyoachwa nje...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023MSAJILI Mkuu wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) baada ya uongozi wake kufanikiwa kuleta mageuzi makubwa na kulifanya...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023POLISI nchini Kenya kwamba wamefukua miili ya watu watatu inayodhaniwa kuwa ya wafuasi wa dhehebu la kidini wanaoaminika walijiua kwa njaa, mashariki...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023KATIBU wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, aanze kuwashughulikia vigogo waliohusika na vitendo vya...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023SHURA ya Maimamu Tanzania, imeitaka Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu wanaofanya au kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, ili kulinda...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023KIJANA Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji cha Nyakanazi, Biharamulo, Mkoani Kagera, amesimulia jinsi alivyougua maradhi ya ngozi mwilini mwake kwa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023CHINA imeingia katika wasiwasi baada ya baada ya India kutangazwa kuwa nchi yenye idadi kubwa ya watu, ambao wanaonyesha kutishia usalama wa...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023MERIDIANBET wikiendi hii wanaupiga mwingi kwa kuhakikisha wanakupa odds bomba na kubwa katika michezo mbalimbali ambayo itapigwa katika ligi Barani Ulaya kuanzia...
By Mwandishi WetuApril 22, 2023MAPIGANO yaliyozuka katikati ya mwezi wa Aprili nchini Sudan tayari yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 400 na wengine zaidi ya 3,500...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023KUTOKA nyumba ya mabingwa Meridianbet Kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wenye utata dhidi ya mashoga na wasagaji, ambao umezungumzia adhabu ya kifo katika...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili 2023. Awali nafasi hiyo...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023KAMPUNI ya Meridianbet yenye ODDS KUBWA imeendelea kutanua wigo wa huduma kwa wateja wake baada ya kufungua duka lingine mitaa ya Vingunguti...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023MBUNGE Viti Maalum, Halima Mdee (Chadema), ametishia kutopitisha fungu lenye bajeti ya mashahara wa Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Stephen Wassira, amesema kitendo cha baadhi ya taasisi za Serikali kusaini...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson, ameagiza Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji malipo ya mafao ya wastaafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Spika Tulia...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023CHANGAMOTO ya uhaba wa maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, iko mbioni kuisha baada ya Serikali kupeleka miradi ya maji...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023JESHI la Polisi Mkoani Tabora limewanasa watu 21 kwa tuhuma ya kujihusisha na wizi wa vifaa vya na miundombinu ya maji mali...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kuondoa popo wanaoharibu mazingira maeneo ya Kivukoni, jijini Dar...
By Mwandishi WetuApril 19, 2023SERIKALI ya Tanzania, imezitaka pande mbili zinazosigana nchini Sudan na kusababisha mapigano yaliyogharimu maisha ya watu zaidi ya 180 na majeruhi 1,000,...
By Mwandishi WetuApril 19, 2023NIMROD Elirehema Mkono, aliyekuwa mbunge wa Musoma Vijijini na baadaye Butiama, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia leo Jumanne nchini Marekani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.
By Mwandishi WetuApril 18, 2023SERIKALI kwa mara ya kwanza imeanzisha utaratibu wa ‘Samia Suluhu Super specialist program’ wa kusomesha madaktari bingwa zaidi ya 400 ili kukabiliana na...
By Mwandishi WetuApril 18, 2023