MHALIFU wa makosa ya mauaji na ubakaji kutoka Afrika Kusini, Thabo Bester amekamatwa jijini Arusha nchini baada ya kusakwa kwa muda mrefu toka...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere imeonyesha mikopo yenye thamani ya Sh milioni 167 haijarejeshwa na...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023WATU 10 wanadaiwa kupoteza maisha baada ya lori lililokuwa likisafirisha changarawe kupoteza mwelekeo na kuparamia kijiwe cha bodaboda katika eneo lao mjini Migori...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023MAHAKAMA nchini Uganda imemfungulia rasmi mashtaka ya ufisadi na rushwa Waziri Marie Goretti Kitutu kutokana na tuhuma za kuuza mabati 14,500 ya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2023KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewasilisha mapendekezo juu ya namna ya kuboresha mfumo wa haki jinai,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023WANANCHI wa Rwanda leo Ijumaa, tarehe 7 Aprili 2023, wanaadhimisha miaka 29 ya mauaji ya Kimbari, ambapo Wahutu wenye msimamo mkali waliwaua...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameongoza maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza visiwani humo,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha kiasi cha Sh. 4.75 bilioni,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023PICHA za hati za siri kutoka Pentagon na NATO juu ya utayarishaji wa shambulio la Ukraine dhidi ya Urusi zimevuja katika mitandao...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023JESHI la Israel limesema kuwa limeshambulia maeneo yenye uhusiano na kundi la wapiganaji wa Palestina Hamas ndani ya Lebanon na katika Ukanda...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na jitihada za Benki ya NMB visiwani humo, ikiwemo kutoa ushirikiano wa dhati na mchango...
By Mwandishi WetuApril 7, 2023KAMPUNI ya Meridianbet Tanzania wanaendelea walipoishia kwa kuhakikisha wateja wake wanapata huduma popote na ndio sababu ya kuendelea kusambaza maduka, Na leo...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), imesaini mkataba wa Sh. 200 milioni na Kampuni ya KPMG kwa ajili ya kuandaa mpango mkakati...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023UJENZI wa mradi wa Zahanati ya Mwanalugali A Kibaha Mjini unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF itakayowahudhumia wakati 3367 umefikia asilimia...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili wapewe kipaumbele...
By Mwandishi WetuApril 6, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano amerudi jijini Dar es Salaam kutokea nchini Ubelgiji ambako alidai kwenda...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Miongoni mwa...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, ambaye alikuwa akikabiliana na mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ametoa msaada wa dharura ikiwemo vyakula, kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya mvua jimboni humo....
By Mwandishi WetuApril 5, 2023RAIS wa zamani Marekani, Donald Trump jana Jumanne amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kumlipa mwanamke mmoja nyota wa filamu za ngono kabla...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023UJENZI wa miradi ya maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetajwa kuendelea kushika kasi, ambapo maji kutoka Ziwa Victoria...
By Mwandishi WetuApril 5, 2023USIFANYE makosa katika kuutafuta utajiri haswa kwenye harakati zako za kila siku, hata iweje ishi na Imani ya kuwa siku moja utatoboa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa mbalimbali katika sekta ya afya na elimu kwa halmashauri tatu za Mlimba, Malinyi na Manispaa ya...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023MHARIRI wa Gazeti la Raia Mwema, Martin Malera, amepata pigo baada ya kufiwa na mkewe, Patricia Malera, ikiwa ni miezi michache tangu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania(TRA), imekusanya Sh. 5.9 trilioni katika robo ya tatu (Januari-Machi) ya mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni sawa na...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema haijatangaza nafasi za kazi baada ya kuwepo kwa taarifa za baadhi ya wananchi kupigiwa simu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023KENYA inajiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza kabisa ya uchunguzi wa dunia katika kile kinachoelezwa kuwa mafanikio ya kihistoria katika juhudi za...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023WAKATI wanasayansi wakihaha kutafuta dawa ya kutibu Virusi Vya Ukimwi (VVU), nchini Kenya imebainika kuwa kuna ugonjwa mpya unaohusiana na magonjwa ya zinaa....
By Mwandishi WetuApril 4, 2023KATIKA mendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amegawa futari kwa wazee, wajane na watu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023WAKATI Tanzania ikiadhimisha Siku ya Upandaji Miti Kitaifa tarehe 1 Aprili 2023, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeahidi kudumisha dhamira yake...
By Mwandishi WetuApril 4, 2023NI stori ambayo inafanya vizuri sana kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki magari, nyumba na kusimamia biashara zao, habari za Mwarabu mshindi...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023Finland itakuwa mwanachama wa 31 wa Muungano wa Kijeshi wa NATO kuanzia kesho Jumanne tarehe 4 Aprili 2023. Yameripoti Mashirika ya Kimataifa...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023WAJUMBE wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wamemchagua, Ramadhani Omary kuwa Katibu wa Baraza la Wafanyakazi...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023RAIS wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya mikopo ambayo China imekuwa ikitoa kwa nchi zinazoendelea...
By Mwandishi WetuApril 3, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...
By Mwandishi WetuApril 2, 2023KATIKA kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Benki ya NMB mwishoni mwa wiki iliandaa hafla ya futari kwa wateja wake jijini Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuApril 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 1, 2023KATIKA muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) ameungana na Waumini zaidi ya 500...
By Mwandishi WetuApril 1, 2023ALIYEWAHI kuwa mkuu wa mikoa ya Dodoma, Mara, Mtwara na Arusha kwa nyakati tofauti, Isdory Shirima amefariki dunia leo tarehe 31 Machi 2023....
By Mwandishi WetuMarch 31, 2023NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kuendeleza na kutunza rasilimali za maji hapa nchini ni jambo la msingi...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2023KATIKA kuimaridha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Marekani, Makamu wa Rais wa Taifa hilo kubwa duniani, Kamala Harris, amesema...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa cheti cha utambuzi kwa Benki ya NMB kuwa moja ya wadhamini wakuu wa mkutano wa 12 wa...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023UKAGUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu fedha makubaliano ya washatakiwa na Ofisi ya Taifa ya Mwendesha Mashitaka...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kicheere amesema ukaguzi wa mfumo wa ulipaji wa Mfuko wa Bima ya Afya...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023Mabalozi kutoka nchi sita za Magharibi, zikiongozwa na Marekani, zimeonesha wasiwasi kuhusu maandamano yanayoendelea nchini Kenya na kutaka kuwepo kwa maridhiano kati...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023KIONGOZI wa Kanisa katoliki duniani, Papa Francis jana Jumatano amelazwa hospitali kutokana na maambukizi ya mapafu baada ya kukabiliwa na matatizo ya...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023