BODI ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga-Shuwasa wameridhishwa na kasi ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na mamlaka hiyo...
By Mwandishi WetuMay 17, 2023SERIKALI imepokea kiasi cha Sh. sita bilioni kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikiwa ni sehemu ya gawio la kiasi cha Tsh...
By Mwandishi WetuMay 17, 2023OPERESHENI ya kiuchunguzi inayofanywa na Serikali ya China kwa kampuni za kigeni imeibua wasiwasi kwa kampuni hizo na kupelekea kufunga biashara zao nchini...
By Mwandishi WetuMay 17, 2023BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh15 milioni kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za...
By Mwandishi WetuMay 16, 2023NEEMA imefunguliwa kwa wafanyabiashara wa Tanzania na India, baada ya Kampuni ya Silent Ocean, kuzindua Huduma za usafirishaji mizigo katika mataifa hayo...
By Mwandishi WetuMay 16, 2023WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Vodacom Tanzania mkoa wa Dodoma wamefanya zoezi la kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wagongwa wenye mahitaji ya...
By Mwandishi WetuMay 16, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi nchini limewadaka watuhumiwa watatu wa mauaji ya Dk. Isack Daniel Athumani aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023SHIRIKISHO la vyama vya wachimbaji wa Madini Tanzania (FEMATA) limetoa wito kwa Serikali kuunga mkono wazo la kuanzishwa kwa benki ya wachimbaji...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023MGOGORO wa kodi katika Soko la Kimataifa la Kariakoo umechukua sura mpya baada ya baadhi ya wafanyabiashara kutishia kuendelea kufunga maduka yao...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023BENKI ya NMB imesisitiza kuendelea kutoa huduma za bima zinazoendana na matakwa ya wateja ikiwa ni utekelezaji wa dhamira yake ya kuongeza matumizi...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023KAMPUNI pekee ya mawasiliano ya simu iliyoorodheshwa kwenye soko la hisa la Dar es Salaam, Vodacom Tanzania Plc, imetangaza taarifa ya ripoti ya...
By Mwandishi WetuMay 14, 2023KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya Virusi Vya Ukimwi/ Ukimwi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mkoa huo...
By Mwandishi WetuMay 14, 2023MADAKTARI bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi...
By Mwandishi WetuMay 14, 2023KLABU ya Yanga SC imeweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa 29 Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2022/23 baada ya kupata ushindi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa kampuni za simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezesha kila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea kuiunga mkono jamii yake inayowazunguka baada ya leo kufika katika mtaa wa Mbagala na kugawa vifaa kwa vijana...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023WAFUGAJI wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa na Serikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023CHAMA tawala cha China (CCP), kimewaadhibu zaidi ya maofisa 110,000, katika mapambano ya ufisadi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 12, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023UNAHITAJI urahisi wa odds kubwa, michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, kuhusu machaguo mengi, ofa na promosheni na bonasi juu, ichague Meridianbet...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuichabanga timu ya Marumo Galants kutoka nchini Afrika Kusini jumla ya bao 2-0...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023ZAIDI ya wakazi 12,500 wa vijiji vya Milola na Mavimba Wilayani Ulanga mkoani Morogoro wanatarajia kunuafaika na mradi wa maji wenye thamani...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema pori la Akiba Kilombero ni chachu ya kufungua fursa za utalii ikiwemo shughuli za...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023KAMPENI ya GGML Kili Challenge inayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuondoa vikwazo vya biashara ili kuendelea kuboresha ushirikiano kati ya mataifa hayo kwenye nyanja mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makubaliano...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023WAWAKILISHI pekee katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Yanga SC imejiweka nafasi nzuri ya kutinga Fainali ya Michuano hiyo baada ya...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza halmashauri zote za wilaya na miji, kwenye maeneo yenye madini ziandae sheria ndogo (by-laws) kwa kushirikiana na wadau...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023JESHI la Polisi Tanzania, limemuaga rasmi IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro leo tarehe 10 Mei 2023 baada ya kustaafu Utumishi ndani ya Jeshi...
By Mwandishi WetuMay 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MANENO kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, Benki ya NMB na Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023AKAUNTI 15 zinazomilikiwa na Mchungaji mtata, Ezekiel Odero, zimeamriwa na Mahakama nchini Kenya kuzuiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zinasema, amri...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), umeendelea kusambaza maji katika vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023KAMPUNI ya Meridianbet katika kuhakikisha inarudisha fadhira kwa kwa jamii, iliandaa shindano la mikwaju ya penati ambapo kila itakayozaa goli inalipwa Sh....
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Serikali ianze kutekeleza dhana ya maridhiano mapema kabla ya kubandika kwenye matangazo kuwa wameridhiana kumbe si...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewataka viongozi wa dini nchini kuwa na utaratibu wa kusuluhisha migogoro yao wenyewe badala ya kuipeleka mahakamani....
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023JESHI la Polisi nchini limeanza uchunguzi wa kifo cha mwanafuzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Nusura Hassan Abdallah kinachodaiwa kutokana na kipigo...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023NAIBU Waziri wa Madin Dk. Steven Kiruswa ametoa wiki moja kuweka alama (bicon) kwenye mipaka baina ya wawekezaji wawili wa uchimbaji wa madini...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023CHAMA cha Walimu (CWT) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kimesema juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan zinatoa muelekeo chanya wa ukuaji wa sekta...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023MHUBIRI mwenye utata kutoka nchini Kenya, Paul Mackenzie pamoja na mkewe ambao wamedaiwa kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100 ambao waliwalazimisha kufunga...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023BENKI ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya wazazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi...
By Mwandishi WetuMay 7, 2023