Author Archives: Mwandishi Wetu

Magufuli ahuisha ndoto ya Mwalimu Nyerere 1978

KIWANDA cha kutengeneza bidhaa za ngozi, kilichoanzishwa na Mwalimu Julius Kambarahe Nyerere mwaka 1978 na kisha kuzorota, kimefufuliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea). Kiwanda hicho kilichopo Mkoa wa Kilimanjaro, ...

Read More »

IGP Sirro: Magaidi 300 walivamia Mtwara

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauji. Anaripoti ...

Read More »

Serikali ya Tanzania yawaonya viongozi wa dini

SERIKALI ya Tanzania, amewaonya viongozi wote wa dini na jumuiya za kijamii kuepuka kutoa matamko ya kisiasa yenye lengo la kuhamisha na kuelekeza waumini wao kumchagua mgombea au chama fulani. ...

Read More »

NEC yaongeza siku mbili kuapisha mawakala

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza siku mbili zaidi za kuapisha mawakala wa vyama vya siasa watakaosimamia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Waandamanaji wamiminiwa risasi za moto Nigeria

NCHINI Nigeria, zaidi ya miili 20 imepatikana baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la nchi hiyo kuwamiminia risasi waandamanaji wanaopinga ukatili wa polisi nchini humo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa ...

Read More »

Mauaji ya Ndadaye: Rais Burundi afungwa maisha

PIERRE Buyoya, Rais Mstaafu wa Burundi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada kubaini kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa taifa hilo, Melchior Ndadaye. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Mahakama Kuu ...

Read More »

Zitto: Katiba ACT-Wazalendo haijavunjwa, ‘tumpigie kura Lissu’

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameendelea kuwaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi tarehe 28 Oktoba 2020 kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kubenea afungiwa siku 7

KAMATI ya Maadili Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam imemfungia mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, kufanya kampeni kwa muda wa siku saba, kuanzia leo hadi ...

Read More »

Majaliwa: Reli ya kimataifa Mtwara- Mbambabay kujengwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali inataka kuanza ujenzi wa reli ya kimataifa ya kutoka Mtwara – Songea ...

Read More »

NEC yaonya watakaotangaza matokeo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeonya, wagombea, kikundi, chama cha siasa au wafuasi wao wanaopanga kuchukua sheria mkononi ya kutangaza matokeo nje ya utaratibu na mamlaka zilizowekwa ...

Read More »

Maalim Seif: Sasa imetosha

MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema uvumilivu sasa imetosha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, tofauti na chaguzi zilizopita, uchaguzi ...

Read More »

Hivi ndivyo Membe alivyomuunga mkono Lissu

BERNARD Kamilius Membe, mgombea urais Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, waliobariki kumuunga mkono Tundu Lissu, mbombea urais Tanzania kupitia ...

Read More »

CMA yaamuru Manji kulipa mamilioni waandishi wa habari

TUME ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Kanda ya Dar es Salaam- Temeke imeiamuru kampuni ya Quality Group Limited kuwalipa waandishi wake wa habari wa zamani 23 iliowaachisha kazi mwaka 2017, ...

Read More »

Mbowe awaachia kibarua Watanzania 28 Oktoba

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewaomba Watanzania kuutumia Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020, kuamua mustakabali mwema wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro ...

Read More »

Sheikh Ponda ataja sababu kumuunga Lissu

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Shura ya Maimamu Tanzania amesema, anamuunga mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kwa kwa sababu, ana uwezo wa ...

Read More »

Maalim Seif amkacha Membe, amuunga Lissu

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameweka bayana msimamo wake wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu uko ...

Read More »

Membe: Mimi ni mgombea halali, awajibu Zitto na Maalim Seif

BERNARD Kamilius Membe amesema, yeye bado ni mgombea halali wa urais kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Lissu, Mbowe, Sheikh Ponda, Maalim Seif kumfuata Lowassa

JIMBO la Monduli, Arusha lililokuwa likiongozwa na Edward Lowassa, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mwaka 2015, linatarajia kuwa na ugeni mzito leo Jumatatu tarehe 19 Oktoba ...

Read More »

Lissu alia kutelekezwa

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amelalamika kutelekezwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na kwenye mkutano wa hadhara ...

Read More »

Sheikh Ponda amfuata Lissu jukwaani

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, amempigia kampeni Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). ...

Read More »

Kikwete: JPM amewazima midomo wapinzani ajenda ya rushwa

Jakaya Kikwete

MWENYEKITI mstaafu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete amesema, Rais wa Tanzania anayemaliza muda wake, John Magufuli amewazima midomo wapinzani juu ya ajenda ya rushwa na ufisadi. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wanakijiji waapa kumchagua diwani aliyeanza kutatua kero

WANAKIJIJI wa kijiji cha Mkono wa Mara kata ya Mkambarani, Morogoro wamesema watamchagua mgombea udiwani wa kata hiyo Charles Mboma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa atawaletea maendeleo waliyakosa ...

Read More »

Lissu: Magufuli hakujiandaa kwa uchaguzi

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, mpinzani wake wa karibu Dk. John Magufuli, anayegombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakujiandaa ...

Read More »

Samia awanyooshea kidole watendaji kero za muungano

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kero za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinachelewa kutatuliwa kutokana na uzembe wa watendaji wanaoshughulikia masuala ya muungano huo. Anaripoti Regina ...

Read More »

Lissu kufunga kazi Dar, Magufuli Dodoma

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa ratiba ya mwisho ya lala salama ya kampeni za wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Hoja tano za muungano Tanzania zafutwa

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuta hoja tano za muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizopatiwa ufumbuzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Leo Jumamosi tarehe 17 ...

Read More »

Mbatia apinga kufungiwa, kuendelea na kampeni

JAMES Mbatia, Mgombea Ubunge wa Vunjo Mkoa wa Kilimanjaro kupitia NCCR-Mageuzi, ameupinga uamuzi uliotolewa na Kamati ya Maadili Jimbo hilo wa kumfungia kwa siku saba kutokufanya kampeni kuanzia leo Jumamosi ...

Read More »

Zitto: Nitampigia kura Lissu, ubunge…

ZITTO Zuberi Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, ametangaza kumpigia kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kigoma … (endelea). ...

Read More »

Lissu: Nitakuwa kama Nyerere

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kufuata nyayo za Mwalim Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa nchi hiyo endapo atakuwa rais. ...

Read More »

Askofu Shoo ahofia kutoweka amani

DAKTARI Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea mamlaka na viongozi wa dini kupendelea chama kimoja cha kisiasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Karatasi za kupigia kura hizi hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa mfano wa karatasi ya kupigia kura kwa nafasi ya urais na makamu wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Vipaumbele 20 Chadema ikiingia Ikulu 

SIKU 11 zimebaki kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Vyama ...

Read More »

NEC yapigwa ‘stop’ kufanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania haipaswi kufanya mambo makuu manne wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni

KAMATI ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemfungia siku tano kutofanya kampeni, Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kuanzia kesho 16-20 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Maalim Seif: Wanataka kuni – Lissu

MAALIM Seif Sharif Hamadi, mgombea urais visiwani Zanzibar amesema, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inataka kumfungia kama Tundu Lissu, mgombea urais Tanzania kupitia Chadema alivyofungiwa kufanya kampeni kwa siku saba. ...

Read More »

Maalim Seif: Vijana wapo tayari

MAALIM Seif Shariff Hamad, mgombea urais visiwani Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema safari hii vijana wapo tayari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). “Tunapambana na CCM (Chama Cha Mapinduzi) na nafikiri vijana ...

Read More »

Askofu Gwajima ‘ambeba’ Mdee mbele ya JPM

ASKOFU Josephat Gwajima, mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesifu miradi iliyotekelezwa jimboni humo kwa mwaka 2015 – 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).  ...

Read More »

Waziri Kabudi apata ajali

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amepata ajali ya gari mkoani Morogoro leo Jumatano tarehe 14 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Akizungumza nje ...

Read More »

Lissu: Rais Magufuli amebakiza siku 14 Ikulu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema, Rais John Pombe Magufuli amebakisha siku 14 kubaki Ikulu, kwa kuwa hatoshinda katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe ...

Read More »

Lissu atumia mtumbwi kuwafikia wapigakura

MSAFARA wa Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema umelazimika kutumia mtubwi kutoka Kisorya mkoani Mara kwenda Ukerewe Mkoa wa Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mara … (endelea) Leo Jumatano ...

Read More »

IGP Sirro awaangukia wanasiasa  

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amewasihi viongozi wa vyama vya siasa na wagombea mkoani Mara, kutotumia vikundi vya vijana kufanya matukio ya uvunjifu wa amani katika ...

Read More »

Maalim Seif ‘akusanya’ kijiji Pemba

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekusanya wananchi wa Pemba na kusikiliza kero zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pemba … (endelea). Badala ya kupanda jukwaani na kuhutubia, ...

Read More »

Lissu akumbana na kikwazo Chato

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amekumbana na kituko cha kwanza Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato … (endelea). Taarifa kutoka Chato ...

Read More »

Sikuhonga kupata urais – JPM

DAKTARI John Pombe Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, hakuhonga kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Brightness Boaz, Dar es Salaam … ...

Read More »

NEC yaijibu Chadema ‘tangazeni sera’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imesema, zabuni ya kumpata mchapishaji wa karatasi za kupigia kura ilitangaza kwa mujibu wa Sheria ya Manunuzi wa Umma. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Stori ya Enock iliyomuumiza Lissu Singida

STORI ya kushambuliwa kwa Wilfred Enock, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemuumiza Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). ...

Read More »

‘Mchawi’ wa Mbowe Hai achunguzwa

OFISA wa Jeshi la Polisi katika Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, anachunguzwa na jeshi hilo kwa madai ya kumtabiria Freeman Mbowe, mgombea ubunge wa jimbo hilo kung’olewa kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Gambo apanga kummaliza Lema

MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo hilo anayetetea nafasi yake kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Maalim Seif akwepa kitanzi cha NEC

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti ...

Read More »

Tamwa yatoa mbinu mtoto wa kike anavyoweza kufikia ndoto zake

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimewataka watoto kuvunja ukimya na kupaza sauti mara tu waonapo dalili za kufanyiwa ukatili ili kuwawezesha kufikia ndoto zao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Pia, kimeitaka ...

Read More »
error: Content is protected !!