CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri Serikali kuondoa vifungu vinavyominya maslahi ya Taifa katika mkataba wa makubaliano ya kiserikali kati yake na...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua huduma mpya chini ya Mwamvuli wa Teleza...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023RAIS wa Marekani Joe Biden amesisitiza kuwa ataendelea kumwita Rais wa China Xi Jinping ‘Dikteta.’ Imeripotiwa na VOA … (endelea). Biden alitoa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023WADAU wa elimu mkoani Songwe wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mabweni katika shule mpya ya wasichana ya Dk. Samia S.H sekondari inayojengwa kwa...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023WAKATI Serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Kampuni ya DP World, kuhusu ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, Jumuiya...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Benki ya NMB kwa jitihada zake za kuendelea kuiunga mkono Serikali kwa kuongeza ushirikishwaji wa kifedha...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023TAKRIBANI mwezi mmoja na siku kadhaa tangu Mwanafunzi Ester Noah (18) wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari ya Pandahili mkoani Mbeya...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023MKUTANO ulioandaliwa leo na chama cha upinzani cha CHADEMA na kada wake wa zamani, Wilbrod Slaa, kwenye viwanja vya Bulyaga, Temeke, jijini Dar...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023KARIBU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba amefanya ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo amekutana na viongozi pamoja na watumishi wa sekta...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023KAMATI YA siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi nane yenye thamani ya Sh 9.3 bilioni katika wilaya ya Ileje...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023KAMPUNI pamoja na taasisi mbalimbali ambazo ni wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara ya (NBC) mkoani Dodoma, sasa zinaweza kupata uzoefu mpya...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza katika...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023WATU takribani 31 wamepoteza maisha huku kadhaa wakijeruhiwa, baada ya mtungi wa gesi ya kupikia kulipuka katika mgahawa wa Fuyang, ulioko mjini Yinchuan...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka wananchi kuepuka kukopa au kufanya biashara na taasisi au watu wasiokuwa na leseni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023MDHAMINI Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Serengeti Breweries Limited (SBL) ina matumaini kuwa timu hiyo itafanikiwa kufuzu kucheza...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023Watu saba wamefariki dunia akiwemo mtoto wa kike katika ajali ya basi la New force lenye namba za usajili T173 DZU linalofanya safari...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi,...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023KUPITIA dhamira yakuendeleza mfumo wa maisha wa kutotumia pesataslimu nchini, huduma ya M-Pesa ya Vodacom naTotalEnergies Marketing Tanzania Limited wamezinduaushirikiano wa kimkakati ili...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023SERIKALI inaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), yanayotekeleza majukumu yake kinyume cha sheria na maadili ya nchi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameitaka Serikali iachane na miradi ya maendeleo inayochukua muda mrefu bila kuleta tija kwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali iboreshe mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, ulioingiwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya Sh 5.5 bilioni wilayani Songwe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023WILAYA ya Same mkoani Kilimanjaro imepongezwa kwa kusimamia fedha na miradi ya maendeleo inayotelezwa wilayani hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea)....
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MAKAMU wa Rais Dk.Philip Mpango ametoa wito kwa jamii hususani watumishi wa umma kuendelea kufanya kazi kwa bidii na upendo ili kuacha alama...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameagiza wakurugenzi wakuu wa mifuko ya pensheni ya PSSSF...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amefanya mabadiliko makubwa kwa vikosi vya ulinzi jana Jumatatu na kuwasimamisha kazi wakuu wa usalama na mkuu wa...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023KATIKA kuunga mkono azma ya serikali ya kupanua na kuimarisha huduma za mawasiliano nchini kote, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 20, 2023WALIOKUWA wagombea udiwani wa CHADEMA katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 20, 2023TAIFA la China limepunguza idadi ya uchomaji maiti uliofanyika msimu wa baridi uliopita kutoka kwa ripoti ya robo mwaka. Imeripotiwa na Gazeti...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo, wamemshukia vikali Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kwa kutoa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo (CCM), wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aombe radhi kutokana...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WAKATI mjadala wa mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai Port World (DP World), ukishika...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amelitaka amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), liache kuwa wauzaji wa mafuta yanayotoka nje...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameikabidhi Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), tuzo ya kutambuliwa mchango wao...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023BENKI ya NMB imetoa gawio la Sh. 45.5 bilioni ikiwa ni gawio kubwa zaidi kuwahi kutolewa na taasisi ya kifedha kwa Serikali. Serikali inamiliki...
By Mwandishi WetuJune 18, 2023UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi dhidi ya fedha za tozo za miamala ya...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023MKAGUZI mkuu wa hesabu za nje katika mkoa wa Songwe, Chausiku Marco ameipongeza halmashauri ya mji Tunduma kwa kuwa na hoja chache kuliko...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, amesema Mradi wa Maji unaotekelezwa katika ya Same na Mwanga utamaliza tatizo la uhaba wa maji...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimekosoa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/24 na kudai kuwa haijaweka vipaumbele vinavyolenga kuboresha maisha ya wananchi...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023WAZAZI na walezi wametakiwa kuacha tabia ya kuwalinda watu wanaofanya vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto, kwa kupokea rushwa ili kuwanusuru na...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023JESHI la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo Nchini limesema kuwa katika kipindi cha mwezi juni mwaka huu...
By Mwandishi WetuJune 16, 2023KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika wazazi na walezi wametakiwa kuwaongoza vyema watoto wao juu ya matumizi salama ya kidigitali kwa kuwa...
By Mwandishi WetuJune 16, 2023