Saturday , 20 April 2024
Home mwandishi
8680 Articles1237 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Mdee na wenzake waendelea kuwabana vigogo wa Chadema mahakamani

MAWAKILI wa wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na Halima  Mdee, wamendelea kuwahoji maswali hya dodoso wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha...

Habari Mchanganyiko

STAMICO yafungamanisha sekta ya madini na nishati

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limepiga hatua katika  kufungamanisha sekta ya madini na nishati kwa kuongeza uzalishaji wa Nishati mbadala ya Rafiki...

Habari Mchanganyiko

Maagizo ya Rais Samia yashusha bei ya mafuta Tanzania

  MAAGIZO ya Rais Samia Suluhu Hassan yamesaidia kushusha bei ya mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi wa pili mfululizo, huku...

Biashara

NICOL yapeleka neema kwa wanahisa wake sabasaba

KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida...

Habari Mchanganyiko

CCM Kilombero yapongeza urejeshaji ushoroba za tembo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kimesema uamuzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Mpango wa Kuhifadhi Tembo Kusini mwa...

Habari za Siasa

Tanzania, India kuanzisha maeneo mapya ya ushirikiano

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Jamhuri ya India zimekubaliana kuanzisha maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za biashara na...

Habari Mchanganyiko

Helkopta yatumika kufukuza tembo

SERIKALI imetumia helkopta kutafuta makundi ya tembo waharibifu waliozagaa katika vijiji 25 vya wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kuwavisha vifaa maalum vya...

Elimu

St Mary Goreti yasifiwa kwa mchango wake katika jamii

MBUNGE wa Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo, ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti mchangao mkubwa inayotoa katika kukuza...

Habari za Siasa

Chadema wajifungia kujadili mustakabali wa DP World

KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekutana kujadili hali ya kisiasa nchini, ikiwemo mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, ulioingia...

Afya

Rukuba wajenga kituo cha afya, waomba watumishi

WAKAZI wa Kisiwa cha Rukuba, Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, wameiomba Wizara ya Afya na Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ipeleke watumishi pamoja na...

Biashara

Mradi wa maegesho ya malori wazidi kuipaisha Tunduma

HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetumia kiasi cha Sh 1.7 bilioni kujenga mradi huo wa maegesho ya malori ili kukabiliana...

Habari Mchanganyiko

127 wahukumiwa usafirishaji haramu wa binadamu

JUMLA ya kesi 72 za makosa ya usafirishaji haramu wa binadamu zilifunguliwa mkoani Songwe huku watuhumiwa 127 wakihukumiwa baada ya kukutwa na hatia...

Habari Mchanganyiko

Ileje waiomba Serikali kukamilisha mradi wa maji Itembo

ZAIDI ya wakazi 13,051 wa vijiji vya Ntembo, Msia, Ikumbilo na Mlale kutoka wilaya ya Ileje mkoani Songwe wameiomba Serikali iharakishe ujenzi wa...

BiasharaMichezo

NMB kuanza kusajili wanachama Yanga Julai 10

BENKI ya NMB kupitia matawi yake yote nchini inatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Karume: Sikati rufaa kufukuzwa CCM, uamuzi ni batili

BALOZI Ali Karume amedai uamuzi kumvua uanachama uliochukuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni batili hivyo hana haja ya kukata rufaa kuupinga. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wamtimua Balozi Karume, urais watajwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja kupitia kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM ya mkoa huo imeridhia kumfukuza uanachama Balozi Ali...

Habari Mchanganyiko

Muarobaini wakudhibiti tembo vamizi waja

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa amezindua programu maalum ya ujenzi wa vituo maalum 16 kwa ajili ya kuthibiti wanyama waharibifu...

Biashara

Washindi 22 promosheni NMB “Bonge la Mpango”, wabeba zawadi zao  

JUMLA ya washindi 22 wa Kampeni ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB ‘Bonge la Mpango’ wamekabidhiwa zawadi zao jijini Dar...

Habari Mchanganyiko

Songwe yatajwa kuwa kinara biashara haramu usafirishaji binadamu

  KUELEKEA maadhimisho ya kupinga usafirishaji haramu wa binadamu duniani yatakayofanyika tarehe 30 Julai mwaka huu, mkoa wa Songwe umetajwa kuwa kinara kwa...

Kimataifa

Raila akinukisha tena Kenya “wakati wa mazungumzo umekwisha”

  KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ametimiza azma yake ya kuitisha maandamano kwa ajili ya kupinga muswada mpya wa sheria ya...

Biashara

Wafanyabiashara Kariakoo waibua mapya, Lissu atoa kauli

  BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti...

Kimataifa

Mwanandoa afumwa akishiriki ngono na mchepuko kanisani, waumini wasusa..

  KUNDI la waumini wa Kanisa la Bungonya lililoko wilayani Kayunga nchini Uganda limesusa kushiriki ibada kanisani hapo baada ya wanandoa wawili kufumaniwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia amburuza mahakamani Selasini, Diamond Platnumz akitaka wamlipe fidia Sh. 10 Bil

  ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemfikisha mahakamani Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini na wengine sita, akitaka wamlipe...

Biashara

Vodacom yazindua kampeni ya ‘Biashara Pamoja, Tuamini Sisi’, katika maonyesho ya Sabasaba

  KATIKA kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano...

Michezo

Tunduma watenga billioni 1.5 kujenga uwanja

KUTOKANA na ukosefu wa eneo sahihi la kufanyia michezo halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe imetenga kiasi cha Sh.1.5 bilioni kujenga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Nshalla aonya wanaotaka kumuua kisa bandari

ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Rugemeleza Nshalla, amewataka watu anaodai wanapanga kumuuwa waache mara moja, kwa kuwa wakifanya...

Habari Mchanganyiko

Kisa ng’ombe 2 kupotea, Mama amuadhibu mtoto na kumuua

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke aliyefahamika kwa jina la Veronica Paul (27) amedaiwa kumuua kikatili mtoto wa kambo Mageshi Busanda (7) kwa...

Habari Mchanganyiko

GGML yaelimisha wadau utekelezaji mpango wa CSR

MAONESHO ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam, yanayofanyika katika viwanja vya SabaSaba, yamekuwa ni fursa adhimu kwa wadau mbalimbali kushuhudia...

Habari Mchanganyiko

RPC ataja chanzo ajali Songwe, majina 6 waliofariki

AJALI mbaya ya gari imetokea leo  Jumatano katika barabara kuu ya Tunduma – Mbeya (TANZAM) maeneo ya Mpakani – Chapwa wilayani  Momba mkoani...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amrejesha Prof. Kitila Mkumbo baraza la mawaziri

HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemrejesha kwenye baraza lake la mawaziri, Prof. Kitila Mkumbo baada ya kukaa benchi kwa muda wa zaidi ya...

Habari Mchanganyiko

Bei za mafuta ya petroli, dizeli zashuka

BEI za mafuta ya dizeli na petroli yaliyopokelewa katika Bandari ya Dar es Salaam, imeshuka kwa mwezi Julai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Biashara

Kampuni, taasisi Arusha zakoshwa na huduma ya NBC Connect

TAASISI na kampuni wateja za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mkoani Arusha, wameipongeza benki hiyo kwa kuwapelekea huduma ya malipo kidigitali inayojulikana...

Elimu

Global Education Link yatoa fursa vyuo vya nje sabasaba

WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho...

Biashara

Wafanyabiashara Kariakoo waibua mapya, Lissu atoa kauli

BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, wamedai changamoto wanazokabiliana nazo zinasababishwa na masuala mbalimbali, ikiwemo kisiasa. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Vigogo 5 wa AMCOS Songwe mbaroni kwa kutafuna 160 milioni za wakulima

JESHI Polisi Mkoa wa Songwe liliwashikilia na kuwahoji viongozi wa watano wa Chama cha Ushirika wa Kilimo na Masoko (Amcos) cha Isaiso kilichopo Kata...

ElimuTangulizi

Mwanafunzi kidato cha 3 ajinyonga darasani, akutwa na ujumbe wa kugomea shule

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete  (16) amekutwa amefariki dunia kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mramba atembelea banda la GGML sabasaba, akoshwa na miradi, rekodi za kampuni hiyo

KATIBU mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho...

Biashara

‘Bonge la Mpango’ ya NMB yafikia tamati, wateja wajishindia zawadi nono

KAMPENI ya uhamasishaji wa kuweka akiba ya Benki ya NMB iliyopewa jina la ‘Bonge la Mpango’ Msimu wa Tatu imefikia kilele tarehe 5...

Habari Mchanganyiko

Serikali kujenga Bwawa la Yongoma

  SERIKALI imesema kupitia Bajeti ya mwaka 2023/2024, imepanga kufanya upembuzi yakinifu, usanifu wa kina kwa ajili ujenzi wa Bwawa la Yongoma lililopo...

Habari za Siasa

Rais Samia ashuhudia mikataba ya msaada wa bilioni 455

RAIS Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu ya msaada wa maendeleo inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) wenye thamani ya...

Biashara

Tawi la 229 la NMB lazinduliwa Buhigwe, Dk Mpango asema…

MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango kuzindua Tawi la...

Afya

NBC yaungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kusomesha wakunga 100

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuanzisha mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholaships) kwa wanafuzi wa...

Habari Mchanganyiko

Polisi wapata maarifa na mbinu ukatili wa kijinsia kutoka Tengeru

  JESHI la Polisi kupitia Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam kimeendelea kupata elimu na maarifa kutoka kwa vyuo mbalimbali ndani...

HabariTangulizi

Majaji wamkalia kooni Rostam, aomba radhi

  MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz, ameomba radhi kufuatia kauli yake iliyodai kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,...

Michezo

Dk Mpango mgeni rasmi tamasha la washairi

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufungaji wa tamasha la ushairi lililoandaliwa na Taasisi ya Usanifu wa Kiswahili...

Biashara

Wafanyabiashara wamuanguakia Samia wasiondolewe Bandari kavu Jimbiza

WAFANYABIASHARA katika Bandari Kavu ya Jimbiza, iliyoko Kilwa Masoko, mkoani Lindi, wameiangukia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan wakiitaka iingilie kati ili wasiondolewe...

Habari

Kesi kupinga mkataba DP World kuanza kusikilizwa 20 Julai, mawakili waomba zuio

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya, imepanga kuanza kusikiliza mfululizo kesi ya kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania...

HabariKitaifa

Mabasi ya New Force yapigwa kitanzi kisa ajali

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imefuta ratiba za safari kwa mabasi 38 ya Kampuni ya New Force Enterprises kutokana na kile kilichoelezwa...

Elimu

Musoma Vijijini waomba shule za kidato cha tano, sita

JIMBO la Musoma Vijjiini mkoani Mara, limeomba Serikali ianzishe shule za kidato cha tano na sita, huku likisema kuna baadhi ya shule zilizojengwa...

Habari Mchanganyiko

RPC atinga kanisani, awafunda vijana

KAMANDA wa polisi mkoa wa Songwe, Kamishna msaidizi wa Jeshi la polisi, Theopista Mallya amewaasa vijana kujiepusha na vitendo vya kihalifu ili kuishi...

error: Content is protected !!