Saturday , 20 April 2024
Home mwandishi
8680 Articles1237 Comments
Habari za Siasa

Tanzania, Hungary wafungua mazungumzo uwekezaji na biashara

SERIKALI ya Tanzania na Hungary, zimefungua majadiliano kuhusu uimarishaji mahusiano ya kidiplomasia katika masula ya uwekezaji na biashara. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi atangaza mapumziko mwaka mpya wa kiislamu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametangaza siku kuu ya mwaka mpya wa dini ya kiislamu, kuwa mapumziko visiwani humo. Anaripoti Maryam Mdhihiri,...

Biashara

DC Momba ajitosa mkataba bandari, aeleza Tunduma itakavyofaidika

MKUU wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Faki Lulandala amejitosa katika sakata la mjadala kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye bandari ya Dar es...

Elimu

Mgogoro wa ardhi wakwamisha ujenzi nyumba ya walimu Ileje

MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...

Biashara

SBL yaja na kampeni ya ‘Jibambe Kibabe’

  KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake kubwa ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika mfumo wake mzima...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Madeleka kusota rumande hadi Julai 31, sababu zatajwa

  IMEBAINIKA kuwa sababu ya Wakili Peter Madeleka, kukamatwa tena jana Jumatatu na Jeshi la Polisi ni kufufua kesi ya uhujumu uchumi Na./2020...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti mstaafu ZEC- Jecha Salim Jecha afariki dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Lugalo, jijini...

Michezo

NBC Benki yawapa fursa wakazi wa Mwanza kulishuhudia kombe la Ligi kuu ya NBC

Wadhamini wakuu wa ligi ya Tanzania bara maarufu kama Ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC), imewapelekea wakazi wa jiji la Mwanza...

Habari za Siasa

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wakuu wa nchi Afrika kuhusu rasilimali watu

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali watu, utakaofungwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, tarehe...

Habari za Siasa

Rais Hungary kufanya ziara ya siku 4 nchini

RAIS wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne nchini kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili....

Biashara

‘Team Wazalendo’ waukingia kifua uwekezaji wa DP World

UMOJA wa Vijana wa unaojitanabaisha kwa jina la ‘Team Wazalendo’ umesema kuwa utachukua jukumu la kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa uwekezaji katika...

Habari Mchanganyiko

Wahariri kufundwa uhifadhi wa bioanuwai

CHAMA cha Waandishi wa Mazingira Tanzania (JET) kwa kushirikiana na USAID Tuhifadhi Maliasili wameandaa mafunzo kwa wahariri 25 wa vyombo vya habari kuhusu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Arusha wamkamata Wakili Madeleka

WAKILI wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama...

Habari Mchanganyiko

Zaidi ya watu 2,000 Handeni kunufaika na bwawa la maji kwa ufadhili wa SBL 

  NAIBU Waziri wa Maji, Eng. Maryprisca Mahundi ametoa pongezi kwa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa mchango wake wenye bidii katika...

Habari Mchanganyiko

Kikwete: GGML wameonesha njia udhibiti VVU, vijana jihadharini

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuonesha njia katika kuunga mkono malengo ya Serikali kwenye mapambano...

Biashara

Vodacom yashinda tunzo ya  banda la utoaji huduma bora kwa makapuni ya simu

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya  banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya...

Biashara

NBC yawezesha mkopo wa bilioni 470 Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kukamilika kwa taratibu ambazo zimewezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupata mkopo wa Dola za Marekani...

Habari za SiasaTangulizi

Jeshi la polisi lapiga marufuku maandamano UVCCM

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyoitishwa na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) katika wilaya zote nchini  kwa kufafanua kuwa yataleta vurugu...

Elimu

Mdhibiti ubora ashangazwa na miundombinu St Anne Marie

SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...

Biashara

Leseni uchimbaji madini ya ‘rare earth’ yatambulishwa rasmi, ajira 3000 zaja

WANANCHI wa Wilaya ya Songwe wametambulishwa uwepo wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Rare Earth Elements yanayotumika katika teknolojia ya kisasa....

Kimataifa

Miradi ya CPEC katika hatari nchini China 

  UFUATILIAJI wa miradi ya nguvu ya CPEC unahusishwa na ukosefu wa riba ya Wachina katika kutoa fedha zaidi huku kukiwa na deni...

Habari Mchanganyiko

Uongozi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) chafanya Thathimini ya uwanja wa Medani Mkomazi

  UONGOZI wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) Pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga wametembelea Uwanja wa...

BiasharaMichezo

NMB, Simba SC. waja na ‘Ukaribu wa Nguvu’ kusajili wanachama, jezi kuzinduliwa kileleni mwa Kilimanjaro

BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...

Habari Mchanganyiko

Tume ya Haki jinai yatoa mapendekezo kuhusu dhamana, adhabu ya kifo

TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini, imetoa mapendekezo juu ya masuala mbalimbali yanayohusu mfumo huo, ikiwemo dhamana kwa...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto amtolea uvivu Kenyatta, amuonya ukaribu na Odinga

RAIS wa Kenya William Ruto amedai kuwa aliyekuwa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anajaribu kubomoa serikali yake kwa kufadhili maandamano. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Biashara

Kilombero walilia miundombinu kilimo cha umwagiliaji

CHAMA  Cha Mapinduzi  (CCM)  Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, kimeiomba serikali kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa...

Afya

Vigogo watatu Mbozi kikaangoni, TAMISEMI yatoa maagizo

NAIBU Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk Charles Mahera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwasimamisha kazi Mganga Mkuu...

Habari Mchanganyiko

18 wanusurika kifo ajali Same, dereva atimua mbio

  WATU 18 abiria waliokuwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha kwa kutumia gari aina ya Coaster, wamenusurika kifo baada dereva wa...

Kimataifa

Rais Ruto amuonya Raila Odinga

  RAIS wa Kenya, William Ruto, amemtaka kiongozi wa upinzani nchini humo, Raila Odinga, kuacha mpango wake wa kuitisha maandamano ya siku tatu...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatoa msimamo sakata la bandari, yataka walioshiriki wajiuzulu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka watu waliohusika katika uandaaji mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na...

Habari za Siasa

Meya Moshi akanusha madai kupigwa na diwani, vita ya kisiasa yatajwa

  MEYA wa Manispaa ya Moshi, Zuberi Kidumo amekanusha madai ya kupigwa na Diwani wa kata ya Mji Mpya – Moshi, Abuu Shayo...

ElimuTangulizi

Ufaulu kidato cha sita 2023 waongezeka

  UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbunge Mwanga apiga kambi jimboni, aahidi miradi kukamilika

MBUNGE wa Jimbo la Mwanga, Joseph Tadayo (CCM) amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo na kusikia kero za wananchi katika vijiji vinne vya...

Habari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii nchini

  JESHI la Polisi limesema kuwa litaendelea kuunga mkono juhudi za Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi la ulinzi na usalama Daktari Samia Suluhu...

Habari Mchanganyiko

Dk. Kikwete kuwaaga wapanda mlima 61 Kampeni ya GGML KiliChallenge-2023

  RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa tarehe 14 Julai 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...

ElimuHabari MchanganyikoMichezo

Ubongo yatimiza miaka 10, yawafikia makazi mil 32 Afrika, nchi 22

  KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...

Kimataifa

Raila alia kuhujumiwa na wabunge wake

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amewataka wabunge wa Umoja wa Azimio, wanaotaka kuiunga mkono Serikali ya Rais William Ruto, wajiuzulu nyadhifa...

Afya

Rais Samia apongezwa uboreshaji huduma za afya Musoma Vijijini

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa mchango mkubwa wa Serikali yake katika uboreshaji huduma za afya kwenye Jimbo la Musoma Vijijini,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mkataba wa DP – Dk. Slaa aitisha mkutano wa hadhara, “Ubalozi chukueni”

  MWANASIASA mkongwe na Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Balozi Dk. Willbroad Slaa ametangaza kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika jijini Dar es...

Afya

Waziri Ummy afafanua madaktari bingwa kufungua ‘vioski’ hospitalini za umma

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa...

Biashara

Vodacom yatoa tuzo ikitimiza miaka 11 bila vifo kazini ikitumia ubunifu

KAMPUNI ya Teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia viwango vya usalama...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka viongozi Afrika kushirikiana mapambano ya rushwa

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni pamoja na janga la rushwa ambalo linadhoofisha...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Dk. Nshala aitwa kwa DCI

WAKILI Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ameitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...

AfyaTangulizi

NHIF yafanya uhakiki wanachama, watoa huduma, wafungia vituo 48, waajiri 88

  MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...

Kimataifa

Masanduku ya siri China yaleta taharuki

  SEKTA ya watengeneza wanasesere nchini China imekosolewa kwa kitendo cha kuuza masanduku ya siri ambayo yametumika kusafisisha wanyama. Imeripoti CNN na Mitandao...

Habari Mchanganyiko

Jamii yaaswa kutumia vyoo bora badala ya kujisaidia vichakani

JAMII imeaswa kuacha kujisaidia vichakani na badala yake imetakiwa kujenga na kutumia vyoo bora ikiwa ni pamoja na kunywa maji yaliyochemshwa na kunawa...

Habari za Siasa

Mawaziri SADC wajadili hali ya amani DRC, Msumbiji

MKUTANO wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya  Jumuiya ya Maendeleo Kusini...

Habari Mchanganyiko

Tunduma watenga milioni 377 kununua gari la zimamoto

KATIKA kukabiliana na majanga ya moto, Halmashauri ya mji Tunduma mkoani Songwe umetenga Sh 377 milioni za mapato ya ndani kununua gari la...

Habari Mchanganyiko

DED Ujiji azindua redio mpya Kigoma, awang’ata sikio vijana

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantum Mgonja ameipongeza kampuni ya Mainstream Media Limited kwa uwekezaji uliofanywa katika mkoa wa Kigoma....

Habari MchanganyikoTangulizi

Mpango wa BBT kuunganishwa na JKT

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inakwenda kuunganisha mafunzo ya vitendo kwa vijana kupitia mpango wa “Jenga Kesho Iliyobora” Building Better Tomorrow (BBT)...

error: Content is protected !!