Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8556 Articles1225 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wa dini wataka mkataba DP world uvunjwe, waliokamatwa waachiwe

BAADHI ya viongozi wa dini, wameiangukia Serikali wakiitaka ivunje mkataba iliyoingia na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP world kwa ajili ya...

Habari Mchanganyiko

Ufanisi STAMICO waivutia Kenya, watua nchini kujinoa

UFANISI wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO   pamoja na Wizara ya Madini kwa ujumla umetajwa kuvutia Serikali ya Kenya kuja Tanzania kujifunza...

KimataifaTangulizi

Kenyatta amchana Ruto, amwambia nitafuteni mimi, siyo familia yangu

RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Ruto akaribisha wawekezaji Dubai, DRC, Zambia kufuata

WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es...

AfyaTangulizi

Mganga mfawidhi mbaroni madai wizi wa dawa, vifaa tiba

Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...

Kimataifa

Ushirikiano wa China, Nepal Kutoka kwenye mradi wa BRI mpaka Silk Roadster

MBELE ya vyama kadhaa vya kisiasa na mashirika ya kijamii, Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kilizindua jukwaa la “Silk Roadster” wiki iliyopita...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo waaswa kuzingatia sheria za madini kupunguza migogoro

MKURUGENZI wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi Henry Mditi amewaasa wachimbaji na wafanyabiashara wa madini nchini kuzingatia sheria, usalama, utunzaji wa mazingira...

Afya

855 milioni kutafiti viashiria magonjwa yasiyoambukiza

  SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linatarajiwa kuipatia Serikali ya Tanzania fedha Sh 855 milioni kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa 106 jela kwa uhalifu Arusha

JESHI la Polisi mkoani Arusha limedai kuwa kuanzia Januari hadi Juni mwaka huu 2023 limewafikisha mahakamani watuhumiwa wa makosa makubwa ya uhalifu ambapo...

Biashara

NBC yasaini mkataba na Wizara ya Elimu kusaidia elimu ya ufundi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknalojia kwa ajili ya kutoa ufadhili wa...

Biashara

RC Senyamule: NMB imetutua mzigo sekta ya afya, elimu

MKUU wa mkoa wa Dodoma (RC), Rosemary Senyamule ameitaja benki ya NMB kama mwarobaini uliowafuta machozi wananchi katika mkoa wake kwenye idara za...

Habari Mchanganyiko

Mkutano wa Polisi wanawake Duniani kuwajengea uwezo, kupambana na uhalifu na kutangaza utalii

MKUTANO wa Umoja wa askari wa kike duniani (IAWP-international Association of Women Police) kanda ya Afrika unatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia...

Habari MchanganyikoTangulizi

AG adai ugumu wa maisha chanzo mahabusu kufurahia kukaa rumande

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, amedai baadhi ya mahabusu ambao makosa yao yanaruhusu kupewa dhamana, wamekuwa wakikataa nafuu hiyo ya...

Habari Mchanganyiko

AG adai ugumu wa maisha chanzo mahabusu kufurahia kukaa rumande

  MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, amedai baadhi ya mahabusu ambao makosa yao yanaruhusu kupewa dhamana, wamekuwa wakikataa nafuu hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awaachia huru mahabusu 2,240 waliobambikizwa kesi

MAHABUSU zaidi ya 2,240 waliokuwa wanashikiliwa katika vyombo vya kisheria kwa kesi za kubambikizwa, wameachwa huru tangu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,...

Habari za Siasa

CCM yaendelea kushusha presha wananchi sakata la bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kutumia mikutano ya hadhara kutoa ufafanuzi wa maswali yaliyoibuka kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali...

Biashara

Tume ya madini yatoa siku 7 wamiliki leseni kutekeleza masharti

TUME ya Madini imetoa siku saba kwa wamiliki wote wa leseni za madini zikiwemo leseni za utafutaji wa madini, leseni za uchimbaji mdogo,...

Elimu

Wanafunzi 3,000 MNMA wafundwa uongozi, maadili

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kilichopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimetoa mafunzo ya uongozi na maadili kwa wanafunzi wanaotarajia...

Michezo

Jinsi Watanzania wanavyoweza kuvuna mamilioni na Bikoboost

ULINGO wa fursa za kiuchumi kupitia mchezo wa kubahatisha wa Biko Tanzania, umezidi kuboreshwa baada ya kampuni hiyo kuzindua promosheni yao inayojulikana kama...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aitwa na DCI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amedai kuitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mahakama: Afande Rama hana hatia

Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume...

Habari za Siasa

Rais Samia amlilia Jecha Salim Jecha

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete afunguka misukosuko anayokumbana nayo Rais Samia

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema anaridhika na uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, hususan utulivu wake anaouonesha katika kipindi ambacho Serikali...

Habari Mchanganyiko

Bilioni 134 kutatua changamoto ya maji kanda maalum

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Cyprian Luhemeja ametembelea na kukagua mradi wa maji Tarime – Rorya wenye lengo la kuboresha hali...

Habari za Siasa

Rais Kikwete: Demokrasia Afrika inapitia changamoto

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amesema demokrasia ya barani Afrika, inapitia changamoto nyingine, ambazo baadhi yake zinasababishwa na taasisi zinazosimamia suala...

Habari Mchanganyiko

Maadhimisho wiki ya msaada kisheria yazinduliwa, mambo manne kutikisa

MAADHIMISHO ya wiki ya msaada wa kisheria Zanziba kwa 2023, yamezinduliwa huku masuala matano yakitarajiwa kufanyika kwenye zoezi hilo, ikiwemo utoaji elimu na...

Habari za Siasa

Tanzania, Hungary wafungua mazungumzo uwekezaji na biashara

SERIKALI ya Tanzania na Hungary, zimefungua majadiliano kuhusu uimarishaji mahusiano ya kidiplomasia katika masula ya uwekezaji na biashara. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi atangaza mapumziko mwaka mpya wa kiislamu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametangaza siku kuu ya mwaka mpya wa dini ya kiislamu, kuwa mapumziko visiwani humo. Anaripoti Maryam Mdhihiri,...

Biashara

DC Momba ajitosa mkataba bandari, aeleza Tunduma itakavyofaidika

MKUU wa Wilaya ya Momba mkoani Songwe, Faki Lulandala amejitosa katika sakata la mjadala kuhusu mkataba wa uwekezaji kwenye bandari ya Dar es...

Elimu

Mgogoro wa ardhi wakwamisha ujenzi nyumba ya walimu Ileje

MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...

Biashara

SBL yaja na kampeni ya ‘Jibambe Kibabe’

  KAMPUNI ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake kubwa ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika mfumo wake mzima...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Madeleka kusota rumande hadi Julai 31, sababu zatajwa

  IMEBAINIKA kuwa sababu ya Wakili Peter Madeleka, kukamatwa tena jana Jumatatu na Jeshi la Polisi ni kufufua kesi ya uhujumu uchumi Na./2020...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti mstaafu ZEC- Jecha Salim Jecha afariki dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Lugalo, jijini...

Michezo

NBC Benki yawapa fursa wakazi wa Mwanza kulishuhudia kombe la Ligi kuu ya NBC

Wadhamini wakuu wa ligi ya Tanzania bara maarufu kama Ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC), imewapelekea wakazi wa jiji la Mwanza...

Habari za Siasa

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wakuu wa nchi Afrika kuhusu rasilimali watu

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali watu, utakaofungwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, tarehe...

Habari za Siasa

Rais Hungary kufanya ziara ya siku 4 nchini

RAIS wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne nchini kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili....

Biashara

‘Team Wazalendo’ waukingia kifua uwekezaji wa DP World

UMOJA wa Vijana wa unaojitanabaisha kwa jina la ‘Team Wazalendo’ umesema kuwa utachukua jukumu la kuuelimisha umma juu ya umuhimu wa uwekezaji katika...

Habari Mchanganyiko

Wahariri kufundwa uhifadhi wa bioanuwai

CHAMA cha Waandishi wa Mazingira Tanzania (JET) kwa kushirikiana na USAID Tuhifadhi Maliasili wameandaa mafunzo kwa wahariri 25 wa vyombo vya habari kuhusu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Arusha wamkamata Wakili Madeleka

WAKILI wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama...

Habari Mchanganyiko

Zaidi ya watu 2,000 Handeni kunufaika na bwawa la maji kwa ufadhili wa SBL 

  NAIBU Waziri wa Maji, Eng. Maryprisca Mahundi ametoa pongezi kwa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa mchango wake wenye bidii katika...

Habari Mchanganyiko

Kikwete: GGML wameonesha njia udhibiti VVU, vijana jihadharini

RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kuonesha njia katika kuunga mkono malengo ya Serikali kwenye mapambano...

Biashara

Vodacom yashinda tunzo ya  banda la utoaji huduma bora kwa makapuni ya simu

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya  banda bora la utoaji huduma kwa kundi la makampuni ya Simu wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya...

Biashara

NBC yawezesha mkopo wa bilioni 470 Zanzibar

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza kukamilika kwa taratibu ambazo zimewezesha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kupata mkopo wa Dola za Marekani...

Habari za SiasaTangulizi

Jeshi la polisi lapiga marufuku maandamano UVCCM

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyoitishwa na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) katika wilaya zote nchini  kwa kufafanua kuwa yataleta vurugu...

Elimu

Mdhibiti ubora ashangazwa na miundombinu St Anne Marie

SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...

Biashara

Leseni uchimbaji madini ya ‘rare earth’ yatambulishwa rasmi, ajira 3000 zaja

WANANCHI wa Wilaya ya Songwe wametambulishwa uwepo wa leseni ya uchimbaji mkubwa wa madini ya Rare Earth Elements yanayotumika katika teknolojia ya kisasa....

Kimataifa

Miradi ya CPEC katika hatari nchini China 

  UFUATILIAJI wa miradi ya nguvu ya CPEC unahusishwa na ukosefu wa riba ya Wachina katika kutoa fedha zaidi huku kukiwa na deni...

Habari Mchanganyiko

Uongozi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) chafanya Thathimini ya uwanja wa Medani Mkomazi

  UONGOZI wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA) Pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga wametembelea Uwanja wa...

BiasharaMichezo

NMB, Simba SC. waja na ‘Ukaribu wa Nguvu’ kusajili wanachama, jezi kuzinduliwa kileleni mwa Kilimanjaro

BENKI ya NMB na Klabu ya Simba, zimezindua ushirikiano wa kibiashara uliopewa jina la ‘Ukaribu wa Nguvu,’ kwa lengo la kuongeza ufanisi katika...

Habari Mchanganyiko

Tume ya Haki jinai yatoa mapendekezo kuhusu dhamana, adhabu ya kifo

TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini, imetoa mapendekezo juu ya masuala mbalimbali yanayohusu mfumo huo, ikiwemo dhamana kwa...

error: Content is protected !!