BAADA ya ushindi wa timu anayochezea Lionel Messi, Inter Miami dhidi ya FC Cincinnatti kwa matuta ya penalty nchini Marekani, uwanja ulifurika kwa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023KIONGOZI wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi waziri wake wa mambo ya nje baada ya mwenzake wa Israel kutangaza kuwa, wawili hao walifanya...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe imemtangaza Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Jumatano 23 Agosti...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MADIWANI wa Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, Mkoa wa Geita, wametuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kutokana na Serikali yake...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023MIEZI mitano tangu alipotunukiwa Tuzo ya Malkia wa Nguvu (wa Sekta Binafsi Tanzania), Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapindizi Zanzibar za kumaliza tatizo la udumavu kwa watoto kampuni ya Asas Dairies imezindua programu ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amemtumbua Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Hanafi Msabaha kutokana na madai ya kusababisha baadhi ya wananchi wa...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amewaonya viongozi wa umma kuacha ‘kujidogosha’ kwa kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri maelekezo kutoka juu badala yake...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023JESHI la Uganda limedai kumuua mmoja wa makamanda wa kundi la waasi wa ADF lenye mafungamano na wanamgambo wa dola la Kiislamu nchini...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2023SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 Kidatu -Kihansi kwa tarehe 26 hadi...
By Mwandishi WetuAugust 26, 2023Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump jana Alhamisi amejisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2023Wajumbe wa Mkutano Mkuu 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamemchagua Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dk. Alex...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2023Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi leo Alhamisi amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023MKURUGENZI wa Taasisi ya Special Olympics Tanzania (SOT), Charles Rays anaivuruga taasisi hiyo inayojishughulisha na michezo kwa watu wenye ulemavu wa akili kwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, ameituhumu serikali ya nchi hiyo kwa udanganyifu na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa muda wa siku saba kwa wananchi na wafanyabiashara nchini kusalimisha mavazi ya jeshi hilo...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuingiza damu changa kutoka Chama cha ADA-...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a amewasisitiza waandishi wa habari nchini kuisaidia mamlaka hiyo kutoa...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kurekebisha dosari za ndani zinazoleta changamoto katika chaguzi, badala ya...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imeteua wagombea 58 kugombea ubunge wa Mbarali mkoani Mbeya pamoja na udiwani katika kata mbalimbali nchini kwenye uchaguzi...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema marekebisho madogo ya katiba yatafanyika ili kuondoa vipengele vinavyokwamisha upatikanaji wa uchaguzi huru na wa haki.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023MKURUGENZI Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2023ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, amesema kuwa kanisa lake lina imani na namna ambavyo...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023RAIS wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo anatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatatu kwa ziara ya siku mbili itakayoanza leo na kesho Jumanne...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023SERIKALI imeamua kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika Bonde la Bwigema, Musoma Vijijini mkoani Mara, ulioasisiwa na Baba wa Taifa, Hayati...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kujiepusha na makanisa yaliyoibuka hivi karibuni, yanayodaiwa kutoa mafundisho ya kitapeli kinyume...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023SERIKALI imebainisha kuwa Raia wa India nchini Tanzania wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza uchumi kwa uwekezaji wa biashara na madini na...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2023RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa amani na utulivu...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...
By Mwandishi WetuAugust 20, 2023