Author Archives: Mwandishi Wetu

Mo Dewji ‘apiga bao’

MOHAMMED Dewji, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), ametangazwa na Jarida la African Leadership kuwa mshindi wa tuzo ya African Leadership Magazine Person ...

Read More »

Njaa yaitoa mafichoni serikali

MKUBWA hasutwi. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli kuruhusu tani milioni 1.5 za chakula kilichokuwa kimehifadhiwa kianze kuuzwa ili kukabiliana na kupanda kwa bei, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Njaa yaligusa kanisa katoliki

KILIO cha uhaba wa chakula katika mikoa mbalimbali hapa nchini, kutokana na ukame kimelifikia kanisa Katoliki na sasa limeagiza maombi mazito yaanze ili kunusuru maisha ya wananchi, anaandika mwandishi wetu. ...

Read More »

Magufuli atangaza vita na magazeti

RAIS John Magufuli amesema kwamba utawala wake upo mbioni kuyachukulia hatua kali magazeti mawili hapa nchini kwa madai kuwa yamekuwa yakifanya uchochezi, anaandika Mwandishi wetu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara ...

Read More »

Mbunge awakingia kifua wavamizi

ELIBARIKI Kingu, Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi anatuhumiwa kuchochea kuongezeka kwa vitendo vya uvamizi katika msitu wa hifadhi wa Minyughe, wilayani Ikungi, anaandika Mwandishi wetu. Mbunge huyo anadaiwa kuwalipia ...

Read More »

Maalim Seif amvuruga Dk. Shein

NI wazi sasa Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar anavurugwa na harakati zinazofanywa na Maalim Seif Sharif ndani na nje ya Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu. Akizindua Soko na Ofisi ...

Read More »

Maalim Seif: Kinana mbumbumbu

MAALIM Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema kwamba, Abdulrahman Kinana hajui chochote kuhusu kinachoendelea Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu. Amesema Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa ...

Read More »

Lowassa atema nyongo Z’bar

EDWARD Lowassa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, amesema bao la mkono la Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ndilo lililompa ushindi Rais John Magufuli, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Kubenea ajitosa ubunge Unguja

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, leo Jumapili, ataungana na viongozi waandamizi wa upinzani nchini, Edward Lowassa na Maalim Seif Sharif Hamad, kumpigia kampeni mgombea ubunge jimbo la Dimani, ...

Read More »

Aliyetumwa kumtukana Nchimbi ajisalimisha

IKIWA ni zaidi ya miezi minne tangu James Rock Mwakibinga, kada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kumtuhumu Dk. Emmanuel Nchimbi kuhusika na ...

Read More »

Msaidizi wa Mbowe kuibuka

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea). “………….andishi la mkono lililoachwa kwenye ...

Read More »

Muhongo aufyata, Wananchi walia

TAMBO za Prof. Sospeter Muhongo, Waziri wa Nishati na Madini kwamba, ‘umeme hautapanda, mimi ndio waziri nimesema’ zimefika kikomo, anaandika Josephat Isango. Jana Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji ...

Read More »

CCM, Chadema wamng’oa mwenyeviti Singida

WANANCHI wa kijiji cha Unyianga, Manispaa ya Singida wamemvua madaraka Sombi Goda Mwenyekiti wa kijiji hicho pamoja na wajumbe wa serikali ya kijiji kwa tuhuma za kutosoma taarifa ya mapato ...

Read More »

Ajali yaua wawili, yajeruhi 26 Singida

WATU wawili wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya National Express lenye namba za usajili T.662 DEF baada ya kuacha barabara na kupinduka zaidi ...

Read More »

CCM yadaiwa kutapeli

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinatuhumiwa kujimilikisha maeneo ya mabondeni kinyume cha sheria za, kutafutia hati na kulikodisha kwa bei kubwa kwa wafanyabishara wa ABG African Link Traders Ltd kabla ya kuanza ...

Read More »

Wananchi Sirorisimba wampigia goti JPM

WANANCHI wa Kijiji cha Sirorisimba kilichopo katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamemwomba Rais John Magufuli kuingilia kati na kufuta milki ya ardhi ya kijiji hicho aliyomilikishwa Ibrahim Chacha Nchama ...

Read More »

Utata mpya msaidizi wa Mbowe

UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea). Taarifa zinasema Saanane ambaye haonekani ...

Read More »

‘Wabaya’ wa Dk. Shein wadakwa

WASIOPENDA kusikia jina la Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar kwa mujibu wa makubaliano ya uongozi wa msikiti wao, sasa wamekamatwa, anaandika Mwandishi Wetu. Waliokamatwa na Serikali ya Dk. Shein ...

Read More »

Polisi Manyara wahakikisha ulinzi siku za Sikukuu

JESHI la Polisi mkoani Manyara kupitia msemaji wake, Kamanda wa Jeshi hilo mkoani hapa, Francis Jacob Masawe, amewahakikishia wakazi wa mkoa huo ulinzi na usalama wakati wa kusheherekea sikukuu ya ...

Read More »

KKKT labariki unywaji wa Pombe

ASKOFU Mkuu wa zamani wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amebariki rasmi unywaji wa pombe katika kanisa hilo kongwe nchini, anaripoti Mwandishi Wetu. Akizungumza katika ...

Read More »

Mwandishi wa ITV aachiwa huru

HATIMAYE Mwandishi wa Habari wa ITV, Khalfan Lihundi aliyekuwa anashikiliwa na Polisi katika kituo cha Polisi cha Usa River wilayani Arumeru kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Alexander Mnyeti ...

Read More »

Tundu Lissu akamatwa

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, anaandika Josephat ...

Read More »

Sugu: Kifo hiki kimeniumiza, nisameheni

SIKU moja baada ya gari la Joseph Mbilinyi (Sugu), Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chadema kumgonga Recho Lutumo (14) na kumuua, mbunge huyo ameomba radhi familia ya marehemu, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Mgeja abeza ‘panga pangua’ ya CCM

KHAMIS Mgeja, aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga na kabla ya kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema hakuna jipya katika mabadiliko yaliyofanywa na CCM ...

Read More »

Kashfa nzito Jeshi la Polisi

NSATO Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai kutendewa vitendo vya kikatili, anaandika ...

Read More »

MwanaHALISI ndani ya Ikulu

MABADILIKO makubwa ya uongozi yaliyofanywa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Dk. John Pombe Magufuli, yalitabiriwa na gazeti dada la MwanaHALISI Online (MSETO), miezi sita iliyopita, anaandika Yusuph Katimba.  ...

Read More »

Mwigulu atwikwa mzigo wa maiti

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Boniventure Mushongi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani wamedaiwa kuwajua watu waliohusika na mauaji ya watu saba ambao maiti zao ...

Read More »

Anayeiuza CUF ni Maalim Seif au Lipumba?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia kwenye mgogoro wa uongozi. Wenye nia mbaya wanasingizia eti Maalim Seif Shariff Hamad anataka kukiuza chama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Juma Duni ...

Read More »

Lema amemkosea nani?

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), bado anasota kwenye gereza kuu la Kisongo, mkoani Arusha, anaandika Yusuph Katimba. Lema yuko gerezani kufuatia upande wa mashitaka kupinga kuachiwa kwa dhamana ...

Read More »

Lowassa, Maalim, Kingunge wateta

EDWARD Lowassa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania (2005-2008), Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar (2010-2015) pamoja na mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru wamekutana jijini Dar ...

Read More »

Tumuamini JPM au gavana?

RAIS John Magufuli, akiwa katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria (OUT), eneo la Bungo, Kibaha, Pwani, alitumia nafasi hiyo kuelezea sababu za kutengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ...

Read More »

KKKT Mashariki na Pwani kwafukuta

SAKATA la vyeti feki, limetinga ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anaandika Mwandishi Wetu. Naibu Katibu Mkuu wa kanisa hilo, Mchungaji Ernest ...

Read More »

JPM amgeuka Kikwete

SERIKALI ya Rais John Magufuli imelaumiwa kwa kukiuka misingi ya msimamo wa nchi kuhusu mataifa ya Morocco na Israel, anaandika Shaban Matutu. Hii inatokana na uamuzi wa serikali wa kutaka ...

Read More »

Ewe Machali nani aliyekuroga?

NANI aliyemroga Moses Joseph Machali, mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), aliyeongoza jimbo hilo kipindi kimoja cha 2010-2015?, anaandika Shabani Matutu. Hili ni swali la kwanza kunijia baada ya ...

Read More »

Kitwanga lawamani Misungwi

NICODEMUS Ihano, diwani wa kata ya Mabuki wilayani Misungwi amemtupia lawama Charles Kitwanga, Mbunge wa Jimbo la Misungwi akidai ni miongoni mwa ‘vigogo’ wanaowalinda wakandarasi wazembe katika halmashauri ya wilaya ...

Read More »

EU ‘yamkazia’ Dk. Shein, JPM

TAARIFA kwamba Umoja wa Ulaya (EU) bado una msimamo kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba 2015, ulivurugwa, imeamsha upya msisimko kwa umma wa Wazanzibari, anaandika Mwandishi Wetu. “Hatua ...

Read More »

Meya Kafana: Wapuuzeni wanaotaka kutuchafua

MUSA Kafana, Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam amewataka wananchi kupuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii kwamba jiji hilo limetoa tenda ya ukusanyaji wa ushuru wa maegesho ...

Read More »

Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John ...

Read More »

‘Utembo’ wa rais umekuzwa na CCM

NIMEGUSWA na kauli za wazee watatu, wanasiasa wakongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Joseph Butiku, Phillip Mangula, na Wilson Mukama – walipotoa mada mbalimbali kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya ...

Read More »

Prof. Lipumba awaponza Jaji Mtungi, Masaju

BODI ya Baraza la Wadhamini la Chama cha Wananchi (CUF), imefungua kesi dhidi ya Jaji Francis Mutungi, George Masaju, Profesa Ibrahimu Lipumba na wafuasi 12 waliotimuliwa na chama hicho katika ...

Read More »

Magufuli ashitukia dili

UAMUZI wa serikali kuzuia uuzaji au ukodishwaji wa klabu za Simba na Yanga kwa matajiri wawili maarufu nchini, umelinda maslahi ya nchi na kuepusha nchi kutotawalika, imefahamika, anaandika Mwandishi Wetu. Mchambuzi ...

Read More »

Escrow na kweli ikidhihiri

ILIANZIA kwa David Kafulila, mwanasiasa kijana aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, aliposema ndani ya bunge mgogoro uliohusu uchotwaji wa fedha kifisadi zilizokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow, umeikosesha nchi mamilioni ya ...

Read More »

Magufuli atamuweza Lowassa mahakamani?

NIMEPATA mrejesho kutoka kwa wasomaji wa safu hii kutokana na uchambuzi wa wiki iliyopita, uliofananisha wongofu wa ghafla wa Sauli na mabadiliko ya ghafla ya Lowassa. Miongoni mwa watu 206 ...

Read More »

Familia ya Nyerere gizani

MAMA Maria Nyerere na familia yake hawakuhudhuria Sherehe ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere iliyofanyika Bariadi mkoani Simiyu jana, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Madiwani Chadema walazwa korokoroni

ALEXANDER Mnyeti, Mkuu wa Wilaya ya Arusha juzi aliwalaza mahabusu madiwani wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu. Madiwani hao wanatoka katika Halmashauri ya Arusha wilayani ...

Read More »

Lipumba agonga mwamba

PROFESA Ibrahim Lipumba amegonga mwamba. Juhudi zake za kufungua akaunti ya benki, tofauti na iliyo halali na inayotumika, zimekwama, anaandika Shabani Matutu. Prof. Lipumba anadaiwa kutaka kufungua akaunti yake katika Tawi ...

Read More »

Lipumba kaajiriwa na nani kuivuruga CUF?

VITUKO, mapenzi na mahaba ya ghafla ya vyombo vya dola na hasa Jeshi la Polisi kwa mtu anayedaiwa kuwa Mwenyekiti Halali wa Chama cha Wananchi au kwa kimombo Civic United ...

Read More »

Kubenea ashtukia janja ya CCM

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, amefichua hujuma zinazotaka  kufanywa na Aron Kagurumjuli,  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ili kukibeba Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...

Read More »

Washindi wa M Bet wakabidhiwa vitita vyao

WASHINDI wawili, Exaudi Mgeni wa Iringa na Joel Mwakagali wa Mbeya, waliojinyakulia jumla ya kitita cha Sh. 82 milioni, wamekabidhiwa fedha zao leo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam ...

Read More »

Bukoba ‘kuushughulikia’ muswada wa habari

WAANDISHI wa habari mkoani Kagera wameombwa kutoa maoni yao juu ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, anaandika Mwandishi Wetu. Rai hiyo imetolewa na Bwana Deodatus Balile, ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube