Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8556 Articles1225 Comments
Habari Mchanganyiko

Wasanii kitanzini, JWTZ yatoa siku 7 wanaovaa, kuuza sare za jeshi hilo

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa muda wa siku saba kwa wananchi na wafanyabiashara nchini kusalimisha mavazi ya jeshi hilo...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua viongozi wapya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuingiza damu changa kutoka Chama cha ADA-...

Biashara

Vodacom yazindua kampeni ya ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ kwa ajili ya wateja na wafanyabiashara

KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...

Elimu

Shule zinazofanya mtihani wa dini ya Kiislam zaongezeka matokeo yatangazwa

  IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...

Habari za SiasaKimataifa

Aliyejaribu kumpindua Putin afariki kwa ajali ya ndege

WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Ngorongoro aachiwa, asema harudi nyuma, ashangaa kukamatwa bila kibali cha Spika

HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...

Biashara

NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023

  SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...

Habari Mchanganyiko

Wanahabari wasisitizwa kusambaza taarifa za hali ya hewa kwa wakati

  KAIMU Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a amewasisitiza waandishi wa habari nchini kuisaidia mamlaka hiyo kutoa...

Habari za Siasa

Tanzania, Cuba kuwanoa wanasiasa vijana

Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na...

Kimataifa

Watoto 500 wafariki kwa njaa

SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Kimataifa

Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?

Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...

Habari za Siasa

Msajili awatwisha mzigo wanasiasa malalamiko rafu za uchaguzi

NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza, amevitaka vyama vya siasa kurekebisha dosari za ndani zinazoleta changamoto katika chaguzi, badala ya...

Michezo

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...

Habari za Siasa

NEC yateua 58 kugombea udiwani, ubunge Mbarali

TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imeteua wagombea 58 kugombea ubunge wa Mbarali mkoani Mbeya pamoja na udiwani katika kata mbalimbali nchini kwenye uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM: Marekebisho madogo ya katiba yatafanyika kupata uchaguzi huru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema marekebisho madogo ya katiba yatafanyika ili kuondoa vipengele vinavyokwamisha upatikanaji wa uchaguzi huru na wa haki.Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sekta mbalimbali zatakiwa kuchukua hatua stahiki uwepo wa El Nino

MKURUGENZI Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado...

Habari za Siasa

Indonesia kufufua kituo cha mafunzo ya kilimo Morogoro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo...

Habari za SiasaTangulizi

Mchungaji Lusekelo awavaa maaskofu Katoliki, awataka wakae kimya

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...

Kimataifa

Trump kujisalimisha kesi ya kubatilisha uchaguzi

RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...

Elimu

DC Dar aipongeza St. Anne Marie Academy kwa ufaulu

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...

Kimataifa

Sheria ya kupinga mapenzi jinsia moja yaanza kung’ata Uganda

POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kuvuruga mkutano KKKT zafichuka

KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

DP World: KKKT yaunga mkono uwekezaji, yampongeza Rais Samia kwa hekima

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, amesema kuwa kanisa lake lina imani na namna ambavyo...

Habari za SiasaTangulizi

KKKT latoa msimamo kuhusu sakata la bandari

  KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...

Habari Mchanganyiko

Rais Indonesia kutua nchini leo kwa ziara ya siku 2

  RAIS wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo anatarajiwa kuwasili nchini leo Jumatatu kwa ziara ya siku mbili itakayoanza leo na kesho Jumanne...

Makala & Uchambuzi

Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyoibua vipaji vipya vya wanawake

Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....

Habari Mchanganyiko

Serikali kufufua mradi wa umwagiliaji ulioachwa na Mwalimu Nyerere

  SERIKALI imeamua kufufua mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika Bonde la Bwigema, Musoma Vijijini mkoani Mara, ulioasisiwa na Baba wa Taifa, Hayati...

Habari MchanganyikoTangulizi

KKKT yalia utapeli makanisa ya kisasa

  WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kujiepusha na makanisa yaliyoibuka hivi karibuni, yanayodaiwa kutoa mafundisho ya kitapeli kinyume...

Kimataifa

Walinzi mpaka wa Saudi Aradia watuhumiwa kuua wahamiaji

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...

Biashara

Mchakato kuunganisha Tanga Cement, Twiga Cement wapata kizingiti, Jaji atoa uamuzi

BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...

Habari Mchanganyiko

Wahindi vinara wa uwekezaji nchini Tanzania

  SERIKALI imebainisha kuwa Raia wa India nchini Tanzania wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza uchumi kwa uwekezaji wa biashara na madini na...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Tuwanyanyapae wanaochanganya dini, siasa

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa amani na utulivu...

Biashara

Ya Rwanda yanatufunza tusiingize dini kwenye siasa

Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...

Biashara

Rais Samia aikabidhi tuzo maalum Benki ya NMB

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mkubwa wa taasisi hiyo ya...

Elimu

Mollel aomba dirisha maalum la Visa kwa wanafunzi kwenda kusoma China

MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...

Biashara

STAMICO yang’ara yabeba tuzo mbili

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti  na Watendaji wa Mashirika  ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Msiogope mabadiliko, hakuna atakayepoteza ajira

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu waajiriwa katika taasisi na mashirika ya umma yatakayofutwa kutokana na sababu mbalimbali kwamba watahamishiwa kwenye mashirika mengine...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya taasisi, mashirika ya umma yanayokopa kutoa gawio

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona taasisi na mashirika ya umma yakichangia mfuko mkuu wa serikali kutokana na kipato kinachozalishwa kwa kutekeleza...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya wazee China latikisa

  IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...

Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Katibu Mkuu Maji

Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwabukusi, Mdude nao waachiwa kwa dhamana

  HATIMAYE Wakili, Boniphace Mwabukusi na Kada wa Chasema, Mpaluka Saidi Nyangali maarufu kama ‘Mdude’ nao wameachiwa huru na Jeshi la Polisi mkoani...

Afya

RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...

Biashara

NMB, Vodacom wazindua kampeni ya ‘Miliki simu – lipa mdogo mdogo’

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sitarudi nyuma, nimetimiza wajibu wangu

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa leo Ijumaa amesema kitendo cha polisi kumkamata kinguvu tarehe 13 Agosti 2023 kisha kutuhumiwa kwa uhaini, hakitamrejesha nyuma...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aionya Serikali marekebisho sheria ya rasilimali asilia

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa amedai kuwa katika Mkutano wa 12 wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023, iwapo marekebisho ya muswada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aachiwa kwa dhamana, Mwabukusi, Mdude kitendawili

HATIMAYE Balozi Dk. Wilbroad Slaa leo Ijumaa mchana ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyoagizwa na Jeshi la Polisi Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini

WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho...

Kimataifa

Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha

MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...

Habari za Siasa

Kamati Kuu CCM yamteua Bahati kuwa mgombea ubunge Mbarali

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan, imemteua wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili: Mwabukusi mgonjwa, ana mshono

WAKILI Philip Mwakilima ambaye anasimamia kesi inayomkabili ya Wakili Boniphace Mwabukusi na wenzie leo Alhamisi amesema mteja wake anaumwa hivyo Jeshi la Polisi...

error: Content is protected !!