Wednesday , 17 April 2024
Home mwandishi
8658 Articles1236 Comments
Michezo

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno

MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi na wafanyakazi kutoka taasisi...

Afya

Serikali yaanza kutekeleza maombi ya Prof. Muhongo

SERIKALI imeanza kutekeleza maombi ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ya kupeleka vifaa tiba na watumishi katika kituo kipya cha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Basi la Magereza lagonga treni yenye abiria 650 Dar

Basi  Jeshi la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa ya Bara...

Kimataifa

Wadukuzi wa Kichana waiba barua pepe 60,000 za Serikali ya Marekani

WADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani mwezi Mei mwaka huu. CNN inaripoti …(endelea). Msemaji wa idara ya Serikali ya...

Habari Mchanganyiko

Askari Polisi wa wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

  KAMISHNA wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa za elimu ili kuongeza ujuzi...

Biashara

Mwezi wa kutoboa ni huu, cheza Keno Bonanza utusue Maisha

MWEZI wa Oktoba wengi hupenda kuuita mwezi wakutoboa wakiwa na maana ya kwamba, maokoto yanakuwamengi sana, huenda ikawa ni kweli lakini nataka nikuibiesiri...

Elimu

Viwanda zaidi ya 200 kuonyesha bidhaa maonyesho ya TIMEXPO Dar

SHIRIKISHO la Wenye Viwanda Nchini (CTI) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya  Biashara (TanTrade), wameandaa maonyesho makubwa ya kimataifa ya viwanda ambapo...

Habari Mchanganyiko

Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi ya bilioni 16 Dodoma

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Ally Senga Gugu  kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amepokea Mwenge wa Uhuru...

Habari Mchanganyiko

Vijana 400 waguswa na programu ya “Learning for Life” ya SBL

  PROGRAMU ya “Learning for Life” imetimiza dhamira ya Serengeti Breweries Limited  (SBL) ya kuwawezesha zaidi ya vijana 400 Hanang kupitia stadi muhimu na...

Biashara

Wataalam Uganda wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini katika maonesho Geita

MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara ya Madini ya Serikali ya Uganda kushiriki...

Elimu

Wazazi wa wanafunzi waliokosa nafasi vyuo vikuu waonyeshwa njia na GEL

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi za kusoma vyuo vikuu  ndani...

Kimataifa

Putin aita vikundi vya kujitolea vita ya Ukraine

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin, amefungua milango ya ushirikiano kwa vikundi vya kijeshi vya kujitolea ,ili kuongeza nguvu katika vita kati yake na...

Kimataifa

Mlipuko wa bomu waua 50 katika sherehe za Maulidi ya Mtume

WATU takribani 50 wamefariki dunia huku wengine 50 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea karibu na msikiti nchini Pakistan, wakati wakisherehekea sikukuu ya...

Habari Mchanganyiko

DPP atuma salamu kwa mafisadi, wahujumu uchumi

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewataka watumishi wa umma wanaofanya makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na ufisadi, waache mara moja kwa...

Michezo

Meridianbet yaibukia Tandika, yafungua duka jipya

BAADA ya kupita maeneo mbalimbali hatimae kampuni yaMeridianbet imeibukia mitaa ya Tandika jijini Dar-es-salaam na kufanya uzinduzi wa duka jipya ambalo litatoahuduma zote...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Maabara ya bilioni 5 upimaji madini yazinduliwa Geita, inapima kwa mionzi

Zaidi ya Sh bilioni tano zimewekezwa katika kampuni ya MSALABS inayomiliki maabara ya upimaji wa sampuli za madini kwa kiwango cha kimataifa mkoani...

ElimuHabari Mchanganyiko

Wanafunzi Nyamkumbu wanolewa na GGML kuhusu taaluma ya madini

ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo yao ili...

Biashara

TPHPA yafunda wafanyabiasha, wakulima matumizi ya viuatilifu

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), imetoa mafunzo kwa wakulima ili waweze kutumia viuatilifu vilivyosajiliwa kwa usahihi. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Serikali yawaangukia viongozi wa dini

SERIKALI imewaomba viongozi wa dini, waendelee kuelimisha wananchi kudumisha amani na umoja, ili kuleta maendeleo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Afya ya akili yatajwa chanzo kuvunjika ndoa

CHANGAMOTO ya afya ya akili, imetajwa kuwa chanzo cha migogoro inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 28...

Habari za Siasa

Azzim Dewji aitaka Serikali iwanyooshe mafisadi

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Azzim Dewji, ameitaka Serikali iwachukulie hatua wezi wa fedha za umma, akisema kitendo cha kuwaacha huru kinawaibua wengine. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Somo la dini: Waislamu waishukia Serikali, wizara yatoa kauli

JUMUIYA na Taasisi za Kiislamu Tanzania, imetupia lawama Serikali ikidai imevunja ahadi yake ya kuwapa umiliki wa mitaala ya somo la elimu ya...

BiasharaMichezo

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi kuwa milionea

  CARABAO Cup raundi ya 3 Uingereza inaendelea na mechi hizo zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukufanya uione hii Dunia ni yako...

Michezo

Jezi ya Samatta iliyoifunga Liverpool kuuzwa Genk

  KLABU ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji imeamua kuanza kuuza jezi ya mchezaji wa kitanzania Mbwana Samatta Nahodha wa timu ya taifa...

Biashara

NMB yatoa vifaa vya milioni 40 kwa Shule, Zahanati na Hospitali Mafia

BENKI ya NMBimekabidhi misaada mbalimbali yenye thamani ya Sh 40 milioni kwa Hospitali ya Wilaya ya Mafia, zahanati tano na shule moja ya...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya moto iliyotokea usiku wa jana Jumanne, katika ukumbi waliokuwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kapinga: Usambazaji umeme vijijini mwisho Desemba 2023

  NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini wa awamu ya...

Habari za Siasa

Mgongano wa kimasilahi wamhamisha Chande TTCL

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande, ameondolewa katika Shirika la Mawasiliano la Tanzania (TTCL) ndani ya muda...

Habari za SiasaTangulizi

Mgawo wa umeme: Rais Samia ampa miezi sita bosi mpya TANESCO

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, amalize changamoto ya...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni ya Mali ya China ya Oceanwide Holdings Imeripotiwa na South China Morning Post...

Biashara

Infinix zero 30 5G yazinduliwa Tanzania, Voda watajwa kunufaika nayo

  KAMPUNI ya simu ya Infinix leo imetangaza uzinduzi wa simu mpya ya Infinix ZERO 30 5G, simu mahiri ya kwanza kwa kampuni...

BiasharaMichezo

Hii ndio historia ya El-Clasico, derby bora zaidi duniani

  KILA nchi ina vilabu viwili hasimu na pinzani nje ya uwanja na ndani, mfano Uingereza kuna Man Utd vs Man City (Manchester...

Habari Mchanganyiko

Wizara ya madini kurusha ndege ya utafiti wa madini Geita

Kutokana na mchango wa wachimbaji wadogo wa madini kwenye pato la Taifa, Wizara ya madini inatarajiwa kufanya utafiti wa kina kwa kurusha ndege...

Habari Mchanganyiko

Jafo aagiza kampuni za madini kuzingatia utunzaji mazingira, azitaka zijifunze kwa GGML

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini zinazojihusisha na uchimbajin wa madini kuzingatia...

Biashara

NBC kuchochea ustawi biashara kati ya Tanzania na Afrika Kusini

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu dhamira yake ya kufanikisha ustawi wa biashara baina ya Tanzania na Afrika kusini kwa kuwawezesha...

Habari za Siasa

Rais Samia avunja bodi ya REA

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Jacob Kingu, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Chande aliyeng’olewa TANESCO kwenda TTCL apelekwa Posta

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawaasiliano  Tanzania (TTCL), Maharagande Chande, kuwa Postamasta wa Shirika la Posta...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia apewa tano ujenzi barabara Mtwara

WANANCHI wa Mkoa wa Mtwara, wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara, kitendo kinachoimarisha shughuli zao...

Biashara

NMB yazindua hati fungani mpya ya trilioni 1

BENKI ya NMB imezindua rasmi programu mpya yenye hati fungani zenye thamani ya jumla ya Sh. trilioni moja, huku ikitajwa kuwa ya kwanza...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kununua mitambo 15 ya kuchoronga miamba

Serikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya uchorongaji wa miamba kwa ajili ya utafiti wa kina wa madini. Anaripoti Mwandishi...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mtanzania aweka rekodi kimataifa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu

IMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery (GGR) kinachomilikiwa na Mwekezaji Mtanzania, Sarah Masasi kimeiweka Tanzania katika Soko la Kimataifa...

Habari za Siasa

Kamugisha aanika utekelezaji mpango kazi 2022/23

MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, amebabainisha masuala sita yaliyofanyiwa kazi kupitia mpango...

Habari Mchanganyiko

MAIPAC kusaidia Kompyuta shule ya Arusha Alliance

Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) imeahidi kutoa msaada wa kompyuta kwa shule ya msingi ya Arusha Alliance ambayo inamilikiwa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita ya teknolojia ya madini Geita na kupatiwa...

BiasharaMichezo

Piga pesa kupitia Derby ya London Kaskazini kwa kubadhiri na Meridianbet

NAJUA umesikia na unazijua Derby nyingi kutoka jiji la London, lakini kuna hii ambayo inakwenda kupigwawikiendi hii pale katika dimba la Emirates kati ya...

Habari za Siasa

Vijana ACT-Wazalendo wakabidhiwa kivumbi kulinda kura uchaguzi 2024,2025

NGOME ya Vijana ya Chama cha  ACT-Wazalendo, imetakiwa kuwanoa wafuasi wake ili wahakikishe chama hicho kinapata ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari Mchanganyiko

Dk. Biteko aacha alama sekta ya madini

Dk. Biteko aacha alama sekta ya madini Imeelezwa kuwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.  Doto Biteko ameacha alama kubwa katika...

Habari Mchanganyiko

ATCL yataja sababu kusitisha safari za ndege China

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufatanuzi kuhusu mabadilko ya ratiba zake za safari za China kwa abiria wake kuwa zimetokana na ndege...

Sanaa

Msanii Kusah apagawisha wanafunzi Green Acres

MSANII  wa nyimbo za bongo fleva Salmin Ismail maarufu kama Kusah,  amezitaka shule nchini kutenga muda wa kutosha wa michezo ili waweze kuibua...

error: Content is protected !!