Friday , 19 April 2024
Home mwandishi
8670 Articles1245 Comments
Kimataifa

Gavana wa benki kuu Burundi akamatwa kwa ufisadi

DIEUDONNÉ Murengerantwari anatuhumiwa na wizara ya sheria ya Burundi kwa madai ya kuhujumu utendaji wa uchumi wa taifa, ufisadi na ufujaji wa mali...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mohammed Deif: Paka mwenye roho tisa anayeongoza kundi Hamas

WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi ahojiwa Polisi kisa Chadema

WAKILI Boniface Mwabukusi amedai Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemhoji kuhusu tuhuma za kutumia wimbo wa chama kingine ambacho kinatajwa kuwa ni Chadema...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yatoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara Dar

BENKI ya NMB kupitia Klabu za Biashara ‘NMB Business Club’ imeandaa mafunzo ya kifedha kwa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam ikiwa ni utekelezaji...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Waziri Mhagama akoshwa na Mshikofasta ya NMB 

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amewataka vijana kuchangamkia fursa ya mkopo wa Mshikofasta inayotolewa na...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aula mfupa uliowashinda wenzie kumuenzi Mwalimu Nyerere

  SERIKALI ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyrere, kwa kufufua...

KimataifaTangulizi

Hali mbaya Gaza, hospitali zaelemewa

  HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atunukiwa shahada nyingine ya heshima India

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru,...

Elimu

Serikali yaahidi kuzilegeza masharti shule binafsi

  SERIKALI imeahidi kuboresha mazingira ya uwekezaji kwa wamiliki wa shule binafsi, ili ziweze kutekeleza majukumu yake vizuri ya kutoa elimu bora kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamwachia Wakili Mwabukusi

  JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limemwachia Wakili Boniface Mwabukusi, baada ya kumshikilia kwa saa kadhaa tangu alivyoitikia wito wa kuripoti ili kuhojiwa...

Habari za Siasa

CCM: Hatutawabeba viongozi mizigo chaguzi zijazo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitawabeba viongozi mizigo katika chaguzi zijazo, huku kikiwataka waliopewa dhamana wakati huu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi...

Biashara

Meridianbet kuzindua mzigo mpya pamoja na Expanse Studios

  EXPANSE Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili kuwasilisha bidhaa...

Biashara

Karata moja tu kwenye Blackjack inakupa ushindi mara 100

  WATENGENEZAJI wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa...

KimataifaTangulizi

Watu 1,000 wafariki vita Israel, Palestina

  MAPIGANO ya kijeshi kati ya Kundi la Hamas la Palestina na Jeshi la Israel, yaliyoanza Jumamosi iliyopita, yamepoteza maisha ya watu zaidi...

Habari Mchanganyiko

Wakulima waiomba Serikali iharakishe ujenzi miundombinu ya umwagiliaji

  WAKULIMA katika mabonde ya Bugwema na Suguti, katika Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wameiomba Serikali kuharakisha ujenzi wa miundombinu ya umwagiliaji ili...

Habari za Siasa

Msikimbilie kufanya kazi mijini – Ridhiwani Kikwete

  NAIBU waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka watumishi wa umma, kutokimbia kufanya kazi pembezoni mwa nchi. Anaripoti...

Biashara

NBC yazindua msimu wa tatu  “Wekeza NBC Shambani Ushinde’’

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tatu wa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi inayofahamika kama ‘Wekeza...

KimataifaTangulizi

Netanyahu: Israel imeingia kwenye vita virefu na vigumu, zaidi ya 900 wameuawa

  TAKRIBANI Waisraeli 900 wameripotiwa kuwawa na 100 wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yaliyoendeshwa na vikosi vya wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel....

Habari Mchanganyiko

Polisi wagwa vyeti kwa wamiliki wa silaha za jadi

  KAMISHNA Msaidizi wa Jeshi la Polisi ACP Theopista Malya leo Oktoba 07, 2023 amegawa vyeti kwa wamiliki wa silaha za kiraia tukio...

Habari Mchanganyiko

Madereva Tunduma waridhishwa na usalama wa maegesho, waomba yatanuliwe

  MADEREVA wa magari makubwa ya mazigo (Malori) wanaovuka mpaka wa Tunduma kwenda nchi za kusini mwa afrika (SADC) wameiomba halmashauri ya wilaya...

Habari Mchanganyiko

Dk Wanga atoa somo matumizi bora ya misitu

  KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Dk Godwill Wanga ametoa rai kwa wadau wa uhifadhi misitu, akiwemo serikali, sekta...

Michezo

Lavaud agonga kolabo ya kibabe na Tiwa Savage…

STAA wa kike kwenye uwezo mkubwa katika kuimba na kutunga, Lavaud amerejea kwa kishindo baada ya kuachia singo kali inayokwenda kwa jina la...

Michezo

Arsenal kuingia uwanjani leo kujaribu kufuta uteja mbele ya Man City

WIKIENDI hii itapigwa mechi moja ya kiume pale katika dimba la Emirates ambapo klabu ya Arsenal wataikaribisha Manchester City, mchezo huu washika mitutu wanakwenda kutafuta nafasi...

Elimu

GEL yataja fursa ziara ya Rais Samia India

WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) imetaja fursa kem kem ambazo Tanzania itanufaika nazo kupitia  ziara ya Rais Samia...

Michezo

GGML waitia ndimu Geita Gold FC. vs Yanga

HATIMAYE changamoto ya usafiri kwa timu ya Geita Gold FC. imetatuliwa baada ya basi jipya la timu hiyo lililoagizwa na Kampuni ya Geita...

Habari za Siasa

Majaliwa apiga marufuku watumishi kujitolea ardhi

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amepiga marufuku watumishi wa kujitolea katika sekta ya ardhi, hususan kwenye eneo la upimaji viwanja, akisema wanachochea migogoro...

Kimataifa

Watu 100 wafariki katika shambulio Syria

  WATU takribani 100 wamefariki dunia nchini Syria, kutokana shambulio la ndege zisizo na rubani liliopiga kwenye Chuo cha kijeshi cha taifa hilo....

Kimataifa

WHO yaonya mlipuko homa ya Dengue

  SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limewataka wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya Dengue, unaodaiwa kusababishwa na...

Habari Mchanganyiko

Watakaoharibu alama za barabarani, miundombinu kukiona cha moto

  NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka wakuu wa wilaya nchini kutoka elimu kwa wananchi ngazi ya vijiji,kataka na, Tarafa ikiwemo...

Habari Mchanganyiko

CCM mkoa wa  Songwe yataja barabara zenye kero kubwa

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimeitaka Wizara ya Ujenzi  kufanya juu chini kwa kutekeleza ujenzi wa barabara za maeneo matatu...

Michezo

Bingwa Kombe la Dunia kulamba bil 191, Meridianbet nao kumwaga mkwanja

  KOMBE la Dunia ni kombe lenye thamani kubwa zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, ukiachilia mbali mashindano mengine ya dunia kama...

Habari Mchanganyiko

NBC yazindua msimu wa 3 “Wekeza NBC Shambani Ushinde’’

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua msimu wa tatuwa kampeni yake  maalum kwa wakulima wa zao la korosho katika mikoa ya Mtwara na Lindi...

Habari Mchanganyiko

Kasekenya akagua miundombinu Songwe kukabili El-nino

  WAKALA wa Bararabara Tanzania (TANROADS) mkoani Songwe umewahakikishia wananchi kuwa umejipanga kukabiliana na mvua za El-nino kwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa...

Biashara

Vodacom, Twende Butiama wapanda miti na kutoa madawati Dodoma

KAMPUNI Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na Twende Butiama wamepanda miti na kusaidia madawati kwa shule ya msingi Medeli ya Jijini Dodoma. Anaripoti...

Elimu

CBE kuanza kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili...

BiasharaMichezo

Angalia game za Europa huku ukipiga mkwanja na Meridianbet

KIJANA wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto, lakini ukiwa na Meridianbet ni rahisi...

Elimu

NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule 3 Ilala 

IKIWA ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya...

Biashara

Unyama ni kucheza Deuces Wild Poker

  NAFASI ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya kutusua ulivyo....

Habari Mchanganyiko

Waziri Chana aipa tano RITA usajili watoto

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk Pindi Chana amefurahishwa na mafanikio ya utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kusajili watoto wote chini...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano la kina Dk. Slaa kupinga mkataba bandari lakwaa kisiki

KONGAMANO la kujadili mkataba wa bandari na upatikanaji katiba mpya, lililoandaliwa na wanaharakati akiwemo Dk. Wilbroad Slaa, kwa kushirikiana na taasisi ya Tanzania...

BiasharaTangulizi

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli kwa mwezi Oktoba yapaa tena

BEI ya mafuta ya petroli kwa mwezi Oktoba 2023, imepanda kwa Sh. 68, huku dizeli ikiongezeka kwa Sh. 189. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Kimataifa

Spika wa Marekani ang’olewa kwa madai ya usaliti

SPIKA wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy, ameondolewa madarakani kwa tuhuma za kukiasi chama chake cha Republican, akituhumiwa kushirikiana na Serikali ya Rais...

Biashara

Vodacom M-Pesa yajumuika kusherehekea siku ya urithi wa watu wa Afrika ya Kusini nchini Tanzania

KATIKA jitihada za kukuza na kuendeleza umoja miongoni mwa Watanzania na watu kutoka mataifa mengine, Vodacom Tanzania kupitia huduma yake ya M-Pesa iliungana...

Michezo

UEFA imekuja na maokoto yakutosha bashiri na Meridianbet sasa

UTAMU wa kubeti ule bhana, na ukitaka kula ni rahisi tuu weka dau lako dogo pata kikubwa zaidi. Mechi za Usiku wa Ligi...

Habari za Siasa

Bilioni 6.1 kumaliza tatizo la maji Katoro-Buseresere – Geita

Makamu mwenyekiti wa Umoja wa wanawake CCM, (UWT), Zainab Shomari amesema Serikali imeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya ujenzi wa miundombinu ya...

Habari Mchanganyiko

Wawili wanaswa wakitengeneza noti bandia

JESHI la Polisi mkoani Songwe limewakamata watu wawili kwa tuhuza za kukutwa wakitengeneza noti bandia za nchini Zambia. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe…(endelea). Akizungumza...

AfyaHabari Mchanganyiko

Chanjo mpya ya malaria Sh 5,000-10,000

Shirika la afya la Duniani (WHO) limeridhia chanjo ya pili ya ugonjwa wa malaria kwa watoto ambayo inaweza kuokoa maisha ya maelfu ya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa kiharusi waongezeka, Hospitali Mkapa yaja matibabu mapya

HOSPITALI ya Benjamini Mkapa kwa kushirikiana na madaktari Bingwa kutoka nchi Japan kupitia taasisi ya Tokushikai Medical group ya Japan wanatarajia kuanzisha huduma...

Biashara

NBC yazindua mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala, wateja

Benki ya Taifa ya Biashara – NBC imetumia maadhimisho ya mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwatembelea mawakala mbalimbali na wateja wa benki...

Habari Mchanganyiko

Wananchi waamua kujenga zahanati kukwepa adha kufuata huduma mbali

WANANCHI wa Kijiji cha Kwikerege, kilichopo katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kujenga zahanati yao ili kuepuka aza ya kutembea umbali...

error: Content is protected !!