RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka mahakama za nchi za Afrika zijipange kutatua migogoro itakayojitokeza katika eneo la biashara huru barani humo, huku...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023UTEUZI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023MERIDIANBET kasino ya mtandaoni imepanga kukutajirisha Zaidi msimu huu wa kiangazi wakati ligi nyingi zikiwa zimeisha, endelea kupiga mtonyo kwa kucheza kasino...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023“Mara ya mwisho nimewasiliana na mwanangu ilikuwa ni tarehe 5 Oktoba 2023, isipokuwa mara ya mwisho nilimuona ‘online’ tarehe 7 Oktoba saa 4:03...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023SERIKARI imetenga zaidi ya Sh 50 bilioni kujenga barabara kutoka Isongole wilayani Ileje mkoani Songwe hadi Kasumulu wilayani Kyela mkoani Mbeya yenye urefu...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023WANANCHI wa mitaa iliyopo Kata ya Mpemba halmashauri ya Mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kupitia halmashauri ya mji huo kuwajengea...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023ASASI ya NMB Foundation na Shirika la Save the Children International zimeunganisha nguvu kusaidia kuboresha maisha nchini kwa kuingia makubaliano ya kushirikiana kuchangia...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023BENKI ya NMB Kanda ya kusini imetoa vifaa vya kuezekea katika zahanati ya polisi iliyopo mkoani hapa vyenye thamani ya Sh17 milioni. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili wanafunzi wa shule...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023KASINO ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezeasloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwakosasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matundakama zile sloti...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023KWA mara yakwanza nchini Tanzania, Serengeti Lite Oktobafest ilileta pamoja vipaji vya muziki na ubunifu wa hali yajuu wa Afrika Mashariki katika...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema kwa kawaida Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hukusanya tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema katika kutekeleza mkakati wa Serikali wa kuimarisha shughuli za bandari Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023KAMA unataka kukusanya maokoto leo hii nenda pale Meridianbet suka jamvi lako vizuri kabisa kisha weka dau lako usubiri maokoto ya maana hapo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023SHULE ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo kama moja ya njia ya kuhamasisha michezo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023HAYAWI hayawi sasa hatimae yamekua na hiyo ni baada yakampuni ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kufikamaeneo ya Tabata Visiwani na kugawa vifaa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaasa wachimbaji wadogo kuachana na vitendo vya utoroshaji madini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha kupokea orodha ya wagombea 24 wa urais ambao wamejisajili kuwania katika uchaguzi wa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023KAMA umewahi kucheza kasino ya mtandaoni Meridianbet naumejaribu kucheza michoz mingi na kuwa mshindi, basinakwambia bado hujamaliza yote kuna hii sloti ya Book...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023NYAMARI Ongegu anayejulikana zaidi kama Nyashinski ameahidi makubwa katika onyesho lake la kesho katika Tamasha kubwa la Serengeti Oktoba Festival litakalofanyika kesho...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Washiriki katika Kongamano la Mashariki mwa Afrika kuhusiana na haki za wanawake katika masuala ya jinai lililofanyika nchini Uganda, wameelezea wasiwasi wao kuhusu...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023CHANZO cha ajali ya moto ulioteketekeza Soko la Kariako eneo la Mnadani na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 550, kimetajwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema umejipanga kuhakikisha chama hicho kinaendelea kupata ushindi katika chaguzi zijazo, huku wakiwataka wapinzani kujiandaa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023WAKATI Tanzania ikiungana na dunia mwezi huu wa Oktoba kuadhimisha uhamasishaji wa afya ya akili, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023WANAFUNZI kutoka mikoa mbalimbali nchini walioanza masomo ya kidato cha tano katika shule mpya ya wasichana Dk. Samia -SSH iliyopo kijiji cha Namole ...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Kundi la pili lenye kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 waliokuwa wamejiandikisha kuhama kwa hiari wameagwa leo tarehe 19 Oktoba...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023BABA Mtakatifu Fransisko amemtea Padre Jovitus Francis Mwijage wa Jimbo Katoliki la Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo la Bukoto kuanzia leo tarehe...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Baraza la Ushindani (FCT) la Tanzania limefutilia mbali uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) uliotolewa tarehe 28 Februari mwaka huu wa kuiruhusu Scancem...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023SERIKALI ya Zanzibar, imetangaza mpango wake wa kufuta mitihani ya darasa la nne kwa shule za msingi na kidato cha pili kwa sekondari,...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023WAKALA wa Mbegu za Kilimo nchini (ASA), umesema uzalishaji mbegu imeongezeka kutoka tani 500 hadi kufikia 3,500. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tabora…(endelea). Ongezeko hilo...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Serikali ya Uingereza imetoa tahadhari kwa raia wake wajiepushe kuitembelea mbuga mashuhuri ya wanyama nchini Uganda ambako watalii wawili, akiwemo raia mmoja wa...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa nchi za Nordic wamekubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMPUNI kongwe ya michezo ya kubashiri Meridianbet imekuja na promosheni ya michezo ya kasino Mitandaoni ambayo itawawezesha wateja wake kushinda viwango tofauti...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023Katika kuhakikisha Klabu ya Michezo ya Madini ( Madini Sports Club) inashiriki michezo kwa mafanikio makubwa imebainisha mikakati ya kiufundi itakayo leta...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023BAADHI ya wahubiri na makasisi wamesema hatua ya serikali ya Kaunti ya Kisii nchini Kenya kuanza kutoza ushuru makanisa na wahubiri itarudisha nyuma...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023USIJIULIZE utapata wapi pesa ya kuanzia siku ya kesho, maana chimbo ni moja tuu nalo ni Meridianbet ambapo huku kwa dau dogo tu...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amesema Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka wizara nchini zibane matumizi katika fedha za miradi ya maendeleo ili zilete matokeo yenye tija. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL), imezindua kampeni yake ya ‘Maokoto chini ya Kizibo’ ambayo itawafanya wapenzi wa bia kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuunga mkono jitihada za Serikali ya Tanzania...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023