SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza wakuu wa shule zilizoko wilayani Tunduma, Mkoa wa Songwe, waliosimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwachezesha wanafunzi...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023SPIKA wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, kufanya tathimini ili kujua wilaya...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023MBUNGE wa Wingwi, Omary Issa Kombo (CCM), ameitaka Serikali iongeze fedha za mfuko wa jimbo katika majimbo yenye uhitaji mkubwa, ikiwemo jimbo lake....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023MANENO ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, juu ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli imemliza mjane wake, Janeth...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2023KAMPUNI bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri Meridianbet mzigo wa kutosha unapatikana ni wewe tukubashiri kwa kuzifata ODDS KUBWA zilizowekwa katikamichezo inayopigwa leo jumapili...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2023Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dk. Francis Michael ameagiza Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) mkoani Songwe, kuhakikisha Shule ya...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2023JUMAMOSI ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika na sio nyingine ni hii ya leo ambapo mechi nyingi za kibabe zitapigwa huku ODDS...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2023WILD Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni, una michoro 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2023MBUNGE wa Geita Vijiji, Joseph Kasheku maarufu kama Msukuma, amehoji kwa ajili sakata la Tegeta Escrow haliishi baada ya Kampuni ya IPTL inayohusishwa...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ametaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa TRC,...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MAMBO vipi mteja wa Meridianbet? Habari njema ni kwamba ligi zinaendelea wikendi hii kuanzia leo hii na wewe una nafasi kubwa ya...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezeaRoma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Veni Vidi Vici! Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Viti Maalum, Ester Bulaya, ametaka aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, apelekwe bungeni jijini Dodoma, kwa ajili...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023MBUNGE wa Songwe, Philipo Mulugo, ameomba mwongozo bungeni jijini Dodoma, juu ya tabia ya baadhi ya mawaziri wanaodaiwa kutumia simu (kuchati na kuongea...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023Ujumbe wa Marafiki waliosoma na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ukiongozwa na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe umetoa...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023SERIKALI imeagiza watumishi wa afya kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya kwamba watoto wote wachanga wapatiwe matibabu kupitia bima ya afya iliyokatwa na...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023KITENDO cha baadhi ya wezi wa fedha za umma kutochukuliwa hatua za kisheria, kimewachefua baadhi ya wabunge ambao wametaka sheria mahususi itungwe itakayoweka...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023BENKI ya NMB Kanda ya Kusini leo Novemba 2,2023 imezindua kampeni maalum kwa wakulima wa kanda ya kusini ijulikanayo kama ‘Bonge la Mpango...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023WANANCHI wa Kisiwa cha Rukuba, kilichopo Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, wameamua kuanza ujenzi wa shule ya sekondari kwa nguvu zao, ili...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023KATIKA kuelimisha umma kuhusu teknolojia mpya na za kisasa zinazotumika kwenye sekta ya uchimbaji madini, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023HATIMAYE kichwa kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company (HRC) kimewasili nchini Tanzania...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023SERIKALI imekamilisha kazi ya mapitio ya mitaala ya elimu kuanzia ngazi ya msingi, sekondari hadi ualimu, huku ikiendelea na mapitio ya mitaala na...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023Wateja 333,706 wa kampuni ya Michezo ya kubashiri betPawa wameweka rekodi ya ushindi katika mchezo huo baada ya kujishindia Sh 53.8 bilioni ndani...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023MSHAURI wa Kodi, Denis Tililo (29) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam akikabiliwa na mashtaka nane likiwemo...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023Serikali ya Ujerumani imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania kuboresha Makumbusho ya Majimaji ili kuhifadhi kumbukumbu sahihi kwa ajili ya wakati huu...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempa miezi sita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, atatue migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MWANAHARAKATI huru, Bihimba Mpaya ameshirikiana na wadau wengine kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Mtaa wa Magole A, uliopo Kivule, jijini Dar es...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefika mbele ya Mahakama ya Rufani jijini Arusha, kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limesikitishwa na mahudhulio duni ya mawaziri wa jumuiya hiyo, jambo ambalo linasababisha baadhi ya hoja...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za nishati ya mafuta nchini ambazo zimeanza kutumika leo Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamerudisha kwa jamii yaoinayowazunguka tena, Kwani kampuni hiyo imeenda kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023WANANCHI wa Kijiji cha Ishenta Kata ya Ndola katika halmashauri ya wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wamelalamikia kukosekana kwa maji safi na...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,amesema kuimarika kwa demorasia, utawala wa sheria na haki za binadamu, kumewavutia wawekezaji kutoka Ujerumani kuja kuwekeza...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023HAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023HAFLA ya 67 ya Ballon d’Or ilifanyika usiku wa Jumatatu tarehe 30 Oktoba 2023 kwenye ukumbi wa Théâtre du Châtelet jijini Paris, Ufaransa...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023Benki ya NMB imetangaza kupata matokeo imara ya kifedha katika kipindi kilichoishia tarehe 30 Septemba mwaka 2023, ambapo faida kabla ya kodi ya...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Ladislaus Chang’a amewaomba waandishi wa habari kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023SLOTI ya Hot Wild 40 inakuja na bonasi ya mzinguko ya bure kama ukishinda, Jackpot za aina 3 huku ukiwinda ushindi wako...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) kimesema wakuu wa wilaya wanachangia kwa sehemu migororo ya wafugaji kwa kuchochea ukamatwaji wa mifugo pindi...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amesema kilichofanya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023SERIKALI imemtaka Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, kutumia nafasi hiyo kuhakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika jumuiya za...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023WANANCHI wa kijiji cha Wasa kata ya Wasa wilayani Mbozi mkoani Songwe wamewalalamikia wakandarasi waliopewa zabuni na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ya...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023Katibu tawala mkoani Songwe, Happiness Seneda ametoa siku saba kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kupitia idara ya Afya...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa amewataka wanawake na vijana nchini kutumia TEHAMA kutangaza biashara zao...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023WAZAWA watapewa kipaumbele kushiriki katika uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam, pindi Kampuni ya DP World na Mamlaka ya Bandari nchini (TPA),...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023SERIKALI ya Tanzania imewahakikisha wadau wa ubunifu kuwa itaharakisha mchakato wa sera zao mapema ili kuwanufaisha wabunifu na serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023MERIDIANBET wakishirikiana na Expanse Studio wanafanya wepesi katika mwezi huu wenye mambo mengi wakikuletea Sloti mpya ya God of Coins unaokufanyaZaidi ya...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023WAKATI Kongamano la Kimataifa la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania 2023 likifikia tamati tarehe 26 Oktoba mwaka huu, Mkuu wa mkoa wa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023BENKI ya NMB rasmi imezindua msimu wa tano wa promosheni yake kabambe ya MastaBata chini ya kauli mbiu ‘MastaBata Halipoi’ inayolenga kuwazawadia wateja...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2023HAKUNA aliyezaliwa bila bahati hata wewe una una bahati kubwa leo ya kushinda mkwanja mrefu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni, ni sloti ya...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2023