Author Archives: Mwandishi Wetu

Wagonjwa 23 wa corona waongezeka Z’bar

WIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Vita dhidi ya Corona: Wanywa bia baa wapigwa ‘stop’

SOPHIA Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, amepiga marufuku mikusanyiko ya watu katika baa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ...

Read More »

Mkataba wa Muungano watikisa Bunge

MNYUKANO mkali umeibuka bungeni, baada ya baadhi ya wabunge kuhoji kuwapo kwa vifungu vya Katiba ya Zanzibar, vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Maduka 400 kufungwa Arusha

MADUKA zaidi ya 400 yako hatarini kufungwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha, kutokana na wamiliki wake kushindwa kulipa malimbikizo ya kodi ya pango Sh. 262.5 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Kasi ya Corona yamshtua JPM, atangaza siku 3 za maombi

RAIS John Magufuli ametaka Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu mfululizo, ili awanusuru na athari za Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wananchi watakiwa kutochoka kunawa mikono

KAIMU Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya, Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka wakati ...

Read More »

Idadi ya wagonjwa wa corona yapaa

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Z’bar maambukizi ya corona yapanda

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya sita wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona Ndugu Wananchi, Itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Chama Chetu alimwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 27 Machi ...

Read More »

Ajali yauwa Watu 18 na kujeruhi 15 mkoani Pwani

WATU 18 wamepoteza maisha huku 15 wakijeruhiwa, katika ajali iliyohusisha lori la gari la abiria, iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 15 Aprili 2020, mkoani Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa ya ...

Read More »

Mke wa mbunge akutwa na Corona

MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona – Covid 19. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Shule, vyuo kuendelea kufungwa, Rais Magufuli afuta sherehe za Muungano

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na 18 Machi mwaka huu, litaendelea  hadi pale ...

Read More »

Mchanganyo huu unaua virusi vya corona

CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Anyitike Mwakitalima, ...

Read More »

Visa vipya 14 vya Corona vyaripotiwa Tanzania

SERIKALI imetangaza ongezeko la  “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaaam … (endelea). Taarifa ya wizara ya ...

Read More »

Janga la Corona: Mbowe ampa mtihani Rais Magufuli

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemhoji Rais John Magufuli ya kwamba, idadi ngapi ya vifo vitakavyotokana na Ugonjwa Homa Kali inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), ...

Read More »

Kimenuka: Wabunge wengine Chadema, CUF mbioni kuondoka

TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kuvihama vyama vyao. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Corona: Tanzania kuingia hatua ngumu

WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe kwa wenyewe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

NCCR- Mageuzi yakana madai ya ‘Shangazi’

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimekana madai kuwa kimetumia kiasi Sh. 1.19 bilioni, zilizotolewa na serikali, bila kuwa na uthibitisho wa nyaraka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Katibu ...

Read More »

Lissu ‘ampasua’ Spika Ndugai

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amemshangaa Spika Job Ndugai, kwa madai ya kufanya kazi kama ‘mkusanya mapato ya benki.’Anaripoti Mwandishi wetu… (endelea) Amesema, anachokitaka kwa Bunge kipo kwa ...

Read More »

Mbunge ataka gongo itumike kuikabili corona

PROFESA  Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama (CCM), ameishauri serikali kuruhusu pombe ya gongo, itumike katika kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona, kwa wananchi wasio na uwezo wa kununua vitakasa ...

Read More »

Wagonjwa wa Corona Tanzania waongezeka

SERIKALI ya Tanzania imetangaza wagonjwa wanne wapya wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akitangaza taarifa ...

Read More »

BoT yachapisha noti mpya

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na BoT tarehe 2 ...

Read More »

China yaidhinisha nyongo ya dubu kutibu corona

TAIFA la China limeidhinisha matumizi ya nyongo ya dubu kuwatibu wagonjwa wa  corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa kujibu wa taarifa ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC Swahili), China imeeleza ...

Read More »

Mapambano dhidi ya Corona: Madaktari waiangukia serikali, wananchi

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimeiomba serikali na wananchi kutoa ushirikiano kwa watalaamu wa afya, katika mapambano dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Viysi ...

Read More »

Komu atangaza kung’atuka Chadema

MBUNGE wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu, ametangaza “kukihama” chama chake cha sasa; na kuelekea NCCR- Mageuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo ...

Read More »

Meya wa Chadema Iringa ang’olewa

ALEX Kimbe, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo tarehe 28 Machi 2020, ameondolewa madarakani na Baraza la Madiwani la halmashauri hiyo. ...

Read More »

Tuhuma za CAG: CUF yamtwisha zigo Maalim Seif

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtupia lawama Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wake, kikidai kuwa, alisababisha kikiuke sheria kwa kuhamisha fedha za ruzuku kiasi cha Sh. 300 milioni, kutoka ...

Read More »

Waziri Mkuu Uingereza akutwa na corona

BORIS Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza, amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona (COVID19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Taarifa kutoka kwenye ofisi yake zimeeleza, kiongozi huyo alichukuliwa vipimo baada ...

Read More »

Meya Iringa njia panda, mahakama yamtosa

MAHAKAMA ya Mkoa wa Iringa, imetupilia mbali ombi la Alex Kimbe, Meya wa Manispaa ya Iringa la kuzuia mchakato wa kumng’oa madarakani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Uamuzi huo umetolewa leo tarehe ...

Read More »

Vigogo wa Chadema Songwe, watoka gerezani 

VIONGOZI kadhaa wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mkoa wa Songwe na jimbo la Tunduma, hatimaye wametoka gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe … (endelea).   Taarifa zilizothibitishwa na ...

Read More »

‘Nchi zenye sifa hizi Afrika, zipo hatarini kwa corona’

NCHI ambazo zinahifadhi wakimbizi wengi na zenye makazi duni Afrika, zinatajwa kuwa na hatari zaidi ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) katika siku za usoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

CAG abaini madudu CUF, CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) na Chama Mapinduzi (CCM), vinatajwa kwa matumizi mabaya ya fedha katika Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika Mwaka wa Fedha 2018/19. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Corona: Mbowe siku 14 karantini

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), sasa yupo karantini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amechukua hatua hiyo yeye mwenyewe na familia yake. Ni baada ...

Read More »

Mkutano ‘kumng’oa’ Meya Iringa waitishwa

MKAKATI wa muda mrefu unaoondeshwa na wabunge pia madiwani kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumng’oa Meya wa Manispaa ya Iringa, sasa umeshika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Tayari madiwani hao wamepokea ...

Read More »

Shitaka hili limemtibua Lema

SHITAKA la kusababisha kuibua taharuki linalomkabili Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, limemtibua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida, leo tarehe 25 Machi ...

Read More »

Mbowe athibitisha mwanawe kupata Corona

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekiri kuwa mmoja wa watoto wake, Dudley Mbowe, amekutwa na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika taarifa yake kwa umma aliyoitoa ...

Read More »

Waathirika wa Corona Kenya wafikia 25

SERIKALI jijini Nairobi, imetangaza kuongezeka wagonjwa 25 wa visa vya karibuni vya maambukizi ya Corona, kwatu tisa. Kati yao, saba ni raia wa Kenya na wawili wakiwa ni wageni. Inaripoti ...

Read More »

Chadema yasubiri Corona ipite, kuliamsha upya

MIKUTANO ya ndani na hadhara iliyopangwa na Chama cha Demokrasia na Maebdeleo (Chadema), kuanza tarehe 4 Aprili 2020, sasa haitafanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo imeelezwa ni kutokana ...

Read More »

Mwingine aondoka Chadema, aelekea NCCR- Mageuzi

NDIHOLEYE Zuberi Kifu, Mratibu wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini (CHASO), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro, amejiondoa kwenye chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka ...

Read More »

‘Waliokuwa na dereva taxi Arusha, hawajaambukizwa COVID-19’

DAKTARI Janeth Mghamba, Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Ufutiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko katika Wizara ya Afya amesema, watu 27 waliochukuliwa ili kupimwa kama wana maambukizi ya virusi vya corona ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Membe aungana na wapinzani kuiangamiza CCM

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameungana na hoja ya wapinzani ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi, itakayowezesha Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2020, kuwa wa huru na ...

Read More »

Zitto, Wakili wa Serikali wamuibua Azory mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kuwa amefurahi kumsikia wakili wa Serikali anakiri kuwa Mwandishi wa habari za uchunguzi, Azory Gwanda amefariki. Anaripoti Mwanandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Mlipuko wa Corona: Wapinzani waishauri Serikali

VYAMA vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Serikali kuchukua hatua za makusudi, katika kuhakikisha mlipuko wa Ugonjwa ya Homa ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), unadhibitiwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mbowe: ICC haitawaacha

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinavyokiuka haki, hata kama vikilindwa na serikali ya Tanzania, havina kinga katika jumuiya za ...

Read More »

Mgonjwa wa kwanza wa Corona agundulika Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imeripoti kuwepo mgonjwa mmoja mwenye ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya uwepo wa mgonjwa huyo ...

Read More »

Wahudumu wodi ya corona Kenya wagoma

MGOMO umeibuka katika wodi iliyotengwa kuwahudumia watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Taarifa zaidi kutoka nchini humo zinaeleza, wahudumu wa wodi hiyo wamelalamika kutokuwa ...

Read More »

Mabomu yarindima Segerea ‘kwa Mbowe’

ASKARI wa Jeshi la Magereza katika gereza la Segerea, wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikwenda kumsubiri Freeman Mbowe nje ya lango la ...

Read More »

Corona yatua Kenya

KENYA inakuwa nchi ya kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuripotiwa kugundulika kwa mtu mwenye virusi vya Corona (COVID-19, mamlaka ya nchi hiyo imethibitisha. Inaripoti mitandano ya kimataifa … (endelea). Leo ...

Read More »

Rais Magufuli azua tafrani Chadema

RAIS John Pombe Magufuli, ametoa kiasi cha Sh. 38 milioni kati ya Sh. 40 milioni, zinazotakiwa kulipia faini ya Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Mbowe mfungwa Na. 305, apigwa ‘para’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, tayari amevishwa gwanda na kuwa mfungwa rasmi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mbowe na wenzake wengine wanne, ...

Read More »
error: Content is protected !!