Author Archives: Mwandishi Wetu

Polisi wakamata sampuli ya madini

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linashikilia lori aina ya fuso lililokuwa linasafirisha sampuli za madini 883, zilizowekwa kwenye ndoo 226 kutoka mkoani Geita kuelekea katika maabara ya kupima iliyoko jijini ...

Read More »

Lissu anusurika kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la serikali kutaka itolewe hati ya kukamatwa mwanasiasa wa upinzani nchini, Tundu Lissu, kwa kuendelea kutofika mahakamani kwa ajili ...

Read More »

Zitto aanzisha mashambulizi CCM, serikali

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameivaa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba ni katili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwenye ukurasa wake wa Twitter Zitto ameeleza kushangazwa na ...

Read More »

Halima Mdee: Nimeitwa polisi, sijui kuna nini?

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti  wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amepokea wito wa Kamanda wa Upelelezi (RCO) Mkoa wa Kipolisi wa Kindoni, kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano. Anaripoti ...

Read More »

Waliochoma Kituo cha Polisi  Bunju A wafungwa maisha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Februari 2019 imewafunga maisha jela watu wanane baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kuchoma moto Kituo ...

Read More »

Waziri azuia wananchi kumpongeza Rais Magufuli

LUHAGA Mpina Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  amepiga marufuku makongamano ya wafugaji ya kumpongeza Rais John Magufuli,  kwa muda mpaka pale kazi waliyopewa kama Tume itakapokamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Kamatakamata; Lijuakali, Kiwanga wawindwa

PETER Lijuakali, Mbunge wa Kilombero na Susan Kiwanga, Mbunge wa Jimbo la Mlimba yote ya mkoani Morogoro wanawindwa na Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani ...

Read More »

Rais Trump kupandishwa kizimbani

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameshtakiwa katika mahakama ya wilaya ya Kaskazini iliyoko kwenye jimbo la Calfornia, kwa kutangaza hali ya dharura ili akusanye fedha za ujenzi wa ukuta ulioko ...

Read More »

Makonda aungana na wanaomgwaya Lissu

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amedai kuwa mwanasiasa mashuhuri nchini kwa sasa, Tundu Lissu, asijadiliwe kwa kuwa hajaweza kupona majeraha ya risasi aliyonayo. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Chadema kuvunja ‘mwiko’ wa JPM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepanga kuvunja kauli ya Rais John Magufuli ya kukataza mikutano ya hadhara. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kimeeleza kuwa, viongozi wake wanapanga ratiba ya kuzunguka ...

Read More »

Uchaguzi Nigeria waahirishwa; Buhari, Abubakar kusubiri hukumu

UCHAGUZI wa rais nchini Nigeria uliopangwa kufanyika leo tarehe 16 Februari 2019, umeahirishwa. Vinaripoti vyombo vya habari vya kimataifa…(endelea). Taarifa zaidi kutoka katika Tume Huru ya Kitaifa Uchaguzi ya Nigeria (INEC) ...

Read More »

Kubenea atoa neno zito, agawa madawati

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amekabidhi madawati 290 yatakayotumika katika shule za Msingi na Sekondari katika jimbo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Lissu: Ninamashaka na wanaotaka nirejee

MWANASIASA mashuhuri nchini na ambunge wa upinzani katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametilia mashaka “uadilifu” wa watu wanaomng’ang’aniza kurejea nyumbani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika mahojiano ...

Read More »

Mkakati kumvua Lissu ubunge wavuja     

MKAKATI wa kumvua ubunge, Mwasheria Mkuu wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (CHADEMA) na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, sasa umeiva. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Maalim Seif kukinukisha

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema, amechoka kuchezewa. Amesema muda siyo mrefu atakinukisha. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Zanzibar…(endelea). Amesema, “wamenichezea kwa muda mrefu sana. Nasema, ...

Read More »

Karibu nitawataja walionishambulia – Tundu Lissu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, anaendelea “kumwaga sumu,” katika nchi kadhaa Ulaya na Marekani. Anasema, shambulio dhidi yake lilillolenga kuondoa ...

Read More »

Lissu abadili upepo siasa za CCM

SIASA ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinazidi kuchukua sura mpya baada ya  kujielekeza kwenye  mashambulizi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). CCM imeanza utaratibu wa kumshambulia Tundu Lissu, Mbunge wa Singida ...

Read More »

Zitto rasmi UKAWA bungeni

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) na kiongozi mkuu wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe, sasa ameruhusiwa kujiunga rasmi na kambi ya upinzani bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Uwanja wa ndege Chato, waibua mapya

SERIKALI imeamua kupandisha hadhi baadhi ya mapori ya akiba kuwa hifadhi za taifa yaliyopo kwenye mikoa ya Geita na Kigoma, ili kujisafisha na tuhuma za upendeleo katika ujenzi wa uwanja wa ndege ...

Read More »

Sheria nyingine ‘katili’ yaja, ni ile ya Majengo, sasa hadi matembe kulipa kodi

SERIKALI ya Rais John Pombe Magufuli, sasa imeamua “kula matapishi yake.” Jumamosi wiki hii, inarudi tena bungeni kuwasilisha mabadiliko mengine kwenye Sheria Mpya ya Madini ya mwaka 2017. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Fatma Karume aivuruga Mahakama

MHIMILI wa Mahakama nchini, “umenajisiwa.” Kwa mara ya kwanza katika historia yake, chombo hicho kikuu katika utoaji haki kwenye Jamhuri ya Muungano, kimegoma kupokea hotuba ya Rais wa Chama cha ...

Read More »

Heche, Zitto waivuruga serikali

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA/UKAWA), John Heche, amezua tafrani bungeni, kufuatia hatua yake ya kuituhumu serikali kuwa imejifunga kwenye mkataba wa kitapeli na kampuni ya Arab Contractors. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka ...

Read More »

Bunge lazidi kuikaanga serikali ya Magufuli

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, imetoa mapendekezo 19 kwa serikali, yanayohitaji kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Miongoni mwa mapendekezo yaliyotolewa na ...

Read More »

Mbunge CUF amtega Rais Magufuli

MBUNGE wa Kilwa Kusini (CUF), Sulemani Bungala ameitaka serikali kuruhusu wavuvi wadogo wadogo kuendelea na shughuli zao. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni leo Jumanne, Bungala alisema, ...

Read More »

Tundu Lissu atinga kwa Obama

MWANASHERIA mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasili jijini Washington, nchini Marekani ili kuzungumza katika mdahalo wa aina yake katika chuo kikuu cha George Washington. Anaripoti ...

Read More »

Nape  Nnauye ajiuzulu

NAPE Nnauye, amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii. Kujiuzulu kwake, kunatokana kile kinachoitwa, “kugoma kunyofoa baadhi ya taarifa kwenye ripiti ya kamati yake.” Anaripoti ...

Read More »

Mwambe ataka kuundwa Kamati ya Bunge kuchunguza ujenzi wa Viwanda  

MBUNGE wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe, amemtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuunda Kamati Maalum ya Bunge, ili kuchunguza utekelezaji wa sera ya serikali ya “taifa la viwanda.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Sugu aeleza aibu ya Uwanja wa Ndege Mbeya

KIPINDI ambacho Uwanja wa Ndege wa Songwe, Mbeya unapogubikwa na ukungu, rubani hupata tabu kutua na wakati mwingine hulazimika hurudisha ndege Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ndege hushindwa ...

Read More »

Madaktari Kenya kugoma tena

MUUNGANO wa Wauguzi nchini Kenya umepanga kufanya mgomo kuanzia leo Jumatatu tarehe 4 Februari 2019 ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuwalipa stahiki zao ikiwemo marupu rupu. Inaripoti Mitandao ya ...

Read More »

Haya ni maajabu yake Mungu  

AMA kwa hakika duniani ni wawili wawili. Hivi ndivyo unavyoweza kusema pale utakapokutana na Cresencio Extreme pia Howard X kwenye mitaa ya Hong Kong. Vinaripoti vyombo vya kimataifa … (endelea).  Watu hawa ...

Read More »

Magufuli anadanganywa na wasaidizi wake – Silinde

DAVID Silinde, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Momba, mkoani Songwe amesema, Rais John Magufuli, amezunguukwa na watu waongo. Kila tunavyozidi kuelekea uchaguzi mkuu, ndivyo ...

Read More »

Sakata la Korosho: Mbunge ajiweka rehani

MBUNGE wa Nchinga kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Hamidu Hassan Bobali, ameituhumu serikali kudhulumu wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara na Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma … ...

Read More »

Njombe yatikiswa, mtoto mwingine auawa

MTOTO mwingine mwenye umri wa miaka Saba (7), ameuawa leo tarahe 2 Februari, kwa kuchinjwa shingo na watu wasiojulikana wilayani katika eneo la Lupembe, wilayani Njombe, mkoani humo, kwa madai ...

Read More »

Esther Bulaya: CCM waifilisi JKT

MBUNGE wa Bunda Mjini (CHADEMA), Esther Bulaya, “ameliamsha dude.” Amesema, serikali imekopa mabilioni ya shilingi mashirika ya umma, ikiwamo Jeshi la Kujenga la taifa (JKT). Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka Dodoma ...

Read More »

Mbunge Chadema atoboa siri ya wizi wa Sh. 2.4 trilioni  

MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Mara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Catherine Ruge, “ameivua nguo serikali.” Amesema, kiasi cha Sh. 2.4 bilioni, kitakuwa ama kimeibwa au hakijulikani matumizi ...

Read More »

Rais Kagame ‘bosi’ mpya EAC

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Kununua ya Africa Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wajumbe wa mkutano huo leo tarehe 1 Februari 2019 wamemchagua ...

Read More »

Ushirikina; Binti akutwa uvunguni mwa bibi yake hajitambui

TUKIO la Mwanafunzi wa Shuele ya Sekondari Ikinabushu (jina limehifadhiwa) kukutwa chini ya uvungu wa kitanda cha bibi yake, limetikisa viunga vya mji wa Bariadi, Simiyu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Watanzania  jela miaka 15 kwa ugaidi Kenya

WATANZANIA watatu kutoka visiwani Zanzibar, Idarous Abdirahman (32), Islah Juma (22) na Mbarouk Adibu (34) wamefungwa miaka 15 jela kila mmoja nchini Kenya,  kwa kosa la kujihusisha na vitendo vya ...

Read More »

Serikali kuvuna Bil 418 za korosho

SERIKALI imeanza kuingia mkataba wa mauzo ya korosho na wafanyabiashara ambapo tayari jumla ya tani 100,000 za zao hilo zimepata mteja. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kampuni ya Indopower Solutions ya ...

Read More »

Uungu’ wa Msajili wa Vyama kuanza na Lissu, Zitto  

NGUVU za kimamlaka zilizowekwa kwenye sheria ya vyama vya siasa na kupigiwa chapuo na baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaweza kutumika kuwashughulikia baadhi ya wanasiasa mashuhuri wa ...

Read More »

Prof. Lipumba awakumbuka waliouwawa kwenye maandamano

IKIWA ni miaka 18 tangu kutokea kwa mauaji ya waandamanaji wa Chama cha Wananchi CUF visiwani Zanzibar, Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa chama hicho anayetambaliwa na msajili wa vyama vya ...

Read More »

Mmiliki wa mabasi ya Batco, CRDB watuhumiwa “kutapeli” hoteli

MFANYABIASHARA na mmiliki wa mabasi ya Batco jijini Mwanza Baya Kusanja Malagi pamoja na benki ya CRDB wanadaiwa kula njama kwa pamoja na kutapeli hoteli ya Tai Five iliopo kona ...

Read More »

Prof. Assad anaendelea kuwa mwiba kwa serikali

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amefichua tuhuma nyingine mpya. Safari hii, CAG anaituhumu Serikali kutumia zaidi ya Sh. 2.7 bilioni, bila kufuata taratibu za kifedha. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Taratibu za kimila zatumika kutafuta wauaji

MAELFU ya wananchi wameshiriki katika mazishi ya Afisa Elimu Maalum wa Halmashauri ya wilaya ya Karatu, Martin Goi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na wanaoitwa na serikali, “watu wasiojulikana.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

IGP Sirro amnyoosha Waziri Lugola  

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IJP), Simon Sirro, amefanya mabadiliko madogo kwa makamanda watatu wa mikoa wa polisi. Miongoni mwa waliobadilishwa, ni pamoja na Kamishena Msaidizi wa Polisi (ACP), ...

Read More »

Halima Mdee ajieleza mbele ya Kamati ya Bunge

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee amefika mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kuhojiwa kufuatia kauli za kudhalilisha bunge anazodaiwa kuzitoa mitandaoni. ...

Read More »

Vijana waruka ukuta wa Mirerani kuchimba Tanzanite’

FATUMA Kikuyu, mchimbaji mdogo wa madini kutoka mgodi wa Tanzanite ulioko Mirerani mkoani Manyara amesema kuna baadhi ya vijana wanalazimika kuruka ukuta wa mgodi huo kwa ajili ya kufanya shughuli ...

Read More »

Imevuja; CAG ‘aliilewesha’ kamati iliyomuhoji

TAARIFA kutoka ndani ya kamati iliyomuhoji Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) jana Jumatatu, ‘ilibaki mdomo wazi’. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mmoja wa ...

Read More »

KCMC yapiga ‘stop’ wanufaika wa Bima ya Afya

HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC imesitisha kutoa huduma za afya kwa wanufaika wa mashirika takribani saba kutokana na kudaiwa madeni yenye thamani ya Sh. 2.2 Bilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yanukunia DRC

RAIS mteule wa DRC- Kongo, Felix Tshisekedi Tshilombo, mtoto wa mwanasiasa mkongwe  nchini Ettiene Tshisekedi, ameridhia uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini mwake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!